ni msomi mzuri na anaakili sana...watu walosoma ilboru enzi hizo naskia walikuwa vipanga sana..ilboru ilitoa wanafunzi waloiva mno..hongera Tundu Lissu
Msomi mzuri sana,nilikuwa cjajua asanteni ,sasa nimejua kwa nini anajiamini co mbabaishaji,kasoma na kuelewa vzr.Daa waliotaka kumwua na waangamie na vizazi vyao vyote
CHADEMA CHONDE CHONDE MBOWE ABAKI MWENYEKITI HADI UCHAGUZI UAHIRISHWE. HAKUNA MTU ANAWEZA TETEA CHAMA HIKI KAMA MBOWE. MASHEHE, MAASKOFU, WACHUNGAJI, WAZEE, WAGANGA WA JADI MUOMBENI MAGUFULI AFUTE TAREHE YA UCHAGUZI NA ARUHUSU WATU WACHUKUE FORM UPYA. MKIACHA KUMWAMBIA MAGUFULI UKWELI MUNGU ANAWAONA. HUU NI USHAURI WA BURE KWENU. WATOTO WA BABA NA MAMA MMOJA KWA NINI MNAGOMBANIA FITO. AIBU SANA.
Kusoma sana mwishoe ondondokea kuwa kibaraka je msomi kuwa kibaraka uwapa faida wazungu na mzalendo asiesoma utetea mali zisipolwe na wazungu nani zaidi
Mtanzania aliyekimbilia office za ubalozi akidai anataka kuwawa baada ya kampeni zake za kugombea urais kugonga mwamba nakusindikizwa na hadi uwanja wa ndege wa Jkn international airport dar.ina maana alipanda ndege kwenda zake uberigiji ambako ameolewa na kibabu cha kizungu huko ndiko anako ishi na huyo mzungu.
Lissu hana history katika nchi yetu tanzania baada yeye kwenye kukimbia nchi makusudi mazima kwenda ulaya na kujitangaza kuwa ni mkimbizi wa siasa na kupewa mahali pa kuishi na pakufanyia kazi kwenye nyumba za kulelea vibabu vya kizungu kuvizoa mavi na kuvilisha vyakula.
Lisu ni msomi sio wa kuwa na vyeti bali ni usomi uliokuwa kinywani ndio maana anajiamini na kuisimamia anachokiamini, nasema hivi kwa sababu kuna wasomi wengine tunao lakini hatunufaiki na usomi wao kwamba awapo tayari kukosoa pale penye upotofu
huyo usomi ata huyu magufuli wenu ni mtoto anajuwa kuinyanyasa demogras ya ichi nakubana haki za watanzania hasa wakulima wamekuwa wanaona kilimo nimthani mkubwa sana sababu haina faida yeyote
Nakupenda
Safi sana
You are role mode to me..
Great historical!
Jipange dada utangazaji wako uko vzuri, ila unachokieleza ndio bado tatzo kidogo..... Be blessed
I love Tanzanie !
Good biography thanks for up to date
Daah asante Kwa historia ya kamanda wangu
amos mtalai nm
Great history for tundu lisu
Ahsante kwa taarifa Nzuri ya kamanda Lissu.
Mungu mponye Tundu Lissu
Asante
Ahsante Sana Dada uko makini Sana pia Tuzidi kumwombea kamanda mtetea haki za watanzania Mh Tundu Antipas Lissu
Tz prezda,viva lisau viva cdm
Jamani lisu! Yani mungu hawezi kuwaacha watesi wafurahi juu yako.ulinzi wa mungu uwe juu yako lisu....
mlifikir ni fala eee ni msomi haswa nampenda sana mbuge wangu wa singida
Yah nice one love
Saluti kwake
Pole Sana lissu
Nice
Linaakili sana
Ur the bext
Yuko vizur
Safi sana kamanda anaelimu mzuri tena kapitia shule ya kipaji ndio maana anajiamini.
ni msomi mzuri na anaakili sana...watu walosoma ilboru enzi hizo naskia walikuwa vipanga sana..ilboru ilitoa wanafunzi waloiva mno..hongera Tundu Lissu
Asante dada CATHELINE KAHABI kwa historia ya Mh. TUNDU A. LISSU! Nmekuelewa vlvyo vyema! Mungu mwema amjalie afya ndg yangu!
