HIZI NDIO KAULI ALIZOTOA PAUL MAKONDA KUHUSU RAIS MAGUFULI NA RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #Day2NewsTV #CharlesWilliam #Zungu

ความคิดเห็น • 17

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 3 หลายเดือนก่อน +3

    Charles willium × Zungu ni firee🔥🔥🔥

  • @PeterIganja
    @PeterIganja 3 หลายเดือนก่อน +3

    Saluti sana zungu ikiwezekana toa mpya Kila siku

  • @KitokiSospeter
    @KitokiSospeter 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mimi.Nampenda sana Magufuri,na nakupenda sanq Makonda.Huogopi mtu,na ndio mwanaume anatakiwa awe.Na sio kuwa chawa na kuliangamiza Taifa kwa uchawa wao.Mungu akubariki sana Makonda.

  • @stefanontandu2041
    @stefanontandu2041 2 หลายเดือนก่อน

    Amen bado anaishi ndani yako na ndani yetu.

  • @SadaKigwangala
    @SadaKigwangala 3 หลายเดือนก่อน

    Amina sana rc makonda magufuli ❤❤❤❤ mungu amlaze mahali pema

  • @SimbaNaali-fw3zz
    @SimbaNaali-fw3zz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda awe raisi 2025 mkimuweka samia mmeisha ccm chali hamtaamini macho yenu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน +1

    👊✌️🇹🇿

  • @danielreuben4177
    @danielreuben4177 2 หลายเดือนก่อน

    viongozi wa ngazi za juu serikalini wanafanya kazi nzuri ila huku chini kuna baadhi ya viongozi wanaokandamizi sana wananchi ndio maana akipatikana kiongozi anaewatetea kama makonda, jpm na wengine wanyonge wanawaona kama taa ya matumaini yao, niombe serikali yangu sikivu ishuke kwa wananchi wachini

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 3 หลายเดือนก่อน

    Jembe letu wewe ndie kiongozi mwenye uthubutu, kiatu cha magufuli kimekutisha tuna Imani nawewe,,

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 หลายเดือนก่อน

    Alisema kweli tupu wanomfuatilia makonda hamtanikiwa Mungu anamlinda

  • @Japhetmrema-e5n
    @Japhetmrema-e5n 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambaa

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 หลายเดือนก่อน

    D2N ACHENI FITINA DHIDI YA MAKONDA.

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda

  • @ezekielkiduge8730
    @ezekielkiduge8730 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kichwa cha mwendawazimu hafai hata kuwa nyumba kumi ataachanisha ndoa za watu

  • @Mmms1w1Yyy1h1y1
    @Mmms1w1Yyy1h1y1 3 หลายเดือนก่อน

    Magu ametuacha tunabaki na wewe makonda tunaimani na wewe