Bro umetema madini sana umetema Almasi kabisa nashukuru kwa ujumbe. Naomba kufaham bei yakitabu cha Timiza malengo. Nakile cha timiza malengo Ahsante #see you
lack of mentor or coach this is a challenge to us african we have few mentors the rest are so jelousy on helping others. ndio maana watu wengi hatufanikiwi kwa kupitia hao watu. Thank you for sharing
Ahsante sana kwa mafunzo, hapa kwenye kuwekeza katika kipaji ni mahali panapowagusa wengi maana, kuna gharama kubwa kwenye suala la muda, fedha, uhusiano wa kijamii, nk.
Marafiki wanachangia sana kuharibu kipaji, maana unapokuwa maarufu Marafiki wanakutafuta kwa kasi, inabaki Kazi yakuchambua yupi ni wafaida na wahasara. Asante Mwl. J. A. NANAUKA
Kwa kweli mnatusaidia sana .. Wewe ni tabibu Wa afya ya fikra zetu.. Kama mm binafsi napata Maono sana kupitia Mafundisho haya... Mungu awalnde sana ..Mnastahki kupata Tuzo za kimataifa.. 0659353388(Fundi Rajab)
I really love this season. Somo zote unazotupa ni ya wakati timilifu👌 Nashukuru sana kwa maelezo haya kaka (I count you my mentor and life coach, thanks alot)
Kweli kabisa Joel watu wengi wanakwama kwasababu hawajui kwamba jambo kubwa ni kuwekeza katika kile wanachokifanya na kwahiyo jambo kubwa ni kipaji na sio katika kuwaonyesha watu kwamba unaishi vizuri wakati kiuhalisia sio na ndio maana ukubwa wa MAFANIKIO yako unapimwa na jitihada zako. Na jambo kubwa wawekeze katika kuelekea uhuru wa kifedha kwa kuweka SAVINGS.
Shukran kaka kwa soma zuri la jinsi ya kulinda kipaji. Mimi kuna mtu wa karibu sana ndo anaua kipaji changu na kumwepuka ni ngumu sn. Sijui hata nifanyaje?
Naomba kaka unitumie namba yako zangu ni 0747129290 nataka tuongee mimi ni msanii mchanga nimetapeliwa sana kaka ila najua ushauri ni faida kubwa kwangu
Thanks teacher wetu kika cku iitwayo leo tunajifunza kupitia ww
I can't wait for this to premiere. Must be very interesting... Good morning buddy!
Success Path Mnatusaidia sana...
Ninyi ni matabibu Wa afya ya fikra zetu..kama mm mmenisaudia sana ...Mungu awalinde...0659353388(Whatsup)
Thanks Too
#SeeYouAtTheTop
Shukrani...Endelea kufuatilia na waambie wengine mazuri unayojifunza katika chaneli hizi @@rajabuibrahimu4338
Dad sina lakusema brother umepiga ikulu
Asante sana mwalimu Nanauka bado napata Elimu kwako
#SeeYouAtTheTop Nisaidie Kushare
Kaka naona umepungua sn mwil,kama ulikuw unaumw pole na Mungu akupiganie ..
Seif Zongo Ameen nashukuru sana
nimekuelewa mwalimu
Asante Mwanafunzi Kwa Kujifunza
Bado atujitambui.... Tuna tongotongo ktk Elimu ya kujitambua
Karibu Tena Darasani Rafiki Yangu
Bro umetema madini sana umetema Almasi kabisa nashukuru kwa ujumbe. Naomba kufaham bei yakitabu cha Timiza malengo. Nakile cha timiza malengo Ahsante #see you
0745 252 670
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu hua najifunza mengi kwenye haya mafunzo yako
Good brother...
Welcome
lack of mentor or coach this is a challenge to us african we have few mentors the rest are so jelousy on helping others. ndio maana watu wengi hatufanikiwi kwa kupitia hao watu. Thank you for sharing
Thanks Too. #SeeYouAtTheTop
Yes
DAAH...YAANI NINAPOKUSIKILIZA MPAKA MWILI UNASISIMUKA ...UNAONGEA VIKUBWA SANA KAKA.NAKUSHUKURU SANA KAKA.
Asante Nashukuru Kwa Kujifunza
Shukran kwa somo zuri🙏🙏🙏
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
Joel I really love and admire your teaching. God bless you. Wewe una Zaidi ya kipaji na ndio maana unajituma beyond borders.
Thanks My Friend #SeeYouAtTheTop
Mbona umenisema mimi
#SeeYouAtTheTop
Upo vizuri kiongozi. Ipo siku nitakupa ushuuda jinsi Video zako zinavyobadilisha maisha yangu.
Numbari la 4na tano limeniguza mimi Asante Kaka Joel hili video lina funzo maishani mwangu.
