SGR YA TANZANIA YAWATOA MAPOVU JIRANI KAZI YA RAIS SAMIA INATISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 389

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 หลายเดือนก่อน +10

    KE = we were, we were, we were. TZ = we are, we are, we are.

  • @EmmanuelMsigwa-y6z
    @EmmanuelMsigwa-y6z 19 วันที่ผ่านมา +3

    Haya ndio maendeleo ya Maguful kenya achen kujisifia kingeleza acheni ukabila acheni kumpinga Rais anashindwa kutekeleza maono yake acheni maandamano kila siku

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 3 หลายเดือนก่อน +26

    The Ugandans 🇺🇬 and Burundians 🇧🇮 are our good neighbors. We Tanzanians 🇹🇿 love them very much. They don’t act like know-it-alls, unlike our British brothers who behave as if they invented the English language 😂 ❤❤❤🇺🇬🇺🇬🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿

    • @PakatJames
      @PakatJames 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kenyans believe being in putting mzungu on top of their heads and control their affairs but tanzanians believe on their themselves.

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน +1

      @RamadanPaul l don't even remember the existence of tanzania until they open their big mouths. Hiyo maindi yao tunapatia ngombe na ngurue.

    • @PakatJames
      @PakatJames 3 หลายเดือนก่อน +8

      @cristalclear2499 Well i believe you gotta check the existence of your brain before remembering the existence of Tanzania 🙂

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@PakatJames Well, the brain doesn't exist on its own. Ujamaa ni ujinga kweli. Lala salama.

    • @PakatJames
      @PakatJames 3 หลายเดือนก่อน +4

      @@cristalclear2499 ujamaa ndio akili kwa sababu bila ujama watu wangezaliana vipi?hiyo akili inayoongea yawapi ni yawapi tanzania au Kenya 😆

  • @EmmanuelMsigwa-y6z
    @EmmanuelMsigwa-y6z 19 วันที่ผ่านมา +3

    Rais Maguful kama asingekufa basi kenya ingepitwa kimaendeleo mara 3 zaid

  • @JumaLulanje
    @JumaLulanje 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya siasa za ukabila zinawafelisha

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 3 หลายเดือนก่อน +14

    Sisi ni waswahili ninyi ni wazungu bana , endeleeni kuwa better in English speaking 😂😂

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 หลายเดือนก่อน +9

    An advice to the TZ govt - Protect your strategic investments by all means, some people are envious of your development. They might try to sabotage you, be awake, be watchful and vigilant. Hapa kazi tu, kazi iendelee.

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 3 หลายเดือนก่อน +36

    Huyo fala hujui historia tanzania ndio ilikuwa economy giant of East Africa kabla ya vita na uganda

    • @Ziggzoldyk1
      @Ziggzoldyk1 3 หลายเดือนก่อน +8

      Watu wengi hawajui Tanzania alikuwa na economy, political influence kuliko wao

    • @thomaslali705
      @thomaslali705 3 หลายเดือนก่อน +6

      Hajui hata pwani ya Kenya ilikuwa Tanganyika.

    • @madytwaa
      @madytwaa 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@thomaslali705kumamaye hawajui hilo makuma hawa mombasa yote ilikuwa Tz ndo maana wanaongea Swahili ilionyooka kama sisi hata mazingira na wanavyoishi kama sisi tu

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 3 หลายเดือนก่อน +3

      Hajuii kitu kabisa anabwata upuuzi,Tanzania ananyanganya mini sasa wakati sisi ndio babalao, utamwambia mini mkongo kuhusu Tz,Rwanda Uganda kwaza hapandi kenya

    • @madytwaa
      @madytwaa 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@mathewdyzymaleyafrica9128 Mcongo man cjakupata hapa kwamba unakubaliana na hoja au unapingana nayo

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 3 หลายเดือนก่อน +26

    Shut up bro,Tanzania is the hub of Africa..We are the power house of Africa..Dar es salaam is the fastest growing city in the World

  • @zully756
    @zully756 3 หลายเดือนก่อน +34

    Wakenya ni ndugu zetu maendeleo yetu ni yenu pia. Tusichukiane kwa mambo haya.

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 3 หลายเดือนก่อน +4

      Wasenge hawana izoo tembea Kwanza Mkenya sio ndugu yako 😅

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa ndg.

