MWANZO MWISHO: Shuhudia shangwe za Wanaukara Mv. Nyerere ilivyotolewa majini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 344

  • @allyjama3552
    @allyjama3552 6 ปีที่แล้ว +117

    Watanzania kitu gani cha kufurahiya hapo?.... Watu wangapi wamepoteza maisha Yao?.. It's very sad story to see people clapping and happy, remember how many families are grieving. Sijaona cha kufurahiya hapo.

    • @michaelmmbaga1570
      @michaelmmbaga1570 6 ปีที่แล้ว +8

      Nakupa like kaka mi pia sijaona walicho chekelea apo

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 ปีที่แล้ว +6

      I was shocked to see people screaming loh! Crazy people, I think hawana uchungu wa zile grieving families

    • @iddyhamis4084
      @iddyhamis4084 6 ปีที่แล้ว +15

      Wamefurahia kwa sababu wapo watu wengi wanategemea huduma ya kivuko katika shughuli zao

    • @haliimomar1692
      @haliimomar1692 6 ปีที่แล้ว +8

      Ndio ujue watanzania mataira

    • @ummysuleiman5200
      @ummysuleiman5200 6 ปีที่แล้ว +9

      mataira kweli kweli 😤😤😤

  • @berthersylivestet1368
    @berthersylivestet1368 6 ปีที่แล้ว

    ogeleni sana jeshi letu kwa kazi na wananchi kwa ushilikiano wenu

  • @gamatajr3699
    @gamatajr3699 6 ปีที่แล้ว

    Tunasahau mara moja maafa yaliyotokea, sasa hv watu wanashangilia kuvutwa kwa kivuko. Ujinga wa kiasi gani huu!? Alafu mnao upload hz video acheni captions za kizushi tukio lile siyo movie ni janga.

  • @leamukebwe1029
    @leamukebwe1029 6 ปีที่แล้ว

    Wauuuuuuiiiii sukari hongera sana

  • @ihsayu9412
    @ihsayu9412 6 ปีที่แล้ว

    Kilicho baki, kibuko kivutwe nchi kavu kitengenezwe watu wafe tena, kwann msilete vivuko vipya, na kuiboresha sehem ya kupandia

    • @immahkobeh3929
      @immahkobeh3929 6 ปีที่แล้ว

      Duh kweli

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว

      Kama uliwahi kuiona ama kuipanda Meli ya MV. BUKOBA kabla haijazama nadhani wazo la TAFUTENI KIVUKO BORA ZAIDI ungelifuta kabisa

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 ปีที่แล้ว

    safi sana makamanda

  • @RomanEmpirG
    @RomanEmpirG 6 ปีที่แล้ว +218

    Mambo hayo kama unatoa support kwa jeshi gonga like hapa

    • @peteryusuph7085
      @peteryusuph7085 6 ปีที่แล้ว +1

      Like

    • @saidibrahim4631
      @saidibrahim4631 6 ปีที่แล้ว

      nawapa ongera jeshi letu ta tanzania

    • @davis6692
      @davis6692 6 ปีที่แล้ว +1

      Hongera???... Wakati walilala usiku mmoja hawakuokoa watu.. Wakaacha wafe tuu af et HONGERA?? unafki huo qmmke meli na binadam kwel kipi cha thaman?

  • @lucasolobiis7614
    @lucasolobiis7614 6 ปีที่แล้ว +1

    Wangetoa msaada hivi wakat wa kuokoa Maisha ya Watu ningewaona mashujaa

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 6 ปีที่แล้ว

    Panton lina LIFE RAFT LAKINI ZIMESHINDWA KUFUNGUKA AUTOMATIC MELI ILIVYOZAMA

  • @MsDarkrabbit
    @MsDarkrabbit 6 ปีที่แล้ว +9

    Wanaolaumu watu kushangilia, fikiria kama una ndugu yako amefariki na bado hujapata mwili wake. Hii ni fursa kwa wafiwa kujiridhisha. Kwa imani nyingi za kitanzania msiba bila kupata mwili unakuwa na majonzi makubwa. Kuna familia zinashinda ufukweni kusubiria labda watapata miili ya wafiwa wao. Wana kila sababu ya kufurahia kivuko kutolewa ili wapate miili ya wapendwa wao wakawapumzishe. Tujiweke kwenye nafasi zao kidogo

