GPS: KENYA kutikitiswa na MAANDAMANO ya SIKU 7 kupinga Muswada wa Fedha, RUTO awakubali Gen Z

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 246

  • @michaeljuma7764
    @michaeljuma7764 6 วันที่ผ่านมา +10

    Aaiiiiseeee dj sma ni mwenyeji uku kwa kweli

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d 5 วันที่ผ่านมา +1

    Masha'a Allah. Mie pia nimejifunza Umachanic 2004 pale King'orani Majengo nimefanya kazi ya ufundi hapo hapo. Nimeishi Kisauni Mishomoroni. Nimeoa Ukambani kule kitui. Mbaka sasa nipo nyumbani kidogo Bukoba Tz

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 6 วันที่ผ่านมา +8

    Sma sai hakuna kiungozi wa kisiasa anatuunga mkono tumeshikana mkono sisi vijana na hatutauziwa uoga....

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 6 วันที่ผ่านมา +8

    Vijana wa Tanzania wapo busy na umbea wa Mangikimambi huna cha kuwambia kuhusu umbea kuhusu kudai haki wao wanawachia majirani ze2

    • @amsiabbas3809
      @amsiabbas3809 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 6 วันที่ผ่านมา +21

    Nipo Nairobi
    Awa jamaa hawana mchezo Yaani adi sisi wageni tunalazimishwa kuingia mtaani bila ivyo haufanyi biashara zako

    • @JOHNINSURANCE
      @JOHNINSURANCE 6 วันที่ผ่านมา +2

      😀😀 wako serious jamaa

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 2 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂iyo ndiyo kenya kuwa mvumilivu

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 6 วันที่ผ่านมา +4

    THANKS MY SON .❤ UMESAHAU SHULE ILIOKO KARIBU NA NYALI NI ALIDINA

  • @salama1113
    @salama1113 6 วันที่ผ่านมา +12

    Sana wakenya majasiri sio cc wabongo 😂😂😂

    • @svt3
      @svt3 6 วันที่ผ่านมา +3

      @salama1113: ila wabongo wanasifa zao za umbea na kusifia rais anaupiga mwingi

    • @salimhassan3369
      @salimhassan3369 6 วันที่ผ่านมา +2

      Musiombe mpaka viongozi kama wakenya kiatu usicho kivaa ukijui udhani wake...Shkuru sana kutokua na ukabila

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sisi ni wanafiki na machawa pro

    • @svt3
      @svt3 6 วันที่ผ่านมา

      @@salimhassan3369 sasa ukabila unatokea wapi hapo? Kila mwana inchi iko na haki ya ku andamana kupinga maelekezo ya viongozi zinapokuwa za ku nyanyapaa, au wanapo weka sheria zisizo faa, wanaichi kupaza sauti ni haki yao

    • @salama1113
      @salama1113 5 วันที่ผ่านมา

      @@KassimAlly-xp4dz tena hawa wenye himedia

  • @goodluckmwamboneke5591
    @goodluckmwamboneke5591 5 วันที่ผ่านมา +1

    My name is Goodluck nicholaus-I'm watching sns from Washington state u.s i love u guys good show sky, na umepata vichwa vyakwel ambao wanajua wanavyo viongea, ali,sma and Henry i appreciate u guys👏🔥

  • @abubakarabuero5137
    @abubakarabuero5137 6 วันที่ผ่านมา +8

    Ali masubi risasi wanazotumia zinaua raia acha kusema hazina madhara sisi wakenya ndio tunajua

  • @hoseakamau2480
    @hoseakamau2480 6 วันที่ผ่านมา +6

    SNS tunakuelewa sana kutoka kenya

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 5 วันที่ผ่านมา +2

    Daaaaah Ally masudi kaongea vizuri sana kuusu ajira jmniiiiiiiiii serikali ingeweza kutengeza viwanda vingi vijana wapate ajira tatizo la ajira kingepungua kwakweli 😢😢😢
    Mwenda zake alikua na nia nzuri sana ya kuendeleza viwanda ila ndio ivyo tena alale salama shujaa wetu 😢😢💔

