TANZANIA V/S KENYA, Utajiri Na Umasikini
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024
- TANZANIA V/S KENYA. Kenya Ni Nchi TAJIRI, Tanzania MASIKINI, Sababu Ni Hii.
#special4utv #kenya #tanzania #africa #news #nairobi
#magufuli #bongostarsearch
#dpworld #bandari#katibampya#waraka#paulmakonda#makonda
#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews#denismpagaze#denismpagaze
#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews#israel#israel
#samiasuluhuhassan#kaziiendelee
#JPM#CCM#ACT#CHADEMA
#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga
#kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga
#kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya
Zote ni nzuri lakini Tanzania juu kwa mandhari, amani. Kwahiyo naipenda nchi yangu
Tanzania Iko juu ❤
Kiukweli kenya.wapo juu sana japo mm.mtanzania.ukweli usemwe
Sai nikupee Mia ya Kenya 🇰🇪🇰🇪 Ni mingi tz
Ufafanuzi wako kuhusu "land locked" hauko sahihi, hicho ulichosema sio maana ya neno "land locked" by the way both Tz and Ke are not land locked sababu both have access to the ocean., "land locked nations" ni inch ambazo hazina Access or Contact na bahari.
Upo Sahihi
Kenya wametuibia sana tanzanite, dhahabu, mifugo na nafaka.
endelea kujitekenya
Wueh. Kama ni ivyo ndo watanzania wanajua kuhusu kenya I rest my case. Yani watanzania wanaamini huku kenya maisha ni magumu wakati kuna watanzania wengi wamekuja Kenya kutafta maisha hadi wengine wanajifamya viwete ombaomba?. Dah.
Ndio style hizo vibaka humohumo yaani mtajuwa tu kwamba maisha ni akili na wala sio kuwa na vyeti vya vya university
As well kenyan too
Unajua wakenya wangapi wapo tz??...
Ati Nairobi inategemea Tz kwa asili mia 70 ya mahitaji yao ya chakula.
@@IDFEmergencypage wakenya wamejaa vijijini Tz kama siafu. Ukiwauliza wanadai wenyeji wakati tones zao zinawabetray. Unajua tu huyu Mkikuyu lakini unaacha tu kwa sababu wote ni ndugu. Wanakuja kutafuta.
Tanzania sio landlocked
Money values,east Africa pesa ya Kenya iko juu kuliko zote East Africa
Hata hela ya mjapani mtaliano na nchi zingine zilizoendelea haziko juu kivile lakini si kwamba hazijaendelea.MTU uko third world na flying toilets na ma open running sewage na uchafu mitaani unapiga piga makelele
@@hashimchaoga9566Tanzania sucks, OTA Burundi wako Sawa kupita maskini Tanzania,
Pesa kuwa juu sio tatizo bali raia wanaimudu hali ya kipato cha mahitaji kila siku
@@Twahirpizza1994 go back to school,nchi yoyote iloyojuu pesa yake ilo na values,huwezi linganisha Kenya shillings to Tanzania shillings,Kenya Iko juu
Landlock humaniisha nichi yenye iko na bahari
KENYA SIO YA WAKENYA NI NCHI YA WATU WAGENI WAKENYA AWANA ARIDH YAO ARIDH YAO WAMEWAUZIA WAGENI
Ugomvi huu ndio ulimtesa Sana Mzee Mugabe..Zimbabwe ilikuwa wazungu wamejigawia yotee..mwananchi alikuwa Hana kituu..Mzee Mugabe aliamua liwalo na liwe.akawafukuza wazungu..akaanua wananchi wapewe wananchi,,wakalime matembele..ipi Ni nzuri? Tuwe Kama Kenya au tuwe Kama watanzania?
Bora tuishi hivi hivi na umasikini wetuu.Mwl Nyerere aliamua vizuri..tuwe huru na nchi yetu..IPO siku mambo yatakuwa mazuri tuui
Hatutaki usenge wenu wakenya
Maendeleo sio magolofa kama wananchi hawana uwakika wa kula way unambie nchi imeendelea,Tz tupo juu ila ukweli ni kwamba Tz tupo juu
Guy ,mnafaa mjue kuwa in east africa ,kenya is the super power.Kwa wale ambao wamesoma vizuri hawatobishana juu ya hili kuwa kenya iko juu kiuchumi.na katika africa,nchi ya kenya imeshikilia uchumi wa tanzania kwa asilimia kubwa ,hii ni kumaanisha kenya ikiamua kuondoa invester wake tanzania uchumi wa tanzania utayumba sana na watanzania wengi watakosa watapoteza ajira.ila watanzania wengi bado hawajajua ukweli ndo maana wanapiga mawe sana kenya wakati wao ndo tunawalisha
Exactly
Una akili usitufananishe na wala mtura 😂❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿☝️
Hahaha
Wewe kizibo unajua maana ya landlocked??😂😂
Tz bado sanaaaa,kenya tunaeza lala usingizi wa pono kwa miaka thelathini na bado hawatafiki levels zetu walai...
