PAUL CLEMENT - SHUKRANI (OFFICIAL LIVE RECORDING VIDEO) SKIZA - 9860830

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2021
  • STREAMS
    SPOTIFY:open.spotify.com/album/3474PR...
    ITUNES: / shukrani-single
    APPLE MUSIC: / shukrani-single
    Contanct/booking info
    instagram: minister_paulcl...
    facebook: / ministerpaulclement
    BOOKING. email:paulclementmog@gmail.co
    Music Director : Joel Alfred
    Arranged by : Elisha Julius & Emmanuel Gripa
    MUSICIANS:
    Main Keys : Joel Alfred
    Synths Stabs/Leads : Elisha Julius
    Pads : Jonathan Shemsanga
    Lead Guitar : Hagai Makuzo
    Bass Guitar : Samuel Modest
    Drummer : Andrew Chitete
    BGVs :
    Soprano:
    Nice Marandu
    Melanie Antony
    Alto:
    Christine Marco
    Ruth Mkemwa
    Tenor:
    Joshua Cleopa
    Amos Mbise
    Calvin John
    This song Mixed and Mastered by Samuel Mboya (Chosen Records)
    Sound Engineer : Jeddy Audio (JaP)
    Lights : David Sengati (Nyakalo Lights)
    Video Diector : Sylvester Daniel (Syberpic)
    Venue: HIGHLAND 255
    Raiser : S&M
    Backlines:
    Keybords: Nelly Music
    Drums,Mics etc. : Sound Solution
    Dressed by Mkude Fashion

ความคิดเห็น • 1K

  • @boazdanken
    @boazdanken 2 ปีที่แล้ว +582

    Ulionitendea ni Mengi siwezi kuhesabu ila nasema ASANTE YESU. God Bless you Minister Paul Clement Tumebalikiwa San Tanzania kuwa na Wewe Mtumishi wa MUNGU Mungu akutunze sana

    • @salvashaban9194
      @salvashaban9194 2 ปีที่แล้ว +3

      Amina

    • @paulclement25
      @paulclement25  2 ปีที่แล้ว +62

      Amina kakaangu Sifa na utukufu ni kwa Yesu...nafurahia sana huduma yako pia

    • @marthalasoi8253
      @marthalasoi8253 2 ปีที่แล้ว

      Aminaaath-cam.com/video/00v8q9lwGAU/w-d-xo.html

    • @seramakimbula997
      @seramakimbula997 2 ปีที่แล้ว +3

      Ulinitendea ni mengi siwezi kuhesabu asante

    • @marykagulilo5588
      @marykagulilo5588 2 ปีที่แล้ว +5

      Tumebarikiwa sana TZ kuwa na ninyi nyote watumishi

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 2 ปีที่แล้ว +635

    Your Ministry is a great blessin🙌🙌

    • @NdaruhutseHope
      @NdaruhutseHope 2 ปีที่แล้ว +14

      we love you too masika.

    • @Mr_S.M.S8587
      @Mr_S.M.S8587 2 ปีที่แล้ว +17

      Expecting for collable song!!

    • @paulclement25
      @paulclement25  2 ปีที่แล้ว +66

      Amen sister...glory be to God

    • @jacoboctavian5490
      @jacoboctavian5490 2 ปีที่แล้ว +7

      mfanye wimbo bas

    • @marthalasoi8253
      @marthalasoi8253 2 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/00v8q9lwGAU/w-d-xo.html

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe 2 ปีที่แล้ว +24

    Oooh BABA nimerudi kusema ASANTEEE

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya 2 ปีที่แล้ว +170

    Shukrani zangu ni kwako eh Bwana Yesu kwa mengi ume ni tendea. Ubarikiwe kaka Paul kwa wimbo huu

    • @paulclement25
      @paulclement25  2 ปีที่แล้ว +13

      Amina kaka ubarikiwe sana sana

    • @salvashaban9194
      @salvashaban9194 2 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @marthalasoi8253
      @marthalasoi8253 2 ปีที่แล้ว

      Aminaa th-cam.com/video/00v8q9lwGAU/w-d-xo.html

    • @marthalasoi8253
      @marthalasoi8253 2 ปีที่แล้ว

      Aminaa th-cam.com/video/00v8q9lwGAU/w-d-xo.html

    • @eliapallangyo8303
      @eliapallangyo8303 2 ปีที่แล้ว +1

      Tunakushukuru sana kwa karama yako na kea utumishi huu wako uliotukuka kwetu napenda sana kumwimbia Mungu Kama wewe au zaidi apendavyo Mungu mapenzi yake yatimizwe.

