Namna Rahisi Ya Kuwa Na Furaha Siku Zote - Joel Nanauka.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 125

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 5 ปีที่แล้ว +38

    Kanuni Kumi za Mafanikio na raha moyoni.
    1.Usimtegemee Mtu.
    2. Ishi Kwa uwezo wako.
    3.Usikopi maisha ya mwingine na ukawa yako.
    4.Usione Kama Umechelewa.
    5.Kuna watu wanakuja na mazuri ili kukupoteza ktk malengo.
    6.Mpende Mungu na awe msiri wa malengo yako,usimwamini mtu... Atakama mtu kukuuliza kitu mpe jibu ambalo nitofauti na unachofanya.
    7.Ukiwa na mtu mpe nafasi ya kuongea,inakusaidia kumjua mtu au watu.
    8.Kuwa mbunifu Kila atua na uwandike ktk notebook,inakusaidia kujua kama umetoka nje ya malengo yako.
    9.Kila changamoto ni Kwa muda.
    10.Usiwe na haraka wala mbwembwe na kile unachofanya kwenye malengo yako Utafanikiwa tu.

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimeamka nikiwa sina furaha na hii inajirejea rejea sana ktka maisha yangu, yaani kuna sku naamka namnunia mume wngu pamoja na wtoto wngu nakua na hasira hasira.. Alafu nakaa tu mwenyewe nalia nakulia... Yaani spati jibu la masuali yangu kwanini hii hali inanijia.. Na naishi maisha mazuri tu... Japo kua maisha yangu ya awali yalikua ya shida.. Sijui tu kwanini nakosa kujifunza... Kila baada ya muda inajirejea hii hali 😢

  • @heavenlypatric4822
    @heavenlypatric4822 5 ปีที่แล้ว +4

    Umenipa njia ya kufanyia kazi ilo jambo la tatu ambalo nikuwa na mawazo chanya.. Naamin kuwa ndo shida yangu ya kutokuwa na Furaha.. Ahsante kwa elimu hii Joel

  • @alloykabwe6754
    @alloykabwe6754 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefukuzwa kazi mwaka jana,jambo linalonikosesha Amani na Furaha kila nikifikiria. shukran sana Br Joel, Najihisi mwenye furaha sana baada ya kujifunza Somo hili Zuri. kuanzia sasa Nita FOCUS ON SOLUTIONS ,Naamini Nitatimiza Malengo makubwa niliyonayo. see you at the Top

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +2

    NIMEPENDA HIYO YA KUKAA NA KUJISIKILIZA KWA MUDA , YAAN KUJIHOJI ,THAT IS GOOD JOEL

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein 5 หลายเดือนก่อน

    Dah Aisee leo nimejifunza kitu

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +3

    Woooow somo nzuri sana brother nimepata kitu hapa tena kikubwa tuu ubarikiwe sana brother @JoelNanauka endelea kutupa madini👏👏

    • @thegirl1405
      @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyu alierudi na tabasam 😄 ya kupata soko la viatu amenipa nguvu 💪 💪 ya kufanya jambo furani la kujiamini kikamilifu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      #SeeYouAtTheTop

  • @emmamasonga4847
    @emmamasonga4847 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sana kaka kwa somo lako nafikiri hizo mbinu zote umezotoa zinanifaa ila hio ya kujilinganisha na watu wengine nimeipenda zaid

  • @dorotheankungu8386
    @dorotheankungu8386 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza ili uendelee kutusaidia ndugu zako

  • @richardvalson4313
    @richardvalson4313 5 ปีที่แล้ว +1

    Elimu nzuri sana ßrother #Nanauka🤝🤝

  • @andochiusrwelengela1844
    @andochiusrwelengela1844 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka Joel hakika nimejifunza mengi kutoka kwako, endelea kutuelimisha.

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante asante Joel MUNGU akupe maisha marefu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu
      Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu
      #SeeYouAtTheTop

  • @restachiniko3362
    @restachiniko3362 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru snaa kaka Joel hakika umesema na maisha yangu kabisaa as if ulikuwa wayaona but now am going to change and be happy always no matter what.thanks again for this massage. Mungu akubariki

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu
      Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu
      #SeeYouAtTheTop

  • @lilykessy6284
    @lilykessy6284 5 ปีที่แล้ว +2

    Nashkuru kwa somo ...nilikua nafanya dhambi kubwa ya kujilinganisha!
    Hata nikianza biashara nawaza ntamfikiaje mtu fulani,,,
    Naiacha tabia hii haraka sana!
    Pia nmegundua watu hukuonyesha "unachokitaka kukiona" especially social media km instagram hakuna mtu anakuonyesha nyuma y pazia so usipokua makini waweza kujiona km umechelewa maisha sana kumbe uko na right way

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Extraordinary Mkuu

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 5 ปีที่แล้ว

    Natatenga mda zaidi kwajili ya Mungu hasa nyakati za Asubui nitaongeza ratiba yangu ya kila siku kupata Muda wa kufikiri nimeelewa sana hapo

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana J

  • @aasavah
    @aasavah 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante Joel. I' 've learnt to be positive always in order achieve my goals. No matter which challenges I face, just have a positive mindset #see you at the top.