Shem on you,,trust tz is most and ever amen in east Africa ,kama sie ni Bora kuliko nyie why unakuja tz kununua bidhaa, nyie sample ya cement,una bamburi,rhino, but us we know u,Kenya bila Tanzania is nothing,and Tanzania without Kenya is possible
Wanyama wetu Serengeti wanatomba nyumbu za Kenya,nyumbu za Kenya wanakuja Zalia tz ,hata tanasha Dona alikuliwa na diamond akazaa tZ ,,,hakuna nchi strong economy, social security, number,and culture,Haina machafuko kama tz ,the first country in world to be peaceful ever
Tanzania ni Nchi ya kipato cha kati since 2019. Achana na biashara ya Kenya magendo yao ni mengi sana.
Wewe umbwa akuna kitu unajua.. mjinga kabisa😂
Nikweli pesa ya Kenya Iko juu sana ukilinganisha na ya Tanzania
Mi nakubali kwa takwimu na nadharia za uchumi Tanzania iko chini ya Kenya.. lakini kwa ualisia maisha ya wananchi walio wengi kenya ni magumu kuliko Tanzania. Pia baba wa taifa alifikiria mbali kuifanya tanzania kuwa nchi ya communist ndio maana unaona masharti ni mengi. Tazama wakenya wengi hawana haki kwenye nchi yao sababu kuu ni kuwa macaptalist na sehem kubwa ya nchi imeishia mikononi mwa watu wachache ambao wana nguvu. Ndio maana Kenya kuna pengo kubwa kati ya maskini na tajiri kuliko tanzania.Msimamo wangu ni kwamba Tanzania ni nchi ambayo maisha ni bora kuliko Kenya kwa raia mmoja mmoja.
Atujawai lala njaa Kenya. Watanzania hawajasoma kwaiyo hamuezi fika Kenya.. maisha n magumu kila mahali
Hao nchi nzima kenya wameshaolewa na wamarekani sasa waacheni wale rungu vizuri maana wamezidi kula vya wazungu sana 😃😃😃👌
Communist na nyinyi ni maskini
Watanzania tusemeni tu ukweli tumeanza kupiga hatua juzi juzi tangia baba yetu Mugufuli aingie madarakani na mpaka leo mama yetu Samia lakini kenya wako mbele Zamani...tunapokanyaga leo wao wamepita zamani na kutuachia vumbi japo kidogo tunajitahidi kuwasogelea
Uwongouwooooooo
Afadhali umesema ukweli
Acheni ujinga we tz anabahari mikoa mingapi Ana madini mikoa mingapi je analima matunda mikoa mingapi sasa utasema je Kenya yupo juu
Mbona watu wana matusi mingi humu😂😂😂😂😂
Hawapendi kuambiwa ukweli
Tanzania ni slow but sure in development... ukiangalia uchumi ya mtu mmoja mmoja utajua uhalisia wa vitu.. yes sarafu yao iko juu yes, road system, yes skyscrapers lkn vipi kuhusu uchumi ya mtu mmoja mmoja watu wanakula skyscrapers??? Better and normal life iko Tanzania katika faida ya majority people hakuna vita hakuna njaa na inaendelea. Atakae bisha na abishe😂
Kenya na Tz wapi kunamaisha Magumu sanaa jamani
Wote bado ni masikini tu hazina haja ya topic kama hizi.Nchi tajiri hazina nyumba za matope wala zilizoezekwa makuti haina nyumba zisizo na vyoo wala mitaa michafu inayonuka kwa uchafu na open running sewage.Nchi tajiri hawafi njaa kwani pesa IPO ya kununua chakula na kukigawa hata bure na kulima kisasa hata kama kuna ukame
.Acha developed countries watulinganishe na sisi lakini sisi sote tu third world tuna mengi tu in common Usihesabu Nairobi ndio Kenya yote.na hata Nairobi bado INA sehemu kama Kibera Mathare na zinginezo za kimaskini sana hadi kuvitia wstalii
Kweli kabisa kaka hawa wakenya ni wasenge sana kazi kushindana kila siku mitandaoni wakati wanategemea vyakula kutoka Tanzania tulipofunga mipaka ya kuuza vyakula waliandamana hadi wakawa wanavaa masufuria kichwani kwa njaa😂😂😂
Tanzan
Hoyee
Huo ni uongo, mlima kilimanjaro uliletwa Tanganyika na queen elizabeth pamoja na ziwa victoria
Wewe ni mjinga sana
Uyu chalii ni Fwaken kweli 😅😅😂
Hahahaha eda Westland
Both KE and TZ third world countries, in between them everyone does best for their way, there not big differences between them.
