Muheshimiwa kawambwa mungu akuongezee siku za kuishi hapa duniani kwa kuwasamehe wote walio tweza utu na heshima yako. Heri wenye kusamehe maana wataurithi ufalme wa mungu.
Nyinyi munajifanya hii nchi ni yenu peke yenu CCM hamujui kwamba kila mtu ana haki katika nchi hii kuweni na ustaarabu wa kuongea Dt Kawambwa ni Mstaarabu hana ujinga na mtu kama wajinga wengine

Aibu sana mlijifanya Mwamba kumbe mavi yachungulia Chupi.
Uumgwana ni vitendo mmefanya vizuri kuomba radhi na Mungu atawabariki
Dunia inaenda kwa kasi sana😅😂😂
Hawa wapuuzi walitakiwa wafungwe ili wajifunze
Nyinyi munajifanya hii nchi ni yenu peke yenu CCM hamujui kwamba kila mtu ana haki katika nchi hii kuweni na ustaarabu wa kuongea Dt Kawambwa ni Mstaarabu hana ujinga na mtu kama wajinga wengine
Mmefanya jambo jema la kiungwana