    • @TweedaZeze
      @TweedaZeze 3 หลายเดือนก่อน

      Wakifaidika unafaidika do You know how many Kenyans work in Tanzania and live in Tanzania

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 3 หลายเดือนก่อน

      @@TweedaZeze We don't want them in Tanzania

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 3 หลายเดือนก่อน

      @@TweedaZeze We don't need them

  • @PhilaniBrown
    @PhilaniBrown 3 หลายเดือนก่อน +37

    But kenya and Tanzanians are neighbors and relatives we Tanzanians are not competing with anyone we are just trying to better our lives

    • @yusufuosman8966
      @yusufuosman8966 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kuwa juu siyo issue Sana wote Sisi ni Bin Adam Acha kutoa maneno yasiyo kuwa na mana ya kusema uipendi Tanzania siyo kauli nzuri

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@PhilaniBrown no no no no why you people talking shit about us every time

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 3 หลายเดือนก่อน +2

      @RonnieBertin No we don't, the thing is that Kenyans think they are the only ones with the right to be moderate in everything and not the Tz the fail to remember we were the first in many things before them and we participated at giving them the identity they have, mombasa, kiswahili, anaebisha akuje haha nikueleze vitu shuleni haiwambii

    • @yusufuosman8966
      @yusufuosman8966 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe huyo hapendi Tanzania kuwa na maendeleo..

    • @modenasayi
      @modenasayi 3 หลายเดือนก่อน +6

      Usijipendekeze kwa wakunyakundu we are not relatives nao. Our relatives are from SADC not hawa malaya.

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 3 หลายเดือนก่อน +37

    Kama JPM (R.I.P) asingetangulishwa mbele ya haki, watu kama hawa wangezimia. Maana underground Treni ya Dar-es-Salaam ingeshanza kujengwa.

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 3 หลายเดือนก่อน

      Kama magufuli angekuwepo nchi ingeporomoka kwani uchumi ulishaanza kuyumba kwa msimamo wake wa kufukuza wawekezaji ulifikia asilimia 4 mama amepambana hiv sasa uchumi ni asilimia 5.5 kuhusu reli ni mpango wa ilani ya ccm hata magu mpango huo kaukuta na ameutekeleza mpaka dodoma lot 1 na lot 2 sgr mama yeye ameendeleza mpaka mwanza na kigoma lot 3 na lot4 na lot 5 vyote kapiga mama samia na mradi unaendelea sasa hebu fikiria mama kwa miaka 3 tu kwanza kamalizia ule wa magufuli mpaka dodoma yeye akaongeza mpaka kigoma na mwanza ukizingatia miradi yote aliyoikuta mama ilikuwa chini ya asilimia 20 tu bwawa la nyerere mama alikuta lina asilimia 20 na deni la trilioni 4 mama kalipa na umeme unawaka kudaadeki hii ni mipango ya chama ccm huwapa marais mipango ya kutekeleza ukiondoka mwenzako anaendeleza kwa gharama ya serikali yake kwa hiyo tumsifu sana mama samia kwa kutekeleza miradi yote tanzania kwa kiwango kikubwa kwa miaka 3 hata magufuli akifufuka leo atamvulia kofta mama samia kwenye ndege mama samia kanunua 4 moja ya mizigo huyu mama ni hatari

    • @PakatJames
      @PakatJames 3 หลายเดือนก่อน +2

      Umenena😊

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo dharau ndiyo maana mungu anataka kuwapa pigo

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 หลายเดือนก่อน

      Haaa haaaaaaa haaaaaa.hata hii moro isingeanza mpk leo

  • @japhetjonathan-l8n
    @japhetjonathan-l8n 3 หลายเดือนก่อน +6

    Please don't involve us Tanzanians in your political issues and we are not competing with you Kenyans..... Open your mind the world is changing many years have passed you should be expecting these things...... Wake up we are in the future.. Sawa mzee hatushindani na tunawapenda wakenya

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 3 หลายเดือนก่อน +5

    Whaaat..oh my God...I can't believe this is happening 😮..anyways.. karibu TZ ..we need to love ourselves, we need to love our neighbours

  • @ahmedmuumin3463
    @ahmedmuumin3463 3 หลายเดือนก่อน +5

    Big up kazi iendeleeee

  • @UnitedAfrica-uw9ct
    @UnitedAfrica-uw9ct 3 หลายเดือนก่อน +13

    MEANWHILE "TANZANIA DOEST EVEN CARE , THE COUNTRY JUST WANT TO DO HER THINGS lol " Jifunzeni kuwa humble , acheni hubris....!

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 3 หลายเดือนก่อน +13

    Magufuli angekuwa hai Sijui nchi hii ingekuwaje kimaendeleo. Wakenya ipo siku wataiheshimu TAnzania.

  • @yarmfayce167
    @yarmfayce167 3 หลายเดือนก่อน +23

    Hii ni Roho mbaya wakenya.
    Wacha wa tz watufunze venye viongozi wazuri huchaguliwa. Wanaotumikia wananchi wao na kwa unyenyekevu huwazikiza wananchi wao juu ya mashida zao na hutatuliwa kwa wakati. Tuwache roho mbaya, na tuwapongeze wa tz, wanatupenda na sisi tuwapende pia.
    So now,..God punishing kenya na sisi wananchi wake through our leaders, sababu tunajisifia sana na hatuko na akili, na tukishinda na roho mbaya tukiwadharau wa tz na our neighbors wengine. Hii ni mbaya sana Kenyans, we must be change our badly behavior.