Kenya is middle class
Land locked.nchi zisizo na bandari
stori zawa watu wasio kua nauelewa
Tanzania uchumi wake upo nyuma
Watanzania ni kweli hata geti ya shule hamjawai ingia ndio maana maoni yenu ni kama ya mtoto anajifunza kuongea vituu vya maana .Mnasema kuwa wakenya wanalala njaa, hio njaa mnaongelea inamaanisha kuwa uchumi ndio umedidimia kidogo.Na hata uchumi wetu ishuke kiasi gani bado tz hawatufiki.
Tz aridh wanamiliki wana nchi
raiaa wa kenya hawezi kufikiaa thamani ya raia wa tanzaniaaa acheni mambo ya kizamaniiii
Another wasted sperms ,usiongee kitu huna elimu nacho
Ona sasa ubaya ya kutosoma.. 😂
upuuzi wa kisiasa
Weee Ni mjinga
Huku kenya mama mboga,mwendesha boda boda,mwuuza vitumbua na kahawa wanamiliki smartphones yani wako mitandaoni ila Tz hamna ilo wako nyuma sana kiteknolojia😂😂😂😂
Wew ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine. Low Iq
Sasa unamtusi mtanzania mwenzako ambayo anasema ukweli..inaonesha jinsi watanzania hawana akili kabisaaaa
Nyinyi watanzania mnapenda kutamani kenya sna kenya si ligi yenu
Wengi tumeishi huko kuna maisha magumu kwa wengi tu na masikini wengi tu hata wenye flying toilets kule Kibera
You are such a idiot, travel and see.@@hashimchaoga9566
Mnashindania ujinga wa maisha wakati kenya mnalia njaa kila siku mnategemea vyakula kutoka Tanzania
Yaani mngekuwa na matajiri wakubwa kama bakhressa bax cjui mngejivunia kiasi gani nyinyi wakenya
@@Twahirpizza1994 vyakula gani fala hii nani anawategemea acha ujinga nani alikwambia tuna njaa ,nynyi majirani ujinga ndo haiwai Isha kwa hizo akili zenu
I don't know why our Tanzanian neighbours are holding grudges 😂😂i mean there's alot of negativety on the comment section particularly from them 😂😂i wanna know why???
Landlocked ina maana nchi haijapakana na bahari
Huyu mkenya wa wapi vile😂 utajiri wa makaratas na utajiri wa ardhi upi Bora wao wameuza kwa wazugnu Ardhi wako kujenga nyumba za makaratas katikati ya jij ndo anataka na sisi tugawe ardhi yetu mjinga sana hii ni ywtu na watoto ,wajukuu na vitukuuu vyetu
Ccm ndio shida
Punguza ukweli bro😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Yaani unahitaji shule,umetoroka shule kuja kuaibisha watanzania, hujui maana ya landlocked country ni aibu kwa elimu ya tanzania, serikali inabidi iweke viwango kwa watangazaji wa online tv, eti ardhi ya tanzania imefungwa, nenda shule kwanza, landlocked country ni nchi haina access na bahari, kama uganda, nasema tena vijana nendeni shule
sasa wewe ndio unatumia kiswahili kufikiria kuliko kutumia hiyo akili ndogo unayo landlocked country si ety Amna bahari namanisha selkari ndio inamamlaka kwa kila kitu Tanzania ila Kenya selkari imefungua ardhi zake kwa wazungu
@@martinstarford6209 wewe sasa ndio mjinga sana..kama unafikiria hiyo ndio maana ya landlocked country it mean acountry that is not bordered by an ocean..means inatumia ichi ambayo ina bahari kusafirisha bidha kwa inchi yao...wewe rudi shule mbumbavu
uyu atakua mkenya kenge kweli
@@martinstarford6209 ndio msubiri muolewe kabisa ni rungu tuu wake kwa waume
@@martinstarford6209your reasoning is stupid
Bwana mtangazaji wa Kenya rudi shule ukasome maana ya landlocked country acha ujinga wako mnajifanyaga wakenya mmesoma lakini ushuzi mtupu don't come here and lie
Toka wee ardhi imefungwa nani kakwambia,unatetea nchi yako.Mnakufa na njaa kila siku na maandamano halaf unazungumzia mambo yako hapo
Nope but you need to stop comparing Kenya with Villages Am I clear???
Hujui unacho kuongea hata
Acha kuwadanganya w2 au ww mkeny nn
Punguza wivu
Mbona wanalala njaa sasa kama wanamaisha ya kati.
