MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA niokoe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
    Zaburi 7:1-2 | Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye. Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.

ความคิดเห็น • 358

  • @JoycenyellaJoyce
    @JoycenyellaJoyce 2 หลายเดือนก่อน +2

    Damu ya YESU ikanene mema juu yangu na juu ya watoto wanguuuu katika jina la YESU Kristo aliye hai Amen

  • @catherinebarn1493
    @catherinebarn1493 ปีที่แล้ว +3

    Asante.kwa maombi haya ya asb. Mungu akubariki sana

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kila ninapoamka nafuatisha maombi haya na mungu ananilinda mno ,amen

  • @marymohammed-wf8tr
    @marymohammed-wf8tr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wauruma nakukimbilia wewe unisaidie nakujibu ombilangu baba😭🤲

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watesi wangu wafedheheshwe kwa jina la Yesu kwa jina la Yesu milango ya baraka na uponyaji iliyofungwa ifunguke asubui hii kwa Jina la Yesu
    Mtumishi Ubarikiwe

  • @moumou2856
    @moumou2856 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eee Bwana nibariki adui zangu wasipate furaha juu yangu...ameeen

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete ปีที่แล้ว +5

    Amina napokea kwa jina la Yesu ndoa yangu leo itapona 🙏🙏😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @rosemhina6114
    @rosemhina6114 6 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana Yesu, asante kwa kunibariki kupitia sala hii. Naliinua jina lako. Nifunike kwa damu yako ya thamani yesu wangu. Amen!

  • @user-ev8he1xq7m
    @user-ev8he1xq7m 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante kwa maombi ya ssubuhi siku ya Leo Nina lman adui zangu wameangamia kwa moto wa mungu ameniiii ❤❤❤❤❤

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 8 หลายเดือนก่อน +2

    Damu ya YESU inene mema kwaajili yangu ikanifutie adha zote na dhiki zote ,mikosi laana na mabalaa maishani.Amen

  • @FortunataMacha-cl2to
    @FortunataMacha-cl2to 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwa maombi haya mazuri ubarikiwe mtumishi

  • @RudahidwaMitima
    @RudahidwaMitima 4 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea katika jina la yesu

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa MUNGU akubariki mtumishi kwa maombi haya Asante

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi nimebarikiwa na maombi haya ya hasubui

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 4 หลายเดือนก่อน

    Nisala nzuri sana kwa ulinzi wa Damu Ya Yesu siku nzima

  • @sarahmashala2682
    @sarahmashala2682 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏 tumebarikiwa sana kwa maombi haya mimi na mama yangu. Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana

  • @Godfreykabuje
    @Godfreykabuje หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa maombi haya mazuri na kila nikiamka nafuatisha Maombi hayo mungu akubariki sana

  • @FwasanNyirenda-gy7nj
    @FwasanNyirenda-gy7nj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙌🙏🙏🙏 nabalikiwa Sana mingu ukulinde mtumishi

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 3 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu kwakuniamsha salama mimi na familia yangu, naomba damu yako inifunike na familia yangu kila sehemu nitokapo na niingiapo Amen

  • @sabinachimbuvu5409
    @sabinachimbuvu5409 10 หลายเดือนก่อน

    Amina Napokea Kwa Jina La Yesu Ubarikiwe Mtumishi

  • @jenifadaniel7752
    @jenifadaniel7752 ปีที่แล้ว +1

    Amina! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa maombi mazuri ya asubuhi

  • @HappyMhagama
    @HappyMhagama 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishi nimepokea kwajina la yesu mungu akubaliki kwamaombi

  • @naomingoti288
    @naomingoti288 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU azidi kukutunza Sana shambani mwake mtumishi wa MUNGU

  • @abiyambilinyi3862
    @abiyambilinyi3862 11 หลายเดือนก่อน

    Amina napokea kwa jina la yesu leo
    Nitapona vidonda vya tumbo

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏

  • @Barakakny
    @Barakakny 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @SilverDaploo-rw1mp
    @SilverDaploo-rw1mp 10 หลายเดือนก่อน

    Amina biashara ikabarikiwe siku ya Leo pamoja na za wengine pia Kwa jina la Yesu

  • @user-mj6zk7mm7v
    @user-mj6zk7mm7v 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante kwa maombi ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 7 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu kwa kuniamsha.salama..ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @AdelaNgeni
    @AdelaNgeni 11 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru mchungaji kwa maombi mungu asikuache,naamini imekuwa kwa jina na damu yaa yesu aadui hana nafasi mbele yangu,sina hofu nikimwamini yesu kristu.