    • @AmbroseShayo-di8lw
      @AmbroseShayo-di8lw 3 หลายเดือนก่อน +7

      Ndugu Wakenya.Tanganyika ilichelewesha kupata Uhuru kwa mwaka mmoja ili mpate Madaraka ya ndani baadae Tanganyika ilipo pata Uhuru ikaanza kazi ya kuikomboa Africa nyie Kenya mkaaza kujitajirisha wala hamkujali nchi zingie miaka ya 60 mlikua hamtaki kumsikia Mchina sasa ndio anae wasaidia mnaringia kiingereza hiyo ni lugha tu acheni ujivuni ukabila unawatafuna wacha uwatafune alie juu mgoje chini poleni

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 3 หลายเดือนก่อน +3

      ❤🇹🇿Kaka Brother sisi Bongo 🇹🇿❤na Kenya ni Dugu moja

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 3 หลายเดือนก่อน

      Hili la muhimu zaidi. Hatuna haja ya kuchukiana. Sisi ni closer neighbours. Hii mijadala ya kujilinganisha haina maana​@@raphaelkessy7360

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AmbroseShayo-di8lw Watanzania roho chafu.

    • @jumajuma8137
      @jumajuma8137 2 หลายเดือนก่อน +1

      mkundu wako fala wewe kwahyo inakuuma sana sisi wa tz kuendlea sio!!haya ni matokeo ya umoja na mshikamano wetu pamoja na kuwaamini na kuwasikiliza viongozi wetu..tuko tofauti sana kati yetu sisi na nyinyi watu wa Kenya mbwa wewe...endlea kuumia ivoivo.

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 3 หลายเดือนก่อน +5

    U don't have enough resources to compete with TZ 🇹🇿

  • @ZuberiKafashe-mi2wr
    @ZuberiKafashe-mi2wr 3 หลายเดือนก่อน +11

    Huo ni kweli kaka usiopingika tanzania baada ya miaka mitano itakua hube of afrika dont compare to kenya

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wazungu walivyogawa kati ya nchi mbili Kenya na Tanzania walipendelea Tanzania. Mount Kilimanjaro tz lake Victoria tz lake Tanganyika tz Serengeti national park tz ngongongo national park tz mikumi national park tz rubondo national park tz wazungu walifikilia sana tukiwapa hawa wapumbavu wakenya itakuwa shida so wakenya acheni wivu nyinyi endeleeni na maaandano yenu. Tuacheni please

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 3 หลายเดือนก่อน +3

      Umesahau Tarangire,Ruaha, Selou au mwl nyerere, Katavi, Ugala, Saadan, Gombe, Kitulo, Saanane, Burigi na Mkomazi national parks

    • @Wasengenyie
      @Wasengenyie 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nyinyi munafikiri kabila la kikuyu ndio Kenya. Wakenya wengi ni watu watulivu kabisa.

    • @section8ight174
      @section8ight174 หลายเดือนก่อน +1

      @@Wasengenyiewajaluo pia wanapenda fujo sana!!

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri ya mjerumani ameichora ramani ya tz vzr 😂

  • @emmanuelpaul3017
    @emmanuelpaul3017 2 หลายเดือนก่อน +2

    KLM lands in 3 airport in Tanzania, Kilimanjaro, Zanzibar and Dar es salamaa, what about you Kenyans😂

  • @gidasaidagitagno3010
    @gidasaidagitagno3010 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nyie wakenya ni watu wabinafsi na mñapenda kujisikia sana. Tanzania ni watu wenye utu na upendo na bado mtaongea sana kaeni huko na ukabila wenu

  • @Sheba938
    @Sheba938 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya nchi ya mafisadi na makafiri

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน +4

    Haw bila sisi watakufa na njaa. Mahindi kwetu machungwa kwetu tukifunga boda habari kwisha in fact sisi tupo katikati. Katikati patamu nchi yetu imebarikiwa tuna ulinzi wa kutosha opportunity kibao hatuitaji kugombania unga wa sima

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 3 หลายเดือนก่อน +6

    U need to be angry with your leaders and not TZ 🇹🇿

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 หลายเดือนก่อน +23

    Kaka mbona unamachungu sana pole sana ndo maisha sie twajivunia kiswahili chetu na pesa yetu maana munatubeza sana ohh pesa yao haina samani ooh watz hawajui English daaah pole sana kaka