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 2 ปีที่แล้ว +46

    Whoever reading this, may God give you good health, and bless you financially
    Amen 😇

  • @heavenlightkombe8944
    @heavenlightkombe8944 2 ปีที่แล้ว +9

    Ulionitendea ni makubwa Bwana siwez kueleza nimekuomba kaz umenipa tena kaz nzur nimekuomba ndoa umenipa mume mzur japo tumeishi mbali kikaz nimekuomba na tumefanikiwa uhamisho na sasa tuko karibu sina namna nzur ya kukushukuru Asante YESU😭😭🙏

  • @solangejacques6065
    @solangejacques6065 2 ปีที่แล้ว +9

    Wanao mpenda Paul clement.like zenu apa❤️

  • @aureliaboniface6527
    @aureliaboniface6527 หลายเดือนก่อน +1

    Uliyonitendea ni mengi, ila nina neno moja AHSANTE🙏

  • @keziahmbau3671
    @keziahmbau3671 2 ปีที่แล้ว +82

    Who else can't get enough of this song....my my its powerful

  • @devothawilson3651
    @devothawilson3651 2 ปีที่แล้ว +3

    Nlikua kila mara naskiliza tu kwa phone angu nlitaman siku kama ya Leo itimie itoke live jamn am so happy

  • @EmmanuelKwayu
    @EmmanuelKwayu 2 ปีที่แล้ว

    Shukurani nibebe kwenye Neno moja ASANTE Uzidi kuinuliwa juu juu zaidi na zidi kunyenyekea
    Amina

  • @jeanclaudemuragizi8559
    @jeanclaudemuragizi8559 9 หลายเดือนก่อน

    East Africa tume barikiwa kupata mtumishi wa Mungu Paul barikiwa, neno moja Tu ASANTE

  • @fraciahmaina5918
    @fraciahmaina5918 2 ปีที่แล้ว +47

    My husband and I got into an accident this morning and God saved our lives😭😭😭…. Am just singing this song with thanksgiving.

    • @jmweta_geofrey
      @jmweta_geofrey ปีที่แล้ว

      Glory be to God for his mercy and grace

  • @elizabethutengule4134
    @elizabethutengule4134 ปีที่แล้ว +5

    Shukurani imebebwa kwenye neno moja Asante Yesu kwa kunitendea makuu kwa maisha yangu.

  • @sophiemwero9153
    @sophiemwero9153 2 ปีที่แล้ว

    Ulionitendea ni mengi nasema Asante Yesu Wangu.......jamaa zangu kutoka Bongo barikiweni sana

  • @irenendossy7823
    @irenendossy7823 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo hii imekuwa faraja kipindi nimempoteza Baba yangu mpenzi.

  • @Wakio231
    @Wakio231 2 ปีที่แล้ว +41

    Wakenya hatuchelewi, glory to the Most High.

    • @bethaelnsumyirambobpraise7794
      @bethaelnsumyirambobpraise7794 2 ปีที่แล้ว

      Bonyeza link kutazama video hii th-cam.com/video/u8IG9gW4N3I/w-d-xo.html

    • @teddydickson4004
      @teddydickson4004 2 ปีที่แล้ว +1

      Na huyo naye mnamchukua Wakenya nyie noma

    • @Wakio231
      @Wakio231 2 ปีที่แล้ว

      @@teddydickson4004 😂😂

  • @simiyuSK.
    @simiyuSK. 2 ปีที่แล้ว +9

    Neno ni "AHSANTE" 💯✋
    Kenya nairobi full respresentation

  • @issackmkufya1541
    @issackmkufya1541 2 ปีที่แล้ว

    KWAKWELI kwakweli daaaaah. Wimbo umenibariki Sana aiseeee daah.
    Nami niwale kumi ulowaponya tisa sijui Ila mimi nimekuja kusema Yesu Mungu wangu AHSANTE

  • @rachelkweledu
    @rachelkweledu ปีที่แล้ว +2

    Nikisikilizaga hii nyimbo huwa nafarijika sanaaàa,najikuta naingia kwenye uwepo

  • @petermasapa2055
    @petermasapa2055 2 ปีที่แล้ว +9

    Never seen a powerful song like this!!!! sichoki kutazama hii kitu ina upako aisee... NINA NENO MOJA TU KWAKO MUNGU WANGU "ASANTE"

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Paul Mwakanyamale unaimba sana we jamaa 🙌

  • @zuu9996
    @zuu9996 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu wangu kwa kila kitu.

