UZURI WA HISTORIA YA MJI WA BAGAMOYO TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 14

  • @Ba63828
    @Ba63828 9 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa kutugàwia historia muhimu. Kichwa chako kina skull zaidi ya vitabu. Ukiandika kiatabu utasaidia sana.

  • @issaismail6153
    @issaismail6153 หลายเดือนก่อน

    Anajua sana history ya bagamoyo

  • @user-tr7xk6bk4x
    @user-tr7xk6bk4x 3 หลายเดือนก่อน

    Iko Pwani mkuu

  • @machetebogota4218
    @machetebogota4218 ปีที่แล้ว +1

    MashallAh Tanzania ina vivutio vingi Sana tuleteeni na history ya kule kilwa

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 ปีที่แล้ว

      Ila waarabu ndugu zetu walikuwa washenzi Sana kwa ndugu zetu Mie mndengereko Leo najikuta nipo Zanzibar kumbe babu zetu waliletwa kwa utumwa uku Allah awalaani wote wakifanya unyanyasaji huo na awaangamize zaidi na zaidi Aamin ya Rabbil a alamin

    • @fatmasalim8293
      @fatmasalim8293 ปีที่แล้ว +1

      Warabu ndio ulowaita washenzi Lakin I wazungu ndio mabwana zenu warabu wawasaidia kwa kila kitu mpumbavu wewe mungu akulani wewe usokuwa na kheri

    • @user-ll8fv2xt9n
      @user-ll8fv2xt9n 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@machetebogota4218soma historia na ufahamu pamoja na kujifahamu vizuri, na sio usome kama kasuku kwa kupelekwapelekwa na fikra za mtu, ipe akili yako uhuru wa kufahamu ukisimacho na sio ukisikiacho kaka

    • @HadijaRajabu-pr9di
      @HadijaRajabu-pr9di หลายเดือนก่อน

      Na munavyo tukataa Watanganyika munataka muungano uvunjike. ​@@machetebogota4218

    • @HadijaRajabu-pr9di
      @HadijaRajabu-pr9di หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmasalim8293Hakuna Mwarabu mwema na wala hakuna mzungu mwema na huyo Mwarabu asi leo biashara ya utumwa bado anafanya.

  • @dean314videos9
    @dean314videos9 11 หลายเดือนก่อน

    Is it possible you can put this video in English?

  • @HadijaRajabu-pr9di
    @HadijaRajabu-pr9di หลายเดือนก่อน

    Mbona wazaramo wanasema neno Bagamoyo limetokana na wao?.

  • @rehemafungo7387
    @rehemafungo7387 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa anayetaka kufika,inapatikana wapi ?