Safi sana lisu
Rais wetu 2020
Nakupenda xna lisu wangu mungu akulinde urejee tena kwenye majukumu yko
kweli namkubali xana tu duhh
You are my president 2020
Orrie orrie unaumwa
Mungu ni mwema maishani mwetu we love to hear history of lisu
Okay...!
Duuuuuu kesi kumi za jina na watu mia tatu na kdhaa kawatoa gerezan daaah hongera saana
Lisu Mungu yk nawe. l always pray for you. love u my kamanda.
mungu azdi kumbalki nakumlinda nyakti zt binadam huyu
Mungu Ahsante. naomba uendelee kuimalsha afya take. hakika nmeona Erma wako. nampenda Sana Lisu.
Annanias Edger yupo wapi.
MY leader, my role model. God Bless Lissu!
Msomi mzuri sana,nilikuwa cjajua asanteni ,sasa nimejua kwa nini anajiamini co mbabaishaji,kasoma na kuelewa vzr.Daa waliotaka kumwua na waangamie na vizazi vyao vyote
safi Sana kwa historia ya kamanda wetu
Kamanda
Mungu atampigania tu
Walaaniwe wote wenye kumchukia risu
Nimependa
Mungu wetu ampigania na kuwatia upofu watesi wake
yarabi Allah mponye kiumbe
Nani kamarisu mungu akujaze nguvu
Nimeipenda nitaendelea kuipenda
Nimeipenda historia ya jemedali
Salute kamanda wetu
nampenda lissu
Jackson Damas Barikiwa sana Jackson.
Jackson Damas lisu yuko vizuri sana
Mungu akusimamie
lissu ✔️🙏
Asante lissu...
Stephano Thomas
news
wrote tujifunze kupitia historian hii ya tundu
Lissu mpango wa mungu
Saf mh lissu kwa historia nzur
Eti watoto wazuri hahaha watangazaji bhana
Napenda sana Lissu apate nafasi
Utabaki kuwa juu kamanda
Huyo ndiyo kamanda wa ukweli mpiganaji wetu
CHADEMA CHONDE CHONDE MBOWE ABAKI MWENYEKITI HADI UCHAGUZI UAHIRISHWE. HAKUNA MTU ANAWEZA TETEA CHAMA HIKI KAMA MBOWE. MASHEHE, MAASKOFU, WACHUNGAJI, WAZEE, WAGANGA WA JADI MUOMBENI MAGUFULI AFUTE TAREHE YA UCHAGUZI NA ARUHUSU WATU WACHUKUE FORM UPYA. MKIACHA KUMWAMBIA MAGUFULI UKWELI MUNGU ANAWAONA. HUU NI USHAURI WA BURE KWENU. WATOTO WA BABA NA MAMA MMOJA KWA NINI MNAGOMBANIA FITO. AIBU SANA.
hongera sana lisu
Kama mungu amemfikisha hapo alipo fika bs atakua salam daima
Mungu amjalie tu
love lisu
Nampenda Tundu lissu aina mfano.
Hata mimi
shemela ruhinda kumbe nimtu mhim sana kwwngu
shemela ruhinda Barikiwa sana shemela.
