William Yilima-Nineno Jema (Official VideoHD) sms SKIZA 8084522 TO 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 266

  • @LinetMaranga-t2t
    @LinetMaranga-t2t ปีที่แล้ว

    Continue with that spiri😮

  • @pili-be4kn
    @pili-be4kn 18 วันที่ผ่านมา

    asante sana YESU kwa siku nyingine mwezi mwengine wa desemba tukìsubiria christmass na mwaka mpya BWANA YESU ni kwa neema yako tu BWANA

  • @miltonstephano3246
    @miltonstephano3246 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa matendo yako kwangu hakika wewe ni mwema kwangu Utukufu ni kwako pekee

  • @thatayangoma5200
    @thatayangoma5200 4 ปีที่แล้ว

    Ashanti Mungu ww ni mwema,,ni kweli tulikunja wengi Saudi Arabia 🇸🇦 na wamekufa na mm niko uhai thanks 🙏 Lord kwa wema wako

  • @petersamson678
    @petersamson678 4 ปีที่แล้ว

    Aki nyimbo zako ziko tamu sana mungu azidi kukupa kipawa cha kutoa zingine tens mwaaah

  • @AchuraAkeza
    @AchuraAkeza 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweri mimi niko Saudi Arabia wingine wame fariki na wengine wamerudi nyumbani nasema asante mungu wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @belizenana7083
    @belizenana7083 4 ปีที่แล้ว

    William mungu akusaidie na pia akuongeze nguvu zakumutumikia hio ndo nakuombea kwa mungu

  • @ruthajuma9228
    @ruthajuma9228 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤I love how God has made us testify...Namshukuru kweli

  • @jacklinerudisi5116
    @jacklinerudisi5116 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanti mungu wewe ni mwema.... God bless you man for this nice song

  • @tonyojula2132
    @tonyojula2132 5 ปีที่แล้ว +2

    Mshukuru Mungu kila wakati kwa kila jambo analo tenda maishani mwako,,Asante Mungu wewe ni mwema katika Maisha ya kila mwanadamu

  • @linetaidi4723
    @linetaidi4723 4 ปีที่แล้ว

    Muchungaji naupenda huu wimbo mushukuru mungu asande mungu wewe ni mwema kamili tatatatata tatatata

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song by yilima

  • @lydiahboyani2275
    @lydiahboyani2275 2 ปีที่แล้ว

    Napenda nyimbo xako Xana Xana ,kwanxa hii ya uko wapi eeh Mungu wangu, inanikumbusha mbali Xana 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marywafula2858
    @marywafula2858 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu wewe ni neema kwa umbali huu umenitoa uinuliwe milele

  • @thatayangoma5200
    @thatayangoma5200 5 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙏😭😭😢😢kweli tulikunja tukiwa wengi Saudi Arabia 🇸🇦 wengine walishidwa wengine wamekufa😭😭😭but mm umeniweshesha..,,kweli Mungu inabindi ni kushukulu ww ni mwema 🙏🙏Ashanti Mungu wa lehema Na kushukulu Mungu wangu,Ashanti bro William kwa kunikumbuza

    • @racheldauson9471
      @racheldauson9471 5 ปีที่แล้ว +1

      Poleni Sana Sana

    • @thatayangoma5200
      @thatayangoma5200 5 ปีที่แล้ว

      Rachel Dauson thanks 🙏

    • @cimonmburu8543
      @cimonmburu8543 5 ปีที่แล้ว +1

      Jitie moyo coz mungu Yuko.

    • @thatayangoma5200
      @thatayangoma5200 5 ปีที่แล้ว

      Cimon Mburu wacha tumshukulu Mungu..pahali tumetoka na tupa tuseme Ashanti,,,ata kama maisha ni mangumu

  • @josephmwita3551
    @josephmwita3551 2 ปีที่แล้ว

    William Yilima may God prs you so much nyimbo zako zinanibamba sana

  • @lilianwanjiru6287
    @lilianwanjiru6287 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu Kwa matendo yako maishani mwangu.....Asante, Asante

