Zipo Aina Kuu Tatu ( 3 ) Za Watu Katika Jamii - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 128

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +24

    am a giver, when i listern am laughing myself coz i lost my time years ago to help people but when i have problem no one is near to help me more as i helped them. i learnt this bro when i lost my job. thank you for sharing still learning how to balance my life when am in givers position

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +1

    HATA MUNGU ANASISITIZA KUTOA KULIKO KUPOKEA. ILA UWE NA KIASI KATIKA KUTOA SIO KUTOA HATA KWA VITU VISIVYO NA MSINGI. BIG UP NANAUKA

  • @linussngolly2089
    @linussngolly2089 5 ปีที่แล้ว +1

    ongera Kaka nakupenda sana

  • @apolinarydaud7829
    @apolinarydaud7829 4 ปีที่แล้ว

    Waoooh imekaa vzr unanijenga sana na napata mwongozo kwa yale ambayo nlikuwa sifaham .......God may assist u

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 5 ปีที่แล้ว +10

    Very nice content my brother. Takers are like vampires... Wananyonya na wanapenda Shortcuts. 👍👍

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Sure #SeeYouAtTheTop

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 5 ปีที่แล้ว +1

      Nakuona bro. Ezden.
      Kaka Joel nipo. Ninyi nyote mu walimu wangu. Mungu awabariki sana

  • @lilianbenson5774
    @lilianbenson5774 5 ปีที่แล้ว

    Somo nzuri Kaka .kwa kweli mimi ni giver nimejifunza mengi .astante kwa somo.

  • @jasminemachake1033
    @jasminemachake1033 5 ปีที่แล้ว

    Napenda nibadike kuwa na 1

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 5 ปีที่แล้ว

    mimi giver ila nlijifunza kitu hapo kati kutokana na ugive nusu maisha yaende kombo isipokua mipango ya mungu tu hapo zamani kwa sasa ni giver ila ugiver wangu unakiasi .nimejifunza nsijali watu mpk nkaharibikiwa, na mimi pia natakiwa njijali .ila zamani hatari nkipita njiani nkimuona mzee,mbeba rikwama,ombaomba .inshort kazi ngumu yyt sichukui kwangu mtihani ,sichukui na wala sio kama nnauwezo sina kabisa sametime machozi yananitoka ruhuma .kwasasabinafsi hii hali nimeitibu kiasi fulani .

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana
    Safi sana
    Ila sauti ya muziki IPO juu

    • @samymdundu
      @samymdundu 5 ปีที่แล้ว +1

      Hhaahh Afu nyie wa mambo sjui saut imepinda sjui background haijakaa poa inaelekea nyie ni TAKER kabisa yan aiseee hhhaaahh

    • @eliezamhando6433
      @eliezamhando6433 5 ปีที่แล้ว +1

      poa

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh Am Giver kwa Kweli, thank you brother Joel nanauka stay blessed.

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 ปีที่แล้ว

    Joel izo milio zinaboa

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 5 ปีที่แล้ว

    Niko group number 1......umeongea ukwel.... Mimi natoa hadi nakuwa Sina hela mfukoni Alafu nakuwa Sina wasiwasi......alafu ujinga wetu mtu ukimfwata anaona kama unamtania una shida..... Aaaahaa lakn tuna bahati sana ktk maisha na pesa ktk group ili Givers

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +11

    Thank you brother, kila siku umekuwa tumaini kwenye maono yangu kupitia mafunzo yako, be blessing.