  • @Gracesiyon1234
    @Gracesiyon1234 2 ปีที่แล้ว

    Ambaye bado hajauelewa wimbo aje nimweleweshe Mana sasa nimeelewa."Shukurani imebebwa kwenye neno moja AHSANTE"

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 2 ปีที่แล้ว +8

    Can't wait Bro Paul Clement Shukran ni Motooo🙊🙊🙊🙊 Shukran challenge

  • @paullangu4424
    @paullangu4424 2 ปีที่แล้ว +3

    big up brother hakika umekuwa baraka kwa dunia nzima

  • @fatumamimbi3126
    @fatumamimbi3126 ปีที่แล้ว

    Nashindwa namna ya kukushukuru MUNGU wangu,,,hakika umenitendea mengi siwezi kuhesabu.ASANTE.

  • @anishiemgala8203
    @anishiemgala8203 ปีที่แล้ว

    Ulionitendea Ni mengi,siwezi kuhesabu,ila Nina neno moja nasema Asantee Yesu🙏

  • @sirphineasmwirigi
    @sirphineasmwirigi 2 ปีที่แล้ว +23

    "Ulionitendea ni mengi, siwezi kuhesabu, ila nina neno moja asante"
    You are a blessing to this generation brother.

    • @CephasDoc
      @CephasDoc 2 ปีที่แล้ว +1

      That's a good song.

  • @kenmbarikiwa8912
    @kenmbarikiwa8912 2 ปีที่แล้ว +8

    Big love from Kenya bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    God bless you

  • @rosemarykirigiti9882
    @rosemarykirigiti9882 หลายเดือนก่อน

    Uliyonitendea ni mengi, siwezi kuhesabu ila nina neno moja ahsante🙏

  • @berthamwakitwange7124
    @berthamwakitwange7124 ปีที่แล้ว

    Natafuta namna nzuri ya kukushukuru nakosa..natafuta maneno mazuri ninakosa.. BABA ASANTEE🎉🎉. GOD BLESS YOU MAN OF GOD PAUL CLEMENT

  • @naomiwasonga8767
    @naomiwasonga8767 2 ปีที่แล้ว +3

    Paulo 🔥🔥🔥 Mungu akubariki huu wimbo ni mzuri sana

  • @mukami4337
    @mukami4337 ปีที่แล้ว +9

    This is the choir you needed for your new song"Anaskia maombi"They know what they are doing.Kudos to this back up choir

  • @mshangaemmanuel8964
    @mshangaemmanuel8964 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ninapousikiliza nabaki kumwaga machoz kwa jinsi Mungu aliyonitendea hakika ni mengi hayahesabiki,coz leo ningekuwa naitwa marehemu lakin Yesu kanisaidia

  • @annawilliam5760
    @annawilliam5760 2 ปีที่แล้ว

    Uliyonitendea ni mengi siwezi kuhesabu hakika Mungu wewe unanitendea mambo mengi mno siwezi kuhesabu

  • @stellahlubembe2931
    @stellahlubembe2931 2 ปีที่แล้ว +66

    Biblical songs you will never go wrong with them ,being blessed all the way in UAE big fan to Clement. Barikiwa sana rep 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @marykibunja1912
      @marykibunja1912 2 ปีที่แล้ว

      🇸🇦

    • @lucymwaijengo3790
      @lucymwaijengo3790 2 ปีที่แล้ว

      Yale umenitendea siwezi hesabu Mungu wangu,pokea shukrani zangu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joramkyando9259
    @joramkyando9259 2 ปีที่แล้ว +12

    Mlioniwahi🙌🏾🙌🏾...Barikiwa sana Kaka yangu Paul Clement May God shower his Choicest blessings On You.. Ujumbe huu ni burudiko la Moyo forsure

  • @irenematari6218
    @irenematari6218 9 หลายเดือนก่อน

    Kama yule mmoja kati ya wale kumi aliyerudi kusema asante nami nimekuja Mungu wangu kushukuru kwa yote uliiyonijalia na kunitendea

  • @yonahmaphie4221
    @yonahmaphie4221 2 ปีที่แล้ว

    Ulionitendea ni mengi, Ila YESU nina neno moja tuu, ASANTE

  • @joelkaema4320
    @joelkaema4320 2 ปีที่แล้ว +3

    Uliyo nitendea ni mengi siwezi kuhesabu, nenomoja naweza sema ni asante 🙏🙏 God bless you kaka.

