Gwajima amjibu Slaa; Maswali na majibu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Sehemu ya tatu ya maswali na majibu, baada ya Dk. Slaa kumtaja Gwajima alipoongea na vyombo vya habari, September 08, 2015 Gwajima amemjibu Dr. Slaa juu ya tuhuma alizompa kufanikisha kumleta Edward Lowassa CHADEMA

ความคิดเห็น • 170

  • @munafmc77
    @munafmc77 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni moja only ,,,,jesus he massenger,, Ameen

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    AISEE HUYU JAMAA Ni MAHIRI KWA KUKWEPA KUJIBU MASWALI KWA UFASAHA NA MJAMJA WA Kutunga KUEUZA SWLI ILI ALIKWEPE KUIJIBU
    Yaani m
    hajibu swali kama alivyoulizwa dah very clever.
    watu wajanja wataona ukwepaji huo

  • @luggagecouriertz9238
    @luggagecouriertz9238 ปีที่แล้ว

    "MITHALI-26:4-5", INAKUSEMA GWAJIMA!
    Wewe Ni Bendera Fata Upepo' Na Pia,
    Wewe Ni Wakala Wa Shetani, Unajiita-
    Mtumishi Ni Mchungaji Wa Mshahara,
    Siyo Mchungaji Wa Mungu, Una Midomo
    Michafu' Ushindwe, Mwogope Mungu.

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 6 ปีที่แล้ว +8

    hongera gwajma Kwa kujibu maswali vizur ww n professional

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 5 ปีที่แล้ว +1

      Seif Zongo HUYU NDIYE ELIYA WA KIPINDI CHETU

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    gwajima ukapimwe akili auko sawa kabisa umekula pesa ya kuuza bandari mungu atakujibu tutaona yajayo

  • @HildaJackson-bp2rl
    @HildaJackson-bp2rl ปีที่แล้ว

    Wanao maulana baba gwajima nimahame

  • @hassanmganyizi586
    @hassanmganyizi586 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakupeda Askofu Gwajima hekima umepewa na Mungu

  • @MATHAYOALAMUNYAK-ld6gj
    @MATHAYOALAMUNYAK-ld6gj ปีที่แล้ว

    Hi

  • @boazijohn5347
    @boazijohn5347 5 ปีที่แล้ว +1

    acheni kumsema gwajima kua ni muongo,,,anasema kweli tena si uongo,yuko sahihi sana tena sana,,paster,gwajima songa mbele mungu azidi kukuwezesha sana,

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    yaani anaulizwa swali akiona gumu analikwepa kijanja sana usipijuwa mjaja huwezi kugundua haraka

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mama uliyemuuliza swali la kama kiongozi wa kiroho kujihusisha na Siasa ni kweli anakwepa tu

  • @ALEXSOLOMONNTEBEYE
    @ALEXSOLOMONNTEBEYE ปีที่แล้ว

    Let's pray all the time

  • @syriacussylivester4594
    @syriacussylivester4594 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mtumishi Mungu akupe nguvuuuu ya kushindaaa

    • @ABRAHAMMWAKIPANDULA
      @ABRAHAMMWAKIPANDULA ปีที่แล้ว

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
      Bill me vbbv.;;;;;;bbbb;;vb::;;bb;;;;;::bbbvbvbvv.vbbbbb:;;vvv;;;b
      :;;:;:;;;:bbbbbbbbbb.bbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbvvvvvvvvvvbvvbvvbbbbbbvbbbbbbbvvvvbvvbb. 5:55 5:55 5:55 5:56

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa8890 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nakukubali gwajima kumbe daaaa

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 ปีที่แล้ว

    Msanii wa kanisani kila mtanzania mwenye upeo Anafaham ubabaishaji wako huna lolote chawa mzuri tu!

  • @Mohammedkinunga
    @Mohammedkinunga ปีที่แล้ว

    Makubwa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    porojo tupu hakuna ukweli hapo.
    mbona anakwepa kujibu anapindisha swali

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Kwann askofu gwajima usingeacha haya mambo kwann

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 ปีที่แล้ว

    Ahaa Gwajima mwamba kweli kweli

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว

    Gwaji vip kuhusu Bandali mbona kimyaaaa

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂 leo ni.mbunge wa kawe

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi gwajima

  • @EAGT_BAHI
    @EAGT_BAHI ปีที่แล้ว

    Amina Sana balikiwa mutu wa mungu Mungu aku tiye nguvu kiloho na kimwili Amina kumbuka kuomba 😮😅😢

  • @jumamataro4195
    @jumamataro4195 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawatakia jpl njema

  • @danielmwasi4956
    @danielmwasi4956 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli gwajima umeishiwa,kumbuka wewe ni mtumishi was mungu acha kufungamana na siasa

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 ปีที่แล้ว

    Kanisa la vichaa au mbn halina utashi wa mungu

  • @ramadhanikaita9672
    @ramadhanikaita9672 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mzee kauliza swali la msingi Sana Ila kuna mijitu njaa imewakalia kooni mpaka inajisahau sasa huyo mkaa uchi atasema mbele ya DK slaa pumba kabisa DK slaa anajitambua

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 5 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima huwa ananfrahisha sana kicheko chake cha madaha!