Pamoja sana lissu
Hayatuhusu kawasimulie uberigiji uliofunganao ndoa😂😂😂😂😂
Wacha ujinga mbwa wewe
nchini nailobi sio
mtangazaji nae anajua kupangilia saf san bbie
Tuko pamoja
Historia haija tuambia ana watoto wangapi
Ana watoto wawili ni mapacha
Tuambie wewe mama lisu lisu ana watoto wangapi
Aaa uko pouwaa...ila mnyam mzima ananias edger-tz anajuaaa
ni miaka 52
Tunakuombea mwanahalakati wetu
ilove you lisu,
Kusoma sana mwishoe ondondokea kuwa kibaraka je msomi kuwa kibaraka uwapa faida wazungu na mzalendo asiesoma utetea mali zisipolwe na wazungu nani zaidi
Kwenye sheria uyo ni jini iko wazi
hakuna WA kugusa kwa jamaa huyu
Lissu ni jembe na 2020 ndo ataliongoza Taifa hili lilotekwa kihitikadi
Mngu mponye na umlinde kW ngvu zote
Kusoma sana mwishoe ondondokea kuwa kibaraka
ila walio mzuru lissu mungu atanyamaza.kwa ili
Huyu nibonge lakiongoz
Kila aliyehusika na shambulizi LA lissu hata km angekuwa mbingu ya saba IPO siku atajibu
Utapata uraizi
Kumbe jamaa nimsomi aisee
Mwamba huyu afrika
Bado sana
Mtanzania aliyekimbilia office za ubalozi akidai anataka kuwawa baada ya kampeni zake za kugombea urais kugonga mwamba nakusindikizwa na hadi uwanja wa ndege wa Jkn international airport dar.ina maana alipanda ndege kwenda zake uberigiji ambako ameolewa na kibabu cha kizungu huko ndiko anako ishi na huyo mzungu.
Leina O ngoyasi niko leki natron engaresero
Msomaji unaboronga unachanganya changanya
Lissu hana history katika nchi yetu tanzania baada yeye kwenye kukimbia nchi makusudi mazima kwenda ulaya na kujitangaza kuwa ni mkimbizi wa siasa na kupewa mahali pa kuishi na pakufanyia kazi kwenye nyumba za kulelea vibabu vya kizungu kuvizoa mavi na kuvilisha vyakula.
Wewe huna jipya wewe hata unapo kaa haujulikani unashindana nalisu dunia inamtambua
Selemani Ahmadi mwislamu na huyu kafiri lissu unamjua wapi
Acha wivu nawe kasome usifiwe ulitaman ungekua ndio history inakuhusu weww
nakukuba lissu wwe nijembe
RISE KYELA .
unaona kichwa hicho kikoje viZuri, mungu zidisha uponyaji azidi kutetea unyonge,
Sawa sawa antipass
Lisu ni msomi sio wa kuwa na vyeti bali ni usomi uliokuwa kinywani ndio maana anajiamini na kuisimamia anachokiamini, nasema hivi kwa sababu kuna wasomi wengine tunao lakini hatunufaiki na usomi wao kwamba awapo tayari kukosoa pale penye upotofu
huyo usomi ata huyu magufuli wenu ni mtoto anajuwa kuinyanyasa demogras ya ichi nakubana haki za watanzania hasa wakulima wamekuwa wanaona kilimo nimthani mkubwa sana sababu haina faida yeyote
Leo mdada kacheza na kuvua chupi hadharani. Like na usabscribe channel yngu THE AMAZING WORLD ujionee ya dunia
Kamanda.big up
HATUNA SHIDA NA HISTORIA YAKE SHOGA TU HUYO KIBARAKA
Wajinga ni wengi
@@georgebongi4844 WAKWANZA NI WEWE NA HUYO SHOGA WENU TUNDU LA CHOO ANABWAKA TUU KILA SIKU KAMA MBWA.
Viranja siku zite ni wale wakorofi. Galanos alivurunda.
Wewe mtu ni mjinga sana kama Galanos angevurunda ameingiaje chuo kikuu
ana akili nyingi kichwani
mbona unachanganya asa matukio na muda
Sisi tunasubiri arudi ikiatoe ushahidi wa kupigwa kwake maana anawaju akiwemo kigogo
Yuko vizur kichwani
Penda sana
Mara ya mwisho UINGEREZA tulikua pamoja katika mtihan wa CORDS OF CRIMINAL LAW.
nlisikitika sna nlipopata habar amepigwa risasi.
Child
Historia ni kwawalio shindwa au kudead xo ikiitoa historia it means what?
Mungu mkubwa watu hawa waliotaka kumuua LiSsu niwale wenye AKILI MGANDO NA ELIMU ZA KUFOJI,STUPIDEST, MBWA SANA.