    • @ShufaaMvugha
      @ShufaaMvugha 3 หลายเดือนก่อน +5

      Hebu waambie yao Ina thanan wanefanyia nin kazi uwiz uaminifu hawana hata Niko nairobi naishi now yaan stress kabisa

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk 3 หลายเดือนก่อน +4

      @@ShufaaMvugha pole dada etu wakenya chenga sana...😂😂

  • @babuuosama8752
    @babuuosama8752 หลายเดือนก่อน +1

    Wakenya Tuna tawaliwa ni walaji rushwa walaji mlungula waporaji wa mabillioni ya pesa za miradi hewa KENYA mambo ni MATATU kwa Wawekezaji UPORWE MALI UFUNGWE JELA AMA WAKUPELEKE MBINGUNI 😢 Hongera Mama Samia Hongera Ibrahim Traore. HOVYO KASONGO NGANAWEO 😂

  • @yarmfayce167
    @yarmfayce167 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wakenya wacheni tuko na mentality mbaya sana. Kushinda kuwadharau majirani wa tz. Imetujaa Ujinga na dharau, kujichocha na kujiona tuko juu, Wakenya.
    Ni nini mbaya na tz?
    Kama tuko juu na tumesoma, mbona hatuezi kuchagua good leadership wakutubeba?
    Wrong leaders tuchague wenyewe then after tuwalalamikie wa tz, hii ni nini???

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 หลายเดือนก่อน +2

      UKO NA CHUKI ZAKO WEWE MARIA 😢😢😢😢😢SAMIA MITANO TENA 🤩🤩🤩🤩🤩🤩

    • @yarmfayce167
      @yarmfayce167 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@OmmyJames-xn7ji 😊👍

  • @ernestwegga6557
    @ernestwegga6557 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ss tunawaza maendeleo. Nyie endeleeni na maandamano.

  • @kennedymlawa3380
    @kennedymlawa3380 3 หลายเดือนก่อน +4

    Always remember...(kimya kingi kina mshindo mkuu na bado)

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wacha wakule English nasukuma❣️❣️🇹🇿🇹🇿🤟

  • @samirsaid2087
    @samirsaid2087 3 หลายเดือนก่อน +15

    Hyo ni chuki na roho mbayaa sasa.kwani tatizo liwapi kutesa kwa zamu mazee.wacha chuki

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 3 หลายเดือนก่อน +1

    You are one of few Kenyans that are frank and genuine

  • @Fredymlelwa-ox8xc
    @Fredymlelwa-ox8xc 3 หลายเดือนก่อน +8

    Thanx the late Magufuri kuwa na maono haya.

  • @zamakalefashion
    @zamakalefashion 3 หลายเดือนก่อน +13

    Who care about Kunya? 😂😂😂

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 3 หลายเดือนก่อน

      You meant Kenya or! 😮

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน

      Who cares about tanzanyuma.😂😂

  • @am2323tze
    @am2323tze 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa nyinyi mnaamini UKABILA. Mount Kenya na Rift Valley. Shida iko hapo.

  • @irenewile
    @irenewile 3 หลายเดือนก่อน +3

    Good governance and tribalism how nyoo

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 หลายเดือนก่อน +7

    MUNGU huwainua wanyenyekevu na kuwashusha wanaojivuna.

  • @Tanzania_Sports
    @Tanzania_Sports 3 หลายเดือนก่อน +4

    usisahau kuongelea na kiwanda cha ndege cha morogoro Tz

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania ina bandari 5,Tanga,Bagamoyo,Dar es salaam,Lindi na Mtwara ,pia inajengwa SGR toka Mtwara kwenda Zambia na malawi,the process is on the pipeline,zikikamilika Kenya mtaona vumbi!!

  • @martinabel3896
    @martinabel3896 2 หลายเดือนก่อน +3

    Na mtaumia sana wakenye, baada ya SGR, tuna mradi wa BRT mabasi ya mwendokasi ktk jiji la dar inaenda kukamilila, pia tuna bwawa la kuzalisha umeme, tuna umeme wa uhakika kuliko nyie, usafiri wa baharini na ktk maziwa ni uhakika na mzuri, usafiti wa anga uhakika, chakula kingi na bei ipo chini kuliko nyie, hatulingi wala hatuna makasiriko kama nyie,

  • @mushiisaac1140
    @mushiisaac1140 3 หลายเดือนก่อน +2

    We also have Old Diesel Engine SGR from Dar es salaam to Kapirimposhi Zambia 2000 kms built in 1972 now is upgraded to Modern one like yours in Kenya

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 3 หลายเดือนก่อน +8

    Loo mbya endelea kuchukia tanzania ivyo ivyo sis watanzania uwa mambo yetu kimya kimya atuna muda na mtu