  • @Fredy_masangala
    @Fredy_masangala 4 หลายเดือนก่อน

    YESU KRISTO ni BWANA type Amen 🙏🏼

  • @damarischepkorir26
    @damarischepkorir26 4 ปีที่แล้ว

    Nivyema kumshukuru mungu Amen inanikumbusha kumshukuru mungu
    nyimbo zako zinanibariki sana
    mungu akubarisana
    kwamaana kwanyinbo zako
    nahisi ndoto yangu hitatimia
    natamani kuamimbaji
    kamauta soma niombee

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 ปีที่แล้ว

    Asante sana hakinikumushu mugu Yale anayoteta haki nimakubwa sana barikiwa sana muguakuogo,e

  • @jacksonnjaga9196
    @jacksonnjaga9196 4 ปีที่แล้ว

    Wengi husahau kwa yale mola amewatedea, Mimi ctawahi sahau kuwa my wife amenitoa mbari, kwa shimo la ulevi nasasa huwa namshukuru pia nashuru mola kuni wezesha kupata familia kumpitia huyu my dear Pamela akinyi, litukuzwe jina lake mola

  • @magejoseph9258
    @magejoseph9258 5 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu wangu kwa yote ata pumzi yangu ni zawad kubwa sana Asante sana Mungu wangu kwa ajili ya mtumishi wako huyu Asante sana Mungu kwa ajili ya familia yangu mama angu na baba na ndg zangu wote Asante Mungu wangu umponye na mama kwani katika kushukru muujiza wangu upo waponye wote wagonjwa walio mahospltalin

  • @edithafidel7073
    @edithafidel7073 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa wimbo huo unanibaliki sana,mungu aendelee kukutia nguvu katika uimbaji na familia yako.

  • @denisgaspar3833
    @denisgaspar3833 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice song Mungu atusaidie tukumbuke kushukuru kama umeielewa hi song pga like apo

  • @SuzyBuginyingi
    @SuzyBuginyingi 9 หลายเดือนก่อน

    Asnte Mungu Kwa Kila jambo maishani mwangu.Amina .

  • @jonathanromo4156
    @jonathanromo4156 3 ปีที่แล้ว

    Waah may God help u and your family for these ministry of songs ambaye inabariki wengi kweli

  • @نانسيعجرم-ظ7ص
    @نانسيعجرم-ظ7ص 2 ปีที่แล้ว

    Mubalikiwe sana na familia yako kabisa

  • @obedkiplimo5197
    @obedkiplimo5197 5 ปีที่แล้ว +4

    Haki ni njema kumshukuru Mungu.Asante kaka William for your wonderful inspirational songs.I pray for you so that you may give more to the Society.

  • @victoriamutheu3880
    @victoriamutheu3880 3 ปีที่แล้ว

    Thank you God, William you have a beautiful wife, she must be nice

  • @leticiakalangali1707
    @leticiakalangali1707 5 ปีที่แล้ว

    Fikiria ni wangapi wamekufa lakini ww u mzm ni jambo kubwa la kumxhukulu Mungu,asantee san Mtumishi kwa wimbo mzurii :uwepo Wa Mungu uende nawe katika hudumaa hiii

  • @assumaniradjao7897
    @assumaniradjao7897 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana na awalinde na kuwazidisha katika kazi yake.

  • @TheGovernor60
    @TheGovernor60 5 ปีที่แล้ว +9

    Hello Mr William.
    You are doing a very great work in these ministry. Your songs are always touching with a moral lesson.
    God bless you.
    God bless the work of your hands.

  • @beckyashiono9684
    @beckyashiono9684 5 ปีที่แล้ว +6

    Thanks Jesus for being good in my life

  • @amanydavid2158
    @amanydavid2158 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi kaka mungu awe kiongozi daima

  • @mikesadera2024
    @mikesadera2024 5 ปีที่แล้ว +6

    Thank you so much God,,, for your sufficient grace,, abundant Love, am what am because of you Yahweh... Uinuliwe juu zaidi maana umetukuka Bwana..... You are ordained by God to give us this live message

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 4 ปีที่แล้ว

    Thanks God kwa kuniepusha na corona najua wengi walikufa lakini mimi ningali mzima

  • @PhilisWafula-vx2xp
    @PhilisWafula-vx2xp ปีที่แล้ว

    Be blessed my brother ile wa ni neno njema

  • @ElisaNikolausi
    @ElisaNikolausi ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi by kijana elisa shekalata

