Mashaa Allah my brother muadhin and Thanks you rais wetu wa jamuhuri ya Kenya Uhuru muigai Kenyatta kwa taswira njema si kwa Kenya-tanzania pekee Bali kote duniani. I really appreciate you... You're truly God-loving man and religious tolerant
Allah akujaalie Uhuru kenyata uwe ni mwenye kutamka kalima yalaillah haillah Muhammad rasullah na namuomba Allah mtukufu achukuwe roho yako Hali yakuwa wewe ni muislam na upo ndani ya ummat muhammad s,a ,w
Mungu wetu si wa uislamu mpedwa mungu Ni wa watu wote kwa hiyo usijidanganye uislam utakupeleka mbele za mungu.rais Kenyatta alisimamisha hotuba Ni kwa heshima ya mungu Wala si uislam kwahiyo ndugu yangu ondoa itikadi ya udini kichwani mwako.uislam Wala ukristo hauwezi kukufanya ufike mbele za mungu,Bali kumwamini mugu na matendo yaliyo mema .rais kenyata at akifa Sasa hivi lazima afike mbinguni kwasababu Hana itikadi ya udini kichwani mwake hata kengele kanisani ingepigwa angesimamisha hotuba pia.ndugu yangu usijidanganye ondoa bacteria kichwani mwako.
Hili ni jambo la kipekee,,, Mungu ni zaidi ya jinsi tunavyomjua,,, Wito na jambo la msingi kwetu sote ni Maombi. #zingatia #hesabika #may the will of God be done Hongera Mr President
Mashallah May God guide all those who respect the call of prayers and President Uhuru Kenyatta god will definitely rise Africa inshallah I will pray for my brothers and sister of Africa
@@jumayahya2661 shukran. Kama ulifuatilia video moja ya Sheikh Kishk akiwa na mtoto mmoja aliye fanya kuwa na miujiza ya kuwa na elim. Alimuombea dua Raisi huyo wa Kenya awe Muislam baada ya kupata ruhsa kuonana naye ana kwa ana. Ni jukum letu sote kumuombea dua aslim
Mie muislamu mkenya lakini raisi uhuru twamjua na mapombe yake, kusimamisha otumba yake kisa athana, kwa uhuru alitaka sifa tu, hili aonekane mpenda dini lakini mnafiki mkubwa uhuru, serikali yake imeishi kuwauwa mashekhe na hakuna kitu anacho kisema, waslamu wanauliwa usiku kucha Kenya na asemi chochote, mashekhe kufungwa jela kila wakati na hasemi chochote, uhuru ni bangi tu, jitu la raisi likwende.
@@Sandra39823 Hivi kazi ya mungu kuhukumu, sio uislam kabisa kuhukumu wengine kwa visingizio. Alifanya yake, Mungu wake ayajua. Wewe nawe ushajitwaka jukumu la Mungu kuhukumu wengine...
It was Big Respect,and this must be lessons to our Muslim brothers and sisters,because Muslim doesn't respect Christian special when they find us Praying,infact they would abuse us Makafiri.
They call us that because they see us like a dirty creatures but we leave it to God to judge as for us ww must love them because we know God is love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Eleweni bwana..!aliye simamisha hutba n Allah.. Sisi wakenya tuna elewa ivyo.. Mungu ameonyesha ukubwa wake. Kenyatta hamjui uyo aliye adhini alijua mungu tu ndo maana akanyamaza..
