Hili Taifa la Tanzania lilikua na wasomi na wanavyuoni wa kiila aina Wallaahi wenye kuitambua diniyao na kuifanyia kazi na sio leo matatizo matupu. Kwenye watu 10 wanaojinasibisha na ushekhe basi Wallahi utaapata wawili ama watatu tuu walobakia mashaka matupuuu.
That was diuring late Julia's kambarage nyerere take lndipendet that was stuetiion in Tanzania nation got lndipendet from colioniol rool happiness and selebration of Tangamuika people all national get they are lndipendet that was tanganyika lebaretion from colonial rool
Hiyo tembea ya matambo nyerere apo umwambii kitu baba n kuvimba mivimbo sio ya kawaida uhuru tumeupata ❤👏👏👏👏🙏💪
Mbna waislam wengi sana
Naona kanzu na kofia tu hapo
Amani aman
Apo mzungu anaye tafsiria aliweka muandiko et juriasi ore ore
Amini amini
Natamani ningekuepo
Hawa wazungu wametuangaisha sana
Halafu leo Kuna watu ukiongea ukweli wanakupoteza
Freedom for sure still not yet
Hili Taifa la Tanzania lilikua na wasomi na wanavyuoni wa kiila aina Wallaahi wenye kuitambua diniyao na kuifanyia kazi na sio leo matatizo matupu. Kwenye watu 10 wanaojinasibisha na ushekhe basi Wallahi utaapata wawili ama watatu tuu walobakia mashaka matupuuu.
Halafu Leo Kuna mtu anatuuzia bandari yetu.
That was diuring late Julia's kambarage nyerere take lndipendet that was stuetiion in Tanzania nation got lndipendet from colioniol rool happiness and selebration of Tangamuika people all national get they are lndipendet that was tanganyika lebaretion from colonial rool
Hii siku inaonekan taifa lote lilitabasamuu
Mbna waislam wengi sana