Ustadh Khatib Omar
Ustadh Khatib Omar
  • 473
  • 43 362
ARABIC KHUTBAH: IMAM JUMA | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024
DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY
FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات
UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
มุมมอง: 7

วีดีโอ

JE, MTU MWENYE TABIA YA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ANAWEZA KUONGOZA SWALA ?
มุมมอง 5607 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKOSE KUFUATILIA DARASA HIZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA ADHUHURI, MASJID AL JUMAA, KITUMBINI NA USTADH KHATIB OMARY | IMAM MSAIDIZI #maswali
MKE ANADAI TARAKA LAKINI MUME HATAKI KUMPATIA KWA MADAI ANAJUA KUOA NA HAJUI KUACHA HUKMU YAKE IKOJE
มุมมอง 2227 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKOSE KUFUATILIA DARASA HIZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA ADHUHURI, MASJID AL JUMAA, KITUMBINI NA USTADH KHATIB OMARY | IMAM MSAIDIZI #maswali
NILIKUWA NAOMBA UNIFAFANULIE KUHUSIANA NI KWA NAMNA GANI TUNAWEZA TEKELEZA SWALA TUKIWAPO SAFARINI
มุมมอง 657 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKOSE KUFUATILIA DARASA HIZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA ADHUHURI, MASJID AL JUMAA, KITUMBINI NA USTADH KHATIB OMARY | IMAM MSAIDIZI #maswali
JE, NI KWA NAMNA GANI MKEO ANAWEZA KUTENGUA UDHU
มุมมอง 877 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKOSE KUFUATILIA DARASA HIZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA ADHUHURI, MASJID AL JUMAA, KITUMBINI NA USTADH KHATIB OMARY | IMAM MSAIDIZI #maswali
JE, UGAWAJI WA MIRATHI WA KIMATUMBO UPOJE NA UJUZU ?
มุมมอง 197 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIKOSE KUFUATILIA DARASA HIZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA AL KHAMIS BAADA YA ADHUHURI, MASJID AL JUMAA, KITUMBINI NA USTADH KHATIB OMARY | IMAM MSAIDIZI #maswali
ARABIC KHUTBAH: SYD ZAIN BADAWI | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
มุมมอง 2016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
IFAHAMU SABABU YA KUPOTEA UISLAMU | UST,KHATIB OAMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 18519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
SALAMA NA AMANI KATIKA UMMA WETU
มุมมอง 3521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
KISOMO CHA IMAM IKIWA NYUMA ANAFUATWA NA HALI YA MAAMUMA WAKE IKOJE
มุมมอง 85วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
JUM`UAH KHUTBAH | UST. KHATIB OMARY | MASJID ARAB, KITUMBINI 04/10/2024
มุมมอง 14วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
TUNYOOSHE SAFU ZETU TUKIWA KWENYE SWALA | UST. KHATIB OMARY
มุมมอง 13214 วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
JUM`UAH KHUTBAH | UST. KHATIB OMARY | MASJID ARAB, KITUMBINI
มุมมอง 3121 วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
FAHAMU MACHUKIVU KUSWALISHA MTU AMBAE WAUMINI WANA MCHUKIA , JE ,JAMAA INASWIHI | UST,KHATIB OMARY
มุมมอง 23521 วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: IMAM KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 20/09/2024
มุมมอง 7228 วันที่ผ่านมา
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
UFAHAMU WA UISLAM KWA NINI ULIANZA MGENI NA UNAMALIZIKIA MGENI | UST, KHATIB OMARY
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
UFAHAMU WA UISLAM KWA NINI ULIANZA MGENI NA UNAMALIZIKIA MGENI | UST, KHATIB OMARY
JE MKE UKIMPA TALAKA TATU UNARUHUSIWA KUMRUDIA | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
มุมมอง 147หลายเดือนก่อน
JE MKE UKIMPA TALAKA TATU UNARUHUSIWA KUMRUDIA | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
JE WANAWAKE WANARUHUSIWA KUSWALIA JENEZA | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
มุมมอง 126หลายเดือนก่อน
JE WANAWAKE WANARUHUSIWA KUSWALIA JENEZA | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
ARABIC KHUTBAH: SYD ZAIN BADAWI | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 12/07/2024
มุมมอง 44หลายเดือนก่อน
ARABIC KHUTBAH: SYD ZAIN BADAWI | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 12/07/2024
SABABU YA DINI YETU KUTOKUWA NA ATHAARI TARAJIWA KIMA TOKEO | UST, KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
มุมมอง 86หลายเดือนก่อน
SABABU YA DINI YETU KUTOKUWA NA ATHAARI TARAJIWA KIMA TOKEO | UST, KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
ZIFAHAMU ISTIKHLAFU IMAM KUMCHAGUA KHALIFA IKIWA AMEPATA HUDHRU KWENYE SWALA | UST, KHATIB OMARY |
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
ZIFAHAMU ISTIKHLAFU IMAM KUMCHAGUA KHALIFA IKIWA AMEPATA HUDHRU KWENYE SWALA | UST, KHATIB OMARY |
JE INAFAA KUKATA UDUGU KWA MTU ALIYE {RITADI} KWA MAANA AMETOKA KATIKA UISLAM | UST, KHATIB OMARY
มุมมอง 212หลายเดือนก่อน
JE INAFAA KUKATA UDUGU KWA MTU ALIYE {RITADI} KWA MAANA AMETOKA KATIKA UISLAM | UST, KHATIB OMARY
JE NIKINA NANI WANAOFAA KUGEIWA MIRATHI | UST, KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
JE NIKINA NANI WANAOFAA KUGEIWA MIRATHI | UST, KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
JE INAFAA KUHUDHURIYA KATIKA SHEREHE YA NDUGU YAKO ALIYE RITADI | UST, KHATIB OMARY
มุมมอง 78หลายเดือนก่อน
JE INAFAA KUHUDHURIYA KATIKA SHEREHE YA NDUGU YAKO ALIYE RITADI | UST, KHATIB OMARY
IFAHAM SHARTI YA 5 KUSWIHI SWALA YA JAMAA NA FADHILA ZAKE| UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 103หลายเดือนก่อน
IFAHAM SHARTI YA 5 KUSWIHI SWALA YA JAMAA NA FADHILA ZAKE| UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
FAHAM KUKMU NA HEKMA ZA WANA ZUONI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
FAHAM KUKMU NA HEKMA ZA WANA ZUONI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
ARABIC KHUTBAH: SYD ZAIN BADAWI | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 12/07/2024
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
ARABIC KHUTBAH: SYD ZAIN BADAWI | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 12/07/2024
SHARTI YA KUSWIHI SWALA YA JAMAA | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
SHARTI YA KUSWIHI SWALA YA JAMAA | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
SHARTI YA KUSWIHI JAMAA IKIWA NDANI YA MSIKITI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 129หลายเดือนก่อน
SHARTI YA KUSWIHI JAMAA IKIWA NDANI YA MSIKITI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
SHARTI YA JAMAA } JAMAA IKISWALIWA NJE YA MSIKITI INASWIHI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
มุมมอง 160หลายเดือนก่อน
SHARTI YA JAMAA } JAMAA IKISWALIWA NJE YA MSIKITI INASWIHI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI

ความคิดเห็น

  • @DramourkatoMustafa
    @DramourkatoMustafa 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @hamzaminangu1053
    @hamzaminangu1053 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mashallah

  • @AbdulazizMshamu
    @AbdulazizMshamu 6 วันที่ผ่านมา

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 11 วันที่ผ่านมา

    Sasa nimeelewa mwanzo ilikuw maongez ni mengi

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 11 วันที่ผ่านมา

    Maalum

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 11 วันที่ผ่านมา

    Au hakuna Dua maalim au adhkar maalim

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 11 วันที่ผ่านมา

    Shekhe mie nataka mfumo mzima wa hio sala unatia Nia vipi na unasali vip Dua zake ni zipo au adhkar

  • @BarutiMohammed
    @BarutiMohammed 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallaah swali zuri. Na majibu sahihi.

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 24 วันที่ผ่านมา

    Jazkallahu khaira wa baarakallahu khaira

  • @LucasNicoraus-xi5ux
    @LucasNicoraus-xi5ux 27 วันที่ผ่านมา

    jibu lishajibiwa nyie kueni na akili waislaam... kumuoa mkristo inajuzu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Haijuzu. Allah amekataza kuoa au kuolewa na washirikina Quran 2:221

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h หลายเดือนก่อน

    ماساالله جزاك الله خيرة

  • @ahmedshilingi7088
    @ahmedshilingi7088 หลายเดือนก่อน

    Maelezo ya dhaahir kabisa.

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 หลายเดือนก่อน

    Maashaalah jazaakalaah ustadh

  • @AbdallahShamte-mp1iu
    @AbdallahShamte-mp1iu หลายเดือนก่อน

    Punguzeni ujahili huyu mtu ni mwanachuoni.

