BABA NANDY: "WALIMPIGA TEKE... MPAKA LEO SIITAKI VIDEO YAKE NA BILLNASS"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
- Wazazi wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ndio wameitambulisha ngoma mpya ya Nandy iitwayo 'hazipo' ambapo walifanya Exclusive Interview na millardayo na kuongea mengi, moja ya matamanio ya Watanzania wengi pia ni kuhusu kutaka kufahamu mtazamo wa Wazazi hawa kuhusu ile video ya Nandy na Billnass iliyovuja kwenye mitandao wakiwa mapenzini.
Supportive parents ❤️
Lovely, lovely parents.
Baba ana hekima
Huwezi kumuhoji hilo swali kama mzazi lazima tu ilimkosti
Mtangazaji huna adabu hata kidogo ivi ingekua wazazi wako ungejoji Hilo swali ebu iliza vitu vyamsongi
Good... Kaka Millard
Hawa wazazi nmewapenda Bure jaman
Mtangazaji Miliki Ekima Nasio Pesa Za TH-cam
Ni kitu Gani kilichotokea?????Kwani wanahabari wa TZ kuweni professional angalau...Buree Kabisa nyinyi
After watching this interview, Sijui what baba Nandy thought about the second wedding outfit hahahaa
Jamanii😂😂😂 we nayeee ila ile nguooo mhhhhh
Yaani hata Mimi nimerudi kuisikiliza hii interview baada ya nguo ya pili ya usiku wa arusi ....looh
Mungu wa mbinguni awatie nguvu
Yani hivi nyinyi wanahabari was Tz mlisomea shule gani? hivi ni swale gani hill Lila kituo mwahoji wazazi was Nandy kuhusu vidio ya chupi engekuwa ni wewe ndo mzazi waNancy ungesikiaje hapu elimikeni kwani hivi watanzania mlikoloniziwa na wakina nani MNA raic mzuri kweli BT wengi wenu mmazumbu kuku samahani kama nimewakwaza bt badilikeni majirani.
Wewe jirani ndiyo kuma kweli wewe.
Nini ulichokiandika hapa?
Bull shiit & fuck you.
Sawa
Ht mm ninogeshe naipenda sana
Mmh eti kalelewa vizuri huyo ! anakaa uchi mpaka harusini kwenye umati wa watu basi hayo maadili yake kwetu hayapo ,
Please you could not ask this question
Maskini!
Mmmh swal la kumuuliza mzaz hilo😳😳😳
Yani mwamposa kamuombea namdi kwaajili ya kutoa muziki imekaaje hiyo
Muziki ndio kalama pekee inayotoka Kwa Mungu ambayo ipo Kwa ajiri ya kumkomoa shetani
@@oscarmario466 😂😂😂
Video ya uchi ya Nandy
Mmmmm wakat iyo nyimbo yaasaiv chupi tupu
Bro hili swali mbona haliwafai hawa wazee na haifai hata kukumbushia aibu naona mimi
😫😫
Waadishi wa kibongo shida kuhoji wazazi wa watu jmni huna hta hayaa
Had machoz yananilenga maish ya usanii syo kabisa
Nandy kafanana na baba yake kwenye mdomo
Millard kmb na ww unaupuuzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@naveenpatrick3748 😁😁
Uyo syo baba ake
Tuonyeshe baba yake unayemjua ww mwanaizaya
Sawa baba mzazi tumekuelewa 😂😂
🤣🤣
Uongo
Ni babako??
m.th-cam.com/video/3V4Ze5STZRQ/w-d-xo.html
🎥 official video Jay ropeman call me jay - TH-cam
unyesha upendo tembelea na pande izi