Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh Sheikh dr sule itakua ni sadaqa bora na hakiba kubwa sana ikiwa elimu yako na ulionayo pia utaiahamishia ktk vitabu itakuja kuwa moja katk ya ukimbusho wa uwepo wako ktk ulimwengu huu kwan watu wengi waliopita hukumbukwa mpaka kesho kwaajili ya vitabu vyao vinavyoendelea kuishi baada ya kufa kwao mashaallah elimu kubwa Allah kakuruzuku Allah akulinde na kila lenye shari na akumiminie kila lenye khery
ASALAM ALEY KUM.HUYO DIYE DK SULE HATARI SANA NAMPENDA KWA AJILI YA ALLAH,MM UWA NASEMA SIKU ZOTE UKISOMA MAKARATASI NISHIDA KWA MFANO HILI NAZUNGUMZA MIMI KATIKA UPEMBUZI WANGU KUTOKANA NA ELIMU YANGU YA DARASA7 LA SABA ETI TUNASIKIA KUNADENGE INAKWENDA BILA RUBANI!!! SASA NIKAJIULIZA INAKWENDAJE HIYO NDEGE IKIWA HAINA RUBANI??? PIA NIKATAKA KUJUA KWA WENZANGU RUBANI NINANI WAKASEMA NI DEREVA,PIA NIKAULIZA IYO NDEGE INAYOITWA DROON INAPAA AJE KUTOKA ARIDHINI KWENDA HEWANI? JIBU INAKOTRORALIWA NINI MAANA YA KUNKOTROO JIBU NILILELILE KUNKOTROO!!! SWALI ANAYE KONTOO HAENDESHI??? MM MWENYEWE NIKAPATA JIBU KUA HAKUNA NDEGE IYOKUA NA DEREVA AWE ANAKAA ARDHINI AU NDANI YA CHOMBO CHENYEWE BADO MM NAMUITA DEREVA SIJUWI WEWE DK SULE UNASEMAJE KWA HILI JE NAWEWE UNAAMINI KUNA NDEGE HAINA DEREVA???
Assalamu alaykum, mashaallah historia nzuri, na amini kua anaetaka kujifunza kweli atakua amepata kitu. Kisha nilikua nauliza Kuna clip ya huyo huyo Dr sule ktk hii hii mtoro tv online ya mwaka 2021, alikua akizungumzia historia yake pia, katika clip Ile alitaja kwamba anataka kuanzisha madrasa ambayo itafundisha Qur'an, Hadith, na elimu linganishi kati ya Qur'an na Bible pia kiingereza, vp kuhusu hili jambo limefikia wapi?.
Miziki na vinanda haina nafasi au ndo mnawataka watu wapate hamasa au majonzi kwa hizi vinanda Mnapotosha watu imekua kawaida ssaivi mpaka aya za Qur-an mnawekea hizi miziki
Al Haji DR Sule kwa Imani na kujitolea kwake Kuelimisha wanadamu kumjuwa Mungu .Mungu mwenyewe anampa ufunuo kwa kila atendacho Mungu amzidishie
As salaam aleikum,kwa hakika sijamuona au kusikia Mwalimu kama dr sulle.mashallah
MA SHA ALLAH
AL HAJJ DR SULE
YOU ARE AMAZING MAY ALLAH AZZA WAJAL PROTECT YOU FROM AN EVIL EYE ALLAHUMMA AMEEN.
