Maandamano Kenya: KAA LA MOTO afunguka Watoto wa 2000 (Gen Z) walivyopindua Meza! *Exclusive

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 126

  • @bilid4128
    @bilid4128 3 หลายเดือนก่อน +21

    Kuwa na Kundi kubwa La Vijana ambao hawana Ajira ni Hatari katika Nchi ! Alafu unawaongezea Kodi kwa kile kidogo wanachojitaftia,hii inaumiza !

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 หลายเดือนก่อน +13

    waTZ kazi yao kubwa ni kushabikia yanga na Simba na kusifia "mama Samia!" usiku na mchana ila wamekosa haki nyingi kutoka kwa serikali zao.....VERY DOGMATIC PEOPLE!

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน +1

      U sound lyk one of us

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan nyie mepewa haki gani na maandamano yenu mpaka Sasa zaid ya wabunge kupitisha muswada bila kujali maandamano yenu 😅😅😅 sisi wa Tz tofaut yetu na yenu ni nyie maandamano tu ila uongoz wetu na wenu the same dear

  • @kanisiuschumacannireal-zg2ee
    @kanisiuschumacannireal-zg2ee 3 หลายเดือนก่อน +11

    Kwa east Africa ile kitu inaitwa self determination wakenya wapo juu mush respect kenyan people

  • @Hamad10Salafi
    @Hamad10Salafi 3 หลายเดือนก่อน +9

    WaTz nyie endeleeni kuongelea Mpira asubui mpaka jioni, endeleeni kumshangaa Chris Brown kumpost Diamond, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa!😂😅

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 3 หลายเดือนก่อน

      Wabongo wanasemaga tumwachie mungu 😅😅😊

    • @Hamad10Salafi
      @Hamad10Salafi 3 หลายเดือนก่อน

      @@Chettymlambalipsi-lb9km 😂🤣Hatar yaani asubui na mapema watu wanakutana Maskani kushinda Simba na Yanga upande mwengine Machawa nao wanamwambia Mama anaupiga Mwingi Halaf serikal inasema nyie tulieni msilete vurugu Tz ni Nchi ya Amani🤣😀

    • @eben_ezer8853
      @eben_ezer8853 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@Hamad10Salafi😂😂😂😂😂😂😂😂 yaaan mimi hushindwa eti nchi ya Amani lakini wananchi hawana haki hata ya kuandamana😢😢😢😢

    • @Hamad10Salafi
      @Hamad10Salafi 3 หลายเดือนก่อน

      @@eben_ezer8853 ndio hvyo Tz kidogo wanatakiwa waamke waache kuyapa kipao mbele mambo ya kipuuz waongelee Mustaqbali wa Nchi

  • @magzakky2781
    @magzakky2781 3 หลายเดือนก่อน +12

    We will continue REJECTING THAT USELESS BILL as a Kenyan we will fight till we get what we WANT ...

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 หลายเดือนก่อน +8

    Sisi kama wakenya hatutachoka...we will keep fighting till death.we will put ruto down❤Inshallah

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi wewe sky mbona ya kwenu hamuhoji Mnakimbilia ya kenya kuyajua Ya kwao .Mbona ya kwenu bajeti. Ni tozo kila mahari mbona hamuhoji serikari yenu ya Tanzania. Yenu du yawezenu midomo juu.

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 3 หลายเดือนก่อน

      But tz hamna freedom

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uwezi kwa kiongozi na watu ambao unawaongoza hawakupendi. #RUTO MUST GO
    #REJECT_FINANCE_BILLY

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ahsante wakenya mnatuandamania na sisi in the name of kenya, respect

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 3 หลายเดือนก่อน +8

    I just love Kenyan people 💕 huku weng hawajielew

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน

      Je likianza kunuka utaweza kuingia barabarani

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 3 หลายเดือนก่อน +5

    Asante Sana Kenya 🙏🙏maan uku kwetu bado vita vinasuluhu na kupona ni majaliwa na atuwezi maandamano tunajua tutauwawa😂😂

    • @tatutatu1570
      @tatutatu1570 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania tubadilike tuungane na chadema tupate katiba mpya kuwe na uhuru wa vyombo vya habari kuwe uhuru wa kujieleza kuwe na uhuru wa kundamana . Rais apunguziwe mamlaka kuwe na serikali ya majimbo, Jaji mkuu asiteuliwe na rais IGP na CDF na DCI Mkuu Wa usama wa taifa . Kutoka kaloloni nairobi