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 6 วันที่ผ่านมา +4

    Tatizo wa Tanzania kwenye mambo kitaifa, tuna kubali kupotoshwa na kugawanywa kwa maslahi ya vyama vya kisiasa hususan CCM. Ifike hatua na sisi tuungane tusitangulize maslah ya vyama. Utaifa kwanza vyama baadae

    • @user-eo4bl3do8k
      @user-eo4bl3do8k 6 วันที่ผ่านมา

      WATANGANYIKA NA WATANZANIA KWA UJUMLA HAWATAZAMI MASLAHI YA TAIFA HUWA WANAANGLIA UCHAMA HUO NDIO UJINGA WA WATANZANIA,,KUMBUKA MABADILIKO YA KATIBA YA WARIOBA MITANZANIA MINGI YALITEKWA NA MA CCM WAKAUHARIBU ULE MCHAKATO,,NI JAMBO LA KUSIKITISHA ,,HII NCHI YETU TANZANIA IKO MBALI KUPIGA HATUA YA MAENDELEO KWASABABU HII NCHI IMETEKWA NA MAJIZI NA MILARUSHWA NA INALINDWA NA KATIBA MBOVU INAYOTETEWA NA MA CCM ,,,IKO SIKU WATANZANIA WATAJITAMBUWA

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 6 วันที่ผ่านมา +10

    Huyu kijana wa yellow hii mada hajaelewa kabisa,kwanza hajui Gen z na millennials ni tofauti

    • @abdikadirchief8706
      @abdikadirchief8706 6 วันที่ผ่านมา

      Kweli yako, maybe ametumwa na Ruto 😂

    • @saidahj2543
      @saidahj2543 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@abdikadirchief8706namuonaaaa

    • @kassiannyamba805
      @kassiannyamba805 วันที่ผ่านมา

      😂

  • @rajdaboy
    @rajdaboy 6 วันที่ผ่านมา +7

    Nafatilia nikiwa apa Nairobi Kenya. Ni kunoma

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 6 วันที่ผ่านมา +6

    Samahani sana wazee, mbona amuongelei nchi yetu tz, maana huko ndio kuna mautumbo ya ajabu mno kuliko hata kenya

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m 6 วันที่ผ่านมา +4

      Huku TANZANIA ukipinga serikali unawekewa vikwazo na hyo channel utaambiwa haijasajiliwa kwahy unafunguliwa mashitaka

    • @svt3
      @svt3 6 วันที่ผ่านมา +1

      Tz hakuna uhuru wa kukosowa serikali ndio sababu wanaogopa inayo kubalika Tz no kumusifia Rais ameupiga mwingi ila ukikosowa utapotezwa

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 6 วันที่ผ่านมา +2

      Tanzania uhuru wa maoni bado haupo.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา +2

      Nafikiri wewe huishi Tanzania ndio maana huijui Tanzania. Wewe kama wewe jaribu kuongelea hadharani uovu uliopo serikalini Tanzania kama hatujasikia umetekwa na watu wasiojulikana

    • @athumanisudi891
      @athumanisudi891 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hauthubutu kuongelea uovu wa tz kama ukithubutu Unapotezwa wataendelea kuongelea siasa za nje tu

  • @chande2k250
    @chande2k250 6 วันที่ผ่านมา +12

    Dj sma funguka tu sema TZ tumebarikiwa kizazi cha machawa na kucfia kila jambo

    • @allyseba172
      @allyseba172 6 วันที่ผ่านมา +4

      Ume sema kwel tz n mwendo wa kusfia

    • @salimhassan3369
      @salimhassan3369 6 วันที่ผ่านมา +1

      Afadhali kusifia kuliko ukabila ata marehemu Maguvuli aliwai kusema kinacho ima liza kenya ni ukabila...