  • @JEREMIEOFFICIAL
    @JEREMIEOFFICIAL 4 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zako kbs zinatosha mioyo

  • @شنوب-ي6د
    @شنوب-ي6د ปีที่แล้ว

    Thenk you god for this far my your name be blessid

  • @KhanKhan-qo6mz
    @KhanKhan-qo6mz 3 ปีที่แล้ว

    Thanks Lord your faithful n your promises A n m ni my life

  • @catherinemuindi8555
    @catherinemuindi8555 5 ปีที่แล้ว +7

    Thank you lord,for your love, kindness, and protection, ooooh thank God for all I have ,

  • @bendhamana471
    @bendhamana471 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo Wenye upako Mungu akubariki

  • @hildamushi1084
    @hildamushi1084 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa wimbo wako mzuri sana,Mungu aendelee kubariki huduma yao.

  • @abrahamdesire3393
    @abrahamdesire3393 2 ปีที่แล้ว

    Thank you God for the family, thank you for the job, thank you for children, thank you for life, their is so much to mention

  • @فيليسزيديك
    @فيليسزيديك 4 ปีที่แล้ว

    Amen mungu akubariki Sana wimbo nzuri

  • @lukasimoleli308
    @lukasimoleli308 5 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu wamtukuza mungu na kumsifu kwayote aliye nitendea sifa na utukufu na mrudishiya yeye hakika yeye ni mwema kila wakati

    • @elizatriza4890
      @elizatriza4890 5 ปีที่แล้ว

      ubarikiwe mutumishi wa mungu na mungu akutie nguvu ili uweze kuindeleza kazi yake mbele barikiwa tena

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 3 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana
    🙏🙌🙏🙇‍♂️🙇‍♀️

  • @mareenemuhonja9244
    @mareenemuhonja9244 5 ปีที่แล้ว

    Asante MUNGU kwa yale yote unayotenda maishani mwangu,na MUNGU akuzidishie huduma yako na akuinue kwa kila hitaji la moyo wako ameni

  • @georgechore7195
    @georgechore7195 5 หลายเดือนก่อน

    This song is a blessing thanks you God

  • @rajabmugo3882
    @rajabmugo3882 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mungu wewe ni mwema, nyimbo nzuri kaka

    • @allysulley4120
      @allysulley4120 4 ปีที่แล้ว +1

      rajab mugo HV uyu Hamaa anatoka mkoa gan

    • @rajabmugo3882
      @rajabmugo3882 4 ปีที่แล้ว

      @@allysulley4120 kenya apa

  • @TeresiaFrank
    @TeresiaFrank 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu umenivusha mengi

  • @luciamatekwa8198
    @luciamatekwa8198 3 ปีที่แล้ว

    Indeed let us thank God for this far

  • @celineissackissack3872
    @celineissackissack3872 5 ปีที่แล้ว

    Thanks God kwely wewe ni mwema umetenda mengi maishani mwangu umeniwezesha

  • @vincentonyango9801
    @vincentonyango9801 4 ปีที่แล้ว +3

    For the love of ur songs,I made my Mum n my whole family to love ur best n great gospel music.
    I hd to download all of them so we must watch them daily. Am feeling blessed Yilima from Nairobi Kenya

  • @mwangijacob4797
    @mwangijacob4797 6 ปีที่แล้ว +2

    Sio kwa nguvu zangu au mipango yangu kuwa kazini, kuwa na mke na mtoto, kuwa uhai leo hii Ahsante sana Mwenyezi Mungu kwa kazi njema umeifanya katika maisha yangu . Uinuliwe juu zaidi.

  • @seromuknguran361
    @seromuknguran361 5 ปีที่แล้ว +5

    William yilima,mwaitege,Martha mwaipaja and Christin shusho you are doing East Africa great again thank you so much

  • @josphinekathoki9636
    @josphinekathoki9636 5 ปีที่แล้ว +6

    You songs are really touching and blessing my God keep on uplifting your ministry

  • @magdalynemusyoka2001
    @magdalynemusyoka2001 6 ปีที่แล้ว +7

    oh i thank you jesus for what you have done,what your doing and what you will do....amen its a nice song.