Namtukuza MUNGU BABA kwa ajili ya Raisi wa Kenya , kitendo hiki tungekiiga sisi sote kuona umuhimu wa kumpa Mungu muumba wa Kila kitu ibada, bila kujani Niko na Nani. Heri uliyeiona adhana hi na kuiheshimu. Amani hi isiondoke maishani kwako
Juu tuna waheshimu Sana,Swali ni,Inge kwa ni Nyinyi,munge fanya hivo? Ati Mchungaji Moja ako kando na aka aza kuomba,muta sisitisha shugli ya kitaifa,na mungonje amalize maombi yake kwa Mungu aliye tupenda sana aka tutumiaa mwanawe,afe,afufuke na kushinda mauti,God the Father,Son and the Holy Ghost....Amen
Sema huyu ndie alie adhini adhana ilio msimamisha Rais Kenyatta Lakini sio eti huyu ndie alie msimamisha Rais Kenyatta inamana rais hakusimamisha khutba yake kwa ajili ya adhana ni kwa ajili yake makosa hayo
Heshima yake kwa Mungu na kwa imani za wengine ukiongezea na uungwana ndio uliomfanya Kenyata afanye kile wala sio huyo mpiga adhana!Mungu ni mmoja na ndiomana alijeshimu
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
Ni kweli jambo hili lilistaajabisha wengi maana ni vigumu sana viongozi wa serikali kuheshimu Maneno ya Mungu wanachukuliaga ni kawaida tu. Kama kenya upo utaratibu huo Mungu awazidishie zaidi na sisi inabidi tujifunze kutoka kwenu
Kwa kweli Ali interrupt shughuli ya Kitaifa, kwa kuwa haikuwa kwenye ratiba, kwa sisi ambao sio waislam hatukuelewa maana yake ni nini,, Tanzania 🇹🇿 kuna dini nyingi, ikiwa kila dini ingefunga ma spika na kufungulia kwa sauti, ingekuwa tafrani pale. Nawapenda na kuwaheshimu wa islamu na dini zingine, lakini ni vyema kila dini iheshimu dini zingine na shughuli za kitaifa.
Nani ameinterrupt kwa mwenzake? Muda wa adhana ndio ule umefika na ni jambo la kila siku na la kiimani ya dini husika.Sasa wasitekeleze eti kwasabababu kuna shughuli za kitaifa!! Kama ingelikuwa kunatolewa mawaidha kwa sauti kubwa kama ile na wala sio muda wa ibada hapo ingekuwa ame interrupt.
Shikeni William, hako kachuki unakoonyesha sio wewe wa kwanza hata makafiri wa mwanzo kabisa walionyesha, mbona huku tunakokaa kaa makanisa yanapiga kelele usiku mzima tunashindwa mpaka kulala na hatusemi, ila Adhana ambayo haimalizi hata dakika tano imekukera.
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
Mashallah kijana mdogo una sauti nzuri ya adhana.Mola azidi kukujaalia na heko kwa rais wa Kenya.
Manshallah Kwa kijana mdogo ambaye hajihusishi na mambo mbaya ila anashikilia dini nakuombea Allah akuzidishie,na sote atuongoze, ameen 🙏
Allah akujaalie
Thanks my friend for stopping earthly thing
Amiin
Mashaa Allah my brother muadhin and Thanks you rais wetu wa jamuhuri ya Kenya Uhuru muigai Kenyatta kwa taswira njema si kwa Kenya-tanzania pekee Bali kote duniani. I really appreciate you... You're truly God-loving man and religious tolerant
If we want to succeed we've to put GOD first. Kenyan national anthem it's a prayer
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
@@anastasiamainaministries2700 p00
Ongera kenyata mungu akulinde katika mambo yako yote
Hapo nimempa 💯 Uhuru Kinyata. Kijana Allah akipanfishe daraja dua yangu.
WE HAVE A GREAT LEADER KENYANS..RESPECTFUL.
Our "great leader" needs to fight corruption in Kenya tooth and nail!
Mashallah from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Hio ilikuwa Baraka kusikia Aadhaan na kusema Allahu akbar ambaye ina maana Allah ni Mkubwa...ALLAH IS GREAT
Thank you on their behalf....🇰🇪🇰🇪🇰🇪☝🏾☝🏾
Hakuna shughuli za kitaifa mbele ya mwenyewe MWENYEZI MUNGU mwenye DUNIA HII ndiye anaetupa uhai ALHAMDULILLAH
Kwa anae jitambua kwamba tunapta ktk hii dunia
Ilikuwa heshima kubwa sana. H.E. Uhuru asante tunakupenda...
lll
Allah akujaalie Uhuru kenyata uwe ni mwenye kutamka kalima yalaillah haillah Muhammad rasullah na namuomba Allah mtukufu achukuwe roho yako Hali yakuwa wewe ni muislam na upo ndani ya ummat muhammad s,a ,w
Mungu wetu si wa uislamu mpedwa mungu Ni wa watu wote kwa hiyo usijidanganye uislam utakupeleka mbele za mungu.rais Kenyatta alisimamisha hotuba Ni kwa heshima ya mungu Wala si uislam kwahiyo ndugu yangu ondoa itikadi ya udini kichwani mwako.uislam Wala ukristo hauwezi kukufanya ufike mbele za mungu,Bali kumwamini mugu na matendo yaliyo mema .rais kenyata at akifa Sasa hivi lazima afike mbinguni kwasababu Hana itikadi ya udini kichwani mwake hata kengele kanisani ingepigwa angesimamisha hotuba pia.ndugu yangu usijidanganye ondoa bacteria kichwani mwako.