    • @user-re4ve4nf3p
      @user-re4ve4nf3p 6 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@salimhassan3369lakini afadhali Kenya si wafu gwa hta hyo tribalism Kuna uwezekano miaka ijayo ikawa haiko

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@salimhassan3369Kenya wamemalizwa kivipi na ukabila wakati wametuzidi maendeleo mbali sana? Sisi ambao hatuna ukabila tumewazidi nini wakenya? Watanzania kuweni na akili timamu ya kupambanua mambo

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 6 วันที่ผ่านมา +3

    Sns ndo sehemu pekee unasikiliza clip ya lisaa bila kuskip, big up bros

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 6 วันที่ผ่านมา +1

      Na ukipitwa unarudisha nyuma

  • @michaeljuma7764
    @michaeljuma7764 6 วันที่ผ่านมา +5

    And do you guys believe that mfuko wa inchi ulikua empty???? Kama kweli mifuko ilkua empty, expenses za state house pekee ni zaidi ya milioni mia tano, wanasiasa wamepewa magari ya kifahari, wamejiongeza mishahara, flight and travelling expensive ndo usiseme, hizo pesa zimetoka wapi, freemason????

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 วันที่ผ่านมา +4

    Tupo kaka sky tunaangalia apa gps..napendaga Sana hichi kipindi na team yenu yote mtu nne nawapendaga Sana na mnajuwa Sana kutuchambulia

  • @hamadiharuna9974
    @hamadiharuna9974 6 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran kwa uchambuzi wenu kwa kweli munajitahi sidjutie mda wangu

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 6 วันที่ผ่านมา +5

    Haya sma Alisha ongea hata kabla hayaja tokea mikopo sio poa

  • @hassangabriel4603
    @hassangabriel4603 6 วันที่ผ่านมา +2

    Karibu tena Kenya -Nairobi parklands br

  • @shajemalyfestyle
    @shajemalyfestyle 6 วันที่ผ่านมา +1

    Revolution is coming for Kenya

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 6 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda saana bro sky unatufunza mengi

  • @JoshuaMwandwanga
    @JoshuaMwandwanga 6 วันที่ผ่านมา +2

    Asante kaka

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 6 วันที่ผ่านมา +4

    🧭🤳 Kenya iko hatarini sana, kidogo kwetu Msumbiji kumepoa kipindi hiki kwa sasa🧎🕊️
    Nawapata nikiwa Msumbiji 🇲🇿 Mozambique mkoa Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa ❤❤❤ nawapenda ninyi wote wa SnS big up sana.❤️❤️❤️

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 6 วันที่ผ่านมา

      Kenya haiko hatarini kilichopo kenya ni wanasiasa walafi ,wakenya wanalipa kodi ila inaliwa na wajanja wachache.

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 6 วันที่ผ่านมา +2

    Tuko na huyu ruto bumper to bumper.akimwaga mboga tunamwaga ugali.

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 5 วันที่ผ่านมา

    Matangazaji Mashallhau una sauti nzuri sana.. Ubarikiwe

  • @RichbonyMutalishi
    @RichbonyMutalishi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi tanzania tozo ziko kilakona lakini bado tunaendelea kukopa kwa sasa deni letu limekua kubwa sana limefika tilion91.7 alafu tunaona sawa2 ujingasana huu

  • @mstaraabusantiago747
    @mstaraabusantiago747 6 วันที่ผ่านมา +3

    The big issue in our bill ata sio Kodi ya vitu vidogo vidogo, kuna big issue ya tax ya our ancestral land, unaeza imagine Babu zetu walipigania uhuru kupata shamba zao Alf Leo waaambiwa Hilo shamba lzma ulipe Kodi bila hivo litachukuliwa, who does that, another thing Kodi zenyewe atuzioni zikifanya kazi

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 5 วันที่ผ่านมา +1

    Dj smaaa 🎉safi sey

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 6 วันที่ผ่านมา +6

    Tatizo la ajira liko kote, mm nk omani huu mwaka wangu wa 8,.wazawa wanateseka kupata ajira mpk wamekata tamaa. Watu ni wengi klk ajira.

