JE UNATAKA KUMILIKI ARDHI ?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- LAND:
Land is a great empire here on Earth. In this lesson God's Servant the Apostle Mtalemwa sets out an important definition of land ownership. God created every creature from the soil(land) and brought it to Adam, this shows that man possesses the land God has provided for his basic needs in his area of ownership. Follow this lesson you will not remain the same.
( swahili)
ARDHI:
Ni milki kuu hapa Dunian.Katika somo hili Mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa anaweka ufafanuzi muhimu juu ya kumiliki ardhi.
Mungu aliumba kila kiumbe kutoka katika ardhi akaleta kwa Adam,hii inaonesha mtu akiwa anamiliki ardhi Mungu umletea mahitaji muhimu katika eneo lake la kumiliki.
Fuatilia somo hili hutabaki kama ulivyo.
Amina Apostle mtalemwa nashukuru kwa Maono yako nina kufuatilia sana na barikiwa sana Mtume
Ahimidiwe Mungu wa mbinguni akupaye mafunuo kwa ajili ya sisi kondoo wake unaotuchunga.Mwenyezi akujaze mafunuo zaidi ili walokole wafunguke.Amina
Halelujah
Nafunguliwa saaana
Asante mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI
Nimeamkaaa
Nimepokea nafanyia kazi from now.Barikiwa sana Mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI
Kiekiekiekie Kiekiekiekie atamaiti ina vaa sutii , ubarikiwe endeleya baba SHUJA aaalloo
Tunakuelewa kwa jina la YESU CHRISTU ubarikiwe iyi ni ukweli Asante saana
Yes nataka kumiliki arth kwa jina la yesu amen
Namiliki ardhi kwa jina la Yesu
Amen Apostle?lakn mm naumia Sana Sana Baba yangu kafaliki kwajili arithi ake nass pia
Ameen mtumishi🙏🙏
Ameni
Amen apostle nimepokea
Napokea ardhi kwa jina la yesu
Amen, Namiliki Ardhi
Napokea arithi kwa Nina La yesu, prey for me apostle watching from Kenya, God bless you Chief apostle amen
Kuwatawala mataifa walio tutawala ....Amen...Amen naiOna neema mbele yngu
Mara hii vyote vilivyo liua na nzige narudisha kwa jina la yesu CHRIST Amen
Nimebarikiwa sanaaa
Amen 🙏 🙏 🙏 barikiwa mtumishi wa Mungu mahubiri matamu sana
Mtumishi. Ubarikiwe mafundisho mazuri kweli ya Mungu inaniweka huru
Amen..asante ..tumeibiwa sana ...barikiwa zaidi..Amen.tutamiliki
Nakupata kutoka Mombasa Kenya
Ameen apostle
Malizia mtumishi nipokee zaidiii!!!
Nakuelewa chief
What a wonderful revelation ! God bless.....
Amina
Mungu akubariki
PRAISE God. Sina ardhi mimi
Ninabarikiwa namafundieho yako
Be blessed I have given me away forward
Nakupata chief mafundisho yako yamenitoa mbali
I receive my lands in Jesus name.Amen
Haleluya utukufu kwa mungu natazama nikiwa kenya
Ameeen thanks 👍 you so much past God 🙏 kabisa and shallom,
This is REVELATION. Weee ni mwalimu APOSTLE. Umenifunza mambo nilikua sielewi. Akubarki mungu
Ubarikiwe sana sana Mwana wa Mungu
Amen ntamiliki Arthi Mungu nsaidie
Ameeeeen
Amen Baba Mlezi
Nitamiliki katika jina la Yesu!
Waoh
Amen APOSTLE nabarikiua niko hapa Mombasa Kenya. I'm Blessed. I'm Blessed. Glory to God
Napokea
Dio mtumishi wa mungu
Asante kwa mungu👏👏
Mungu azidi kukutiya nguvu zaidi
I receive my land in Jesus name
Apostle Nakupata vizur Nabarikiwa Sana na Ujumbe wako🙏🙏
Ameni nakupata vizuri apostle wetu
Mwenye Neema ya pekee
Mwangalizi wetu
Love you Sana
AMEN, AMEN, AMEN, I receive in JESUS name.
PRAISE GOD
Amen huo ni ushauri poa be blessed man of God watching from Saudi Arabia
Asante sana
Amen Amen Amen wanarudisha cheo changu, Hallelujah Hallelujah Hallelujah God bless you pastor 🙏🙏🙏
Amen Amen mtumishi Kwa Ujumbe mzuri.
Kila nilichopotenza kinarud tena katika jina la Yesu
Sitakopa tena bali naenda kukopesha mataifa
Amen Chief
Hyu mtumishi namkubari sana
Nimejifunza mambo mapya ubarikiwe mtumishi
Namiliki arithi kwa jina la
Ameeen and Ameen thank you lord bless you mtumishi
Namiliki.namiliki namiliki iyeeee!!!
Amen 🙏 Amen 🙏 Apostel it’s my time to inherit my own land 💪 in jesus name it’s done ✅
I declare to posses land this month.in Jesus name
Aisee umenipa jibu langu, barikiwa Chief🙌
Amen,Napokea!
Amen
It's time
Yes
Napokea kwa Jina la Yesu
karibunu tumiliki Mafia island oh yes
Amen,Amen this is my time to stand to protect what God has provided me with by the power of Almighty no one will take away help me God.
Truly spoken
Ardhi .... .Kwanza
I receive in Jusus Name
Unanifungua chief
Thanks man of God watching from Dubai more grace of God upon you sir na Asante sana kwa kutuelimisha mimi mkenya ila nipo dubai be blessed
Powerful
Amen apostle
NAAMKAA!
Ameeeeeeeeeeeeeen God bless you pastor
Yes it is my time of RESTORATION. Glory to God
I receive it in the MIGHTY name
Amen,Apostle more grace and annoiting
Wonderful and Powerful word. Glory to JESUS.
Mtaji ni ardhi
Thanks it's powerful dady ,l received 🙏🙏
Chieeeef apostle preach son of Major 1 !!!!!
Amen 🙏
Thanx very much my Apostle ...Am blessed
Thank you man of God for your teachings and revelations
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏
Amen Apostle,be blessed Man of God.
Amen 🙏🏿
Thank you Apostle
Mapema ktk vid hii
Hii ya nguvu ya udongo ,niliisikiliza via this platform, niliifanyia practical wakati ule..., ikafanya kazi kwa viwango ambavyo sikutarajia.
Be blessed Mtumishi wa Bwana..
Amen Amen
Iko wapi nitafute please
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Bwana usinyamaze ndani yangu
Hahahaaa!!! Miwani ya mbao
Somo ni HIGH TICKET/mafunuo ya kutosha, kila unaefuatilia BARIKIWA
Amen apostle.. Much love from 254🇰🇪🇰🇪
Shusha mistari unanipa akili saaaaaana
NAPOKEA ROHO YA KUMILIKI KWA JINA LA YESU
Ardhi yangu itatoa nyumba ,magari,mifugo,madini,viwanda
njooni huku wapendwa tumiliki ardhi huku kila baada ya masaa matatu ndege zinaleta watu kutoka abroad kuja wamemiliki ardhi hadi basi