  • @bonifasikalima9214
    @bonifasikalima9214 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli dunia inatupungia mkono ndio maana maasi yamezidi,,,wachungaji kuwa na mabodgard kanisani yaani wao hawajimini ,,Pili hawamwamini mungu..Bali dunia by bye. Siamin macho yangu ,kanisani una mlinzi mmoja he nyumbani wako wangapi?

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 ปีที่แล้ว +5

    Gwajima umeishiwa Baba,kumbuka wewe ni mchungaji ningependa kuona ukiifanya kazi ya bwana lakini mwaka huu umeniangusha ,kweli BIBLIA ilivyosema MAMBO YA KAIZARI MPE KAIZARI NA MAMBO YA MUNGU MPE MUNGU.Tubu urudi kwenye mstari hiyo ni dalili ya kuanguka kiroho.

    • @imanifilbert582
      @imanifilbert582 4 ปีที่แล้ว

      Huyo mtumishi gwajima ni msenge hana akila kabisa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    hakuna kitu hapo ni ujanja ujanja tu basi

  • @frankmkama5169
    @frankmkama5169 4 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima ww ni hatari sana

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul ปีที่แล้ว

    Kikwete amesema tusichanganye Dini na siasa je huyu Gwajima ni Askofu kwa Nini anachanganya Dini na siasa

  • @makangangereza2522
    @makangangereza2522 9 ปีที่แล้ว +1

    we gwajima Mungu anakuona naomba tubu

    • @lucasilabowa1193
      @lucasilabowa1193 5 ปีที่แล้ว

      KICHWA CHA MSUKUMA NDANI YA YESU CHEZEA ,HUYO NI MTUMISHI WA MUNGU NA MUNGU AMEWABARIKI WASUKUMA KUNENA KWELI

    • @salimalriyami7654
      @salimalriyami7654 4 ปีที่แล้ว

      Mpumbuvu huyo.

    • @salimalriyami7654
      @salimalriyami7654 4 ปีที่แล้ว

      @@lucasilabowa1193 nop

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa8890 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu ninani hapo ?

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweri huwa nakukubali sana mchungaji Gwajima ww ni kichwa

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 ปีที่แล้ว

    Wewe Muongo Gwajima.

  • @makiadijonasi6859
    @makiadijonasi6859 5 ปีที่แล้ว

    Duh Mungu atusaidie sanaa

  • @abdubabu5454
    @abdubabu5454 6 ปีที่แล้ว +3

    Kwahio mnataka maswali yaendane na hisia zenu?

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    kumbe ngajima ni mtu wa porojo toka zamani. yaani ni mjamja mjanja tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 ปีที่แล้ว

    Unatengeneza Maadui bila sababu na kibaya zaidi Kuna kundi linakusikiliza tu

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 ปีที่แล้ว

    Unatafuta sahani

  • @evodiuskivili7499
    @evodiuskivili7499 5 ปีที่แล้ว +3

    Gwajima eleza baba

  • @shadrackmakula9712
    @shadrackmakula9712 5 ปีที่แล้ว +1

    Swali langu kwa gwajima, anazungumziaje wale wachawi Wa gamboshi

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 ปีที่แล้ว

    Mhuu!

  • @BarazilLwezaula
    @BarazilLwezaula ปีที่แล้ว

    Kama kiongoz was kiloo ni gwajima bas viongozi wa kiloo wamehisha nikiozi wa siasa

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 6 ปีที่แล้ว +6

    gwajima huna akili! mbona ww ulimtukana polkap pengo? nan alikushambulia acha mbwembwe kama unataka usiasa c useme acha kutuchefua.

  • @famionlineapdates9371
    @famionlineapdates9371 6 ปีที่แล้ว

    Sema baba sema

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 6 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kweli ...haijakaa ....Kesheni mkiomba.....Je mtu aache kumkiri BWANA sababu kuna watu Wa dini Fulani watachukia??....Filip 2:12.....akawa mtii hata mauti ...naam mauti ya msalaba...Yesu alichukuliana na wote....wala hakuwaukumu....wajinga...