    • @carmp3
      @carmp3 6 วันที่ผ่านมา

      Umeona vijana wengi wa kiarabu hapa Oman hawana ajira na hawalalamiki

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 6 วันที่ผ่านมา

      Nimekua Oman na serikali ya Sultan Qaboos anawasidia sana vijana wao kwa kuwapa elimu, matibabu ya bure n.k acha kueneza uwongo

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@carmp3Hawalalamiki kwa kua mambo yao ya kimsingi maishani serikali inawasaidia....Muache uwongo kulinganisha serikali ya ruto na ya Sultan Qaboos !!!

    • @carmp3
      @carmp3 6 วันที่ผ่านมา

      @@lenniefei6710 sasa mbona unakasilika ni kitu cha kaiwada ukosefu wa ajira tuna ongelea ajira hatuongelei huduma za hospital kuwa bule ni kweli ajira pia kwa oman ni changamoto pamoja nakuwepo kwa elimu bule na huduma za afya tatizo ajira,,unabisha nn nipo oman mwaka wa sita kuna watoto wa kiume watatu ambao ni vijama wa bosi wangu wapo nyumbani wote hawana ajira walituma maimbi ni miaka na ajila hakuna,,sema wenzetu sio watu wa lawama niwavumiki wanaamin kila kitu ni mipango ya mungu..sasa cjui kwann unatuita waongo??

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 6 วันที่ผ่านมา

      ​​@@lenniefei6710umempa jibu murua 😅

  • @MdOmane-yg9gi
    @MdOmane-yg9gi 6 วันที่ผ่านมา

    Asanteni nimewapata vizuri

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 2 วันที่ผ่านมา

    This guy went to the good schools in kenya

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni mkenya. Zakayo ni muogo tena wa hali juu kwanza amejiita masikini na sio masiki alia hidi mengibwakati wa kampein hata moja haja timiza sasa huyo sisi wakenya twa mfaham hata hio kuwapongeza vijana niongo tu yeyw ndie anae lazimi wabunge kupitisha kwa kuhonga

  • @Dellylubunga
    @Dellylubunga 6 วันที่ผ่านมา +3

    Ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩asante sana SNS 🇹🇿🇹🇿

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 6 วันที่ผ่านมา +8

    Huyu wa yellow hajui hata kidogo sababu ya maandamano hii na hasira ushuru hawajakataa kutoa sababu ni hii tax ruto anakula na bibi yake,side chicks,marafiki wake, corruption is too much budgetted for hakuna ajira kwa vijana,masomo yamesimama

    • @HansChuma
      @HansChuma 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @James-om1bk
      @James-om1bk 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂tz

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 6 วันที่ผ่านมา

    Napenda Geopolitics na hapa kwenye sns ndo home .Big up wachambuzi

  • @abdikadirchief8706
    @abdikadirchief8706 6 วันที่ผ่านมา +2

    Agreed with, Kenyans wamesema enough is enough . This so called leaders watakoma

  • @EliasBendaguma
    @EliasBendaguma 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa97 mpaka 2012 ndo Gen z Na kuanzia 2013 mpaka Sasa wanaitwa generation Alfa mi natokea Kanda ya ziwa Kwa Sasa makazi yangu yako Kenya Nairobi

    • @djsma255
      @djsma255 6 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa maelezo

  • @loice123faida8
    @loice123faida8 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haina haja Ruto must go na amani haiji ila kwa incha ya upanga

  • @vailethmuro4390
    @vailethmuro4390 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ongeleeni Tanzania yetu,na Tanganyika sababu tunamaisha magumu kuliko Africa nzima

  • @Onlyfacts0224
    @Onlyfacts0224 6 วันที่ผ่านมา +4

    Gen Z is btn 1997 to 2012.
    Mellenial is btn 1981 to 1996.

    • @djsma255
      @djsma255 6 วันที่ผ่านมา +2

      Asante

  • @blackhibiscus1876
    @blackhibiscus1876 6 วันที่ผ่านมา

    Nimefurahia sana malumbano. Mimi Mkenya kwenye ughaibu wa Thailand. Nashukuru.