    • @dickgood5723
      @dickgood5723 6 ปีที่แล้ว +2

      Ukimaliza kushangilia usipoupata mwili unaoutarajia kinafuata nn? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Naendelea kuwaombea wenzetu waloondokewa na Wapendwa wao, Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Faraja, Yatima walioachwa tuungane kuwasaidia

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 ปีที่แล้ว

      Ajali inapotokea sio mwili unapopatikana mzee sasa usione hilo dude ndo lililofcha hao watu pengine hata hawapo apo wako sehemu nyingne washapelekwa namaji huezi jua

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 6 ปีที่แล้ว

    MILLARD YAO huyo alieandika kichwa cha habari arudi shule. "SHANGWE IPI HAPO. Wana Ukara wana MSIBA sio SHANGWE.

  • @juliusngala6511
    @juliusngala6511 6 ปีที่แล้ว

    mzidi kuwa pole WA Tanzania... kwani chenu ni chetu....Julius..nrb kenya

  • @aphizuramadhan7660
    @aphizuramadhan7660 6 ปีที่แล้ว

    #nikumbukumbu ambayo aitofutikak kilahc......mung zipokee lohza wajawako

  • @hassanmasoud8167
    @hassanmasoud8167 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaaaaa. Kweli. Sis wanaadamu ....wepesi wakusahau ..Mara hii tushasahau wenzetu waliopoteza maisha tunashangilia vitu ambavyo havina maana yoyote ......

    • @mcmackone1958
      @mcmackone1958 6 ปีที่แล้ว +1

      Sielewi, sijaelewa sababu inayompa mtu nguvu ya kupiga makofi na shangwe kwenye kuinua kivuko, bado nasikitika uhai wa ndugu zangu hawapo tena, msiba kama huu watu wanafurahia kivuko kuinuka?

    • @azizaabeid123
      @azizaabeid123 6 ปีที่แล้ว

      Ahhahaha

  • @karryh5338
    @karryh5338 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe wabongo bado niwashamba watu walifariki badala ya kuhuzunika wanashangilia fuck those who clap for nothing

  • @projestusmuta4712
    @projestusmuta4712 6 ปีที่แล้ว

    Ongereni kwakazi nzr tuamie hupande wa 2 MV bkb nayo tuitoe

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 6 ปีที่แล้ว +44

    Wanaume kazini, hongereni sana na poleni sana kwa kazi nzito mungu awabariki sana

    • @salmakhamis4600
      @salmakhamis4600 6 ปีที่แล้ว +2

      Alhamdulillah japo watu walibeza miundo mbinu mibovu lkn Allah amewezesha

    • @halimasaleh5705
      @halimasaleh5705 6 ปีที่แล้ว +1

      Salma Khamis c unajua tena binaadamu hawana jema

  • @mdamaniezekieli5835
    @mdamaniezekieli5835 5 ปีที่แล้ว

    unatoa habari za kijinga,yani watu wamepoteza ndugu zao halafu washangilie kutolewa kwa kivuko kwenye maji,kinasaidia nn sasa

  • @khamismohammed5466
    @khamismohammed5466 6 ปีที่แล้ว

    wenzangu mmepitikiwa mmasahau vifo vya mamia ya binadamu wenzetu?