  • @johnsanga673
    @johnsanga673 6 ปีที่แล้ว +3

    hubili injili achani siasa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

    MCHUGAJI wewe usifanye mzaa na mungu

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 5 ปีที่แล้ว

    Duh....
    Tayar lowassa karud ccm

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul ปีที่แล้ว

    Hapo hakuna mithali ujibu swali lake.

  • @petromahenge4377
    @petromahenge4377 ปีที่แล้ว

    Kapigwa kitu KIZITO Sana huyu anashindwa kutembea

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa wangu mbona sku his haongei

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza ปีที่แล้ว

    Mchungaji hekima yako sasa inakwisha ni wale wale wachungaji waovyo

  • @emmanuelnkubapaschalngalul992
    @emmanuelnkubapaschalngalul992 5 ปีที่แล้ว +5

    gwajma hayo maswal unayapga polojo tuu hutajb ipasavyo

  • @makalamadumba8936
    @makalamadumba8936 6 ปีที่แล้ว +1

    mshenga,ulisomeashelia,nadini,mbona,,unajuakujieleza,,nakukwepa,maswali,,nakuyajibu

  • @johnsanga673
    @johnsanga673 6 ปีที่แล้ว +5

    acheni ujinga mungu na siasa ni kama mafuta na maji kamwe havichanganyikani

    • @emanuelmakala6518
      @emanuelmakala6518 5 ปีที่แล้ว

      duuu sasa aponi mwanasiasa au mchungaji Dunia imeisha

  • @Lematronix
    @Lematronix 5 ปีที่แล้ว

    Bishop mpemba

  • @makambaswenya9735
    @makambaswenya9735 6 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima ana shida kubwa sana

  • @propheticministrytz3482
    @propheticministrytz3482 4 ปีที่แล้ว

    The best bishop who can handle things properly

    • @VITICUSSICHONE-bk9bv
      @VITICUSSICHONE-bk9bv ปีที่แล้ว

      😢😢 6:07 j

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      true.
      ni mjanja mjanja sana anakwepa maswali kijanja sana huwezi kushtukia kama hauko clever

  • @makalamadumba8936
    @makalamadumba8936 6 ปีที่แล้ว

    anajua,kukataa

    • @jacksonmlahagwa7619
      @jacksonmlahagwa7619 5 ปีที่แล้ว

      Gwajima chiz hilo linatumiwa na shetani toka kuzimu

  • @deojohn1413
    @deojohn1413 6 ปีที่แล้ว

    Safi Bishop,woga ni dhambi

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 ปีที่แล้ว

    Kama kuna wakara wa shetani huku duniani ni Gwajima. Hili ni jambazi lililojificha kwa Yesu, tangu adamganye kukufufua wafu mulimuona kamfufua nani?

  • @victorngereza5410
    @victorngereza5410 6 ปีที่แล้ว +1

    Umesema maneno ya mungu vzri lakini na ww ni miongoni mwa hao wapumbavu kiongozi aa kiimani unaoaswa kukemea na sio kuingilia mambo ya kisiasa linda na kutetea imani na sio siasa

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Watakatifu.wenye haki tutubu.sana.dunia.ilipo.sipo.mzee.lutu.aliogopa.sana.alipoona.sodoma.inalawiti.inafanya.ushoga.biblia inasema moyo wa mzee lutu uliumia.siku.hadi.siku mpaka.siku.malaika.walipofika.sodoma.bado

  • @Mohammedkinunga
    @Mohammedkinunga ปีที่แล้ว

    Acheni.unafki.na.chuki.mtumishi.kaongea.point.mselete.siasaa.za.ovyo.

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 4 ปีที่แล้ว

    Safari inaendelea hadi tufike tunakoelekea

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว +1

    Sana gwajma, nakkbali sana waambie

  • @charlesogango2257
    @charlesogango2257 5 ปีที่แล้ว +2

    acha uhongo we ng'wehuuu

  • @MATHAYOALAMUNYAK-ld6gj
    @MATHAYOALAMUNYAK-ld6gj ปีที่แล้ว

    In

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 6 ปีที่แล้ว +3

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni,jamaa siku hizi habari za makonda hazimo akilini tena ni baada yakuonesha kuwa kijana ana uwezo wa kufanya kazi zaidi yake

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    gwajima muongo hufai hata yesu akirudi atakukata wewe mtumishi wa pesa mchungaji wapesa

  • @meresinantibakakazi1722
    @meresinantibakakazi1722 4 ปีที่แล้ว

    Umesema siyo kanisan.hiyo misital umeitowa wsp

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว

    Heee kwakweli dunia imeisha kanisa linakuwa na mambo ya siasa lakin kwa enzi za enzi na mababu walisena dini lilikuwa mbili tu romani na islamick hizi nyingine hazikuwepo ndio maan kwa sasa watu wanachukiaga kisa maswali ya kipumbavu

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

    Au umemuwekea wachunguzi na si walinzi? ili umchunguze na kumnanga kanisani? si vizuri kumsema mtu hayupo.