    • @modenasayi
      @modenasayi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ni Roho mbaya siyo loo mbaya unaniaibisha jamani edit basi

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@modenasayiLoo kama mguno.
      Hakuna makosa, ila makosa yapo endapo ukiweka maana yako.
      "Loo" mshangao

  • @JayJaysb
    @JayJaysb 3 หลายเดือนก่อน +10

    Zambia,DRC,Burundi,Rwanda,Uganda even Zimbabwe currently they use the port of Dar

    • @makomabondo6202
      @makomabondo6202 3 หลายเดือนก่อน

      Zimbabwe ya kizimkazi

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 3 หลายเดือนก่อน

      Yes,wazimbabwe wanakuja kariakoo wengi Sana.​@@makomabondo6202

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน

      Who cares.

    • @BongoZaidi
      @BongoZaidi 3 หลายเดือนก่อน

      You forgot Malawi also uses Dar port

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 2 หลายเดือนก่อน

      Those countries already using Dar port

  • @2050bydesign
    @2050bydesign 2 หลายเดือนก่อน

    Even America was a superpower before ww2

  • @songoroalamin3376
    @songoroalamin3376 3 หลายเดือนก่อน +32

    Nabadoooo tunarekebisha TZ to Zambia then Angola inajenga reli from Lobito port to Kapirimposhi to join Tazara railway another network nyinyi mpaka mmalize maandamano ya gnZ watu tunakimbia😂😂😂😂😂

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 3 หลายเดือนก่อน +12

      Wa bongo mna nchi nzuri xana inabidi mlinde inchi yenu

    • @a4afrika
      @a4afrika 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi hakuna namna ya kuunganisha TAZARA na Reli ya Kati kwa kuweka pacha Morogoro? Itakuwa link nzuri ya mikoa ya Kusini na ile ya Kaskazini.

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@a4afrikakuna muunganiko pale kilosa kidatu

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน

      Na penda sana nikiona wazungu weusi (white Niger) wakenya wakigombana wakiandamana. Endeleeni tu kupigana makabila na makabila changanyeni na siasa sisituko hapa tunakula ugali na nyama choma

    • @tausimpoma347
      @tausimpoma347 3 หลายเดือนก่อน +2

      Na mwendokasi bus jiji zima la Dar kitanogaaje😂.

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mara nyingi hawa wanaoongeaga hivi akifika Tanzania mara moja hatangea huu ujinga tena

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 3 หลายเดือนก่อน +16

    Duh Mungu ni mkubwa ,Kutangulia sio kufika hiyo proveb haikusema uhongo. TZ tumesemwa na kubezwa na jilani zetu sana hatukusoma eti Elimu ni ndogo hatujui kingereza. Mpaka ughaibuni tunasemwa . Na englishi haikuwasaidia kitu shida hawaelewani wao kwa wao.Na english yao na walio wapatia hiyo english anacheka wanavyo angaika na lugha ya wazungu .Haibu sana.Mbona Uganda Hawana hivyo? Ni Wivu Nini na sasa huyu baba anasema openly kweri wivu ni hatari mpaka anasema hivyo. Watu wanatisha tutawaogopa kumbe ndio nia yao. TZ tunawatakia mema jirani zetu Utaona wakenya wengi kuja Tanzania kupiga picha za video kila siku wanakaribishwa sanaa TZ wana upendo sana ingawa tunasemwa vibaya na majirani zetu .Mungu anasikia vyote mnavyosema Tuwe na upendo .Mpende jira yako kama …

    • @RasheedKing-bn1xn
      @RasheedKing-bn1xn 3 หลายเดือนก่อน +3

      Ume ongea kweli kaka

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 หลายเดือนก่อน +2

      Acha Wakenya walie lie na kingereza Chao ila kwa top five best Universities in East Africa Tanzania imeingiza 3 Universities.

    • @gideon9454
      @gideon9454 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@BigZhumbewatajua hawajui😂😂

  • @robert-j2s5q
    @robert-j2s5q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila ndugu unawazarau wataanzania sana kutokana na Kauli zako

  • @JohnMhagama-cr7yn
    @JohnMhagama-cr7yn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli ni huo Tz inaendelea kwa Kasi ya ajabu miaka kumi mbele tutawaacha wakenya mbali sana.ikiwa tu tutafanikiwa kuunganisha nchi za afrika mashariki Uganda Rwanda na kongo

  • @prophetmoses4340
    @prophetmoses4340 3 หลายเดือนก่อน +13

    Kwani mkisikia huku kunaitwa bongo mnaelewaga nini kwa mfano

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 pasua kichwa

    • @Assu89Ma2ly-xt4np
      @Assu89Ma2ly-xt4np 3 หลายเดือนก่อน +4

      Walikuwa hawaelewi kuwa ina maanisha akili nyingi,Tz tuna sabab na vigezo vyote vya kuongoza E.Afrika ispokuwa tusinzie wenyewe tu

