MWL ALIKO MWALULILI : UKIOTA UNASHIRIKI TENDO LA NDOA NDOTONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 67

  • @violetsumba5429
    @violetsumba5429 ปีที่แล้ว +4

    Asantee kwa huu ujumbe Bwana yesu akubariki violet kutoka kenya

  • @highonebalo8289
    @highonebalo8289 ปีที่แล้ว +1

    Shalom MTU mkuu wa Mungu.
    Nimepata ufunuo wa ajabu kwa hilli somo. Kumbe Mungu ameficha siri ya ajabu sana kwenye ndoa; na wanandoa wangefunuliwaga, basi umaskini wangeusikia huko nje ya kambi.
    Dah!!! Mungu apanue mipaka yako mwalimu ; nimependa sana hii💪

  • @alexnjela4988
    @alexnjela4988 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa sanaa🎉🎉

  • @samsonjoel3349
    @samsonjoel3349 ปีที่แล้ว +3

    Sawa mtumishi Mungu AKUBARIKI,ila makwazo ya mara Kwa mara ya mwenzi wako,yanaondoa hamu ya tendon la ndoa

  • @Erickasanterabi
    @Erickasanterabi 21 วันที่ผ่านมา

    Ujumbe wa kiroho kama unaota ndoto hzo usikate tamaa fanya maombi ya toba kwenye misingi zabur 11:3 usikubali kuota uichukulie poa omba sana maana ndoto hii ni nyeti ina piga maeneo yote muhimu ktk maisha yako

  • @zuberymsindila-hx1sj
    @zuberymsindila-hx1sj ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Kwa ujumbe mzuri na wa kwel

  • @marydzidzi8448
    @marydzidzi8448 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 ปีที่แล้ว

    Amina nimepokea kutoka kwa mungu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @EmelianaOmbay
    @EmelianaOmbay ปีที่แล้ว +1

    Dah I wish useme neno moja kwaajl yangu na mm Nina shida kwenye eneo la ndoto ,emeliana from manyara

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587  ปีที่แล้ว

      Bwana Yesu asifiwe Mungu akuvushe unaweza niandikia vizuri aina za ndoto kwa WhatsApp 0764 741 466

  • @ruthwambua8247
    @ruthwambua8247 ปีที่แล้ว +1

    Roho ya talaka mtumishi wa mungu,hio ni madhabahu ndio ,ukiota tu ukifanya mapenzi Kwa ndoto ndoa hakuna,u are spiritually married by demons,physically huwezi penda mwenzako ,

  • @andrewmusa9592
    @andrewmusa9592 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi kwa somo zuri

    • @HappyGeorge-yp9jl
      @HappyGeorge-yp9jl ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mchungaji mwenyewe nimeshtuka ninahisia Kama nimetumika,naomba uniombee mtumishi mungu anisaidie

    • @HappyGeorge-yp9jl
      @HappyGeorge-yp9jl ปีที่แล้ว

      Ninakusikiliza usiku huu mtumishi baada ya kushtuka Nina hii Hali naomba uniombee,nikweli uchumi wangu umeshuka Sana

  • @caromoeller7728
    @caromoeller7728 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtu Wa Mungu umenifundisha somo zuri

  • @marianguli7994
    @marianguli7994 ปีที่แล้ว +2

    Amen somo zuri sana

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @LOVENESSMtega-f1k
    @LOVENESSMtega-f1k ปีที่แล้ว

    Kila jambo liwe na kiasi katika kristo no

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +1

    Mambo mazuri mtumishi wa MUNGU,

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว

    Na mimi narudisha hiyo kitu in Jesus name

  • @moreenonesmo-jz2ws
    @moreenonesmo-jz2ws ปีที่แล้ว

    Mhuu wengine tunasikiaga kwa watu kwamba kitu kipo hatupewi

  • @MariamPeter-g5o
    @MariamPeter-g5o ปีที่แล้ว

    Nataka kukuona mwanza sehem gan

  • @YotememaNuhu
    @YotememaNuhu ปีที่แล้ว +1

    Daaa! Kaka ndoto hiyo imenitesa sana mpaka mke wangu kanikimbia

  • @DaudiMbungi
    @DaudiMbungi ปีที่แล้ว

    Asantee yesu kuakutupa ujumbe huu kipitia mtumish wako nimepata majibu ndoto hii imenitokea hv kalibu🙏🙏