  • @yussufmbuko9564
    @yussufmbuko9564 5 ปีที่แล้ว

    Nice kk

  • @danielamosi2553
    @danielamosi2553 3 ปีที่แล้ว

    Umenigusa

  • @ahmedsalum2788
    @ahmedsalum2788 5 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana.👍

  • @egibertelias7739
    @egibertelias7739 3 ปีที่แล้ว

    asee, thanks bro kwa kunifungua. nmewahi kuishi na jamaa yangu lkn alitegemea kila kitu kutoka kwang na wote tulikuwa sawa sawa kiuchumi

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 5 ปีที่แล้ว

    Duh!! Yaani kaka J ahsante kwa somo zuri

  • @michaelmpigauzi9210
    @michaelmpigauzi9210 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka, tungejua hata hizo tabia kwa kiswahili ingekuwa poa zaidi, halafu watu hawajaelewa sana somo, utafiti unasema giver ni wachache, lakini naona kila mtu giver kisa katoa , wapi takers, mimi bado najitathimini

  • @pascalnguya9654
    @pascalnguya9654 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante brother ni Darasa LA saba kupitia we we najiona kama nimefika chuo

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว

    Ukifuatilia Givers ni watu wa Imani Sana, They Sacrifice for Others with Love. Ahsante kwa Elimu hii, More Blessings to You Brother

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 5 ปีที่แล้ว +1

    Huo mlio unaokusindkiza n vzr kuubadili 7b unafnya tusikusikie vzr au punguza ukali wa sauti.

  • @isackdickson3796
    @isackdickson3796 5 ปีที่แล้ว

    Daah Kaka Nanauka nafkiri mi ni matcher

  • @zuberially4222
    @zuberially4222 5 ปีที่แล้ว

    Shukran mungu akulipe na akubakishe hakika unatufundisha mengi

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 5 ปีที่แล้ว

    B blessed more brother J

  • @jasminepeter7598
    @jasminepeter7598 5 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kweli

  • @SandrineNduwimeNduwim
    @SandrineNduwimeNduwim 5 ปีที่แล้ว

    Thank you.Mimi ni giver nikikosa sina msaidizi .Nataka nipunguz .

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 5 ปีที่แล้ว

    Yangu tatu you scratch my back i kwangura yours as well.Teet for tat is a fare gem.

  • @fidelismukandara932
    @fidelismukandara932 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu I'm giverss nimejijuaa leoo asantee Sana'a Brook,,manaaa nasahauguu mpaka kufanyaa yanguuuuuu thanks alot

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa kutuelimisha ,nimewai kukaa na mtu Daa kwakweli Kama huna roho ya uvumilivu nishida

  • @hildergasper3008
    @hildergasper3008 5 ปีที่แล้ว

    You touched my heart and made me understand myself even more......#Its okey to say No,Its okey to ask for help...Thanks so much for the lesson ,I will improve

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 4 ปีที่แล้ว

    Mwalimu somo zuri ila music umeuzidisha sana

  • @deodatusmziwanda9009
    @deodatusmziwanda9009 5 ปีที่แล้ว +1

    I am a giver uwiiii for really nahitaji kubalance nashukuru brother

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika na nimzuri sana.

  • @fadhilirashidi4764
    @fadhilirashidi4764 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nadhani Bro Joel wewe ni Giver maaana nmeanza kukuskiliza tangu 2017 ,, wewe ndo umenipa vitu vingi vya malengo na sijui ata kama unanijua ila naimani UTANIJUA see me at the Top

  • @charleschacha6257
    @charleschacha6257 5 ปีที่แล้ว +1

    Hilo kundi la kwanza ndo alimo mume wangu jamani yaan yy anafaidiwa sana na watu wa nje kuliko wa ndani

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kbx kaka

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 5 ปีที่แล้ว +2

    Mr.nanauka good up vzuriii...

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Àbďł Hàľèêm Ahsante sana

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Mie ni mmojawapo

  • @mercylineabuko9572
    @mercylineabuko9572 5 ปีที่แล้ว

    Sahi nimejifunza mengi nimekataa tamaa ya kusaidia

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว

    Daaaahh am Givers loh!!!! Af nikazungukwa na watu wa karibu ni Takers ,ukipata shida hawasaidii ng'ooo.Nilivyowasoma nikasitisha kuwasaidia na sintawasaidia coz wao hawatanisaidia.Sasa hivi nimekua Matchers kwa baadhi ya watu,kua Givers nimeibakisha kwa ndugu zangu wa tumbo moja tuuu coz huwa tunakua pamoja hata nikiwa sina.