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm 11 หลายเดือนก่อน

    Aminaa Tena Amina barikiwa mtumishi Kwa maombi ya hasubuhi

  • @user-jt5hj2ws2p
    @user-jt5hj2ws2p 6 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa Jima yesu amina ubarikiwe sana mtumishi.❤❤❤❤❤❤

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi barikiwa Sana kwà maombi haya Asante Sana 🙏

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen napokea katika jina la yesu

  • @HusseinRashidi-wt8es
    @HusseinRashidi-wt8es 11 หลายเดือนก่อน

    Amina napokea katika jina la yesu

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm ปีที่แล้ว

    Ameeni napokea Kwa Jina la yesu barikiwa

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu.
    Amen Ubarikiwe Mts.
    Sana Kwa maombi haya
    ya asubui.

    • @MarietaRukag-ch1vr
      @MarietaRukag-ch1vr 8 หลายเดือนก่อน

      Asante Yesu Kwa maombi maziri ya asubuhi.

  • @jasmisshajra4391
    @jasmisshajra4391 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana Mtumishi wa MUNGU kwa maombi ya Asubuhi MUNGU akubariki sana

  • @edithasichalwe2520
    @edithasichalwe2520 5 หลายเดือนก่อน

    Ninakushukuru Mungu Kwa kunilinda usku mzima na kuniamsha salama ni upendo wako na huruma zako nmeamka salama 🙏kambarik na mtumishi wako huyu Kwa maombez mazur.🙏

  • @josettemoukama5705
    @josettemoukama5705 7 หลายเดือนก่อน

    Amen napokeya kwa jina la yesu

  • @christerbellaangelo4783
    @christerbellaangelo4783 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen AMEN 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm ปีที่แล้ว

    Ameeni napokea Kwa Jina la yesu

  • @user-ot4xh5pf2z
    @user-ot4xh5pf2z 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen mtumishi wa bwana ubarikiwe

  • @naomingoti288
    @naomingoti288 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen damu ya Yesu kristo ikanene mema juu ya family yangu siku yaleo

  • @user-fs5hl7pq3z
    @user-fs5hl7pq3z ปีที่แล้ว +2

    Amen amen amen mutumishi wa Mungu ubarikiwe🙏🙏

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 10 หลายเดือนก่อน

    Amen, Amen na ikawe hivyo Kwa jina la Kristo Yesu Alie hai🙏🙏

  • @leanyaki8748
    @leanyaki8748 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana ni powerful prayer nabarikiwa sanaaaa

  • @GaudenciaMasaba
    @GaudenciaMasaba 28 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu wangu kunipa fursa ya kuona siku ya leo.

  • @user-lq6ty2vy3p
    @user-lq6ty2vy3p 10 หลายเดือนก่อน

    Amina nimepokea Kwa jina la Yesu

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 2 หลายเดือนก่อน

    E bwana yesu. Naomba nitembee na zaburi 7:1-2 Naomba

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 3 วันที่ผ่านมา

    Amen ubarikiwe mtumishi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen 🙏

  • @speshoman833
    @speshoman833 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏🙏 God bless you ameen 👏

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 ปีที่แล้ว +1

    Amen na asante sana kwa maombi haya mazuri.

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwa mtumishi

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 10 หลายเดือนก่อน

    Amen, Amen na ikawe hivyo Kwa jina la Yesu

  • @LilianSande-fo4in
    @LilianSande-fo4in 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki kazi ya mikono yangu niongeze kwa Kila njia

  • @rashackgodwilly714
    @rashackgodwilly714 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amina ❤

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa Sana kwa maombi haya

  • @marywaweru6089
    @marywaweru6089 27 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen amen

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @JosephLihanda-je6hm
    @JosephLihanda-je6hm 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa maombi nabarikiwa sana emen amuna

  • @user-hz6se7vh4h
    @user-hz6se7vh4h 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu hii amponye mtoto Shamiri mukoya mahali alipo katika hospital ya kakamega.kwa Damu ya Yesu