    • @isayalyimo
      @isayalyimo 2 ปีที่แล้ว

      Powerful song of the year
      God bless you so much anointing

  • @mikemusic4297
    @mikemusic4297 2 ปีที่แล้ว +3

    Daah🙌🏽

  • @teddypsalmist.6945
    @teddypsalmist.6945 2 ปีที่แล้ว +2

    From Kenya Pia tunakupenda Kaka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kwa Yale yote ametutendea tunasemaj Asante yesu

  • @nurusandi1626
    @nurusandi1626 2 ปีที่แล้ว +1

    Ipo nguvu katika shukurani#Thanking God🙏

  • @RACHELMBRYAN
    @RACHELMBRYAN ปีที่แล้ว +39

    A song i can't get enough of!makes my spirit joyous...putting smile on my face whenever i listen to it.

  • @onyangoerickomondi7072
    @onyangoerickomondi7072 ปีที่แล้ว +3

    Am indebted to you Christ Jesus for all you have done to me am thankful for everything I am that I am ,the Ancient of days,the beginning and the end,the bright morning star ,Alpha and Omege,The great I am , thank you for you're kindness

  • @barikikabungo859
    @barikikabungo859 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa kuna watu wameDISLIKE huu wimbo??? Acha tumshukuru Mungu kwa ajili yao pia.😎

  • @happrisciousnashon6748
    @happrisciousnashon6748 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni mengi uliyonitendea ila nasema asante Yesu

  • @ericmuthama1688
    @ericmuthama1688 2 ปีที่แล้ว +18

    1 Thessalonians 5:18 - Give thanks in all circumstances for this is God's will for you in Christ Jesus.
    Nina neno moja tu: ASANTE🙏😌

  • @missionarydavidtz
    @missionarydavidtz 2 ปีที่แล้ว +3

    ASANTE YESU, AMEN.
    HALELUYA, AMEN.🙌
    Hongera sana ndugu Mwakanyamale na timu yote ya huduma. Natamka neema zaidi juu yenu.

  • @magemjachakwe2274
    @magemjachakwe2274 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU wimbo huu ni ushuhuda kwa maisha yangu

  • @lightnessemanuel1551
    @lightnessemanuel1551 2 ปีที่แล้ว

    Uliyonitendea ni mengi sanaa Mungu wangu,sina Cha kukulipa mm ,acha nikushukuru Bwana Yesu

  • @tracyjafari4023
    @tracyjafari4023 ปีที่แล้ว +10

    The arrangement of the song plus his voice are🔥🔥🔥

  • @paulsingano674
    @paulsingano674 2 ปีที่แล้ว +7

    The waiting is over

  • @macmilankivuyo1991
    @macmilankivuyo1991 ปีที่แล้ว

    Unaandika sana mkuu "GOD BLESS YOU" mda mwingine nikimshukuru Mungu wimbo huu tu unatosha. GOD BLESS YOU.

  • @DanielMarko-iv5ks
    @DanielMarko-iv5ks 23 วันที่ผ่านมา

    Huu wimbo umenipita mpaka ndani ❤ ooooooh Jesus asantee

  • @thezoelife9405
    @thezoelife9405 2 ปีที่แล้ว +14

    Heard this song in a wedding,, had to find it for myself. This is a complete blessing.

  • @IdyRubenOfficial
    @IdyRubenOfficial 2 ปีที่แล้ว +42

    I love your Courage in the ministry 🥰 Cause more artists and ministers are sleeping, they take more than a year without a New song, may God bless you,
    Wonderful Work 🔥

    • @sososool9177
      @sososool9177 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki kwa nyimbo zuru San.