Njaa ata France 🇫🇷 wanalala that's why wako on streets
@@joashagar2695 kipato kidogo nchini kenya, pesa iko juu na maisha yako juu ndo maana wananchi wa kenya wanalala njaa
Uliona Nani Kalala njaa hizo nikelele za wananchi
Si nyinyi ndo mumeanda maandamano juzi juu ya stima..na nani alikuambia tunalala njaa wee mbwa..
Wewe untuainisha. Nini maana ya landlocked country? Mjinga kabisa. Tatizo ni hivyo vyeti vya uandishi wa habari vya mtaaani. Yaani hujui hata unaongea.nini. shame on you
Nasema kweli Kenya ndio masikini mnajikweza mno ajikwezaye atashushwa mnajitugia maneno washamba nyie wapumbafu hamjui hata lugha yenu ni ipii kiswahili sio kiswahili kingereza mnaongea kama mnabugia nyembe washamba nyie
Kuma wewe tumia akili vizuri....wacha kutumia mavi kufikiria nongwe wewe.....wewe umefika kenya..mwendawazimu wewe...kenya hamna njaaa ..kama nyinyi ma suluhu mna njaa shauri yenu
Wewe msukuma lugha yako ni gani 😂😂...sababu sio kiswahili
@@stratonchallenga1185lugha yake ni kiswahili vipi wewe mkikuyu lugha yako ni ipi?
@@Brickyadventures26Acha matusi nyie kenya unga na dagaa zikipanda bei mnaandamani sasa matajiri gani mnakula dagaa wakati huku Tz dagaa wanakula kuku ama na nyie ni kuku?
Wewe ni mjinga sana
Kuma la mama yako
Mbona matusi
Katika nchi maskini Afrika Tanzania haimo Mara nyingi hutoalewa listing mitandaoni. Kama nchi tajiri kwa nini watu Kenya wanakufa njaa.Sijui sasa kwa. nini Kenya wanajazana Tanzania kuja kununua mazao halafu sasa huzungumzii nani anaomgoza kudaiwa na Mchina huo utajiri wake unamsaidia nini. Tanzania hakuna maeneo kama Mathare na Kibera huo utajiri sasa unashindwaje kuondoa sehemu chafu kama hizo.Na hivyo vipato vya mkenya wakati tunaona maisha ya watu katika slums zilizojaa na vijiji vya kusikitisha vyenye nyumba za matope na kuezekwa makuti katika pwani ya Kenya kule Mombasa na Kwale
This is really lie and nonsense .We are all third world and among poor countries.
Wacha ujinga kuwa na slums kama kibera haizuii nchi kuwa na utajiri learn how wealth is measured. Brazil na south Africa wako na slums lakini ni nchi tajiri kuliko Kenya. In Tanzania kama hamna slums why are you not first world?
@@christineopiyo7769 Kenya sio tano bora tajiri Afrika na hizo nchi ulizotaja sio among the richest in the world wala sio developed countries
@@hashimchaoga9566 understand the meaning of subsahara Africa mkuu
Uwongo mtupu.
Mnategemea misaada ya wazungu kwa kukubali ushoga nchini mwenu ndio maana mnazidi kuolewa wakenya kila siku.Tanzania ikifunga mipaka ya vyakula mnaandamana kwa kuvaa sufuria kichwani kwa njaa kali😂😂😂
😮
wakenya njaa tupu chakula hakuna halafu iwe unga au dagaa zikipanda bei yanaandamana eti matajiri yanakula dagaa sisi TZ dagaa wanakula kuku au nanyie kuku?
Punguani 😂
Ww muongo mwanza watu wanakula dagaa hivo kila siku au kwenu ndo mnalisha kuku
Hatuna njaa tunashimba kuwaliko kuandamana haimaanishi ni njaa ni kulinda mifuko yetu
Watanzania wengi hawana elimu ya uchumi ndo maana hupenda sana kuropokwa,sai GDP ni zaidi ya 110billion na Tanzania GDP iko chini ya 100billion.na kumbuka katika Africa nzima ,Kenya ndo ime invest sana tanzania na kuwapea kazi watanzania ,je Kenya ikiamua kuondoa investiment zake Tanzania uchumi utakuwaje na maisha yatakuwaje kwa raia wa tanzania.hakikisha uko na elimu na kitu unachoongea isije ukaleta uchochezi
kenya uwa inaandamana juu hatuwez kubali kununua unga 5000 ka nyinyi juu unezaje tu buy unga pekee kwa maelfu seriously ,are you normal
Kuma wewe ni liongo sana.
Wewe ni mkundu tupu unatumia mavi kufikiria ujinga peleka kwa watanzania wenzako maana nyote ni wajinga tu
Ukweli mchungu. Na TZ isipotia bidii basi UG itawatimulia vumbi
Wewe wacha Ujinga Kenya ana ardhi ardhi za wazungu hata kimaisha Kenya hafiki Tanzania kwa mazamo Tanzania ni masikini wambie wasio ijua Kenya