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndiyo ASKOFU SHUJAA KWA WAKATI WAKE,.

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 5 ปีที่แล้ว

      Gasper Massawe Amebeba Mungu,Roho na uwezo was Eliya kwenye kipindi chetu

    • @cypmkutubi3109
      @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว

      Ushujaa wake upi?

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk ปีที่แล้ว

    Gwajima umesema hapo sio kanisani waislam watajisikia vibaya , umemkataza Mtu asiseme Bwana Yesu asifiwe sasa kwanini wewe umemjibu kupitia Biblia.? Wakati umemkataza Mwezio.

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. 5 ปีที่แล้ว +1

    Poor cameraman

  • @johnmwambungu7434
    @johnmwambungu7434 5 ปีที่แล้ว

    Hypocrisy tupu kwa huyu Mtumishi.

  • @makangangereza2522
    @makangangereza2522 9 ปีที่แล้ว +1

    umeenda na kanisa lako kwa waandishi mnafiki,ulimtukana mkuu wetu wa kanisa

  • @makalamadumba8936
    @makalamadumba8936 6 ปีที่แล้ว

    ngwajima,ongelakwakukwepa,maswali

  • @estamasima6742
    @estamasima6742 6 ปีที่แล้ว

    who are you,@ kitu wewe ndo mtoa taarifa ,wewe usidhihaki neno la mungu kwa upumbavu wako ,huna wito na uchungaji,Kama mmekosa kaz ya kufanya kabondeni zege

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kweli ni mpumbavu muuliza swali

  • @japhethmbusya1479
    @japhethmbusya1479 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba Mimi natoka Kenya lakini hekima yako ni ile ya Suleiman,nakupenda Sana na wakunibandua kwako hayupo

  • @emanuelkajiru7008
    @emanuelkajiru7008 5 ปีที่แล้ว +2

    Ngwajima jembe

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 6 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio mpumbavu kweli tena huna adabu, ndio maana baada ya kumtukana Cardinal Pengo hakukujibu maana alikuona ni mpumbavu. Eti kiongozi wa kiroho, unaongoza roho zilizopotea kama yako.

    • @AB-wm1zt
      @AB-wm1zt 5 ปีที่แล้ว

      True

  • @benjoliga1136
    @benjoliga1136 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa naye duu, siasa na dini wapi na wapi?

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 6 ปีที่แล้ว +4

    Huna urafiki ww ni mnafiki tu na kicheko chako ni unafiki, na hiyo mifugo uliyofuga inashangilia hovyo tu. gwajima ww ni kuni za kuchomea wenzio huko kuzimu.

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 5 ปีที่แล้ว

      Edson Sign kaulize wakati was wa nabii Erisha walikuepo vijana wenye dhihaka km zako waweza jua. nn kiliwapat?

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 4 ปีที่แล้ว

    Uko. Fiti. KTK. UBORA. WAKO..

  • @godfreymlila9958
    @godfreymlila9958 ปีที่แล้ว

    Gwajima umefeli hunanyimbo mpumbavu wewe

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 6 ปีที่แล้ว

    ila mkeo ndy wakawaida acha mbwembwe gwajima.

  • @nicesongedward2162
    @nicesongedward2162 6 ปีที่แล้ว +3

    sema gwajma maana huo ndo ukweli

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      fake. anakwepa kujibu maswali kwa sahihu

  • @syliveriokilimila5865
    @syliveriokilimila5865 5 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima mnafiki kabisa

  • @chishimbamwasambungu62
    @chishimbamwasambungu62 6 ปีที่แล้ว +6

    wachungaji waovyo wachungaji wa ovyo wakina Nabii Tito ni wengi

    • @noelswai159
      @noelswai159 6 ปีที่แล้ว

      chishimba mwasambungu

    • @cosmasmakumba9001
      @cosmasmakumba9001 5 ปีที่แล้ว

      chishimba mwasambungu

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 5 ปีที่แล้ว +1

      chishimba mwasambungu ndiyo wako wengi kina kakobe lkn siyo huyu

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 5 ปีที่แล้ว

    Hilo jamaaa lipumbavu

  • @charlesmwanza7302
    @charlesmwanza7302 6 ปีที่แล้ว

    Kanisan ni ukumbi Wa siasa ni hatari tanzania hii tumekwisha

    • @kinglance9816
      @kinglance9816 6 ปีที่แล้ว

      sio kanisani Hapo unafuatilia au unafuatiliwa

  • @amrisaid9437
    @amrisaid9437 6 ปีที่แล้ว

    zma za mwisho hzo