    • @SaidKasomo
      @SaidKasomo 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Assu89Ma2ly-xt4np mpaka hapa tumefika nafikiri tumeshaamka

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani Rais Samia apunguze mambo mengi amalize SGR.nitampa ❤ yakutosha

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumaaanina nabado likiaazi limemkaba kwenye koo .nabado intandikwa nyingine ya umeme kutoka Dar zambia zimbabwe namibia😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 หลายเดือนก่อน +2

    Channel your anger into positive energy bro. It is the era of TZ now and in the future. A sleeping giant is awakening and you are feeling the trembles. You had your time, we are having ours. Get used to it, the sooner the better for your mental health. Karibu TZ, nchi ya amani, upendo na udugu. Mungu ibariki Africa.

  • @mohamedmwamud
    @mohamedmwamud 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya ni nyinyi wakikuyu ndio mnaharibu na siasa zenyu mbaya mkisema sijui nyinyi ni wengi na president lazima atoke kwenyu...president akitoka kabila ingine mnaanza kumsumbua asifanye kazi yake...moi mlimsumbua na Ruto pia mnamsumbua...as if nyinyi ndio wakenya pekeake wengine hawana haki ya maendeleo

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bro we where is the map that you are referring to...we cant see it on screen...

  • @omzedstationary932
    @omzedstationary932 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂"vivaa..Tz..vivaa!!

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania has always been BETTER than any Eastern African countries. Kenya was fevered by their Bwana.England. Wake Up Tanzania. We Waiting year 2025 to build Tanga/Musoma Electricity Railway Line. Mtalia sana.

  • @wabongoughaibunimediaprodu4471
    @wabongoughaibunimediaprodu4471  2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani kumbe Kenya wanashindana na Tanzania? Nadhani wao walihusika Sana kuzuia maendeleo ya Tanzania kwa sababu walikuwa wanafaidika Tanzania kubaki tegemezi kwa bidhaa zao. Nawaza tu kwa sauti

    • @kelvinMakene
      @kelvinMakene 2 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya lini maaandamano natoka tz a.k.a bongo nataka nijiunge kwenye maandamano any way dollar ya marekani inapolomoka. Ever day

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 หลายเดือนก่อน +4

    Haitakiwi kukasilika kwani nyinyi sahii mnajiita wazungu weusi si ndokitu mnajivunia sahii,pili ata hapa kwetu wapo watu hwaoni serikali imefanya mambo makubwa unayo sema.

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 3 หลายเดือนก่อน +15

    I see huyu Mkenya ana machungu…Hawa watu wana roho chafu isee…😮

    • @yohanajoseph-w2u
      @yohanajoseph-w2u 3 หลายเดือนก่อน +5

      Yupo sawa machungu yake tunatakiwa kuwa nayo lakini Kwa kujenga sio kuwachukia wenzako, machungu hayo yakupatie nguvu ya kupambana

    • @emmysemiono2910
      @emmysemiono2910 3 หลายเดือนก่อน +4

      Nimempenda kwa ukweli na uwazi. Anawaambia wakaze mkanda. Tunataka East Afrika ìwe juu. Mungu awasimamie jirani zetu. Inawezekana.

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 3 หลายเดือนก่อน +5

      Huwezi ukalead kila siku. Kumbuka wenzio wako vitani wanapambana pia hawajalala. Mbona hamjilinganishi na nchi nyingine

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 3 หลายเดือนก่อน

      Ehe, sema ndugu yangu. Hawajilinganishi na waganda, Ruanda, Somalia nakadhalika. Wako busy na Watanzania...!!​@@fredyjunior6961

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wakenya walijifanya Ni Taifa teule dhidi ya Tz, waliakini wao ni wazungu wakabweteka wakaingia kwenye Ulevi kama Raisi wao Uhuru. Kumbe wa Tz wanapigana kujenga Economy yao. Wanashtuka Kenya imezama kwenye maji marefu. 😂😂😂😂

  • @nganzimwaliza8191
    @nganzimwaliza8191 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya ni nchi yenye uchumi mkubwa sana lakini wakiwndelea na tofauti zao,
    Basi Tanzania tunakuja kuwapita kiuchumi,Hivyo waachane na maandamano

  • @MubarakaCloud
    @MubarakaCloud 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi mnayo na ngoja brt system iishe naona mtalia

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 3 หลายเดือนก่อน +2

      Na mitambo yote 9 ya julius nyerere damn na SGR ku connect Burundi na DRC watakunya kwli 😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +17

