Ubora Wa Usiku Wa Nisfi Shabani Omba Lolote Utapata Ndani Usiku Huu / Sheikh Othman Singa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Ubora Wa Usiku Wa Nisfi Shabani Omba Lolote Utapata Ndani Usiku Huu / Sheikh Othman Singa
Mashaa Allah Sheikh Othman Singa akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ubora Wa Usiku Wa Nisfi Shabani Omba Lolote Utapata Ndani Usiku Huu / Sheikh Othman Singa
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
TH-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Mashaallah
Bidaaa
Jazaaki Llaah khayran shiekh
Allhahumma Amin
Mashallha,, shukran 🙏
ALLAHUMMA AAMIIN YARAABY
Mashaaallah ❤❤
HAKUNA KITU BORA KAMA NIDHAMU HATA KAMA MTU HUMKUBALI FANYA HESHIMA
Allahumma amiin
Mashallaah
Usifate matendo ya mtu
Acha kupotosha watu hakuna kitu Kama hiko ni uzishi
Yeye kashazusha sasa ww tupe mbadala wakeeee
Ashura kuwa na adabu na mashehe
Ashura muogope Allah! utajikuta unapata dhambi, hivi ni kipi kinakufanya upinge maneno yake? kipi hakikosawa? fanya raddi kwa kuonyesha usahihi wake,
sio kupinga tu na kubisha, muogope Allah ndugu yangu.
Acha mambo ya kuiga iga na kufata mikumbo
Mwanamke kisirani sana Mungu atukinge na wanawake Kama hawa wanaotukana mashehe
Uzushi umo humo ndani ya chupi
Tukiomba magfira kwa Allah uzushi wewe unamiliki nini kwa Allah.
Anaminiki elimu na ndio maana hata ww umefungua kisikiliza anacho kisema
@UlfaRashid ndio maana elimu ni bahari .uaamini elimu Iko kwako .jua Pepo na moto mamlaka yake Yako kwa Allah Wala sio shekhe wako .Tuliza.