  • @jumakarenmoga2604
    @jumakarenmoga2604 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama unatazama nami tena 2021 na unahisi kubarikiwa mara dufu like apa injili isonge mbele

  • @pamelanafula2309
    @pamelanafula2309 4 ปีที่แล้ว +1

    Waah!!!! Thank you God,, be blessed man of God

  • @wemamwampashi4898
    @wemamwampashi4898 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana kaka nyimbo zako yatupaswa kushukuulu mungu kila SAA na kila muda

  • @britydenick6548
    @britydenick6548 5 ปีที่แล้ว

    Mshukuru mungu kw matendo yake ametenda maishani mwako..amina asante 2

  • @joanmpalia4268
    @joanmpalia4268 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks my God,, si kwamba nimetenda mwema

  • @tresorngoy8973
    @tresorngoy8973 5 ปีที่แล้ว

    akika nyimbo zako zime tu fariji na kutupa tumaini asante kwa mwenyezi mungu

  • @paulinemuchiri9335
    @paulinemuchiri9335 6 ปีที่แล้ว

    Sio kwa kuwa mimi ni mwema kwa kuniwesessha kufika Mahali nko. Kwa kila jambo nakushukuru Mungu wangu umekuwa mwema kwangu..Asante Mungu wewe ni mwema. Nice song..

  • @julieambogo3013
    @julieambogo3013 4 ปีที่แล้ว

    Amen wimbo mzuri Sana Njina LA Yesu Lipewe sifa

  • @MisheckMakumbi
    @MisheckMakumbi 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Santa wilima🎉🇿🇲

  • @mikesadera2024
    @mikesadera2024 5 ปีที่แล้ว +5

    God bless you man of God,,,, am much blessed na wimbo huu

  • @frankcharles3961
    @frankcharles3961 6 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo hakika nausikiliza bila kuchoka asante mungu wew ni mwema

  • @evangelistgideon6917
    @evangelistgideon6917 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana mtumish

  • @cecileadundo7424
    @cecileadundo7424 5 ปีที่แล้ว +7

    Seriously your songs are the best and blessings to me i love them

    • @vincentonyango9801
      @vincentonyango9801 4 ปีที่แล้ว

      True since 2017 he's the best gospel artist,I feel blessed for sure

  • @ElisaNikolausi
    @ElisaNikolausi ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi

  • @lucyjacob7053
    @lucyjacob7053 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana kaka William nyimbo zako huwa zinafariji kiukweli...barikiwa sana

  • @vivivivi1286
    @vivivivi1286 5 ปีที่แล้ว +2

    ASANTE MUNGU WEWE NI NIMWEMA

  • @paulsaimon8750
    @paulsaimon8750 5 ปีที่แล้ว +1

    barikiwa sana ndugu, hakika n neno jema kumshukuru Mungu kwa matendo yake afanyayo kwangu

  • @innocenttumwiz3798
    @innocenttumwiz3798 5 ปีที่แล้ว

    asante mungu wewe nimwema...wiliam yilima mungu akuliende

  • @nicholasouma9194
    @nicholasouma9194 5 ปีที่แล้ว +2

    the servant of God may our beloved God bless you for serving him without fear Amen

  • @brownbanda2570
    @brownbanda2570 5 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwayote umetenda kwangu wewe niwema kweli

  • @michaelselina6968
    @michaelselina6968 3 ปีที่แล้ว

    2021 namshukuru Mungu kwa afya njema, kwa familia na kwa baraka zake

  • @dhssgs6360
    @dhssgs6360 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mungu hata kwa uhai huu ni kwa neema yako

  • @beatricejohnsonjohnsonmutu3165
    @beatricejohnsonjohnsonmutu3165 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante saaaana kwa wimbo hiyo
    Namshukuru Mwenyezi Mungu
    Amenipiginia Vita kwa mataifu ya bali Asante ndugu yangu Ubarikiwe🙏🙌👏

  • @alicemuya276
    @alicemuya276 5 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu wewe ni mwema katika maisha yangu. Amen

  • @jumakarenmoga2604
    @jumakarenmoga2604 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Asante Mungu wewe n Mwema,,Barikiwa sana Kaka