  • @khamissulaiman1937
    @khamissulaiman1937 หลายเดือนก่อน

    Shekh tumbo

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน

    Je Muislam anaruhusiwa kumuoa Mkristo..?....Jibu swali

    • @ustadhkhatibomar9848
      @ustadhkhatibomar9848 24 วันที่ผ่านมา

      Swali

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Hawezi wasikubabaisheni. Aya ipo wazi ya kukataza kuoa/kuolewa na washirikina Qur-an 2:221

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Na hata Al Maida inasema miongoni mwa w’ke wema waliopewa vitabu. Ssa wakiristo/washirikina wana wema upi? Na kila mmoja anajua km mkiristo makaazi yake motoni hana hesabu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja หลายเดือนก่อน

    Masha allah kwa mafunzoo yakoo

  • @kadhwibakari6387
    @kadhwibakari6387 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh jibu swali

  • @barwani890
    @barwani890 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mwanangu 😊

  • @barwani890
    @barwani890 2 หลายเดือนก่อน

    Shukraan ustaadh khatib jazakallahu lkheir

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

    Umezunguka bure kwa kifupi ni haram

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye 2 หลายเดือนก่อน

    Swali rimemushinda kujimbu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Huezi kuoa wala kuolewa mshirikina mpaka aamini Qur-an 2:221. Na pia Al Maida aya 5 inasema kuoa w’ke wema miongoni mwa waliopewa vitabu na sio wote.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Aya ya kuoa mayahudi na manaswara ndani ya Qur-an ni kwa sbbu iliposhuka Qur-an, walikuepo watu wa Nabii Issa, Nabii Daud na Nabii Mussa a.s na miongoni mwao walikuepo ambao hawakua washirikina walikua wakiabudu Allah pekee na wengine walikua washirikina. Waliokua wakiamini Allah pekee bila ya kumshirikisha ndio walioruhusiwa kuoa na kuolewa nao lkn washirikina hawa wanaosema Yesu Mungu nk hawakuruhusiwa kuoa wala kuolewa nao mpaka waamini Qur-an 2:221 na Al Maida aya 5

  • @rehemakhamis8112
    @rehemakhamis8112 2 หลายเดือนก่อน

    haifai kwa sheria ya dini ya kislamu ni haramu

  • @HafsaSaid-r2j
    @HafsaSaid-r2j 2 หลายเดือนก่อน

    Asnt

  • @AdamKiswala
    @AdamKiswala 2 หลายเดือนก่อน

    MaashaaAllah

  • @mukavanajaber4221
    @mukavanajaber4221 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo unazungumzia mambo ya dini bila elimu.....

  • @bonnycharles1239
    @bonnycharles1239 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza, kama mtu ana mke na watoto wakiwa wote ni wakristo halafu mume aka amuwa kuslim, lkn mke wake hataki kuslim je huyu mtu anatakiwa afanye nn ili awe mkamilifu katika dini maana inasemekana mke wako kama si muislam bado hujakamilika samahani naomba mnisaidie katika hilo.

    • @ustadhkhatibomar9848
      @ustadhkhatibomar9848 2 หลายเดือนก่อน

      KARIBU, SHEIKH ATAKUJIBU MUDA SI MREFU, ENDELEA KUTUFUATILIA

    • @wasafisong8471
      @wasafisong8471 2 หลายเดือนก่อน

      Mke umlinganie kama akikataa umuache na nawatoto kama hawajabalehe ni waislamu kama wamebalehe uwalinganie pia

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 3 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khairah maulana khatwiib

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 3 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo na mayahudi ndo ahlulkitaab. Wamejaa tele mitaani kwetu sijui kwa nini tunajipa kazi ya kuwatafuta watu wanaojulikana au tunajipa fikra ya kukataa uhalisia. Ahlulkitaab ni mayahudi na wakristo sasa watu tunakataa kwa kutumia akili. Hapo ndo utaona ujinga wa waislamu walio wengi. Ruhusa imetoka kwenye surat Maaidah aya ya 5.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Ahlulkitabu wenyewe ndiyo hawa wandengereko, wachaga, na wanyakyusa wanaofata maandiko ya yaliyochakachuliwa au vipi?! 😂😂😂 tambua waliokusudiwa sio hawa ni wale wa zamani waliofata taurati na injili ya kweli ambao tayari walishapambanukiwa bishara watakayoifata ya Mtume Muhammad (S) baada ya ujio wake kwao, ahlulkitab hawa wa sasa asili ya mafundisho yao imetoka kwa nani?! Yesu Mussa au Fikra za wazungu waliyoyachakata mafundisho sahihi ya ahlulkitab halisi?!... kaka usiwe mwepesi hivyo... tafakari!!