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr bro

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 ปีที่แล้ว

    Mimi ni macher

  • @hassansimba3680
    @hassansimba3680 3 ปีที่แล้ว

    Mm nipo kwenye givers bro

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 5 ปีที่แล้ว +3

    Lin Zanzibar...

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 5 ปีที่แล้ว

    Nimepigwa na mambo mengi sana ila msimamo

  • @SalmaHassani-i7h
    @SalmaHassani-i7h ปีที่แล้ว

    Mimi nipe nikupe kbs

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 5 ปีที่แล้ว +1

    For those giver. You must, love don't wait to be loved. and don't looking for the direct value. I am a giver

  • @sheddykayanda4369
    @sheddykayanda4369 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa mjuba....i gain something mercy frere

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Im a giver..

  • @veronicakauye2087
    @veronicakauye2087 5 ปีที่แล้ว

    Mimi ni giver, na nimejifunza kitu hapo, lazima ni- balance mambo, asante sana Kwa elimu hii

  • @hassaniothumani5501
    @hassaniothumani5501 4 ปีที่แล้ว

    True

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa mafunzo, mm ni "matcher" kuna changamoto sana kuwapata givers ili nione hatua yangu ya mafanikio na mara nyingi sana hukutana na takers kwa kawaida humfanya matcher abadilishe muelekeo na kumuacha akiwa hasarani katika kupiga hatua za mafanikio yake.

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    You are true..

  • @zubedakaluli6638
    @zubedakaluli6638 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha,magiver wamekuwa wengi .WAP takers.me am matcher kwakweli uongo ni dhambi

  • @aronijuma1913
    @aronijuma1913 5 ปีที่แล้ว

    Nice lesson

  • @fredyasante1115
    @fredyasante1115 5 ปีที่แล้ว +1

    nimepoteza sana nimegundua I am a giver. now nimejua nitajibalance.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera #SeeYouAtTheTop

    • @fredyasante1115
      @fredyasante1115 5 ปีที่แล้ว

      Joel Nanauka Asante sana nimecheka sana uliposema anaweza kutoa mshahara wake wote ni kweli huwa nnafanya hivi 😀

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Zote zimenigusa engo mbali mbali

  • @wadikhamis8954
    @wadikhamis8954 5 ปีที่แล้ว

    Mimi apo sipo kundi lolote isipokuwa najitahidi kutafuta njia za kujikwamua maisha

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 5 ปีที่แล้ว +9

    Mm nipo kwenye giver....yaan kuna changamoto siku ukikosa mtu ana nuna yaan haamin kama umekosa,

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Hongera Kujifunza Karibu Tena Darasani

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 ปีที่แล้ว

    Kw maelezo uliyonipa mm ni giver na naitaji kubadilika kw sasa yan umenugusa kabisaaa

  • @lucasmwassamaki6034
    @lucasmwassamaki6034 5 ปีที่แล้ว

    ubalikiwe nanauka uelimishaj wako nimkubwasana

  • @edigarfurumericus3745
    @edigarfurumericus3745 5 ปีที่แล้ว

    Mm ni giver & matcher kwa tathmin yangu 🙆🏽‍♂️

  • @eriquepol5582
    @eriquepol5582 5 ปีที่แล้ว +6

    Mimi ni matchers 3 kiukweli najal mtu aliyetayari nami kama haupo tayari nami sitoi