  • @melody_mike_mavoice
    @melody_mike_mavoice 5 วันที่ผ่านมา +2

    Am i the only one feeling the guy in yellow doesn't know anything he's taking about, anyway next time consider who's on the panel watching from kenya #rejectTheFinanceBill2024

    • @DrizzyDrake254
      @DrizzyDrake254 4 วันที่ผ่านมา

      Bongo lala

    • @dorcas4495
      @dorcas4495 4 วันที่ผ่านมา

      No clue speaking from hearsay

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 5 วันที่ผ่านมา

    Pamoja from Oman 🇴🇲

  • @user-iu5lf3db4k
    @user-iu5lf3db4k 4 วันที่ผ่านมา

    Tunapenda sn dj smaa na mwenzie ... Tuleteee mentality ya USA policy wawe wanabadilishana mawazo na kubishana

  • @maalimzakariyya5770
    @maalimzakariyya5770 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nimetokea Kenya MIM ni mwana SNS damu.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 6 วันที่ผ่านมา +11

    Watanzani 🇹🇿 tuitunze amani tuliyo nayo tupambana kutafuta mungu awajalie amani na utulivu ndugu zetu wakenya 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪

    • @allyseba172
      @allyseba172 6 วันที่ผ่านมา +3

      Aman ip una zungumzia ss ha2na aman kwa b7 wa Tanzania weng wala lia ila wana lilia pemben..... Sema ss bado waoga na hatuna maamuz

    • @martingeorgenzali5614
      @martingeorgenzali5614 6 วันที่ผ่านมา +3

      Amani Gani Tanzania Upo Nayo...Wakati-Mwaperekwa Perekwa Kama Mang,oMbe Alfu MwasEma...Mko-Naamani...Tanzania...Majinga KilakiTu Wao WasaPoT Kilaki2 Hatakama Tz ItangaZwe WauZa KeSho WatasaPot Sawa Kikubwa Tupo Naamani WajiNga TZ

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@martingeorgenzali5614 sawa chief najua upo na jaziba sana kwa sababu ila natumai ungekua na wazifa usinge pata hata muda wa kunijibu ila nakusii pambana chief pia jua kua kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🙏🙏

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@allyseba172 si kosa kua muoga wara si zambi jitazame pili tazama wa nyuma yako kama huna tafuta ukisha pata na ukawa na majukum njoo tena na wazo lako kaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🙏

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 6 วันที่ผ่านมา

      Wacha tu nicheke 😂😂😂

  • @joshuamunyao627
    @joshuamunyao627 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kitu ndugu zangu hamuelewi hiyo kutenga kutenga kutenga kutenga kutenga ametenga kwa mda wa mwaka mmoja na nusu wanatenga zikienda wapi?

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 3 วันที่ผ่านมา

    Kaka Sma & Masubi ukiwa nje ya serikali (kabla hujawa raisi) unakuwa na moyo kabisa wa kusaidia raia, lakini unapoingia tu kwenye system unakutana mifumo kandamizi ya kielimu, kiafya, kiuchumi ya kimagharibi, na ndio mifumo mibaya (sick system). Wanapochungulia na kuona mimi siwezi kutoboa kupangua hii mifumo ya kirasilimali na ndio hapo anapoona ni bora ajiandalie njia ya maisha mazuri baada ya kumaliza term yake. Na viongozi wa kiafrika wengi ni mabinafsi.

