mbali na kujituma Kwako, urembo wako pia umechangia ufanikiwe.....wasichana wengi warembo hawapendi kujishusha wala kufanya kazi wakitegemea uzuri wao tu, mwisho wa siku wanaishia kuchezewa
Shilole hapa unasema unataka marafiki wa kukufanya uwe na akili ya uchangamfu, siyo wanataka mwende klabu na mitoko ya daily, eti siyo maisha uliyochagua lakini kwa sasa inaonekana ndo maisha unayoishi mara baada ya kutemana na Mziwandah.
Nmekuja kuicheki Leo 2024, February..Baada ya kuona shishi kapost kweny IG page yake.... Hongera Sana Shishi, Maan halisi ya Mwanamke mpambanaji🎉🎉
Alikuwa mwembamba mzuri kwelii… unene mbaya haswaa 😂
We acha tu
@@Ryanzabron yaani mi ndo naangalia leo hii tar 14/6/2024 daaah nawaza sana, Shishi mwili huu ungei maintain jamanii ungeuwaaa
Mi leo ndo naona 21
Kama na wew hii historia imekufundisha kitu gonga like👍twende sawa
Mwanamke akiwa na watoto ambao wanamtegemea yeye lazima awe jasiri kama shilole😊😊 nawapenda wakina mama wote
Bongo Covers nikwli
Bongo Covers nikweli
Shukran kaka ake kwa niaba ya wanawak
Asante
Ahsante sana kaka
Very inspirational, from what you went through, to who your today. WEWE NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA WA KIKE NA KIUME. Hongera Shishi
wow!! 👏👏it's soo encouraging..... ukifanya kazi kwa bidii, Mungu anakuinua...... ubarikiwe sana shilole 💐💐❤❤😘😘
Kwel maisha ni kujituma leo 2019 umepiga hatua Mungu ndo muweza wa yote
Hongera sana Shilole kwa historia yako nzuri, hakika umepitia kwenye changamoto nyingi za maisha. Mungu akubariki sana lakini unajitambua sana
Sister shilole nakuaminia sana dada , piga kazi team shilole babee
Safiiiii sana role mod wa wadada wanaojitambua
iko sawa sana ,ni story ya vijana wa tz kuifata ,hadikufikia ndoto zetu ni safarindefu sana ,ahsante sana kaka millard ayo
a hard working woman always lazma afanikiwe.,nakupenda sana shilole yan
Mungu amekubariki shilole nami napitia majaribu hayo Dada angu
Ingependeza wengine waige au wajifunze kuhoji kama Millad, big up brother.
Anajua sana huyu @millad
Mfano mzuri kwa wanawake,shilole i respect you,God bless you and the work of your hands.
mbali na kujituma Kwako, urembo wako pia umechangia ufanikiwe.....wasichana wengi warembo hawapendi kujishusha wala kufanya kazi wakitegemea uzuri wao tu, mwisho wa siku wanaishia kuchezewa
Nimeicheki leo umenifunza kit my 2024 ❤
Ayo .... I was disappointed not to hear the whole story, she is an inspiration.I. love her work more if she came all this long .
your the best women ever seen....shilole may the almighty GOD shower his blessings upon you.
Duh wanyamwezi kwangumi nooooma kama unakubaliana na hilo like hapa
Ndio namsikia kwa mara ya kwanza, I'm sold.
Same here
Nakupendaga sana we dadaa 💮💯
Milad ayo big up kaka kwa kzi nzuri
Hakuna msanii wakike komando kama shilole
Mmh dada hongera
2011 mwishoni nilikutana na shilole na queen darlin hakika walikuwa simple sanaa na walikuwa hawana ubaguzi
Nakupenda sana shishi hongera sana umepitia mbali unajiamini Yaani nimekuelewa natamani kuongea nawe Zaidi km hutojali
it teach us more shilole always life without pass in difficult place is not life
Hongerah saba Shilole. Today is 2024, uko mbali. Ni binti wa luogwa.