    Samia endelea kufanya vitu vyako Taifa lisonge mbele

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 3 หลายเดือนก่อน

      ACHANA na wauza nchi

    • @makomabondo6202
      @makomabondo6202 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ni vitu vya magufuli si samia

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 3 หลายเดือนก่อน

      @@makomabondo6202Magufuli ndio amenunua treni na kumalizia Reli? Ukiwa unaongea Pia uwe unafikiri

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 3 หลายเดือนก่อน

      Punguza chuki zisizo na mpango​@@mimiraia2531

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@makomabondo6202Vya Watanzania

  • @emmanuelmuniko17tz21
    @emmanuelmuniko17tz21 3 หลายเดือนก่อน +3

    Samia ni wetu sote ,Tunatamba naye 2025-2030

  • @beatricemortensen8533
    @beatricemortensen8533 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na badooo😂😂😂😂 Bongo mbele kwa mbele.

  • @AkiliSolomon
    @AkiliSolomon หลายเดือนก่อน

    Zilipendwa hizo bro tanzania is the best now

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania sio china contract ni yep makez from turkey alafu acha usenge

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya wame up grade sgr yao wameweka vitanda jiko kwa sababu wanalala kwenye train wabongo tunafanya kazi dodoma tunaishi Dar nyie kobe wenu anachukua masaa kibao kutoka Mombasa to Nairobi

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mshukuri Magufuli amefariki ,sijui njama zenu ingekuwa kigoma

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata bila magufuli mama nae ameendeleza mpaka kigoma na mwanza lot 3 4 na 5 tumsifu mama pia kwani miradi mingi aliikuta ina asimia 10 tena mama amepiga miradi yote na kaimaliza kwa miaka 3 tu bwawa la umeme madaraja sgr maji afya na kwengineko tena angekuwa magu miradi ingekwama kwani walipa kodi walikuwa wanakimbia angepata wapi pesa

    • @UnitedAfrica-uw9ct
      @UnitedAfrica-uw9ct 3 หลายเดือนก่อน

      @@saidbakar-qo6ri True Anapambana mama si mchezo.....Magufuli (RIP) hayupo saa hizi...lakini kazi inaendelea , tuendelee kumuombea Rais wetu afanikiwe zaidi...uongozi sio kazi ndogo.

  • @adamkebby3464
    @adamkebby3464 3 หลายเดือนก่อน +1

    Forget about this nations created in Berlin conference. Be a pan African!
    We are one. Embrace each and every progress in Africa.

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 3 หลายเดือนก่อน +12

    WAKATI WA KORONA “. MULIJIFUNGIA NDANI “. MAHUFULI AKASEMA TUFANYE KAZI , LEO MNAONA MATOKEO YAKE
    NA BADO MTALIA SANA SUBIRINI MUINE

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +2

      Walisikiliza nchi za ulaya na marekani Kwa sababu wao wazungu

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 หลายเดือนก่อน +9

    Acha watoe Mapovu, wamekuwa wakidharau Sana TZ kuanzia Jomo Kenyata ni dharau tu na huwa wanaona TZ ni Dada yao. Sasa ni Wakati wa WaTZ kuita Wakenya Dada zatu. Na bado hawajaona Game linalokuja miaka 2 ijayo.

  • @stevenmtalo4829
    @stevenmtalo4829 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 nimeamini wa Kenya 🇰🇪 ni majirani wanafki

    • @UnitedAfrica-uw9ct
      @UnitedAfrica-uw9ct 3 หลายเดือนก่อน

      hatari sana....hii ni sample ya mtu mmoja , unajua Mama aliashawaelewa kuna siku aliwaambia hawa 'KIZUNGU MINGI"

  • @AliAdika
    @AliAdika 3 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana...

  • @mapundarajabu5416
    @mapundarajabu5416 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania atujawai kushindana na Kenya sisi tuna shindana na vinchi vidogo vidogo vya uraya tambueni iyo kitu sisi tulisha Africa kimawazo

  • @MassaweEdward
    @MassaweEdward 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiburi dharau na majivuno yamewaponza. Kumbe nilidhani Mungu ni wenu pekee yenu Kenya. Poleni kwa hayo maumivu mnayoumwa. Naombeni Mungu awaponye, na msisikitike Tanzania inapoinuliwa.

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 3 หลายเดือนก่อน +2

    UHURU KENYATTA NDIO ALITULETEA BOFLO TRAIN ,INATUMIA DISEIL,HATA YEYE NI MWIZI.

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 3 หลายเดือนก่อน +2

    It feels bad to see the country you despised develop. Please leave Tanzania alone to develop as Tanzania was deep fighting for independence of Neigbours. The war with Uganda backed by Libya and Palestinians sink Tanzanias economy while Kenya never bothered about independence of Southern Africa and so continued to develop

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 13 วันที่ผ่านมา +1

    Wakenya hawawezi kuacha maandamano maana akili zao zimeganda kama barafu.

