Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Ufunuo wa Yohana 15:2-4
    [2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu.
    [3]Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa.
    [4]Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.
    Bwana akubariki unapotazama na kusikiliza wimbo huu.
    Artist: Dodoma Adventist Chorus
    Song Title: Wimbo wa Sifa
    Instrumentation: ‪@mjmusicclassics‬
    Audio Mixing and mastering: BJ Brand
    Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com
    CONTACTS
    +255 712 227 383
    +255 784 291 945
    You can also find us on:
    Audiomack: audiomack.com/...
    Instagram
    / dodomaadventistchorus

ความคิดเห็น • 149