  • @bryanjonathan6312
    @bryanjonathan6312 6 ปีที่แล้ว

    Cha kushangilia hakipo maisha ya wa2 yamepotea there is nothing to be proud of

  • @SheMndagala
    @SheMndagala 4 หลายเดือนก่อน

    Hicho kivuko hakiko sahihi,kivuko kinatakiwa kiwe kipana ndio baransi sijawahi ona kivuko chembamba hivyo

  • @kennethjohny4854
    @kennethjohny4854 6 ปีที่แล้ว

    "Eti rekodi mda"wabongo sijui tuna matatizo gani asa cha kufurahia hapo nini eti sijaelewa watu wangap wamepoteza maisha apo

  • @khamismohammed5466
    @khamismohammed5466 6 ปีที่แล้ว

    tuyathamini maisha ya binadamu wenzetu, muone jemadari wetu pamoja na mafanikio ya juhudi zake kwa uokozi wa kivuko, haonyeshi furaha 7bu nyuma yake upo msiba mzito kwa watanzania.

  • @israelmwasenga9288
    @israelmwasenga9288 6 ปีที่แล้ว

    Kama nguvu hii ingekutumika tangu awali kilipozama kivuko ingependeza zaidi kwani maisha ya Wengi yangeokolewa

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 6 ปีที่แล้ว

    kwanini msinge itoa siku hiyo hiyo, wengine wangepona. sasa eti mnafurahi ili iweje, mpande tena?

  • @bernadetharmsamba1159
    @bernadetharmsamba1159 6 ปีที่แล้ว

    Sumatra kuweni makini jamani,, tazameni roho zinazoangamia bila hatua,,, inaumwa sana

  • @joshuamkupi6893
    @joshuamkupi6893 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa wafiwa na Watanzania kwa ujumla, Pitia link hii hapa kuna wimbo was Faraja kwa watu wote
    th-cam.com/video/ZN-3poi0kZs/w-d-xo.html

  • @christianchristopher6241
    @christianchristopher6241 6 ปีที่แล้ว

    kiukwl INA penda kuonana ni jinsi gani tuna ummoja mshkamano katika hili INA pendeza ummoja wetu katika majanga kama haya tuwe na mshkamano juu ya majanga makubwa kama haya yaliyo tokea yame tokea tuache ya pite kukitoa kivuko ime onnyesha ni jinsi gani tuna weza hongereni wote mlio shiriki katika zoezi hili pongenzi Kwa wote mlio shiriki ktk zoezi zima

  • @sifaelmugitu8018
    @sifaelmugitu8018 6 ปีที่แล้ว

    Huo muda na gharama za kukinasua hicho kivuko zingeelekezwa kwa watoto yatima waliopoteza wazazi/walezi wao kwenye hiyo ajali na kuangalia watapata vipi malezi. Maana hicho kivuko sidhani kama kina thamani kama mustakabali (future) ya watoto au jamaa za marehemu waliokuwa wakuwategemea. Na sidhani kama kuna mtanzania yeyote atakayetamani kukitumia tena hicho kivuko ... bora wangekinasua kimya kimya na wakikarabati kwa kukibadilisha muundo na kukibadili jina kimya kimya pia

  • @robertalphonce2504
    @robertalphonce2504 6 ปีที่แล้ว

    wapumbavu ushabikia awajui roho za watu zimepotea why? watanzania 2nakua naroho za hajabu sana

  • @kidawaramadhan2801
    @kidawaramadhan2801 6 ปีที่แล้ว

    Eeeeee jeshi LA nawakubali sana,,shikamoni

  • @khamismohammed5466
    @khamismohammed5466 6 ปีที่แล้ว

    umekosa ubinadamu! wenzako wameondokewa na jamaa zao, wewe unapiga vigelegele kwa kuibuliwa kivuko. ama kweli dunia sasa inafika mwisho

  • @Mwakasyuka1803
    @Mwakasyuka1803 6 ปีที่แล้ว

    Gamata jr kabla hujasema hayo tafakari kwanza kwann hawa watu wanashangilia shida ni hicho kivuko ndo barabara yao ndo usafir wao Kwa maisha yao, ukisema upuuzi ww barabara kwako ipo hupiti majin ,tafadhari muweni na kauli za busara

