‘Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile upatikanaji wa Katiba Mpya, ni hofu aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwamba endapo mageuzi hayo yatatokea, chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaweza kuondoka madarakani.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 15

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 15 วันที่ผ่านมา

    Umeanza vizuri. Ila baadae umejichanganya.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 15 วันที่ผ่านมา

    100% uko sahihi sana. Uoga. Not strong enough, not independent enough. Pleasing CCM intead of serving the people instead of her party and the very few.Tulitegemea na tulitumainia angeleta mageuzi mazuri kwa manufaa ya watanzania wote. Tulitegemea awe shujaa, hodari na busara za kufanya hivi.
    Katuangusha.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 15 วันที่ผ่านมา

    Watu wengi sana sana ambao wanaipenda chadema wasiokuwa na kadi

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 15 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana nawe kwa asilimia 80 wa hoja zako nadhani utakuwa viongozi mwema wa kusukuma maendeleo ndani ya CDM

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 15 วันที่ผ่านมา

    Usawa wa kijinsia ndio mwanzo wa ushenzi mwing unaoonekana katika taifa

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 15 วันที่ผ่านมา

    CHADEMA Bakhti mbaya hamuyaishi munayoyaamini. Mmepoteza misingi kamili ya chama chenu. Lazima mjitafakari wapi mlipoteleza.

  • @AllyMohammed-nv5sj
    @AllyMohammed-nv5sj 15 วันที่ผ่านมา

    We huna jipya unatafuta ummarufu tu

  • @user-mo3ik6go6r
    @user-mo3ik6go6r 14 วันที่ผ่านมา

    Kweri mimi Sina chama rakini nipo nyuma yenu

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 15 วันที่ผ่านมา

    Ww kama hujui wale wanzilishi vyama vya upinzani walipo ruhusiw kuanzisha vyama walikimbilia kwa msajili wa vyama kuanzisha vyama vyao kwa ajili ya maslahi yao binafsi waakacha kulizamisha serekali kubadilisha na katiba ilikuwe na tume huru ya uchaguzi

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi siamini kama ccm wanahofia mageuzi,wanachohofia zaidi ni maovu waliyoyafanya ndani ya nchi na ufisadi waloufanya ndani ya nchi hii hofu yao wakiingia wapinzani watawafirisi na kuwafunga walofanya maovu ndo hofu yao kubwa ndo maana wanaogopa KATIBA MPYA

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 15 วันที่ผ่านมา

    Anahofia mageuzi angewaruhusu kufanya mikutano na maandamano .Chadema haina uwezo wakuishinda CCM labda viongozi na wanachama wa CCM wavurugane bila hivio Chadema hainauwezo kabisa😢

  • @Amo-b7g
    @Amo-b7g 16 วันที่ผ่านมา

    Mageuzi? OMG! what a delusional mind 😂

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 15 วันที่ผ่านมา

      Nothing is delusional if you are genuine. All are possible.