  • @carenmsafiri8498
    @carenmsafiri8498 2 ปีที่แล้ว +1

    shukrani imebebwa kwenye neno moja asante 🙏🏻🙏🏻

    • @carenmsafiri8498
      @carenmsafiri8498 ปีที่แล้ว

      huku nikiamini shukurani ni sauti ya Imani 🙏🏻🙌🏼

  • @ndoolekahombo8425
    @ndoolekahombo8425 ปีที่แล้ว

    Maneno yana nikauka kinywani, mambo ambayo umeya fanya kwangu nimengi sana. Asante eh Bwana Yesu-Kristo

  • @marydaudi4788
    @marydaudi4788 2 ปีที่แล้ว +3

    Uliyonitendea Ni mengi, siwezi kuhesabu🙌. Ila Nina neno moja ASANTE🙏☺️.
    Be blessed bro..

  • @luluelias5091
    @luluelias5091 11 หลายเดือนก่อน +4

    God is happy when his children are Grateful always approach God with a Grateful heart with all that is Going In the world even listening to a beautiful song like this it is by his Grace be Grateful ❤

  • @joelnuhu_official
    @joelnuhu_official 2 ปีที่แล้ว

    Ulio nitendea nimengi Ila neno moja Asante po mungu azudi kuku Tia nguvuu

  • @loverofHS
    @loverofHS 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie katika huduma yako zaidi na zaidi. Barikiwa sana kutoka Nairobi.

  • @jacquelinejackson6124
    @jacquelinejackson6124 2 ปีที่แล้ว +5

    The back up team is🔥🔥🔥🔥 let's appreciate them for the amaizing job. May God bless you.

  • @dorothymwangangi7380
    @dorothymwangangi7380 2 ปีที่แล้ว +29

    I remember in june 2019 I could sing Mwaminifu from morning to morning crying to God when my baby was undergoing operation on his 5th day of birth. This song mwaminifu gave me hope n truth be told our God is faithful. Now this one am singing saying thankyou to God for everything n for sure namshukuru mola. Ur ministry is a blessing to my life . Shukurani🎶🎶 Mola

  • @joycemmbaga902
    @joycemmbaga902 2 ปีที่แล้ว

    Shukuraniiiiiii imebebwa kwenye neno moja Asante mpiga gitaaa huyo bonge anani bariki anavyo enjoy kipawa chake 😍

  • @deborahfaustine1501
    @deborahfaustine1501 ปีที่แล้ว

    Yesu Asante Kwa uliyonitendea ni mengi cwezi kuhesabu.

  • @tullymwakipesile2077
    @tullymwakipesile2077 2 ปีที่แล้ว +5

    Neno moja “Asante,” some of us here cant explain anything, everything is an explainable. 🎶🎵 ila nina neno moja asante 🙏🏽.

  • @jeremymontagetv8288
    @jeremymontagetv8288 2 ปีที่แล้ว +14

    🙏🙏🥺🥺🙌🙌Thank you Lord for everything you've done for me...God bless you Paul Clement you are touching souls all over the world through your music ministry🙌🇰🇪🇰🇪

  • @emmanueldastan9157
    @emmanueldastan9157 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mno mtumish wa Kristo hii wimbo ni upako juu ya upako

  • @florencemoshi3662
    @florencemoshi3662 2 ปีที่แล้ว

    Ninachojuaga huwa unaongezaga kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru Nachojuaga huwa unaongezaga zaidiiiii....

  • @dr.peterofficial6390
    @dr.peterofficial6390 2 ปีที่แล้ว +8

    Am just smiling smiling ooh Jesus you are so beautiful.
    Paul my brother you are blessed born a singer a composer a writer a minister
    Blessed more bro

  • @leahlazaro7324
    @leahlazaro7324 2 ปีที่แล้ว +8

    Imoge dei it was my miracle day,,, I can't forget this day because it was 🔥🔥🔥

  • @lizbethgeorge6433
    @lizbethgeorge6433 ปีที่แล้ว

    Huyu Mungu ni mwema sana ametenda kwangu pia 🙏🏼🙏🏼

  • @jacklinemuthio4768
    @jacklinemuthio4768 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulionitendea ni mengi sana siwezi kuhesabu ila nina neno moja ASANTE 🙌🙌

  • @boldedits5187
    @boldedits5187 2 ปีที่แล้ว +7

    The Production!!!🌟🌟🌟🙌🏾

  • @jayplatinum6522
    @jayplatinum6522 2 ปีที่แล้ว +5

    and then sam bass never disappoints on creating groove

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutumie kwa viwango vya juu,mwaka unaokuja Bwana atatanua wigo na kukuvusha mipaka zaidi ,

  • @sosuzy1980
    @sosuzy1980 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana wote waliofanikisha tukapata huu wimbo youtube

  • @JustRejoice
    @JustRejoice 2 ปีที่แล้ว +11

    I have had this one in my playlist for months now, but today it has ministered differently.