  • @jumalakers7832
    @jumalakers7832 หลายเดือนก่อน

    Hata hiyo yenu wakenya ni nzuri sana difarent ya kwetu watz ni new model

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 16 วันที่ผ่านมา +1

    Msikasilike ndugu zetu wa damu tatizo leo ujuwaji na kupingana na viongozi wenu havhaneni na siasa uchaguzi ukisha hachaneni kabisa na siasa wacheni viongozi wafanyekazi yao wezenu watanzania uchaguzi ukisha tu tunajazana vijiweni tunajifariji na mpira simba na yanga na maisha yanaendele

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nabado tukimariza kujenga mwanza kigoma tunajenga Dar to Arusha fro rongido

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeshtuka kumeshakucha, tunakila kitu endelea kujidanganya kenya iko vizuri

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sio SGR tu, we are taking water from lake Victoria to Dodoma, 600 km away, 350 km tayari wanapata maji, tabora, shinyanga, . Kenya hawana maji while fresh water is plenty in East Africa. Tumieni akili kidogo, English sio maarifa bwana.

  • @anthonypatrice5247
    @anthonypatrice5247 2 หลายเดือนก่อน

    JPM is one of the best president in Tanzania and make Tanzania great again.RIP Jpm

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 หลายเดือนก่อน

      @@anthonypatrice5247 Na mukamuuwa kwa nini?

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 หลายเดือนก่อน +1

    Time is change game changer

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🔥Kuna Reli ya TAZARA miaka mingi 🇹🇿🇹🇿🔥Tz twendezetu kimya kimya 🇹🇿🇹🇿🔥kwa amani na upepo Kiswahili 🇹🇿🇹🇿🔥TAIFA pamoja sana 😂😂

  • @bensilem121
    @bensilem121 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe siuje Kenya uongoze badala ya kelele mingi😮

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 หลายเดือนก่อน +3

    Before 2030 TANZANIA will be East African Giant kwa Economy na Kenya will be on its knees.
    The goal sio kushindana ni kuboresha maisha ya WAAFRICA ila kama Wakenya wanataka kushindana they should buckle up coz Tz is just getting started.

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 2 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu Tanzania brother wewe ni ndugu so usiumie tuombee duwa tuwe kama Hongkong 😂😂

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o 3 หลายเดือนก่อน +4

    Y tanzania ,y not Ethiopia,Uganda,congo,Rwanda or any other east African members.

  • @primuluskasaija9384
    @primuluskasaija9384 หลายเดือนก่อน

    Have you heard of the Mega ships being built in Mwanza includiing MV Mwanza which will connect the Sgr from dar to Kampala or Kisumu?
    Then the sgr uses internally generated umeme unlike the kenyan imported diesel. Tz is way ahead logistically. The speeds for cargo will be 120kph visaviz the 80kph for kenyan sgr. I agree with you bro,you have reasons to get mad with your leaders.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 13 วันที่ผ่านมา +1

    Burundi ,rwanda, congo pitisheni bidhaa zenu kupitia tz dar port then sgr from dar to your countries, waepukeni kenya kwa vile ni nchi ya vurugu, na waporaji bidhaa za wafanyabiashara.

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mama anajitaidi MUNGU amsaidie sana🎉

    • @nicksonngaamanya1946
      @nicksonngaamanya1946 3 หลายเดือนก่อน +1

      mama wapi asingekua MAGUFULI ivi VYOTE ilikua ndoto

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 3 หลายเดือนก่อน

      USIONGEE USENGE

    • @makomabondo6202
      @makomabondo6202 3 หลายเดือนก่อน

      Mama Yuko bize angani akiiuza Tanganyika na kukopakopa kiboya

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 3 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki​@@nicksonngaamanya1946

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 3 หลายเดือนก่อน

      ​@mimiraiaAcha matusi hayasaidii 2531

  • @haroungwiyamabuzohera-jk3vl
    @haroungwiyamabuzohera-jk3vl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunaijenga AFRICA sio TANZANIA 🇹🇿 PEKE YAKE. KENYA endeleeni kunyang'anyana kila mnachopata, sisi HAPA NI KAZI TU [ KAZI IENDELEE]

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sikujua ni huyu mjinga mumeweka singeangalia ako na chuki ndani ya roho,ati mkenya akiogea tz ananyamaza huyu mtu namchukia sana kwa kauli zake,tz yupi ulimuongelesha akanyamaza ,akingelesha jirani wako uko ushagoo maana nakuona hata uko na wivu hadi kwa majirani wako

  • @MobarokIddy
    @MobarokIddy 3 หลายเดือนก่อน +2

    pole mkuu