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน

      2lia ww 2meridhika na katiba ye2 hatutaki kelele zenu Chadema

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน

      @@KassimAlly-xp4dz inaonekana ujielewi

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 3 หลายเดือนก่อน

      Mapinduzi tu kama kinavyoitwa yata matter

    • @Zaikadena
      @Zaikadena 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน

      @@Zaikadena big up

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 3 หลายเดือนก่อน +4

    Alikua amefiriwa😅😅😅 but all in all mmefanya poa sana, mbele yenu nyuma yetu from +255 TANZANIA

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nyuma yenu uhakika utaweza ww ingia barabarani acha utoto watz waongo sn

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 3 หลายเดือนก่อน

    TANZANIANS PLEASE NOTE SULUHU WAS HRANTED 750M DOLLAR LOAN BY IMF...ukiona mwenzako anyolewa...

  • @salama1113
    @salama1113 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yani watz kushadadia yawatu yakwao wanayakalia 😂😂😂😂

    • @eben_ezer8853
      @eben_ezer8853 3 หลายเดือนก่อน

      Umeona eehhh yaaan kama ya kwao vile😂😂😂😂

    • @agneskighenda3795
      @agneskighenda3795 3 หลายเดือนก่อน

      Haswaaa! Tena hawa sns huwa hawagusi kabisa topics hot zinazogusa wananchi Tz.

    • @svt3
      @svt3 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@agneskighenda3795wana ichi wa TZ na wasanii wao ni umbea, uchawa kwa wana siasa, kuongelea ngono, vigidoro, mikorogo, hayo ndio ya wa Tz Elimu, katiba, kurekebisha wana siasa wa Tz wako mbali na hayo

  • @fannyfarrah
    @fannyfarrah 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wakenya tusichoke 🇰🇪
    #REJECTFİNANCEBİLL2024

    • @ZulumanSulesh
      @ZulumanSulesh 3 หลายเดือนก่อน

      Bado mapambano

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hata kama mkenya hasoma anaelimishwa na mwenye amesoma...hapo ndio unaona watu wote wanajua maana ya katiba na hii bill ya 2024

  • @musahassan539
    @musahassan539 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya ndio maandamano yenye mguso achana na yale ya mkumbo wa kisiasa,inaonyesha ugumu wa hali ya gharama za maisha,tuombe Mungu hali iwe nzuri watawala wawasikilize wenye nchi.

  • @KALUGOWAMENZA
    @KALUGOWAMENZA 3 หลายเดือนก่อน +1

    HATUKATI TAMAA HADI WATUUE,
    TUESDAY TUKO SITE, NO RETREAT NO SURRENDER. REVOLUTION MUST BE DONE.

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya we are already dead but still taxed this Guy calling himself president is a vampire

  • @josephmungai7953
    @josephmungai7953 3 หลายเดือนก่อน +3

    "the most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed" the oppressed are rising in Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sema kenya wana usubutu madaktar wakigoma wanagoma walimu wanagoma wananchi wanaandamana mm ni mkenya muoga sana kwa vile nimekua tz

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi wa wiper Steven Kalonzo myzoka na makamu mwenza wa ODM Wilfey Oparanya wamemtaka IGP Japhet koome na Inspectr police of Nairobi wajiuzulu

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jpm aliwahi kusema unaacha kukusanya kodi uliyopewa na mungu unaenda kuminyana na watoto masikini sasa madhala yake ndiyo hayo

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 หลายเดือนก่อน +1

    hapo ingekuwa ni Uganda watu wangeliwekwa wamejifungia kwa nyumba 🏠 maana hawaezi kufanya mambo kama haya....

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya Uganda na Tanzania tuungane kama tunavyoungana wakati wa kusoma Bajeti😢

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mebili40 duuh hatary apuguze jmn 😢 polen mno❤

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ikosawa nakubaliyana na huyo ratiba.

  • @komboruga4271
    @komboruga4271 3 หลายเดือนก่อน +2

    MAGUFULICATION OF AFRICA.