@@dianawitgar6760 qiama ikifika utajua hujui wacha vile unavyo singizia.
@@Sandra39823 Kwani kuna qiama ingine ushawahi shuhudia?
The only leader who truly fears God....hongera rais wetu
WITOO, WITOO..... Hata Mh KENYATA katoa wito kwa WAISLAM na kutukumbusha kuwa WAKATI wa Swala umewadia.
Hili ni jambo la kipekee,,, Mungu ni zaidi ya jinsi tunavyomjua,,, Wito na jambo la msingi kwetu sote ni Maombi.
#zingatia #hesabika
#may the will of God be done
Hongera Mr President
Be blessed young man you will live long Kenya is watching
Mashallah May God guide all those who respect the call of prayers and President Uhuru Kenyatta god will definitely rise Africa inshallah
I will pray for my brothers and sister of Africa
MA SHAA ALLAH ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
Allah akupe umr mrefu wenye her na baraka nww akulinde NA klalaher ishalla
Badilisha kichwa cha habari. Siye huyu aliye simamisha hutba ya raisi wa kenya ni Mwenyezi Mungu alipoonesha miujiza yake kupitia kijana huyo.🙏
Waislam wakenya Rais wenu kashaiyona haqi huyo wajibu wenu mlinganieni tu ataslim.
@@jumayahya2661 shukran. Kama ulifuatilia video moja ya Sheikh Kishk akiwa na mtoto mmoja aliye fanya kuwa na miujiza ya kuwa na elim. Alimuombea dua Raisi huyo wa Kenya awe Muislam baada ya kupata ruhsa kuonana naye ana kwa ana. Ni jukum letu sote kumuombea dua aslim
Hio ndio miujisa? ha ha ha ha.
Mie muislamu mkenya lakini raisi uhuru twamjua na mapombe yake, kusimamisha otumba yake kisa athana, kwa uhuru alitaka sifa tu, hili aonekane mpenda dini lakini mnafiki mkubwa uhuru, serikali yake imeishi kuwauwa mashekhe na hakuna kitu anacho kisema, waslamu wanauliwa usiku kucha Kenya na asemi chochote, mashekhe kufungwa jela kila wakati na hasemi chochote, uhuru ni bangi tu, jitu la raisi likwende.
@@Sandra39823 Hivi kazi ya mungu kuhukumu, sio uislam kabisa kuhukumu wengine kwa visingizio. Alifanya yake, Mungu wake ayajua. Wewe nawe ushajitwaka jukumu la Mungu kuhukumu wengine...
Mungu akubariki sana kijana kwa sauti nzuri
It was Big Respect,and this must be lessons to our Muslim brothers and sisters,because Muslim doesn't respect Christian special when they find us Praying,infact they would abuse us Makafiri.
Hapo umenena kakangu.. mbona wanatuita makafiri?
Yea that is true
U have said it
They call us that because they see us like a dirty creatures but we leave it to God to judge as for us ww must love them because we know God is love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@anastasiamainaministries2700 true my dear...
Please change the headline, the boy didn't stop the president, the president obeyed the prayers to Allah
allah kareem akuzidishie katik maisha yako ameen rab allah ameen
Thats Kenyan respect ulirepresent nchi na Africa in the best way
Good work bro.Prayers is important .May Allah blessings and prosperities follow you
Proudly kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😭😭😭😭😭😭Mabruk, mashallah so amazing our president knew Islamic rule he is so good example to us may Allah guide him may Allah bless us too
Welcome Kenya kijana.our prezo honour God no matter religion
Mungu akubariki sana rais wangu kwa kumpa muumba wetu heshima
Mash Allah may Allah grant you jannah ameen
If it was m7n he can't stop , respect mr president uhuru kenyatta from uganda
🤣🤣🤣
Bismillah Maa sha Allah
Bravo!! Our president our heroe...may Allah guide you to the straight path of Islam, Amiin
Mashallah
Mungu kuongoza Kaka etu barikiwa Kaka
Mungu akuzidishie umri kijana na sote pia inshallah
Jazakallah khayran
Mungu amlinde mtoto huyu
Working hard to promote a religious idiology at all cost and with all means .