  • @DAVIDMMASSY
    @DAVIDMMASSY 5 วันที่ผ่านมา

    I think Ruto angefanya approach ya tofauti ili kujinasua ange jaribu kuelekeza expenses za gvt kwny kutengeneza productive stuffs like unapandisha kodi then unajenga viwanda au unaanzisha any stuff ambayo itaisaidia serikali kukuza uchumi au hata kuchukua mkopo wenye ahueni ili kukuza uchumi u cant face the debt issue hivyo lzm blowback yake itakuwa kubwa sana

  • @menmkinga2109
    @menmkinga2109 6 วันที่ผ่านมา

    Short term solution n cutback spending but in the mediam term and long term viwanda ,kilimo pia tech industries n muhim pia serikal lazma ije na sera au stimulus packages znazo stimulate growth za business ndogo na kati,

  • @michaeljuma7764
    @michaeljuma7764 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mwambieni Masudi polisi wetu wanatumia life amunations so far watu watatu wameuwawa tayari, kwani hiyo ni rubber bullets

  • @saidally9653
    @saidally9653 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kodi Kwa wananchi xio mbaya lkn wanaiba xax hz pesa zetu zenyewe hazitoxh na bado waibe Kuna nn kinabaki

  • @saidmwasemu-do5tp
    @saidmwasemu-do5tp 6 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyo ni kwel IMF wakome kabisa

  • @tatukingi2543
    @tatukingi2543 6 วันที่ผ่านมา

    Very true

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo mmeongea jaman mbona nchi za kiarabu mtoto anozaliwa leo analipwa wamewezaje

  • @DAVIDMMASSY
    @DAVIDMMASSY 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna mawili moja huenda someone is shaking the jar kwa sababu kulipa kwao madeni is a path to their freedom kutoka kwa hii neo colonialism ya west na america so idhani kama hata hao west wanafurahia nchi ya africa kutaka kujitoa so it can be kwamba ni plan ya kutoka nje pia just an instinct

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk วันที่ผ่านมา

    Huyu Ali sijui anaongea nini maisha lazima yawe na changamoto wewe kama ulishindwa wengine wanapata..Huku nje ulaya unsposema vitunguu bei rahisi kwa hiyo huko Africa ndio soko lipo anavyosema DJ SMA yupo sahihi kabisa kwenye swala kazi

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe jamaa mwenyewe njano unaakili sana nakupa pongezi

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 6 วันที่ผ่านมา +1

    Nairobi kesho morning tunawahi mapema san😂 nipo mbele nyumbani tz

  • @kittamagnifico5091
    @kittamagnifico5091 6 วันที่ผ่านมา

    💥💫

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 5 วันที่ผ่านมา

    Natamani kuungana na kenye mko smart kichwani sio hukuuu...

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 วันที่ผ่านมา

    Ruto kazini kwake kuna kazi.

  • @almiseo6343
    @almiseo6343 6 วันที่ผ่านมา

    Hii imeweza lkn ingenoga zaidi kama pangekua na mkenya akaelezea uhalisia wenyewe kunavitu vingi mungepata

  • @kikungoshoka
    @kikungoshoka 6 วันที่ผ่านมา +1

    serekali nyingi za Afrika ZINAONGOZWA NA WASOMI AMBAO HAWAJIELEWI maana kama wanaoitwa maprofesa wana madegre ndo wanaiba pesa wanaanzisha kodi kwa maslai binafsi kama nchi zina rasilimali nyingi na zinatumika kwa maslai binafsi

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi Zaafrika Maandamano yawananchi kwaserikali nikama kuichokaza Serikali kwaiyo Viongozi wetu wanatumia Nguvu Kubwa Kuzima Maandamano kwaiyo Ndio kinachotokea Kenya Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika Mungu Mbariki Putin na Urisi yake

  • @abdullahsaid2163
    @abdullahsaid2163 5 วันที่ผ่านมา

    The issue is taxes, sio kujiajiri

  • @jenifferwanjira6124
    @jenifferwanjira6124 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tatzo watu wote wezi na ndiyo maana akuna kuwajbishwa ukiiba unapelekwa sehem nyngne ukaibie uko Sasa ela itatosha kwa mfumo uo Kila bajet ndogo