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wasanii wa Kenya mungu awabariki awa wa bongo ni machawa tu utafikil hawana hakili uchwa umewekwa mbele

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 3 หลายเดือนก่อน

    TZ WASOMI WENGI ILA WAOGA WANAISHIA KUSIFU TU HATA KAMA NI MBAYAA 😅

  • @hugholinemmasi1671
    @hugholinemmasi1671 3 หลายเดือนก่อน +1

    BRAVO KENYAN PRESEDENT RUTO,THAT KENYA IS FOR KENYAN WE ALL BELONG TO KENYA.PLEASE RUTO TAKE CARE FOR KENYAN.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiii Sana kwel hayo ndo mapinduz yakwer

  • @melch3097
    @melch3097 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania tutafika huko kweli

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 3 หลายเดือนก่อน

      Tuko busy na Simba na Yanga kwanza😂😂😂😂😂

    • @Humanity21216
      @Humanity21216 3 หลายเดือนก่อน

      Ngoja nisiseme kitu maana nchi yetu hii🤐🙌

  • @Mammy-eq7ef
    @Mammy-eq7ef 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo ashuke hatumtaki😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sharamobilla9857
    @sharamobilla9857 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania mko nyuma sana....

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie jamaa topic zenu zinanikosha sana. Ndio youtube online station number 1 nayoifuatilia daily

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto,Ruto,Ruto,how many times have I called you. What is this nonsense ,please stop this.

  • @JoelFortunatus-du8ww
    @JoelFortunatus-du8ww 3 หลายเดือนก่อน

    Yan viongozi wetu waha wameshindwa kuuwa na uchungu wa mataifa yao yakaja kuwa na mionekano kama ya ulaya wamekuwa wajinga wajinga nakuwadangaya danganya wanaichi kuwa watabawadilishia mataifa yao mwisho wa siku wanakuwa na kazi ya kunguka zunguka TU kwenye mataifa ya wazungu jaman Africa ivi nikweli tumelaniwa ss et? Mbona viongozi wa kizungu hazunguki hvyo kama wakwetu? Wakosrious kujenga mataifa yao

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kutoka kaloloni nairobi

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 3 หลายเดือนก่อน +2

    As a Kenyan we must reject finance bill

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 3 หลายเดือนก่อน

      Not only finance bill...all these burukenges in this government

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapata vizuri Nikiwa Kenya.

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndungu zangu wa kenya, wana nchi wakenya musilale nchi tiyari imesha kodishwa.

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hatari sana

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh 3 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu weeee sie waafrika tumerogwa wapi jmn

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน +2

    Very sad

  • @dennisandala3431
    @dennisandala3431 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sns karibu tuesday

  • @sultanielhaddady2161
    @sultanielhaddady2161 3 หลายเดือนก่อน

    William Luto,, A.K.A Zakayo 😂😂😂

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya mnajitambua co ng'ombe wa tzeee

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya wameenda shule sio wa tz

  • @FredrickFilbert
    @FredrickFilbert 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mara sita tu!! 😂😂😂😂😂

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni maneno ya jomo kinyata na Juliasi nyerere ndiyo utajuwa tofauti ya watanzania na wakenya

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 3 หลายเดือนก่อน

      Tukumbushe nime sahau

  • @roseliku531
    @roseliku531 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi hiyo ratiba tu ndiyo nimechoka😂😂

  • @maurozacariaspanjonyo837
    @maurozacariaspanjonyo837 3 หลายเดือนก่อน

    Mangaribi wanawanhonha

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good job ❤❤❤

  • @ThabisoMbhele-oj7zd
    @ThabisoMbhele-oj7zd 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka li sasi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

    hawa jirani zetu wanamchukia Rais wao bure tuu labda hili ndo kakosea lakini kwa ujumla kwa mambo mengine ana nia njema. mwanzoni wakamchukia sana Kenyatta, kweli jmni hii ni sawa?

    • @FatumaMfaki
      @FatumaMfaki 3 หลายเดือนก่อน

      Si makosa yko haujui tunachopitia

    • @jaybajay9973
      @jaybajay9973 3 หลายเดือนก่อน

      Tuliza mshono

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 3 หลายเดือนก่อน

      Funga kimdomo...zungumzia mambo ya tz ya machawa yenye unaelewa...bure kabisa

  • @ZahraZahra-wy6gc
    @ZahraZahra-wy6gc 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata huku tz samia anasafiri sana😅😅😅😅

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน +2

      😅MUJIDANGANYE😅

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 3 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka mieee 😂😂😂

    • @jaybajay9973
      @jaybajay9973 3 หลายเดือนก่อน

      Sisi tuko na mtalii saazote ako kwenye Anga

    • @ZahraZahra-wy6gc
      @ZahraZahra-wy6gc 3 หลายเดือนก่อน

      @@jaybajay9973 😂😂😂

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 3 หลายเดือนก่อน

    Tusiwe waninga wakenya wako sawa ila wao wanakosea maana Kila mdaa wanabarilisha vyama haya ndiyo matokeo yake lakini bass watanzania lazima tujifunze kama wanafanya ni kizuri tuige kama kibaya tuaachane nacho