اللهم اهدي هذا الرئيس في الإسلام
ALLAHUMMA AMEEN!!! 🤲
Allahumma Ameen !!!
Amiina yarrab 🤲
امين يارب العالمين
Allaahumma Aamiin ya Rabb Aamiin
Mashallah 🤲🏻
Maashallah rais kenyata Allah akuongoze
God fearing president..hongera
Asante sana Rais KENYATTA kwa kuweka mwenyezi mbere ya mambo yote
Bodyguard alishangaa 😁😁😁
Kimbe uliona pia🤣🤣
@@sanurandune8066 kabisaa😂😂😂
😂😂🤣 ndio nmeona alitaka kuliza kuna nn Mr president mashaAllah nampenda Sana rahis wangu Kenyatta
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣
Alikua ana wacwac 😂😂😂
May Allah show you and us the straight path
Alhamdulilah mashaallah
Eleweni bwana..!aliye simamisha hutba n Allah.. Sisi wakenya tuna elewa ivyo.. Mungu ameonyesha ukubwa wake. Kenyatta hamjui uyo aliye adhini alijua mungu tu ndo maana akanyamaza..
Allah no nini nyinyi mbona msiombe kwa kizungu
@@oscahinyangala1490 kiarabu no lugha kamali. Na mungu aliyeteremsha wahyi alitaka hivo
Naipenda sna hii video kwakweli nilifurahishwa na huyu rais
God bless you so much my president
President Uhuru Kenyatta is blessed
Namtukuza MUNGU BABA kwa ajili ya Raisi wa Kenya , kitendo hiki tungekiiga sisi sote kuona umuhimu wa kumpa Mungu muumba wa Kila kitu ibada, bila kujani Niko na Nani. Heri uliyeiona adhana hi na kuiheshimu. Amani hi isiondoke maishani kwako
" Jah rise while the enemies are scattered " bob marley
Masha'allah Allah amfanyie wepesi aijue haki
Ata Mimi hapa nilishangaa kitendo hicho salam toka🇰🇪
Juu tuna waheshimu Sana,Swali ni,Inge kwa ni Nyinyi,munge fanya hivo? Ati Mchungaji Moja ako kando na aka aza kuomba,muta sisitisha shugli ya kitaifa,na mungonje amalize maombi yake kwa Mungu aliye tupenda sana aka tutumiaa mwanawe,afe,afufuke na kushinda mauti,God the Father,Son and the Holy Ghost....Amen
🥰🥰🥰
MashAllah
Nilitokwa na machozi ALLAH AWAONGOZE WENZETU
Kama mim nlirudia kuitizama zaid ya mara 5
Ameen 🙏
@Funny G-ga kwajili ya corona
@Funny G-ga acha uongo ni misikiti ya County 5 peke yake
MashaAllah
Allah amjaalie amuongowe Uhuru Kinyatta.
Mashallah,, proudly kenyan
Rekebisha kichwa cha habari, Adhana Ndiyo Imemsababisha Rais Uhuru Asitishe Hutuba. Co Sema Huyu Ndiye Alie Adhini.
Hawa watu wanashida ya kutoelewa nyinyi mtabatizwa na maji mengi Sana ngojeni tuu mpaka mkubali YESU CHRISTO ni simba wa YUDA
Rais wetu hongera Kwa heshima zako nakutuheshimisha wakenya
Sema huyu ndie alie adhini adhana ilio msimamisha Rais Kenyatta
Lakini sio eti huyu ndie alie msimamisha Rais Kenyatta inamana rais hakusimamisha khutba yake kwa ajili ya adhana ni kwa ajili yake makosa hayo
Waambie wajielewe
True
Rais Uhuru mungu akulinde kweli ww Ni rais kipenz Cha watu
Allahu Akbr
Ma shaa Allah
WITOO...WITOOO nimefurahi atarii Rais kenyata muungu atakulipa hapa duniani na akera pamoja na sisi
Adhana ni mwito ni watu wote wanaitwa waende wamuabud u Mwenyezi Mungu
Wanaitwa Waumini wa Kiislam, Siyo Wote .