Mashallah❤❤❤❤
Allah akurehemu sheikh azidi kukupa hafya nzuri Inshallah 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
RAMADhani ya 3 Bado nakudayi 550€
Sio amrehem hajafa
Mashallah. Allah akulipe kila la kheli
Mashaallah ❤❤❤❤❤
Maashaallha Allha akujalie Kila la her
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh
Sheikh dr sule itakua ni sadaqa bora na hakiba kubwa sana ikiwa elimu yako na ulionayo pia utaiahamishia ktk vitabu itakuja kuwa moja katk ya ukimbusho wa uwepo wako ktk ulimwengu huu kwan watu wengi waliopita hukumbukwa mpaka kesho kwaajili ya vitabu vyao vinavyoendelea kuishi baada ya kufa kwao mashaallah elimu kubwa Allah kakuruzuku Allah akulinde na kila lenye shari na akumiminie kila lenye khery
Mashaallah
Mashallah me nakukubali sana
Allah be upon him
Amenichekesha Alhajj Dr sule, et unakalia sofa la million 4 me nna njaa kweli ahhah
Dr.sule nskupenda kwa ajili ya Allah
Masha allah
Masha Allah
Allah akuzidishie nguvu dr
Mashallah ❤❤❤❤❤😂❤
Maaaasha Allah dkt Sulley
Vitu vingine si vya kutangaza humility
Kweli kabisa kaka yangu tulikamatwa sana
Huyu ndio Dr. Sule bhana
Hajasoma lkn ni dr hapa ilibid amchimbe vzr ikawaje mpk akawa na ujuz wa mas ala ya tiba ikiwa yeye Alkuw anasoma historia tu za dini
Asante studio
Wow 11kids mashallah
Sheikh alhajj dr sule
ASALAM ALEY KUM.HUYO DIYE DK SULE HATARI SANA NAMPENDA KWA AJILI YA ALLAH,MM UWA NASEMA SIKU ZOTE UKISOMA MAKARATASI NISHIDA KWA MFANO HILI NAZUNGUMZA MIMI KATIKA UPEMBUZI WANGU KUTOKANA NA ELIMU YANGU YA DARASA7 LA SABA ETI TUNASIKIA KUNADENGE INAKWENDA BILA RUBANI!!! SASA NIKAJIULIZA INAKWENDAJE HIYO NDEGE IKIWA HAINA RUBANI??? PIA NIKATAKA KUJUA KWA WENZANGU RUBANI NINANI WAKASEMA NI DEREVA,PIA NIKAULIZA IYO NDEGE INAYOITWA DROON INAPAA AJE KUTOKA ARIDHINI KWENDA HEWANI? JIBU INAKOTRORALIWA NINI MAANA YA KUNKOTROO JIBU NILILELILE KUNKOTROO!!! SWALI ANAYE KONTOO HAENDESHI??? MM MWENYEWE NIKAPATA JIBU KUA HAKUNA NDEGE IYOKUA NA DEREVA AWE ANAKAA ARDHINI AU NDANI YA CHOMBO CHENYEWE BADO MM NAMUITA DEREVA SIJUWI WEWE DK SULE UNASEMAJE KWA HILI JE NAWEWE UNAAMINI KUNA NDEGE HAINA DEREVA???
Drsule unasema uongo kuna siku nilikusikia umesema mwanao anasoma shule ya msingi
Shule ya msingi ndiyo nini?International Schools hakuna elimu ya msingi?au unamaanisha nini?
Assalamu alaykum, mashaallah historia nzuri, na amini kua anaetaka kujifunza kweli atakua amepata kitu.
Kisha nilikua nauliza Kuna clip ya huyo huyo Dr sule ktk hii hii mtoro tv online ya mwaka 2021, alikua akizungumzia historia yake pia, katika clip Ile alitaja kwamba anataka kuanzisha madrasa ambayo itafundisha Qur'an, Hadith, na elimu linganishi kati ya Qur'an na Bible pia kiingereza, vp kuhusu hili jambo limefikia wapi?.
Ayo maneno yapo you tube saivi unasema wanao hawaja soma shule ya msingi
Kasema private school
Kaswida za dida
Miziki na vinanda haina nafasi au ndo mnawataka watu wapate hamasa au majonzi kwa hizi vinanda
Mnapotosha watu imekua kawaida ssaivi mpaka aya za Qur-an mnawekea hizi miziki
Inakera kwa kweli vinanda ivo maana yake nn
Ww hujielewi usiropoke kuku ww hapo umeskia Quran au
😄😄😘😘
th-cam.com/video/FAJunBxUYpY/w-d-xo.html njoo tujifunze sasa
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah