Mwijaku Afunguka Billion 1.3 ilivyotumika kwenye Nyumba yake! BABA LEVO Hana Mipango! Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 64

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah!Mwijaku matataaa😂😂,muongo hatariiii😂😂😂Mwijaku kibokoo😂

  • @javanwatson6675
    @javanwatson6675 ปีที่แล้ว

    11:42 😁😁uzuri wa iphone haidanganyi, kwani simu gani jamani ambayo haioneshi tarehe

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo alisema hicho kitasa kaweka chumban kwake TU Leo anatuambia kaweka sehemu tatu😂😂😂😂😂kwel muongo siku zote huwa Hana kumbukumbu

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

    Uongo wa mwijaku hta shetan anauogopa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Kingkongchuma
    @Kingkongchuma ปีที่แล้ว

    11:57 iPhone haha video ya mwaka Jana uki tumiwa Leo kwako itasema Leo urongo wa kishamba

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws ปีที่แล้ว

    Haya bb bora2 una gholofa yko modo kwsha ila kote huko umedanganya mno

  • @milanomilanogi
    @milanomilanogi ปีที่แล้ว +1

    Mmmmhhh

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb ปีที่แล้ว +3

    Hahahha uongo mwingi sana kwa hii interview 😅

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

    Chawa kanunua kitasa cha millioni 18 sisi wengne tunafer wap?😂😂😂😂😂😂😂

  • @saluuhans
    @saluuhans ปีที่แล้ว +2

    Wahenga wanasema Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu 😂😂 mshenz muhongo huyu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana hii interview Kila interview Bei zinapanda 😂😂😂

  • @gataramaabdul9761
    @gataramaabdul9761 ปีที่แล้ว

    Number 1

  • @pharesdismas8876
    @pharesdismas8876 ปีที่แล้ว +4

    Kila interview numbers za bei zinabadilika 😂😂

  • @MonrichRichard
    @MonrichRichard ปีที่แล้ว +1

    Kuma Nina skiming+ binder mil 300 acha usenge we limbukeni

  • @nk.t.shabani4217
    @nk.t.shabani4217 ปีที่แล้ว

    Mwijaku muongo jamani hizo taa kwenye interview ya zamaradi tv kaka yake kampa kwa bure 😂🤣🤣🤣 bongo ukifa kwa stress basi unajitakia mwenyewe 🤣😂🤣

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz ปีที่แล้ว

    kama kweli anavyosema kapigwa vibaya sana

  • @HassanMbululo
    @HassanMbululo ปีที่แล้ว

    🛫

  • @jaffarmusafiri5729
    @jaffarmusafiri5729 ปีที่แล้ว +2

    Duh, huu Mwijaku ni muongo sana. Alafu hakuna kitu kizuri kama kuongopewa na unajuwa ukweli, Lil Ommy ametulia tu ila anacheka kimoyomoyo 😂

  • @yogwemwakulola1634
    @yogwemwakulola1634 ปีที่แล้ว

    Nyinyi waandishi Mbona msimuulize kuhusu kakayeke aliropoka kwamba taa zinatoka Kwa duka lake hapo Mbona mnafuka hamumuulizi nipate tu nafasi ya kuwauliza maswaki Hawa machawa naona uchawa utafika mwisho maana napita humohumo Hadi watoroke interview

  • @jrsingham
    @jrsingham ปีที่แล้ว

    Kuskim m300 kila fundi Kaskim kwa m30 😂😂😂

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 ปีที่แล้ว +1

    Jaman one’s of his interview anasema ilibomoa nyumba ikiwa ipo kwenye renta so how come iko na wapangaj ndani

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 ปีที่แล้ว

      Kaisikilize Tena interview,hukusikia vzur

  • @MonrichRichard
    @MonrichRichard ปีที่แล้ว +1

    Hyo rangi anasema dark grey price yake Ni 190000 kwa ndoo (prascon) kampuni ya kwanza kbsa kweny rangi inamaana hyo nyumba imepigwa ndoo 100+ 😅😅😅😅😅

  • @kitumbayork5720
    @kitumbayork5720 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 ปีที่แล้ว

    Sagwn hao

  • @MonrichRichard
    @MonrichRichard ปีที่แล้ว +2

    Oya ril ommy huyu jamaa adanganye mafala me ni fundi(Local engineer) hyo nyumba ya mwijaku kaka
    Skimming
    Primer binder
    Dawa za ant fungus
    Rangi za no 190000-240000
    White za selling board+ urembo
    Chuma za kudzn board kweny zege floor za juu
    Mbao+ board+ srew+ gypsum powder
    (Labor charge)
    Yaan namahanisha skiming ya jengo Zima+ dzn ya board jengo Zima + finishing ya rangi ni mil 30-35

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 ปีที่แล้ว

      Eeeeh 😅

    • @saluuhans
      @saluuhans ปีที่แล้ว

      Kk tofautisha fundi bakari na ma engineer wa mwijaku 😂 sasa wewe ni fundi bakari ndio unabajet hizo 😂😂😂😂

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 ปีที่แล้ว

    Umeokopa taa ya laki moja ukaendan kununuw taa la million 5. Mshenzi san mwijaku

  • @hamisijumanne4137
    @hamisijumanne4137 ปีที่แล้ว

    Mfarume

  • @julianusjameskimodoi4186
    @julianusjameskimodoi4186 ปีที่แล้ว

    Muongo sanaaaa

  • @Bobbrownjumbo
    @Bobbrownjumbo ปีที่แล้ว

    Uongo pia huakisi kiwango cha ujinga

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg ปีที่แล้ว

    Sijapata kuona uongo kama uhuu, mambo hayo amwambie mwanae.

  • @BrianKyai
    @BrianKyai ปีที่แล้ว +1

    Nyumba kali ila 1.3B mh....hype tu hizi za mjini

  • @MonrichRichard
    @MonrichRichard ปีที่แล้ว

    Lakin et skiming + binder mili 200 aah mwijaku, et rangi mil 48 duuh nimeamini Kuna binadam Ni waongo shetan akasome

  • @ruu6592
    @ruu6592 ปีที่แล้ว

    Maskini awaijui ela ndio mana wanasema uongo ongera Aristote msechu Nandi mama pi ongeraa zenu

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +2

    Kunahitajika kampuni Ya kutengeneza kinga za mdomo kama vile comndom Ya kuchuja MANENO Ya hovyo.
    Unaongea hadi hueleweki tena.

  • @derevamsomi
    @derevamsomi ปีที่แล้ว

    mara aseme taa elfu 45 mara milioni hamsini tuelewe vp

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 ปีที่แล้ว

    Hiyo nyumba haizidi mil 200😅huyu jamaa fix saba

  • @amarido12
    @amarido12 ปีที่แล้ว

    Kama ametumia 1.3 B atakuwa ameibiwa 1.2 B mchana kweupe

  • @JaphariMwangu
    @JaphariMwangu ปีที่แล้ว +1

    ona kipara chake

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 ปีที่แล้ว

    It's good house but it is not 1.3 B

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 ปีที่แล้ว

    Ila baba muongo huyu ndio mjengo ni Bomba ila b 1.3 ni uongo uongo

  • @Broxnick
    @Broxnick ปีที่แล้ว

    Yaani $398,807 😂😂😂 that’s a f*king lie

  • @sudiabdi4400
    @sudiabdi4400 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupu

  • @rajuxcharity
    @rajuxcharity ปีที่แล้ว +6

    Hivi huu mwijaku anahisi 1.3B niutani nyumba anao ishi diamond platinum samani yake ni 1B 😝😝nyumba kama ilee hata 500M nyingi

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 ปีที่แล้ว +4

      Mwijaku mtu wa kufurahisha tu😂

    • @imamhussein1104
      @imamhussein1104 ปีที่แล้ว +2

      Kwahiyo

    • @zeddybass6672
      @zeddybass6672 ปีที่แล้ว +1

      Daimond kapanga pale

    • @FredOdemba-rw1us
      @FredOdemba-rw1us ปีที่แล้ว

      ​@@zeddybass6672alishainunua wew sema ajaijenga yey lakin sio kam amepanga sahih 😮😮

    • @faidhacute
      @faidhacute ปีที่แล้ว +2

      Mwijaku ni mtu ambae ana elimu lakn hajaelimika Kwa kweli Inahuzunisha sana kwakwel😢

  • @makengomshana8458
    @makengomshana8458 ปีที่แล้ว

    WEWE OMBA OMBA NIMUONGO ACHA UJINGA WAKO

  • @Kulindwa
    @Kulindwa ปีที่แล้ว

    DC daka maua yako ya mgebuka, au nyuma yupo accountant wife

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 ปีที่แล้ว

    mwijaku muongo mtupu duuh. Gisi anaziongelea hizo millioni kama shiling 100 tu

  • @dominicngeno4227
    @dominicngeno4227 ปีที่แล้ว

    You are speaking lies hio nyumba sio B no way

  • @eddobiz9452
    @eddobiz9452 ปีที่แล้ว

    Uyu baba muongo jamaan

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 ปีที่แล้ว

    MUJAKU UNA ONGEZA ZERO

  • @digital-d2t
    @digital-d2t ปีที่แล้ว

    Unamaliza mabando ya wa2 paka ww.....

  • @ellymagoke6079
    @ellymagoke6079 ปีที่แล้ว

    Muongo wewe