Aliyosema Tundu Lissu Bungeni leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2017
  • Aliyosema Tundu Lissu Bungeni leo
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 53

  • @thobiasimgaya4519
    @thobiasimgaya4519 7 ปีที่แล้ว +21

    nani anataka mtoto wake aje awe msomi kama mheshimiwa lissu kama ninavotaka mimi?

  • @DottoMussa-fx8pn

    Hotuba hii inaweza kua chanz Cha bwana lisu kupgwa Risas tundu lisu mungu akulinde

  • @DottoMussa-fx8pn
    @DottoMussa-fx8pn ปีที่แล้ว +3

    Huyu ND anatumikia vzr feza za watanzania

  • @DottoMussa-fx8pn

    Lisu shikamooo

  • @happyemmanuel2560
    @happyemmanuel2560 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana raid wetu kwa kazi zako njema

  • @musasahani6277
    @musasahani6277 7 ปีที่แล้ว +8

    asante lissu

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni yeye 2020

  • @machinjashabani5661
    @machinjashabani5661 7 ปีที่แล้ว +10

    Wanao kupinga ni masikini waakili

  • @michaeljoseph9903
    @michaeljoseph9903 3 ปีที่แล้ว +2

    Sitochoka kuwa nakusikiliza mh tundu lisu kipenzi cha moyo wangu

  • @juliethbujiku8409
    @juliethbujiku8409 7 ปีที่แล้ว +4

    pongenzi nyingi sana kamanda kwa kuitumia elimu yako vizuri kwa kutusaidia watanzania ,

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo ปีที่แล้ว +1

    Kuna siku tutajua umuhim wa huyu jamaa siku akiwa hayupo dunian,allah akuweke lissu

  • @mayalaelias6210
    @mayalaelias6210 7 ปีที่แล้ว +3

    bravo

  • @saimonijoseph2254
    @saimonijoseph2254 7 ปีที่แล้ว +7

    tundu lisu endeleaa kuonyesha uwezo wako kaka

  • @faustinebahenobi2072
    @faustinebahenobi2072 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaahaaa lissu ntaendelea kukupenda bure

  • @emanuelmichael9199
    @emanuelmichael9199 7 ปีที่แล้ว +8

    Wenye uchungu na nchi ni hawa hapa hata wangekuwa mafisadi lkn wangetupeleka tunakotakiwa kuwa coz ukweli ni kwamba tunazo rasilimali za kutosha ila hatuna uongozi bora. Shujaa Lisu utafia haki utakuwa na historia tamu duniani mungu akutangulie.

  • @michaelkunambi4531
    @michaelkunambi4531 7 ปีที่แล้ว +4

    Lisu nimekuelewa

  • @kudraharuna9410
    @kudraharuna9410 6 ปีที่แล้ว +2

    iv magu hamuon huyu jamaa kua anafaa kua wazr wa sheria na katba

  • @ibrahimshaban478
    @ibrahimshaban478 7 ปีที่แล้ว +4

    uko sawa jembe

  • @kudramkoma5443
    @kudramkoma5443 7 ปีที่แล้ว +3

    thax almight God for providing special activist people as Tundu lisu.

  • @nasibumatutera786
    @nasibumatutera786 2 ปีที่แล้ว +1

    Lissu for the record utakumbukwa milele bungeni na hata nje ya bunge