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uchawa tuu kuoga aaaah😂😂😂

    • @ericnzaro9138
      @ericnzaro9138 3 หลายเดือนก่อน

      Wakenya wanavadilisha vyama na hayo ndio matunda ya Demokrasia. Tanzania mmefumbwa macho kila mtu anasifia CCM tu. Naishangaa Sana nchi ya Tanzania. Kidemokrasia bado mko nyuma saana

    • @nicoledinga9948
      @nicoledinga9948 3 หลายเดือนก่อน

      You need to go back to school Lol 😅

  • @Iconifcmusic
    @Iconifcmusic 3 หลายเดือนก่อน

    #RejectfinanceBill2024 ♥️🇰🇪

  • @alihamisi6583
    @alihamisi6583 3 หลายเดือนก่อน

    dah

  • @kombatv2069
    @kombatv2069 3 หลายเดือนก่อน

    Goood

  • @isaacramadhan9721
    @isaacramadhan9721 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hawa wakenya wanatowa wapi nguvu na sisi Tanzania tujaribu, inapendeza sana wallah

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 3 หลายเดือนก่อน +2

      Watupekeee ambao ukitaka kuipindua nchii au kuandamana maandamano ya Moto tumia wanasheria,wanajeshi ,na wanachuo hao tu ndiyo wanaweza kufanya maajabu na serikali ya tz imeweza kucheza na hiyo nafasi kwakuwapa hela kuwatimizia mahitaji yao nakuwapa ajira yakudumu kwa ujumla

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa sisi tunazidi kudanganywa tu

  • @JoelFortunatus-du8ww
    @JoelFortunatus-du8ww 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaichi wanaakili kuliko wanaijiita et ni wasomi wana madigilii yaan madigilii walio jipajikia viongozi wa kiafrica kutokana na mifumo ya kielimu ya wakoloni kumbe sio digilii zile ni ujinga vichwani et niwasomi Sasa kama ni wasomi kwa nn wameshindwa kutumia usomi wao kufuta umasikini kwenye mataifa yao.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 หลายเดือนก่อน

    Kama hii tozo Ya miamala kwa kweli ilitakiwa kupingwa.
    Hata Chadema kimnyaaaaaaaa hawasimami kuandamana ila kwa kifupi ni mzigo kwa sisi wa chini

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน +1

    M NIKISKIA MTU ANASEMA WAKENYA WANAJIELEWA SJUI ANA MAANA GANI MBONA NAONA WANAFANYA VITU VYA OVYO AU NDO KUJIELEWA KWENYEWE

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 3 หลายเดือนก่อน +5

      Huwezi elewa kaa hivyo hivyo mkuu

    • @abubakarimsere
      @abubakarimsere 3 หลายเดือนก่อน +5

      Unaweza Kuona mtu hajielewi kumbe ww ndio hujielewi😂😂

    • @sultanmswahilitv4864
      @sultanmswahilitv4864 3 หลายเดือนก่อน +4

      Huwezi elewa juu huna akili

    • @dennisandala3431
      @dennisandala3431 3 หลายเดือนก่อน +1

      Thats why tanzania ni ndogo kwa kenya wakati mtafikia hapa kenya itakuwa another level wewe chill

    • @Hamad10Salafi
      @Hamad10Salafi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie endeleeni kuongelea Mpira asubui mpaka jioni, endeleeni kumshangaa Chris Brown kumpost Diamond, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa!😂😅

  • @Hajiprank2024
    @Hajiprank2024 3 หลายเดือนก่อน

    Sema wanangu mkimaliza kusikiliza hii interview tembeleeni channel yangu muone prank nimewaomba mademu wajifanye kuwa wapenzi wangu,!

    • @renatusrichard
      @renatusrichard 3 หลายเดือนก่อน +1

      nimesubscribe ndugu, na wew kasubscribe kwango itapendeza

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน


      HHHH 🤦🏿🏃🤦🏿HHHHH

    • @renatusrichard
      @renatusrichard 3 หลายเดือนก่อน

      Nin mkuu

    • @sultanaswaleh7813
      @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน

  • @aisha_mohammed5825
    @aisha_mohammed5825 3 หลายเดือนก่อน

    @#rejectfinancebill2024