  • @nailathabdull1317
    @nailathabdull1317 6 ปีที่แล้ว

    hivii?? kinacho wafanya mshangilie haswaa nini??? jmn watanzania ni lini tutakuwa na akilii kwa hiyo hilo lipanton ndio la muhim xn kuliko ndugu zetu wa Tanzania wenzetu kweli ht wenzetu wa nchi jirani c watatushangaa haijapita ht ck 5 tulikua tunalia leo mnashangilia hakika Tanzania u 9t

  • @matokeombugano500
    @matokeombugano500 6 ปีที่แล้ว

    Acheni dharau sasa kudharau majeshi yetu,ili mungu siku asiamue utuoneshe umhimu wao.

  • @lilianjacob6114
    @lilianjacob6114 6 ปีที่แล้ว

    watu tuliopoteza ni zaidi yaiyo fel mnayoishangilia nibora nayenyewe ingepotea kama ndugu zangu nawaliokuwa wanashangilia nais awajaguswa kwani aliyeguswa naamin awezi shangilia

  • @charlesedward88
    @charlesedward88 6 ปีที่แล้ว

    tuzid kudumisha amani and upendo tuwaombee dugu ztu walio tutaguliya mbele za haki hakika mbele yao nyuma ytu mugu awalaze mahali pema peponi

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 ปีที่แล้ว

    Ayo Tv asante kwa ubora wa picha kwakweli umepiga hatua.

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 6 ปีที่แล้ว +9

    Asante Mungu. Hongereni sana sana kwa juhudi kubwa mlioifanya, Mungu mwenyewe awabariki

    • @geofreysolomon8532
      @geofreysolomon8532 6 ปีที่แล้ว +1

      Mungu amebariki nini asee...😂

    • @davis6692
      @davis6692 6 ปีที่แล้ว

      Juhudi kubwa wakat usiku ilipozama walilala wakaacha kuokoa watu🤔🤔🤔

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mbaaali ukiangalia vizuri utaona wengi kama sio wote walioingia ziwani kushiriki zoezi wamevaa life jacket. Ilishindikana awali, lakini sasa hii timu ya uopoaji kivuko wote wana life jacket. Basi iwe ni sheria kila anayepanda kivuko ni lazima awe na life jacket. Ikishindikana ni bora tubebe tube za gari tu huenda zikasaidia lolote likitokea

  • @barakaamosi2369
    @barakaamosi2369 6 ปีที่แล้ว

    kakaza huku kalegeza huku atakae tafsiri ndo ataelewa

  • @mndigaboy2534
    @mndigaboy2534 6 ปีที่แล้ว

    yan watanzania bana yani mnacho kishangilia apo me skioni yan mwashanglia mavyuma yakitolewa majini wkat uwo msaada ungetakiwa kabla maafa ayaja eneya alf Leo mwajashanglia mavyuma yakitolewa jmn shitukeni sasa kumekucha Aaah mwaniboaaaa

  • @adamkaita3009
    @adamkaita3009 6 ปีที่แล้ว +1

    hivi nyie akili zenu timamu kweli hicho kivuko hata kikiopolewa hakina faida tena kimeua watu kibao halafu mnashangilia ujinga ingekua amri yangu hicho kivuko ni marufuku kwa matumizi ya kubeba abiria huo ni uchuro kushangilia kitu ambacho kimepoteza roho za watu wengi.