#SeeYouAtTheTop
🤣🤣🤣🤣🤣safi sana mkuu mchungwa hauli machungwa nimekuelewa mail ndefu balaa
Ahsante sana kwa mafunzo, hapa kwenye kuwekeza katika kipaji ni mahali panapowagusa wengi maana, kuna gharama kubwa kwenye suala la muda, fedha, uhusiano wa kijamii, nk.
Ukiweka Mkazo Inawezekana
BARIKIWA KAKA JOEL.
Barikiwa Pia
Axante xana kaka Joel nanauka kwa mafundisho mazur kwa kweli mm kuazia Leo nawekeza zaid kwenye kipaj kuliko lifestyle
Nasubiria hii nondo.
Asante Mwanafunzi Naomba Unisaidie Kushare Kwa Watu Wengi Uwezavyo
Mungu akubariki sana Joel nanauka unaziidi kinijenga kiakili
Marafiki wanachangia sana kuharibu kipaji, maana unapokuwa maarufu Marafiki wanakutafuta kwa kasi, inabaki Kazi yakuchambua yupi ni wafaida na wahasara. Asante Mwl. J. A. NANAUKA
Asant sana kaka mung akusaidie
Asante sana brother kwa somo zuri
Shukrani, umeniongezea maarifa,
we jamaa unajua mpaka kero by DASH COMBO
Napendaa kukufuatilia sana Joel, ila sasa hiyo sauti ya mzikii, sioni kama ina umuhimu ukiwa unafundishaaa. Kwa ushauri wanguu, usiiweke tenaa.
Kwema Kaka
Nashukuru elimu unayo inanifanya niwe najiamini na kujiona ninanafasi ya kufanya mambo makubwa
Very good lecture thanks .
Asante sana kaka mungu hawe pamoja nawe 🙏🙏
Asante
Asante sana bro. Joel, unaongea reality ya maisha.
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Asante broo,umenifungua minyororo
Habari kaka
Asante sanaaa 🇹🇿
nimebarikiwa sana na masomo yako, Joel. Ubarikiwe sana.
Nashukuru Joel unazidi kunifungua ufahamu wangu barilkiwa sana
Ubarikiwe Pia
Kwa kweli mnatusaidia sana ..
Wewe ni tabibu Wa afya ya fikra zetu..
Kama mm binafsi napata Maono sana kupitia Mafundisho haya...
Mungu awalnde sana ..Mnastahki kupata Tuzo za kimataifa..
0659353388(Fundi Rajab)
Hongera Kujifunza
Rajabu Ibrahimu huuh ndo ukwel
Joel Nanauka sawa sana kaka upo sawa kabsa
💯 percent hakika
nice bro
Thanks
You are blessed man of God
Kuto kukitumia kipaji aisee
Huyo Mentors Nampataje Kaka
I really love this season. Somo zote unazotupa ni ya wakati timilifu👌
Nashukuru sana kwa maelezo haya kaka (I count you my mentor and life coach, thanks alot)
Thanks Brother be blessed
Kweli kabisa Joel watu wengi wanakwama kwasababu hawajui kwamba jambo kubwa ni kuwekeza katika kile wanachokifanya na kwahiyo jambo kubwa ni kipaji na sio katika kuwaonyesha watu kwamba unaishi vizuri wakati kiuhalisia sio na ndio maana ukubwa wa MAFANIKIO yako unapimwa na jitihada zako. Na jambo kubwa wawekeze katika kuelekea uhuru wa kifedha kwa kuweka SAVINGS.
mwalu chaula Ameen nashukuru sana
Amina mtumishi!
Karibu
Yani kila siku nachukua madini mpya
Fumbo lililotushinda wengi ni kubadilisha kipaji kuwa biashara, japo anold schwezniger alibadili mwili wake kuwa aseti
Asante sana kaka
Point
Thanks For Support My Friend
@@joelnanauka Fear #Not
Asante sana kwa somo zuri ila mim nahitaji mentor je nitawezaje kimpata??
sijajosea kusarbucraibu by DASH COMBO
Watu weng wanshindw kulinganish kpaj na muda kwa mfano mchezaj mpira hawez kuendelea kucheza akiwa na miak 50 hivyo anustuka ishakua jion
Joel naomba ushaur wako halafu mbona hua hujibu maimbi yangu
Duh kaka offs yako ipo wapi nije unipe ushauri
Shukran kaka kwa soma zuri la jinsi ya kulinda kipaji.
Mimi kuna mtu wa karibu sana ndo anaua kipaji changu na kumwepuka ni ngumu sn.
Sijui hata nifanyaje?
Wema Mussa Kwan umetekwa 😂😂
Kanyaga
@@albeleenalberto158 mi Nahitaji ushauri we unanicheka 🤔
Temana nae maisha ni mafupi asee
Nataka kujua hivi nita jua vipi kipaji changu?
Fact
Nimekuelewa vizuli sana
Naomba kaka unitumie namba yako zangu ni 0747129290 nataka tuongee mimi ni msanii mchanga nimetapeliwa sana kaka ila najua ushauri ni faida kubwa kwangu