I like this girl Shilole😍
Luv her life story
juma hatibu me too
Nakupenda sasa Dada hangu shilole hongera sana kwa ujasir ulonao
upo vizuri shilole nakupenda bure
Ray hajakungonga kweki
Hongera Sana shilole kwa kuonyesha ujasiri wa kimaisha
Wallah interview za wabongo czipendi hata kdg ila story ya shilole nimeipenda sana very inspirational
Da shilole nakupenda bule
congratulate my daer blessing u for all work! love u mmwaaaaaaaaaaaaaa!
Hivi shishi yule baba mwenye nyumba aliyekusamehe kodi ya nyumba umewahi kumshukuru kwa chochote?
Shilole karikuwa karembo jamanini 😘😍😍
Shilole hapa unasema unataka marafiki wa kukufanya uwe na akili ya uchangamfu, siyo wanataka mwende klabu na mitoko ya daily, eti siyo maisha uliyochagua lakini kwa sasa inaonekana ndo maisha unayoishi mara baada ya kutemana na Mziwandah.
dats awesome interview
Thanks Millard
Ila Zuwena mashine yako ishatumika sana MashaAllah
😍😍😍😍😘😘😘 nakupenda bure ❤️ shilolee
Kumbe wewe bouncer hutaki mchezo nimekupenda sana shishi your like me but wewe ni shujaa
Leo July 2024
hongera shishi mungu akuzidishie.
nakupend shish bebi hakuna ambacho unanpag moyo kam uchesh wako tu na uchapakazi.kaz na malengo
Shilole Allah azidi kukuinua zaidi
Much love
millard yeye anauliza tu 'mwaka gani hiyo"
that lady is beautiful
Namlaumu Sana mwanaume aliykuach mwanamk mweny akili I love you shishi
I love you shishi I'm proud of you,keep going my sisy we're together
Nakupenda San
I always loved her now I know why
nice interview
jaman nimempenda bure shishi
naomba mnisaidie namba yake,shilole anamoyo anaweza nisaidia
na mm pia napenda kuimba,na ninajua
Shilole Shilole, sio kila mtu anaeweza kujishootia video....
Dd shishii waoooo
2023 boom youtube reccomended it after 7yrs
Love you shishi
Hongera sana
Shishi.nakupenda.san.kwasababu.wew.nimwanamuke.wakujitum
Tunao angalia Tena hii interview 2024 tujuane
Safi Sana shishi
Nakupendaa my xhilolee
Shirole asate mwanamke nikujituma siyo umalaya mwenyezi mungu awe nashirole uriyapitiya sayangu
impressive
Una bidii sana
Kembamba ila sauti yake aipote aipotei ongera sana dadang.pambana safari bado
safi dada yetu
Nakupenda shishi
Hongera
Daaaahhhh unanifanya nizidi kujituma shish
hongera shishi
kumbe umepitia mazito hiv daaah poule saana
Hii nzuri
shilole nakupenda
Upambanaji huku anza leo💛💛💛
Nani anaicheki hii 2021 to 2022
waooo it's nice story!
Unaongea vizuri waoooo
Nakupenda xana ww dada
shishi nakupenda xana my sicter
Millard Ayo nakukubali
Millard oyee wewe niku uliz mwaka gani Sasa hhhh
♥️♥️♥️
Nimekupenda sana shish, wewe ni jasili sana
👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
Duuh shilole umetoka mbali san mungu wangu unamkumbuka huyo mwenye nyumba alie kustir eey
so interesting
Hongera dada namba namba zako
Naomba no.yako da shilole
love u shishi baby
Big up ss,wengi wamepitia life hilo though not open cz not yet successful enough,ongera sana mama,yote yanawezekana Kwa imani na Kwa malengo.
,nakupenda bure
Maiaha,pole pole ni mwendo
nakuona mwaya pole sana na msiba was mzazi mwenza
Ni ka zurii hivi kumbe jamani
😀😀Wanyamwezi hatuchezewi hovyo tunatandika c mchezo ukileta ubishi ohooo
Ongera xana mama
2021
Mungu ari nishidania namiye sinasha yoyote
Unakunywa bia? Hapana cnywi pombe. ila mzuri MashaAllah
Nakupenda lakini hio miaka unanichanganya shish
Gòod
good story penda shishi