  • @emmanuelopiyo6408
    @emmanuelopiyo6408 4 วันที่ผ่านมา

    Even livestocks are being taxed

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 6 วันที่ผ่านมา +1

    Shida ya ruto ni mbili au tatu, kwanza ulimbukeni wa pesa, kwa mfano miezi miwili nyuma kulikua na sakata la mugokaa, wakulima wa mugokaa walienda kwake kumrai kuaongea na viongozi wa pwani waweze kuwaruhusu walete mugokaa, alichokifanya aliwapa 500 million, wakati huo ma daktari walikua wamegoma, hiyo ni pesa hiyo ni pesa ambayo ingeweza kuongezwa na kurudisha ma daktari kazini, safari za kila mara tena kutumia ukafiri wa gharama, kuhonga wabunge ili wamkingie kifua, 2 anatumia nguvu sana kuliko akili 3 nimuongo kupindukia, yani nikigeugeu, kiufupi hana msimamo

  • @lightnessnangasu289
    @lightnessnangasu289 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli CHINA wengi ni wafanya biashara machinga , Tanzania are farmers the history is there, I said this and I will say it again government need to invest on agriculture , hatuna chochote tunachouza duniani zaidi ya korosho the rest ni kidogokidogo . Ardhi yetu ina rutuba tunaweza kulima na kuunza nje ,nchi zilizoendelea zinategemea chakula kutoka africa . SERIKALI WEKEZENI KWENYE KILIMO TENA CHA KISASA KILA KIJANA ATALIMA KWA UTAALAM ULIPO SASA.

  • @MsodokiTheson
    @MsodokiTheson 6 วันที่ผ่านมา +1

    Masubi kumbe ni bwana mdogo Sana yani. Halingani hata na mdoangu Asia

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 6 วันที่ผ่านมา +3

    Vijana hatari sana

  • @alitiktok1
    @alitiktok1 5 วันที่ผ่านมา

    Apo isma kwa ruto kupata akuna pesa ata yeye anajua hio pesa imeenda wapi don't forget ruto was vice president before he became president

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa yeye siku zote anaongea sana anamyima DJ Smaa nafasi yakuongea 😂

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d 5 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ya Kenya wazee hawataki kutoka officeni.

  • @amriseleman9395
    @amriseleman9395 2 วันที่ผ่านมา

    GPS NI HATARI MPAKA IMEUA CARREERS ZA ESCO DONARD NA CREEZ EVANS

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 2 วันที่ผ่านมา

    Lemmi key you in..
    We have no problems in paying raxes,we need ACCOUNTABILITY we cannot be budgeting for corruption and furnishing politicians lifestyles no way...enough is enough

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 6 วันที่ผ่านมา +3

    Suala la kodi za juu huku Ulaya usiseme hasa Sweden. Kingine ni kwamba suala la ukosefu wa ajira ni dunia nzima hapa Sweden watu hawana kazi, vitu vimekuwa ghali yaani ni majanga juu ya majanga. Mwisho wa mwezi unafika huna hata sumni ya kuweka akiba. Kwa kifupi maisha yamekuwa magumu sana, Allah atufanyie wepesi.

    • @yusufally5168
      @yusufally5168 6 วันที่ผ่านมา +1

      Amin. Unaishi Sweden mji Gani?
      Mm Niko Södertälje Stockholm.

    • @zuwenarajab6675
      @zuwenarajab6675 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ninaishi Göteborg ndugu.

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 6 วันที่ผ่านมา

      immigration has destroyed Sweden, too much crime and racism. Once a nice European country, now it has become a joke...But still hauwezi linganisha kukosa ajira Europe na Africa. Huko bado unalipiwa kodi na unapata matumizi kidogo. A very different comparison!

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา

      Basi hama Sweden rudi Tanzania nchi ya maziwa na asali. Huku mambo yako shwari ndio maana hatujawahi kuandamana

    • @mukrimkhamis678
      @mukrimkhamis678 2 วันที่ผ่านมา

      @@rumdeesonsoa1811hawa wanaishi njee wanasema maisha magumu lkn huwaoni kurudi awoo hhhh

  • @jabilywabichi8407
    @jabilywabichi8407 4 วันที่ผ่านมา

    Sky iyo definition umeitoa ChatGPT😂😂😂😂

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 วันที่ผ่านมา

    25:22-25:56 ni vitu Mh Gwajima alivisema bungeni..akasisitiza sana. ona sasa nchi zingine zinagoma- population growth is meeting scarce resources and so they cant help it ..and they come out and demonstrate their frustrations..