  • @angelamndolwa1927
    @angelamndolwa1927 6 ปีที่แล้ว

    Aisee kwel hcho kivuko nikidogo kwakwel

  • @shemsakiobya6146
    @shemsakiobya6146 6 ปีที่แล้ว

    We kichaa sana shangwe ya nini limeua watu we mjinga haujui watu wanauzunika

  • @lucylameck8580
    @lucylameck8580 6 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mlishindwa kufanya kazi hiyo kwa watu waliokuwa humo Leo hii mnakesha kwa ajiri ya kugeuza vyuma hivyo. Hata taa hazizimi tena

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 6 ปีที่แล้ว

    Safff jesh LA wananch kwa kufanikisha hil

  • @rbomnyangekimelo6133
    @rbomnyangekimelo6133 6 ปีที่แล้ว

    Mbwembwe nyingi kibao mmeshindwa kuokoa watu mnaokoa kivuko mnazingua mjue

  • @pascalpembamoto8172
    @pascalpembamoto8172 6 ปีที่แล้ว +1

    Dogo kamera yako nzuri tunatazama vizuri, jeshi kweli wanahuruma na wananchi wao, naliheshimu jeshi letu nawaheshimu sana waliookoa watu 40 ,jeshi lingekuwepo karibu wangeokolewa wengi.

  • @salmadonne6327
    @salmadonne6327 6 ปีที่แล้ว

    Kha maskini watu wanachekelea wanaumia ni wale waliopoteza ndugu jamaa na marafiki uwiii

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 6 ปีที่แล้ว

    litoeni nchi kavu mlitupie njiti.

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana wote walifanikisha kukiinua kivuko chetu mungu awap nguvu zaidi amen

  • @mapachawatatuvideoproducti3285
    @mapachawatatuvideoproducti3285 6 ปีที่แล้ว +1

    Nawapa pongezi jeshi letu

  • @حميورمضان
    @حميورمضان 6 ปีที่แล้ว

    Yaan kazi kubwa iyo baraaa kunasua MV nyerere

  • @rogerkemibala4328
    @rogerkemibala4328 6 ปีที่แล้ว

    Hongera walio husika

  • @romanomlanda655
    @romanomlanda655 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana kwa kufanikiwa kukiinua

  • @ikramsafnes3019
    @ikramsafnes3019 6 ปีที่แล้ว

    NYIE MLIO DISLIKE MNAMATATIZO YA AKILI

  • @vivianlenard3618
    @vivianlenard3618 6 ปีที่แล้ว +2

    eti mungu mkubwa, yani nyie mungu mkubwa meli kugeuzwa na baada ya kuuwa watu. mi lingeharibika tuu

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว

      Kilichoua ni kivuko ama ni huyo kapteni mzembe na asiyejitambua pia wasimamizi wote wa hicho kivuko?

  • @JoyceGeorge-qv4ck
    @JoyceGeorge-qv4ck 6 ปีที่แล้ว

    said malala umeona eeh!

  • @lilianjacob6114
    @lilianjacob6114 6 ปีที่แล้ว

    sitamani atakuiyona tena dhu!

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 6 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @rehematawalani7472
    @rehematawalani7472 6 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah
    Alhamdulillah
    Zetu ni du'aa Allah afanye wepesi

  • @shawaribakari1226
    @shawaribakari1226 6 ปีที่แล้ว

    Wamesahau na majangaa juziii wa tz bhnaa

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 ปีที่แล้ว +8

    Dah yaani hongereni sana kwa kazi kubwa mliyoifanya

  • @matumizitonny1841
    @matumizitonny1841 6 ปีที่แล้ว

    Hongela sana jeshi letu

  • @abdulykariim7565
    @abdulykariim7565 6 ปีที่แล้ว +1

    Baada kufurahia wa2 wakiwa ...mhhhhhh

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana wahusika Mungu awabariki mmepambana💪💪

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mwema mnastahili pongezi wapendwa

  • @dianarenard5853
    @dianarenard5853 6 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwaongoza

  • @vedastinavedasto888
    @vedastinavedasto888 6 ปีที่แล้ว

    Hao ndo watanzania.... wameshasahau machung ya vifo vya ndugu zet wanafurahia kvuko....inackitish ety

  • @annamoshi4395
    @annamoshi4395 6 ปีที่แล้ว +1

    nakupokeza kwa kazi nzuri hongrreni

  • @elietheligiuselieth5464
    @elietheligiuselieth5464 3 ปีที่แล้ว

    Ooooo

  • @hashuuzumber5057
    @hashuuzumber5057 6 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awatangulie kwa kila hatua