    • @hosnaemam6831
      @hosnaemam6831 5 ปีที่แล้ว +1

      Tupo wote nipe nikupe hiyo hahaaa

  • @kingsimbahh8458
    @kingsimbahh8458 5 ปีที่แล้ว

    Goood#KAKA nanauka

  • @sumiodilo1180
    @sumiodilo1180 5 ปีที่แล้ว

    Naongeza hapo kwenye strategy ya namna ya kuishi baada ya kujitambua u mtu wa aina gani.
    i- kama ni giver basi tafuta mchumba/mume/Mke ambaye ni taker. Katika muunganiko huu mwenzako akikuona unatoa sana anakukumbusha inachopaswa ujitendee ukiwa pamoja na familia kwa ujumla. Pia, kinyume chake.
    ii- kama ni taker basi mtafute ambaye ni giver. Hapa vingi havitoenda nje. Kama taker huyo atathimini familia basi ataifikisha kileleni.
    iii- kama ni nipe nikupe- hawa watafutane tu. Mali zao zitazunguka ndani ya familia yao. Furaha itaipamba nyumba hiyo kwa maana kila mmoja atakuwa anakikuna kipele cha mwenziye. Hakika, watayachekea maisha yao.

    • @samymdundu
      @samymdundu 5 ปีที่แล้ว

      Hhhhaaahh ngoma nzito pale unapata mchumba alafu wote mataker hhhaah utafurai hapo

  • @aquilinenestory1346
    @aquilinenestory1346 5 ปีที่แล้ว

    Background volume is too high brother #See you at the top

  • @devothadonaldsimbi3499
    @devothadonaldsimbi3499 5 ปีที่แล้ว

    Mimi Ni givers but najua kubalance kwani nasaidia Sana Sana na najitoa Sana na sifa ulizozitoa Ni kweli kabisa,Ila nikihitaji msaada Tena hata usiohitaji pesa kupewa ushirikiano Ni shida sana.lakini kwa kuwa nimeumbiwa hivyo kubadilika sio rahisi.ahsate kwa yote

  • @VeronicaYenga
    @VeronicaYenga หลายเดือนก่อน

    Nashukru,nimejiitambua natakiiwa nijibalansi, mimi ni kundi la kwanza

  • @Msetotz
    @Msetotz 5 ปีที่แล้ว

    Kuna watu sio ma giver ila wanapenda sifa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว

    MIMI NI MATCHER, NIMEJIJUA, JOEL WW UKO WAPI KATI YA HIZO

  • @FrancisTossy-zy2tu
    @FrancisTossy-zy2tu ปีที่แล้ว

    Mimi ni Giver
    Na Kwa bahati mbaya nkapata mpenzi ambaye ni receiver
    Yaan yalikuwa majanga

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว

    Kumthamini mtu asiekuthamini..wastage of care😄#matchers

  • @jabirmikidad9505
    @jabirmikidad9505 5 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 5 ปีที่แล้ว

    Bro nakuelewa sana na unanijuza vitu vingi Sana and you keep me strong. Kuhusu I mada ya leo imenigusa Sana , Mimi nimejitambua hapa kuwa Ni matcher ila naish na na rafiki yangu ambaye Ni taker ,Sasa ulipozungumza kusuhu kulipia bili , kununua chakula , na vitu vingine vingi na vitu vingine nikweli ye anahisi mi ndo natakiwa nifanye Kila kitu hapa geto. Ila inaniumiza Sana I hali bro mpaka ninakuwa na hasira nikapange sehem yangu.

  • @dadamwana7926
    @dadamwana7926 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi najiona kama kwny makundi mawili sa cjui usahihi wangu ni upi maana natoa kwa wahitaji ila sasa ikatokea me nikakosa msaada my be kwa mtu ambaye najua anauwezo wa kunisaidia ndio nasema ahaaaa kumbe mm najila eeeh basi hapo natoka kweny giver na kuamia kwny matches lkn kwa mtu husika.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Hongera Kujifunza Leo #SeeYouAtTheTop

  • @zulferabour607
    @zulferabour607 5 ปีที่แล้ว +1

    duuuh m nlkuag giver nkaona nkpta ttz hmn wa kunsaidia nkaamuw kuwa taker kwakwwl ...sas itbd niache hahah