  • @jackycute2047
    @jackycute2047 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki babq ufike mbali

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka asante sana kwa mafundisho.

  • @dorotheankungu8386
    @dorotheankungu8386 3 ปีที่แล้ว

    Kaka asante sana ubarikiwe unatunza mengi na ni mema kwakwel

  • @mohamedabdi4369
    @mohamedabdi4369 5 ปีที่แล้ว +2

    Wow great advice, watching from Nairobi

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 ปีที่แล้ว

    Naam ni sahihi kabisa ...ahsante sana

  • @lilianbenson5774
    @lilianbenson5774 5 ปีที่แล้ว

    Thanks Mr. Joel for your free lessons I've learnt to focus on my goals and Be positive. You inspired me a lot. Thanks and God bless you teacher.

  • @mathewkanyungu2653
    @mathewkanyungu2653 5 ปีที่แล้ว +1

    Focus on a solution!!! Ujumbe mzuri sana kaka Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
      #SeeYouAtTheTop

  • @kitongojitz6476
    @kitongojitz6476 5 ปีที่แล้ว

    asee kaka joeli ubalikiwe sana mm napitia wakat mgum ambao waliniibia vitu vyang vya ndan ila kupitia ii nimepata jawabu✌✌✌

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 6 หลายเดือนก่อน

    Asante xana Joel

  • @salehali9203
    @salehali9203 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunafeli wengi kwa kujilinganisha,nimejifunza hapo,ahsante mtaalamu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @rahmamuhode9042
    @rahmamuhode9042 5 ปีที่แล้ว

    Amen kaka kwa mafundisho mazuri. Mungu akutunze

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana Mr joel nanauka nimejifunza hii Elimu uliotoa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @stephahObimo
    @stephahObimo 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Asante Sana ila nimekuomba tutumie na video kwa wale watu ambaoo wakiwa na shida Huwa wanyenyekevu ila inapo fika kulipa deni huwa ni usumbufu watuhawa tuwadai vipi maana hawa niadui wa maendeleo yako

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka ntabadilika badala ya kujilinganisha nitajifunza kutoka kwao. Nimejifunza vingi sana.
    Mungu akubariki kaka
    See you at the top
    #TIMIZAMALENGOYAKO

  • @salmaoman6347
    @salmaoman6347 5 ปีที่แล้ว

    Daaah joel joel kka

  • @nevernicodem8420
    @nevernicodem8420 5 ปีที่แล้ว

    Waaaaaoh asante sana nimepata kitu

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +4

    Thank you my mentor. be blessed.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks Too
      #SeeYouAtTheTop

  • @jabirmikidad9505
    @jabirmikidad9505 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kaka joel,,nimejifunza

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @johaneskaizilege6671
    @johaneskaizilege6671 11 หลายเดือนก่อน

    Good advice
    From now nahisi furaha iliyo ya ajabu sana moyoni mwangu 😂😂🥰

  • @furahamakunga5347
    @furahamakunga5347 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri hii kaka

  • @SANIBOY2024
    @SANIBOY2024 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sna kk

  • @issanamangaya1815
    @issanamangaya1815 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri

  • @balangdalaluamb6540
    @balangdalaluamb6540 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsantee Mr Joel

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kaka kwa somo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @Dodoma_photographer
    @Dodoma_photographer 5 ปีที่แล้ว +1

    thanks for the video brother Mungu aendelee kukutumia. amen

  • @gideonkipruto3987
    @gideonkipruto3987 5 ปีที่แล้ว

    I see bro hii imenigusa sana, nakupenda sana

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +1

    to my side taking every situation in a positive way still is challenge because some situation is hard to think positive. Thank you for sharing am learning alots

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +2

      Thanks Too
      #SeeYouAtTheTop

  • @symohsakani
    @symohsakani 4 ปีที่แล้ว

    Umenijenga Sana kaka

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 5 ปีที่แล้ว +1

    mafudisho mazuri barikiwa kakangu

  • @melissamhumbira147
    @melissamhumbira147 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurahia

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeisha kuwa na marafiki wote wa hizi aina 5 .

  • @janethlwena2438
    @janethlwena2438 5 ปีที่แล้ว +1

    I think am on right track...from number 1-4 the only place that i may sometime stuck is no 3 but am commanding self to be positive always...awesome presentation 😁

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
      #SeeYouAtTheTop

  • @YusuphPaulo-md8ys
    @YusuphPaulo-md8ys 10 หลายเดือนก่อน

    Nitatafsiri vitu katika njia ya chanya

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @latifamoshi846
    @latifamoshi846 5 ปีที่แล้ว

    Long live teacher

  • @challostanley5775
    @challostanley5775 5 ปีที่แล้ว

    Genuinely talking bro

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @gharanifarecy5070
    @gharanifarecy5070 5 ปีที่แล้ว