  • @RichFeelingsForex
    @RichFeelingsForex 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwaminifu. Pongezi kwa jeshi pia

  • @husseinbaliza6729
    @husseinbaliza6729 6 ปีที่แล้ว

    Twawapa ongela jamani

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 6 ปีที่แล้ว +28

    Gonga like wa kwanza kuangalia na ku comment

  • @tatumursadi6401
    @tatumursadi6401 6 ปีที่แล้ว

    asilei

  • @elisanjichanyange5485
    @elisanjichanyange5485 6 ปีที่แล้ว

    Amen mbarikiwe

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 6 ปีที่แล้ว

    hongereni aiseeeee

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 6 ปีที่แล้ว

    Wekeni mazingira rafiki ya kudumu sio mnajipongeza tu tena kwa kujisifu kuwa Kazi nzuri wakati tumepoteza mamia ya watu hapo.... Mie binafsi nasikitika tu badala ya Kuweka wanamaji kwenye bahari na maziwa eti mpk majanga ndo akili ifunguke..... Mazingira rafiki huokoa watu na Mali zao dhidi ya vifo vilivyo vya lazima.
    Mwambieni Yule jamaa alieamlisha watu wakalale na kusitisha Lile zoezi kuwa aachane na akili Za kushikiwa...... HIVI BADO YUPO OFISINI EEEE????

  • @haliimomar1692
    @haliimomar1692 6 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kivuko ni kutupa tuu kitengewe nini Sasa kiwekeni kama kumbukumbu Huko mesium
    Na mulete Vivuko bora
    Nendeni kenya ferry mukajionee vivuko

    • @ifozatv2513
      @ifozatv2513 6 ปีที่แล้ว +1

      Daa ipa watanzaniA tuna akili za madafu,hizo jitiada zilizo fanyika hapo,zingekuwa za kusaidia watu wasife kwa ajali ya hilo pantoni basi ningeipongeza serikal pamoja na jeshi.ilaaah..

    • @haliimomar1692
      @haliimomar1692 6 ปีที่แล้ว

      @@ifozatv2513 waambile wasikile

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 ปีที่แล้ว

    Mie sina hamu nacho kimetuulia ndugu zetu letupeni tyu hiro Panton staki ata kuliona

    • @jumaamrisho8235
      @jumaamrisho8235 6 ปีที่แล้ว

      mungu ndo mpangaji ndugu yangu wala sio kivuko

  • @neemamrema1705
    @neemamrema1705 6 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 6 ปีที่แล้ว +1

    Shangwe za kazi gani dude lenyewe limepoteza watu walichome moto

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 ปีที่แล้ว

    Bado muko n 1

  • @justineelius4972
    @justineelius4972 6 ปีที่แล้ว

    hongeleni sana jeshi letu la tz pia hongeleni sana AYO TV kwa update zenu za uwakika mungu azidi kuwapa nguvu na afya njema ili mzidi kutupa habari za uwakika masaa 24. BIG UP BROTHER MILLADIAYO salute kwako kaka👏👏👏👏👏👋

  • @agnesteacher7036
    @agnesteacher7036 6 ปีที่แล้ว

    Ni week sasa hatuna ndg zetu bt naishukuru serikali kwa kukuinua kivuko hicho RIP my family from Ukerewe

  • @alexjosephat9030
    @alexjosephat9030 6 ปีที่แล้ว

    Acheni Matusi, Shangwe??? Au kwa vile hujafiwa eti. Watu wamebaki yatima. Watu wengine bhna

  • @mazoniutah4742
    @mazoniutah4742 6 ปีที่แล้ว

    Ili maisha yaendelee lazima wengine wakosee ili wengine wapate pongezi... Akhsante mungu na serikali yetu