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure 2 ปีที่แล้ว +12

    Wooow God bless you so much Brother Paul Clement this is Powerful Massage Brother

  • @evakatundu1296
    @evakatundu1296 2 ปีที่แล้ว

    Mungu umenitendea mengi siwezi kuhesabu kwa Kweli Ila na kushukuru tu akuna Kama wewe Mungu good song Paul Clement

  • @user-nq7ir2ll3h
    @user-nq7ir2ll3h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hili ulilotenda kwangu mwaka huu nasema Asante sana Yesu wangu

  • @premmyhamisi4578
    @premmyhamisi4578 2 ปีที่แล้ว +4

    You are blessed my brother this is a bang "SHUKURANI" " 🎶🎶🎶🎶🎶🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🎤🎤🎤🎤🎤🎤

  • @pilimashaka387
    @pilimashaka387 2 ปีที่แล้ว +27

    For all that He has done,one word THANK YOU LORD ,,be blessed brother Paul for such a blessing song

    • @felixwasieba5177
      @felixwasieba5177 2 ปีที่แล้ว

      Shukran! Shukran paul clement kwa kazi nzuri, Mungu asante

  • @eliudmwakalibwa5040
    @eliudmwakalibwa5040 2 ปีที่แล้ว

    Blo poul hakika nimebalikiwa Sana MUNGU MWEMA akutendee mambo makubwa zaidi

  • @imbali_janeachy
    @imbali_janeachy 2 ปีที่แล้ว +29

    Ameen, listening to this song at the right time, Im crying..thinking of the battles GOD has fought for me...Thank u paul clement for this powerful song..n the voice..wooow! THANK U JESUS.. May God elevate ur ministry.

  • @justinalub896
    @justinalub896 2 ปีที่แล้ว +9

    Your Songs are something else 🙌I'm always blessed with your songs.....

  • @ibrahimmuhonda4394
    @ibrahimmuhonda4394 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo umejwa upako na neema una mguso nauskiza mara kwa mara bila kutosheka, MUNGU AKUBARIKI Sana mtumishi wa MUNGU Paul clement my mentor

  • @janethjeremiah2547
    @janethjeremiah2547 2 ปีที่แล้ว

    Nachojuaga huwa unaongezaga mtu akikushukuru....Uliyonitendea ni mengiii Asanteee bwana🙏🙏

  • @anthonykapola
    @anthonykapola 2 ปีที่แล้ว +34

    Everything is on place... What an excellent work, Paul. May God reward you. Lights ✅, Sound ✅, Music ✅, Crowd Vibe ✅... Meen and special thanks to Drummers and Groove man!!!

  • @roselinerotich6642
    @roselinerotich6642 2 ปีที่แล้ว +6

    I'm ever uplifted through your songs to the most High God. May God bless you. May Psalms 91 be yours

  • @mkundevincent-uz7qn
    @mkundevincent-uz7qn ปีที่แล้ว

    Nasema asante Mungu ulipo nitoa ni ushuhuda bwana sijui nikushukuru vipi Mungu wangu

  • @dr_tullo
    @dr_tullo 2 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥 Bless you Paul

  • @philomenamukami5214
    @philomenamukami5214 2 ปีที่แล้ว +10

    Your songs are simple but they all carry an enormous anointing.East Africa is so proud of you.

  • @sophiatobias9619
    @sophiatobias9619 2 ปีที่แล้ว +1

    Sikuwahi sema asante ya kweli lakini leo nmejikuta nikisema asante kwa machozi ni meng unenitendetea baba siwez sema sana asante asante asante asante babaaaaaaa🥺🥺🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joshuamchau
    @joshuamchau ปีที่แล้ว

    Sijui nilichewa wapi kuujua huu wimbo......God bless you Paul;and the team. I am blessed 🙌

  • @susannduku243
    @susannduku243 ปีที่แล้ว +2

    Amen...kenya is blessed by this song 🇰🇪

  • @anitahlinah4265
    @anitahlinah4265 2 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah....looking back to where God had brought me from...He is a faithful God🙏🙏🙏this is gonna be my wedding song🙏🙏