Kisa Cha Sheikh Walid Na Walii Wa Mungu/Kuna Watu Kama Hawajatoa Hata Siku Hawaoni Raha/Sheikh Walid
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Kisa Cha Sheikh Walid Na Walii Wa Mungu / Kuna Watu Kama Hawajatoa Hata Siku Hawaoni Raha / Sheikh Walid Alhad
Sheikh Walid Alhad Akieleza kwa uzuri na ubora wa hali ya juu kabisa juu ya Darasa la tafsiri juu ya Kisa cha sheikh Walid Alhad na walii wa mungu na kuna watu kama hawajatoa hata siku moja hawaoni raha
Darsa la tafsiri kichangani 2021 la mwezi ramadhani mwaka 1442H lilotolewa na sheikh Walid Alhad Omar kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
SubhanaAllah.
Kisa cha mazingatio, machozi sijaweza kuyazuia.
Alhamdulillah alaa kuli haal.
Subhana ALLAH.. Allah Atujaalie Nasi Kuwa Mawalii Ya Rabb. Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Allah amraham na sisi atufanyie sahli ktk kheyr...
Allah atujaalie tuwe waja wema In Shaa Allah
MashaAllah Allah amrehemu huko aliko
Mashaa Allah
Allah amrehemu na sisi atufanye wenye kutoa kwajili ya dini amiin
Laailaha illa Allah
Aslm alkm ww... Allah atuongoze katika kufanya kheir. Jazakallah kheir 🙏❤❤❤❤❤
Allah Akbar
Allah amuhifadh
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Allah akuhifadhi
Subhanallah Allah amrehem na ajaalie kabur lake liwe bustan miongon mwa bustan za pepon
Jazzakalahuheir
Naama tumepata nguvu wallah na huzuni pia ktk mioyo yetu kusikia hiki kisa 😢😢😢mwenyezi mungu amrehemu huko aliko 😢😢
Alhamndulillah Kheri. Sana.
Leo tarehe 1/9/2023 Ijumaa.. nimemsomea hizo "ikhlas" tatu. Mtu huyo kweli Allah azidi kumpa kheri.. na Allah atuhurumie na sisi
Sina la kusema
Walah nimesoma kulu 3 kwa ajili yake simjui lakini mwili umesisimuka huyooo ndio walii wa kwelii ....
Dalili za uwalii ni zipi
Hakuna shehe hapo ni msiba mkubwa huu maneno mengi kisha mjanja mjanja jambazi wa hapa mjini
aya mtoto wa mungu
Masha Allah
Allah akbar