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 10 หลายเดือนก่อน

    Halleluya Halleluya!!.
    Asante Sana Kwa maombi
    ya asubui.
    🎉

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 13 วันที่ผ่านมา

    Maombi ya ushindi Amen

  • @bertilashirima3438
    @bertilashirima3438 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa bwana

  • @yangestakivamba-hu2eq
    @yangestakivamba-hu2eq 8 หลายเดือนก่อน

    Amina sana Àhsante MUNGU

  • @yobokaRaphael
    @yobokaRaphael 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏🙏🙏

  • @hcyfhs566
    @hcyfhs566 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu Kwa kunilida usiku umeniamsha salama mm na watoto wangu family yangu mshaburizi ya watu wambya naifuta Kwa damu ya yesu nifunike Kwa damu yako damu yesu inifunike watoto wangu damu yesu ifunike na kila changamoto nizinazo kuja kwangu damu ya yesu ifunike kazi zangu katika jina la yesu kirsto Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 5 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙌

  • @odettenzeyimana6278
    @odettenzeyimana6278 9 หลายเดือนก่อน

    Amen amen mutumishi wa mungu

  • @user-no2tj4rg9u
    @user-no2tj4rg9u 10 หลายเดือนก่อน

    Amen naiwe hivyo mtumishi wa Mungu napokea🙏🙏🙏

  • @user-wd4ln1zj1c
    @user-wd4ln1zj1c 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana Yesu Kwa maombi haya ya asubui!!
    Ubarikiwe Mtumishi wa
    Mungu Kwa
    maombi ya Asubuhi yananitia nguvu.🎉🎉

  • @user-nd2wv4km8y
    @user-nd2wv4km8y ปีที่แล้ว

    Mungu naomba uponyaji wangu na familia yangu

  • @user-ub3xy9qu5q
    @user-ub3xy9qu5q 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema 🙏🙏🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina baba

  • @sabinachimbuvu5409
    @sabinachimbuvu5409 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Napokea Mtumishi Ubarikiwe Sana

  • @damarisabdueli3604
    @damarisabdueli3604 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏❤

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa Sana 🙏

  • @user-fo6yi1us2q
    @user-fo6yi1us2q หลายเดือนก่อน

    Maombi yako yananibariki sana

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu akubariki Sana Mtumishi

    • @omansaham6362
      @omansaham6362 ปีที่แล้ว +1

      Amen Mtumishi WA Mungu ubarikiwe na Mungu 🙏🙏🙏

  • @user-ju5bq8mw5r
    @user-ju5bq8mw5r 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa kunilinda na kuniamsha salama naomba Mungu nivushe salama siku ya leo kila hukumu ,mashambulizi yakichawi,roho za Mauti na mabaya yote yaliyopqngwa cku ya leo yasifanikiwe najifunika kwa damu ya Yesu Kristo yenye nguvu kuliko damu zote na sadaka zote Amen

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha namaombi kwajinala yesu

  • @elizamithai.654
    @elizamithai.654 9 หลายเดือนก่อน

    Amen in Jesus name Amen

  • @SaraMsigwa-mc8tt
    @SaraMsigwa-mc8tt ปีที่แล้ว

    Nakushukuru mtumishi maana watu hatujui kuomba andante nimebariliwa

  • @AquileraKaria
    @AquileraKaria 4 หลายเดือนก่อน

    Aamen! Damu ya Yesu inifunke.

  • @EsperanceNsabimana
    @EsperanceNsabimana 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Asante Mungu akubariki

  • @Evodiawilidon
    @Evodiawilidon 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-wd4ln1zj1c
    @user-wd4ln1zj1c หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki sana

  • @neemaemmanuel2087
    @neemaemmanuel2087 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm ปีที่แล้ว

    Ameeni barikiwa sana napokea

  • @abiyambilinyi3862
    @abiyambilinyi3862 ปีที่แล้ว

    Nimeamini ninapona kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu.
    U

  • @rizikia6765
    @rizikia6765 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 11 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea uponyaji wa kichwa kwa Jina la yesu Amen 🙏

  • @LucyMmary-dm5vu
    @LucyMmary-dm5vu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte yesu❤