Unaeza kunifafanulia maana ya adhana
maashaallah maashaallah
Mashallah,.
Waaah,, God first
heshima kwako kenyata
Beautiful
Mashaaallah
That's great
ALLAH AKUHIFADH WA LLAH FRAHA YANIKURUBISHA KATKA KULIA
WAPO WAPI VIJANA
WENGINE WANACHOJUA NI SURUAL ZA KAMATIA CHINI
UJINGA MWINGI.
ALLAH TUONGOZE
Heshima yake kwa Mungu na kwa imani za wengine ukiongezea na uungwana ndio uliomfanya Kenyata afanye kile wala sio huyo mpiga adhana!Mungu ni mmoja na ndiomana alijeshimu
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
mashaalah
God above all to be revered....
Hongera mungu ndio kila kitu
Mungu ahimidiwe
Wabongo hamna dogo😀😀😀😀😀 kenya ni kitu cha kawaida tu hicho😀😀😀
Ni kweli jambo hili lilistaajabisha wengi maana ni vigumu sana viongozi wa serikali kuheshimu Maneno ya Mungu wanachukuliaga ni kawaida tu. Kama kenya upo utaratibu huo Mungu awazidishie zaidi na sisi inabidi tujifunze kutoka kwenu
Mashaallah mashaallah
God first💪
Munakosa kuelewa raisi wetu aliheshimu mungu siyo mwenye aiadhini eleweni hilo acheni masifa hata kenya hufanya hivyo yy
Huyu ndiye alisimamisha reggae
Sio kijana bali ni maamrisho ya mwenyezi mungu kila adhana ikiita nilazima shughuli zisimame hadi kuongeaongea lazima mnyamaze
Sadfa ni kwamba Rais alizungumzia mwito kabla ya kusimamisha hotuba yake.
Hilo sawa, ila aige mfano wa magufuli. Kenya ufusadi kawaida
Allahhu Akbar!!
Kwa kweli Ali interrupt shughuli ya Kitaifa, kwa kuwa haikuwa kwenye ratiba, kwa sisi ambao sio waislam hatukuelewa maana yake ni nini,, Tanzania 🇹🇿 kuna dini nyingi, ikiwa kila dini ingefunga ma spika na kufungulia kwa sauti, ingekuwa tafrani pale. Nawapenda na kuwaheshimu wa islamu na dini zingine, lakini ni vyema kila dini iheshimu dini zingine na shughuli za kitaifa.
Ubarikiwe
Nani ameinterrupt kwa mwenzake?
Muda wa adhana ndio ule umefika na ni jambo la kila siku na la kiimani ya dini husika.Sasa wasitekeleze eti kwasabababu kuna shughuli za kitaifa!! Kama ingelikuwa kunatolewa mawaidha kwa sauti kubwa kama ile na wala sio muda wa ibada hapo ingekuwa ame interrupt.
Be careful Allah is GREAT. TAKE CARE
Shikeni William, hako kachuki unakoonyesha sio wewe wa kwanza hata makafiri wa mwanzo kabisa walionyesha, mbona huku tunakokaa kaa makanisa yanapiga kelele usiku mzima tunashindwa mpaka kulala na hatusemi, ila Adhana ambayo haimalizi hata dakika tano imekukera.
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
MaashaaAllah
Glory to God almighty
Masha llwahu
Abduuuls with premature enjaculations,adhana has made them reach jannah Fridays😅😅😅😅😅
Pharisees had this attitudes
Maashallah maashallah maashallah
Kabisaa
God is great
Amiin
Hongera
Hamna cha kushangaza hapo aliheshimu adhana tu 😂😂😂
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama TH-cam utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
Huyu kijana hakusimamisha hotuba ya Raisi..alichokifanya Uhuru ni kuheshimu MUNGU.