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 4 วันที่ผ่านมา

    apo kwa IMF wabunge wa kenya wali pewa 20 thousand dollar EACH ili wapitishe finance bill
    yaani waliogwa na IMF ZA NDANI HIZI

  • @DAVIDMMASSY
    @DAVIDMMASSY 5 วันที่ผ่านมา

    Maana hata wewe binafsi kama una deni na unataka kulilipa lazima utafute approach ambayo itakuwezesha kulipa lakini usianguke kiuchumi pia maana tatizo sio mikopo tatizo ni masharti ya mikopo maana mikopo hata marekani anakopa ila tatizo letu africa ni masharti tunayopewa sasa kwa mindset hiyo ya kujinasua kwenye masharti na outside control uwanja ni mpana sana wa njia za kujitoa first mobilise watu taifa lijue kabisa tunaelekea kwenye kujikwamua so kila mtu afanye kazi ipasavyo then u can take good loans from somewhere and invest in the procduction sectors ili baadae outcome ya hiyo investment ikusaidie kwanza kuongeza tax base. Ambayo utaweza kuwatax watu na pili uchumi utakua in terms of gdp (production) pili utaweza kujinasua taratibu after muda mfupi like 3 to 4 yrs unajitoa cz unakuw haupokei tena mikopo yenye masharti ya ajabu
    Kama kuna mistake wataalamu wa chumi mtatuarifu kwenye replies

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 2 วันที่ผ่านมา

    Binafsi huwa najiuliza kunasababu gn serikali kumugalimia mtumishi wa serikali wakat yeye anamshala,,kama ni gari kwanini asinunue kwa hela zake?ili kubana matumiz ya serikali,,hiki kilichotoke Kenya ni mwanzo tuu,,
    Ghasia hizi zitaenea Africa nzima,,uvumilivu unamwisho,,,wabunge wanatunga shelia za kuwalinda wao,,

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 6 วันที่ผ่านมา

    Saf sana SNS

  • @mohamedabdulkadir6186
    @mohamedabdulkadir6186 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mbunge wa Lamu East(Ruweida Obo) amewasaliti watu wa Kaunti ya Lamu....coming 2027 she will be at home with her husband.. Gen Z don't entertain nonsense.

  • @jamaljohn7482
    @jamaljohn7482 2 วันที่ผ่านมา

    Katika mazungumzo yenu msisahau kua turo ni mrongo nikitu kingine nimesababisha

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d 5 วันที่ผ่านมา

    Generation Z wanajiita kizazi cha mwisho. Hawa ni waelewa mno kuliko old school.

  • @mariamnur1036
    @mariamnur1036 2 วันที่ผ่านมา

    Uyu mwenywe t-shirt ya Yellow haelewi kabisa

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    naomba tdhamani ya ile fimbo ilo chukuliwa please

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 6 วันที่ผ่านมา

    ❤🤙

  • @mpendarootys2657
    @mpendarootys2657 5 วันที่ผ่านมา

    Kama Mimi mkenya ruto ametuzoeya sana ni funzo

  • @digitalfeelings3031
    @digitalfeelings3031 6 วันที่ผ่านมา +1

    Nilingoja hii kama dawa sitoki mpaka inaisha.

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 6 วันที่ผ่านมา

    Kesho insha'Allah nawahi mapema San natoka kibera mapam

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 6 วันที่ผ่านมา

    Ally ni big brain

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 6 วันที่ผ่านมา +1

    hata WORLD BANK mambo imewafikia hizi zote lazima wajue huku tuko huru kujitawala

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia 6 วันที่ผ่านมา

    Bongo vp au ndio bongo rara mungu wangu sababu anajua jinsi tunavyo buruzwa