Nakupenda sana sana pastor ni mwalim mzur sana unaejua kumfundisha mtu kumpenda mungu au kumjua mungu ipasavyo.yan unanifurahisha sana ssma sana sana!!
Sasa sisi ambao atujui vitu vyamadhabahu tufanyeje tu fundishe nasisi ambao tuko uku mbali tujuwe, kwasababu uku tulipo awajawai kutufundisha nguvu ya sadaka, mafundisho mengi tuna yapata kwenye mtandao
Amen, Asante kwa mafunzo,nimepata jawabu kwa maswali Fulani, barikiwa sana
Nakupenda sana sana pastor ni mwalim mzur sana unaejua kumfundisha mtu kumpenda mungu au kumjua mungu ipasavyo.yan unanifurahisha sana ssma sana sana!!
Mungu akubariki asante comer Foundation Missouri mungu akubariki Kama Foundation Missouri
Asante Mungu hiki kidogo Na pata unaikubali inanibariki.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina pastor barikwa mtumishi wa Mungu napenda kufuatila mafundisho yako
Pastor MUNGU akubariki sana tena sana
Amina Pastor nakuelewa sanaaaa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Yan sichoki kunsikiliza nampenda sana
Ubarikiwe Sana. SADAKA ni Kipimo kuwa unampenda MUNGU au laa
Kiukweli mchungaji unanibariki San Mungu akuweke katika viwango vikubwa
Amen God bless you mightily
Pastor george hongera sana
naomba namba ya pastor jamani
Kunasehemu inakata sauti kunahitajika umakini sana haya nimambo muhimu,
Hallelujah 🙏🙏
Sasa sisi ambao atujui vitu vyamadhabahu tufanyeje tu fundishe nasisi ambao tuko uku mbali tujuwe, kwasababu uku tulipo awajawai kutufundisha nguvu ya sadaka, mafundisho mengi tuna yapata kwenye mtandao
Nachukuru baba kwa mafudicho ya sandaka
AMEN 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Preach it Sir!
🙏🙏🙏
Ameen