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 6 ปีที่แล้ว

    duuh hiyo boat iloandikwa CHATU inaonekana imepiga sana kaz ma'ake nimeiona kila clip tokea uokoaji. hongereni kwa kaz nzuri

  • @stevenjackson1582
    @stevenjackson1582 6 ปีที่แล้ว

    Daaaa hongera saasaana jeshi letu LA Tanzania na vyombo vingine vyote vilivyoshiriki kufikia hatua hiyo kwani itasaidia pia kujua chanzo hasa ninini

  • @umturki5093
    @umturki5093 6 ปีที่แล้ว

    Wamifurahi kivuko kugeuzwa lkn wenzao walopoteza watu wao wanaumia usku na mchana ovyo kabisa pumbavu zenu nye wte

  • @mshiriwaya5704
    @mshiriwaya5704 6 ปีที่แล้ว

    Hichi chombo hakifai kutumika tena kikae tu kama kumbukumbu. Wa tanzania yafaa kununuliwa chombo Chengine cha kuvukia.

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa na watu wamekufa wengi hivyo hicho kivuko kina kaz gani tena eti watu wanashangilia kabisa

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 ปีที่แล้ว +1

      kha kwan kina ttzo gani bas na huo mto uondoeni hapo

    • @justinefunde2770
      @justinefunde2770 6 ปีที่แล้ว +1

      Kwan we hujawah ona nyumba imewaka moto ikakarabatiwa na watu wakarud kish tena????kipi cha ajab kwa hcho kivuko kufanyiwa matengenezo na kikaendelea na kaz??

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 ปีที่แล้ว +1

      +Justine Funde kama kivuko kina ttzo bas hata mto nao waususie

    • @justinefunde2770
      @justinefunde2770 6 ปีที่แล้ว

      @@destiny4life439 we subr kikarabatiwe kianze kaz watatumia tu hawawez kususa. Ile ni ajar ishatokea haiwez kufanya maisha mengne yasiende mbele

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว

      Wahenga walisema EVERYTHING TOO MUCH IS HARMFUL .... Ukianza KUPINGA KILA KITU hatimaye utafikia hatua ya KUJIPINGA MWENYEWE ...
      Inashangaza kutambua kuwa pana Watanzania waliomba USIKU na MCHANA kivuko hicho kibakie kama kilivyopinduka ama kizame na kupotea kabisa ... SO SAD

  • @amenashel6473
    @amenashel6473 6 ปีที่แล้ว

    Duuh juhudi zingefnyik siku ile ya kwanza hivi nyie unajuwa hii juhusi ya kukiinuwa imefanyika siku ngapi?
    akili. zenu zinawaza ile siku hii juhudi ingewezekana kweli kwa ? yaani akili ni. nywele kila mtu. anazake binaadam hatukosi la kulaumu
    kila nafsi itaonja mauti hi ajali ilikua tu. sababu ila wakati wao ndio huo. umefika tuwaombee dua tuliobaki tujiandae hatujui zetu kama zitatolewa tukiwa sehem. gani

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 ปีที่แล้ว

    Majanga

  • @joyceamsi6396
    @joyceamsi6396 6 ปีที่แล้ว

    Waoooo God be the glory, na MV Bukoba nayo itolewe pale ilipozama.

  • @وليدعلي-ظ3د
    @وليدعلي-ظ3د 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu azidi kuwapa nguvu mfankishe salam amiin

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 6 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri imefanywa na wenzetu wa jeshi lkn lazima tukubali aina hii ya uokoaji ni ya kizamani sana kuvutwa na bulldoser,tushukuru ilikuwa jirani na nchi kavu je ingekuwa kimezamia mbali kidogo na nchi kavu kingenyanyuka leo kweli jamani ajali kwa vyombo vya usafiri iwe angani,barabarani na majini zipo tu iwe kwa bahati mbaya au kwa uzembe tujitahidi kuwa na vifaa vya kisasa vya uokoaji wa haraka watu mia mbili sio mchezo kupotea kwa mara moja Mungu awarehemu.