    • @lolilaacademy1449
      @lolilaacademy1449 หลายเดือนก่อน

      You are right. tuko sawa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Allah amekataza kuoa mshirikina mpaka aamini Quran 2:221. Soma suratul ikhlas vzr halafu ujiulize je wakiristo si miongoni mwa washirikina tuliokatazwa kuwaoa?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Aya inayohusiana na kuwaoa mayahudi na manaswara imekuja kwa sbbu kipindi inashuka Qur-an. Waliokuepo manaswara na mayahudi wa umma wa Nabii Issa a.s na Nabii Mussa a.s ambao walikua wakimuamini Allah pekee pasi na kumshirikisha na chchte na ndio waliokusudiwa kuwaoa kwa sbbu walikua wakikuamini Allah na Hawakua washirikina. Lkn wote walokua washirikina Allah amelataza kuwaoa mpaka waamini Qur-an 2:221

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 วันที่ผ่านมา

      Na Allah amekataza kuoa na kuolewa na washirikina mpaka waamini Qur-an 2:221. Soma vzr hii halafu soma na suratul ikhlas kwa ufahamu zaidi

  • @KulwaMichuzi
    @KulwaMichuzi 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 หลายเดือนก่อน

    Hujajibu suali Umeongea porojo tuuuuu

  • @MohammadToya
    @MohammadToya 3 หลายเดือนก่อน

    A.a shuqran

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 3 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khairah yaa shekh

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 4 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khairah yaa shekh

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah jazakallahu khairah

  • @Aymanland
    @Aymanland 4 หลายเดือนก่อน

    Masheikh kama hawa ndio hupotosha Ummah , maulaa nao ni binadamu hupatia na hukosea kwanza Sheikh Albaniy hajalazimisha Niqab ametia Ulaini kiasi cha kutoifanya ni wajibu huyo muuliza swali huwenda kalitunga au ni kweli lakini kasahau maana Albaniy rahimahu Allah hajalazimisha Niqab pamoja na hilo aliteleza tuangalie QUR'AN na mtume Tutaona Niqabu ni lazima Tuache ujanja ujanja hawa Walinganiaji wengine wanatamani kuona nyuso za wanaweka ndio maana wanasema niqabu sio lazima

  • @rashidnihuka6245
    @rashidnihuka6245 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mmmmh

  • @habibbeiyye
    @habibbeiyye 4 หลายเดือนก่อน

    Majibu hayana dalili.....

  • @AliMohamed-bp5ji
    @AliMohamed-bp5ji 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo maik inabugdha haisikiki kwa ufasaha.

  • @AliMohamed-bp5ji
    @AliMohamed-bp5ji 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyomaiki inabugdha hatusikii kwa ufasaha

  • @Muislamu
    @Muislamu 5 หลายเดือนก่อน

    Namuuliza huyu shk alipata wapi hio jawabu ...hekma ya swala za siri na jahiri.. Kutufu kando ya alkaba bega likiwa nje ..na kutembea kw haraka ile mizunguko mitatu ya mwanzo..tupe umenukuu wapi kitabu gani ? Mwanachuoni gani ?

  • @khalidalsinany893
    @khalidalsinany893 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna mudharaba Na kuna murabaha Na Itstithnaa Bai Salam Murabaha bank hununua bidhaa sehemu husika Kwa makubaliano na Kwa mujibu wa mahitaji wa yule mteja, baada ya manunuzi wa Ile bidhaa bank huuza ila bidhaa Kwa yule mteja Kwa kiwango kikubwa na huyu mteja malipo ulipa Kwa awamu Kwa msingi huo bank hupata faida na module hii huitwa murabaha

  • @asafiasafi7204
    @asafiasafi7204 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh maneno mengi hujabibu swali umepiga story tu. Hajapinga kama hawako.ila swali nihivi wakirisito wanafa kuwawowa?

    • @salimmapande4668
      @salimmapande4668 4 หลายเดือนก่อน

      Sijui kwanini inakuwa vigumu kwa mtu kukubali kwamba swali limemshinda

    • @isaachassan43
      @isaachassan43 4 หลายเดือนก่อน

      Hapa kwetu Kenya wengi ni washirikina hapo vipi?

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 4 หลายเดือนก่อน

      @@isaachassan43 niharamu kumuwowa mushirikina ata kama amekufurahisha

    • @m.othman866
      @m.othman866 4 หลายเดือนก่อน

      Usihukumu mambo bila kufahamu kwa sheria.​@@idrissamustafabukenya6110

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa evo hakuna sio

  • @AshaWanza-yu9bc
    @AshaWanza-yu9bc 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmmmh 😢

  • @fathimaalloo9663
    @fathimaalloo9663 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤

  • @KheriSalim-xy6yd
    @KheriSalim-xy6yd 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi shekhe wetu mpendwa