    • @janetandeyo293
      @janetandeyo293 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante mungu wewe ni mwema

    • @valeryacartereau49
      @valeryacartereau49 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante Mungu wewe nimwema sanaaaaaaa

    • @edithmafunga645
      @edithmafunga645 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu kweli wewe ni mwema sanaaaaa

    • @jumakarenmoga2604
      @jumakarenmoga2604 3 ปีที่แล้ว

      @@janetandeyo293 Amina dada

    • @jumakarenmoga2604
      @jumakarenmoga2604 3 ปีที่แล้ว

      @@edithmafunga645 kweli nyimbo za william zinabariki sana

  • @josephinemwambe3385
    @josephinemwambe3385 6 ปีที่แล้ว +1

    Amen... Namshukuru mungu kwa mengi makuu anayoyatenda ndani yangu... Pokea sifa maana wewe ni mwema

  • @joycedraba1791
    @joycedraba1791 5 ปีที่แล้ว +13

    Hallo who still listening for this 2019 anyone if yes let's say Amen

  • @queenlizmueni3107
    @queenlizmueni3107 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu, wewe ni mwema... ninakushukuru Baba kutoka kilindini cha moyo wangu🙌🙌🙌

  • @amoskiptanuichepsiror4983
    @amoskiptanuichepsiror4983 3 ปีที่แล้ว

    This song is my best of your songs..the message is so powerful.we.

  • @lydiajoseph5119
    @lydiajoseph5119 3 ปีที่แล้ว +2

    My heart is full of thanksgiving and praise.

  • @damarisondiek5414
    @damarisondiek5414 6 ปีที่แล้ว

    Asante MUNGU sistahili chochote bali yote ni nayo ni kwa Neema yako asante kwa afya, uzima amani na kazi Baba Asante

    • @myingaone4746
      @myingaone4746 5 ปีที่แล้ว +1

      Nabarikiwa sana na nyimbo zako zote mungu akubariki sana wiliamu yilima

  • @mibeyalvonita6916
    @mibeyalvonita6916 6 ปีที่แล้ว +4

    Thank you God for all that you av done in ma life!!! Watoto ninao, afya ninayo, huai ukanipa,japo kuwa na changamoto maishani mwangu, umebaki kuwa mshindi kwangu. Japo kuwa Nina kazi duni,Mungu wangu umesimama nami. Mapito ninayoyapitia ni kwa muda tu,maana japo kuwa usiku wa manane ,kutapambazuka na asubuhi itafika. Asanta sana mwimbaji kwa kunikumbusha kushukuru kwa yote Yale. Be blessed as you bless us with your songs

  • @lydianyongesaiyaya2511
    @lydianyongesaiyaya2511 5 ปีที่แล้ว +4

    I thank you Lord for everything

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 ปีที่แล้ว +2

    Thank God for want you did for me thanks Jesus you are AMEN AMEN GOD bless you

  • @abdurazackimimu7743
    @abdurazackimimu7743 6 ปีที่แล้ว

    Namshukuru sana mungu kwa hatua niliopo kwani wapo wanayoitafuta inakosekana ahsante mungu

  • @sashamonique9438
    @sashamonique9438 5 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa mate do yako maisha yangu.. Ni kwa neema yako Mungu wangu

  • @kanyingealex
    @kanyingealex ปีที่แล้ว

    Wow tamu sana

  • @CatherineKilonzi-r7h
    @CatherineKilonzi-r7h 11 หลายเดือนก่อน

    Am blessed by your songa

  • @denniswanyonyi7015
    @denniswanyonyi7015 5 ปีที่แล้ว +3

    William yilima am in love with your songs. May God keep you moving up.

  • @richardmayaka7577
    @richardmayaka7577 5 ปีที่แล้ว

    Excellent bro may God bless u ,nice song

  • @lobemamba5966
    @lobemamba5966 6 ปีที่แล้ว +8

    Ulikuwa uwezi Sasa umewezeshwa amen mungu akubariki kwakazi nzuri

    • @henrykimakwa8763
      @henrykimakwa8763 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akuinusaidi kwa funza walimwengu kumjua zaidi