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 ปีที่แล้ว

    Nimekaa bila kuoa myaka 31 ila cha hajabu nilikua nikiota nafanya mapenzi na mzazi wangu niliomba Mungu anipe mke atakayenifaa toka nimeoa na kufunga ndoa sijawahi kuota tena ila kuna jalibu napitia mkewangu ningumu tunapokua kitandani ugomvi hauishi mpaka tunaishi sepaleti

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587  ปีที่แล้ว

      Mungu akuvushe mtumishi katika hili pito akuvushe yeye, Naomba niandikie WhatsApp 0764 741 466

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @VictoriaAndason-vz3xm
    @VictoriaAndason-vz3xm ปีที่แล้ว

    Video ya kufanya mapenz

  • @marymaria947
    @marymaria947 ปีที่แล้ว

    Asanti kwa ujumbe nipitie apo kwangu please🙏

  • @MariamPeter-g5o
    @MariamPeter-g5o ปีที่แล้ว

    Ni mmi kabisa mtumishi nisaidie nimeomba sana kwa mwez nikalibia na nikimaliza ananijia

  • @kennedyodera7555
    @kennedyodera7555 ปีที่แล้ว

    How can I reach you pastor am in kenya it's a nice taeching word of God 🙏 amen

  • @YotememaNuhu
    @YotememaNuhu ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi binafsi natamani nikuone aisee maana ninashida kweli.

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587  ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe Mtumishi tuwasiliane ili tujue mkoa uliopo tukifika tuonane 0764 741 466

  • @RajabuSingano-i9n
    @RajabuSingano-i9n ปีที่แล้ว

    Duu hata mimi naota hivi

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 ปีที่แล้ว +1

    MSISAHAU TUKO NYAKATI ZA MWISHO MTAFUTE I BWANA MAADAMU ANAPATIKANA ALIYE OLEWA AWE KAMA HAJAOLEWA NYAKATI ZA MWISHO HIZI TAFUTENI USO WA BWANA

    • @ayoubdallu4476
      @ayoubdallu4476 ปีที่แล้ว

      Acha uvivu ..jitahidi

    • @annahndege1875
      @annahndege1875 ปีที่แล้ว

      Mtumishi Bwana Yesu asifiwe, hongera kwa utumishi huu ambao Mungu amekupa naomba uendelee kutusaidia. ingawaje ningehitaji niwasiliane na wewe inbox

    • @fridasanga2494
      @fridasanga2494 ปีที่แล้ว

      Unamanisha tusifanye tendo la ndoa ila tumtafute Bwana madam anapatikana

  • @marykimori8929
    @marykimori8929 ปีที่แล้ว +1

    Ajabu!

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว

    Duuu aki mm hizi ndoto hunisumbua sanasana nikikaribia mwisho wa mwezi...nimeliombea basi tu nahitaji msaada kwakweli

  • @PROTAS-d7i
    @PROTAS-d7i ปีที่แล้ว

    Nikitu ki takatifu ni usaidiz katika kuumba

  • @AlphineKimani-i8l
    @AlphineKimani-i8l ปีที่แล้ว

    Nahitaji namba niongee na wewe kwa WhatsApp niko Kenya

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587  ปีที่แล้ว

      +255764741466 karibu

    • @kennedyodera7555
      @kennedyodera7555 ปีที่แล้ว

      Nko Kenya nahitaji namba uko mahubiri mazuri xana how can I reach you pastor 🙏 amen

  • @MariamPeter-g5o
    @MariamPeter-g5o ปีที่แล้ว

    Namba no yako nisaidie nipo shinyanga

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว

    Inatisha

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

    Nimesisimuka ajabu

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 ปีที่แล้ว

    Mimi niko miongoni mwa wale ambao wanaota izo ndoto.

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587  ปีที่แล้ว

      +255764741466 WhatsApp tuendelee kuomba usikome kuomba

    • @DaudiMbungi
      @DaudiMbungi ปีที่แล้ว

      Hakika hili limenilenga 🙏🙏

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 ปีที่แล้ว

    ntakutafuta mtumishi