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 5 ปีที่แล้ว

    Matcher hapo Ya mm nahisi kabisa nikipata aye ludisha itakuwa poa

  • @beatusmpogoza4200
    @beatusmpogoza4200 5 ปีที่แล้ว

    Bro JN wewe ni Giver au matcher? See u at the top. I love u bro. Thank for ther lesson

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 5 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hapo kwenye Matcher natamani niiweze kubalance

  • @seinsolo9923
    @seinsolo9923 ปีที่แล้ว

    Apo ni kama nimeangukia kwenye giver

  • @khamissmwakyembe4238
    @khamissmwakyembe4238 5 ปีที่แล้ว

    Nipo kwenye kudi la kwanza ambalo ni gives

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kweny gives ndipo nilipo ya hadi mudamungine nawaza ivi nitafanikiwa kweli coz natoa hadi bas

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Hongera Kujifunza Usiache Kujifunza

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 5 ปีที่แล้ว

    Mimi ni giver, na wakati huohuo Mimi ni matcher, sababu natoa sana lkn sa ingine roho inauma wakati Mimi sisaidiwi chochote nikiwa na shida.

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 4 ปีที่แล้ว

    Mm bro nanauka ni give up lakin nashkur kwanipa kit leo naimani ntajua lakufny kwaupate wangu ili nisifike changamoto mby km izo

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว

    Takers wengi ni wale walioiba mafuta morogoro

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 5 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Aziz @😆😆😆 ibrahim

  • @reginakarema8584
    @reginakarema8584 5 ปีที่แล้ว

    Swali kwako joel mbona giver akiwa na shida akuna wakumsaidi??

  • @Mlevimedia
    @Mlevimedia 5 ปีที่แล้ว

    Saf sana kama ...nimeelewa somo ila...background sound ipo juu kidogo nakusikiza kwa shida...haujawah harib nafikir ubinaadam...

    • @samymdundu
      @samymdundu 5 ปีที่แล้ว

      Wenye izi comments wote mnaelekea ni mataker ... Mala sauti haijanyooka mala bro ajasimama vzuri mala maandish madogo Hhhaah daaah

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 5 ปีที่แล้ว

    Ni ukweli usiofichika pia haujawahi kukosea katika masomo yako

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว

    NAISUBIRI KWA SUBRA YA KUJIFUNZA

  • @maticsleokas1785
    @maticsleokas1785 5 ปีที่แล้ว +3

    sound track haijakaa ki insparation editor ya kwako hii Mr Joel hausiki

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante Kwa Ushauri

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 5 ปีที่แล้ว +1

    Mim kama mim in Matcher aise nilikua napata shida kazn sas ntawambia wa2 ukwel kwa nn npo hiv nilivyo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Hongera Kujifunza Karibu Tens Darasani #SeeYouAtTheTop

  • @barakasylvester83
    @barakasylvester83 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel naona wanaofanikiwa katika maisha ni hao Wa nipe nikupe .au wewe unaonaje? Naomba unifundishe katika hayo magrupu ni watu gani wanafanikiwa haraka??

  • @wakudatamjanja
    @wakudatamjanja 5 ปีที่แล้ว

    13comment

  • @godlistenkesau647
    @godlistenkesau647 5 ปีที่แล้ว +1

    Scratch my back en l scratch you back

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Sure #SeeYouAtTheTop

  • @sangijamadukwa1486
    @sangijamadukwa1486 5 ปีที่แล้ว +3

    Upo vzur bro ila hio background ya mziki usiweke tena

  • @mwajumamwishehe2743
    @mwajumamwishehe2743 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo kwenye namba moja yani natoa mpaka kuna muda mwenyewe nakuwa sina kitu

  • @selinamwakiluma7968
    @selinamwakiluma7968 5 ปีที่แล้ว

    Sorry, mziki umekuwa na sauti kubwa sisikii vizuri

    • @samymdundu
      @samymdundu 5 ปีที่แล้ว

      Wew ni taker hapo ujasikia piaa???