    Thanks so much Joel

  • @roidamlasu5476
    @roidamlasu5476 5 ปีที่แล้ว

    Back ground sound iko juu sana urekebishe hilo kaka etu

  • @katemajr9374
    @katemajr9374 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe🙏🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu
      Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu
      #SeeYouAtTheTop

    • @katemajr9374
      @katemajr9374 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka pamoja 👍

  • @roi2554
    @roi2554 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee unanifanya nijihisi kuishwa matatizo

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @leticiampeka1488
    @leticiampeka1488 5 ปีที่แล้ว

    woow thank you so much for the lesson👏

  • @arbasyarbasy7729
    @arbasyarbasy7729 3 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @neemaonesmo7642
    @neemaonesmo7642 5 ปีที่แล้ว

    Thanks Sir,

  • @mosesmdindile332
    @mosesmdindile332 5 ปีที่แล้ว

    Sauti tatizo mziki unakuwa mkubwa sana

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 5 ปีที่แล้ว

    That's why I'm happy

  • @taifangiliule4890
    @taifangiliule4890 5 ปีที่แล้ว

    *No 3 ndilo nitalifanyia kazi coz ndilo nalo hisi kuwa linanikosesha furaha*

  • @FelistaMollel-x3j
    @FelistaMollel-x3j ปีที่แล้ว

    Nitatafuta jawabu la jambo

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 5 ปีที่แล้ว +1

    Heavy message, All da best Chief

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 ปีที่แล้ว +1

    point

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Thanks Too
      #SeeYouAtTheTop

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 5 ปีที่แล้ว +2

    Good brother...

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
      #SeeYouAtTheTop

    • @livinusmtashobyaa3197
      @livinusmtashobyaa3197 5 ปีที่แล้ว

      Àbďł Hàľèêm hi

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว +1

    Joel Hakika Wewe nimwalimu mzuri sana peace bro

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 5 ปีที่แล้ว +2

    I really enjoy watching you , lakini hiyo
    music background kidogo iko loudly
    Kwa hio inakuwa hatuwezi kukuskia
    vizuri au Kwa makini...natumai
    utarekebisha bro... thank you so much.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Thanks Too
      #SeeYouAtTheTop

  • @nasratwaha1632
    @nasratwaha1632 5 ปีที่แล้ว

    Mm nashindwa kuongea na mtu anaponekosea au nikiwa na tatizo naishia kutuma msg kwa cm nifanyeje

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 5 ปีที่แล้ว +2

    Music imekuwa kubwa na inakera hata kukusikiliza tunaomba usieke music

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Sawa Rafiki Nimeyapata Maoni Yako #SeeYouAtTheTop

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +4

    ILA KUWA NA FURAHA SIKU ZOTE SI RAHISI JOEL,YAAN INABIDI MUNGU BABA AWE NDANI YAKO HASWA ILI UMUDU HULI.

  • @paulomaona2811
    @paulomaona2811 3 ปีที่แล้ว

    nitafiri pissitive kila siku

  • @mwajumayunus2041
    @mwajumayunus2041 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaa mimewah ata video bado

  • @esthercheupe4529
    @esthercheupe4529 5 ปีที่แล้ว

    Ivi meditation inafanyajwe maana me celewagi?😕😕

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 5 ปีที่แล้ว

    Mimi kaka Joel ninafuraha, ila naomba unisaidie wazo.
    Niliwahi kukuuliza kua ofisi yako unapouzia vitabu kwa hapa Dar, ili nielimike na vitabu vyako sikupata jawabu.
    Mimi nimtu naishi Katoro ya Geita. Ila kwa sasa nipo hapa Dar, jana pia nilijsribu kukupigia simu, kila wakati naambiwa Uko bize.
    Sasa unanisaidiaje ili nipate vitabu vyako viwili!? Ambavyo ni timize malengo yako & tabia 12 za watu waliofanikiwa.

    • @mariamarcel7163
      @mariamarcel7163 5 ปีที่แล้ว

      Hakika nimepata shule .Be blessed MrJoel

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +2

    Siku hizi muziki unakuwa mkubwa sambamba na sauti yako ..
    Otherwise good sir

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks Nafanyia Kazi #SeeYouAtTheTop

  • @lomeombata3985
    @lomeombata3985 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka joel me napenda saana mafunzo yako yananisaidia saana napenda nijifunze zaidi kama naweza kupata kitabu cha ishinde tabia ya kughairisha mambo maana nmejifunza masomo mengi kwa njia ya video ila naona sasa ni wakati wa kujifunza kupitia kitabu nipo iringa nahitaji mjini

  • @mbelyterry1584
    @mbelyterry1584 5 ปีที่แล้ว +2

    Mkubwa nakusikiya ila hiyo background ya music inatusumbuwa tusisikihi maneno yako hawazo hapa yanakuwa tukusikilize au tusikiye music tunakuwa tuko Confuse hapa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Pole Tunafanyia Kazi #SeeYouAtTheTop

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +3

    Siku hizi muziki unakuwa mkubwa sambamba na sauti yako ..
    Otherwise good sir

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Tunafanyia Kazi Rafiki Yangu Mpendwa #SeeYouAtTheTop