MWL ALIKO NA DORCAS MWALULILI
MWL ALIKO NA DORCAS MWALULILI
  • 126
  • 234 166

วีดีโอ

JIFUNZE KUUELEWA UFALME ILI UISHI KWA FURAHA
มุมมอง 139วันที่ผ่านมา
Ili uweze kuishi kwa fura zaidi ukiwa hapa duniani na ukazifurahia baraka zote ambazo Bwana ameziweka, jifunze kuelewa ufalme huwa unataka nini
KIPAWA CHAKO NI URITHI UTAKAO WAACHIA WANAO
มุมมอง 9414 วันที่ผ่านมา
Huduma yako unaweza usiache kwa ajili ya wanao bali kipawa chako
NDOTO YA KUOKOTA HELA NI MOJA YA ISHARA YA UMASIKINI
มุมมอง 15914 วันที่ผ่านมา
Kuwa makini na namna unavyoingia kwenye ndoto ya kuokota fedha na nini unachokisikia unapookota fedha
NAMNA YA KUONGEZA THAMANI KAMA MCHUNGAJI, MWALIMU NAMWINJILISTI
มุมมอง 29614 วันที่ผ่านมา
Linda thamani yako ili uweze kuishi ya furaha
UKIOTA NDOTO YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
มุมมอง 26521 วันที่ผ่านมา
Fahamu hili unapoota unashiriki tendo ala ndoa ndotoni na madhara yake katika ulimwengu wa roho na kiuchumi kwako
NAMNA YA WALIVYOTOKA KWENYE UMASIKINI KUTOKA MISRI KWENDA KAANANI
มุมมอง 14221 วันที่ผ่านมา
Hivi ndivyo wanawaisraeli walivyotoka kwenye hali ya umasikini kutokea misri kwenda kaanani
MAOMBI YA KUJIKOMBOA KWENYE VYAKULA ULIVYOLISHWA NDOTONI
มุมมอง 25621 วันที่ผ่านมา
Tunaendelea na semina ya neno la Mungu hapa pasiansi ya siku 16
LINDA JINA LAKO KWA NGUVU ZOTE
มุมมอง 30128 วันที่ผ่านมา
Jina ndilo limebeba utambulisho wako hivyo usiruhusu mtu akariharibu jina lako
JITOE KWENYE MADENI YA WAZAZI WAKO, KWA KUTOROKA UMASIKINI
มุมมอง 123หลายเดือนก่อน
Wengi wetu tunapitia mateso mengi kwakuwa tuu ya makosa na madeni ya kiroho waliyoingia wazazi wetu
HII NDIYO ADHABU KUBWA AMBAYO SHETANI ALIPEWA PALE ALIPOKOROFISHA MBINGUNI
มุมมอง 147หลายเดือนก่อน
Kutupwa chini sio adhabu kubwa ambayo shetani alipewa, yeye kitu kibaya ambacho alipitia shetani ni kupewa laana ya umasikini
UNAJUA UANACHOKIPATA UNAVYOTOA FUNGU LA KUMI
มุมมอง 441หลายเดือนก่อน
Mara zote unapotoa Fungu la kumi ni nini yanakuwa matarajio yako mbele za Bwana
KWA MTINI JIFUNZENI, WEWE UMEJIANDAEJE?
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
Katika nyakati hizi za maisha je umeanza kujiandaa kuhusu kuelekea nyakati za siku ya mwisho basi uyaonapo haya changamka
ADHABU KUBWA ALIYOPEWA SHETANI KULIKO ZOTE
มุมมอง 97หลายเดือนก่อน
Baada ya kuasi shetani alipigwa na adhabu ya umasikini mkubwa wa KUTUPWA
NAMNA YESU A;LIVYOJIBU MAOMBI YA MAPEPO
มุมมอง 124หลายเดือนก่อน
Ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kujua nguvu ya mabadilishano ni muhimu kujua hili kama aliweza kujibu ombi la mapepo atashindwaje kujibu ombi lako
JINSI YA KULINDA NDOA YAKO
มุมมอง 243หลายเดือนก่อน
JINSI YA KULINDA NDOA YAKO
HAUJAO AU HAUJAOLEWA NISIKILIZE KWANZA HAPA, MWL ALIKO MWALULILI
มุมมอง 160หลายเดือนก่อน
HAUJAO AU HAUJAOLEWA NISIKILIZE KWANZA HAPA, MWL ALIKO MWALULILI
SIO KILA NGUVU YA MUNGU NI YA KUKEMEA MAPEPO
มุมมอง 121หลายเดือนก่อน
SIO KILA NGUVU YA MUNGU NI YA KUKEMEA MAPEPO
MWL ALIKO MWALULILI MWANAUME ANATAKA MWILI WA MWANAMKE
มุมมอง 290หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI MWANAUME ANATAKA MWILI WA MWANAMKE
KUKABILIANA NA UPINZANI KWENYE MAISHA, MWL ALIKO MWALULILI
มุมมอง 121หลายเดือนก่อน
KUKABILIANA NA UPINZANI KWENYE MAISHA, MWL ALIKO MWALULILI
MWL ALIKO MWALULILI, UKIMSINGIZIA MUNGU HUJIAMINI
มุมมอง 158หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI, UKIMSINGIZIA MUNGU HUJIAMINI
MWL ALIKO MWALULILI: MAKOSA YA WANANDOA VIJANA
มุมมอง 194หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI: MAKOSA YA WANANDOA VIJANA
MWL ALIKO MWALULILI, WAPENDWA WENGI HAWAKO ROMANTIC KWENYE MAPENZI
มุมมอง 1372 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI, WAPENDWA WENGI HAWAKO ROMANTIC KWENYE MAPENZI
MWL ALIKO MWALULILI: KWANINI WANAWAKE HAWAKURUSIWA KUSIMAMA MADHABAHUNI
มุมมอง 1502 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI: KWANINI WANAWAKE HAWAKURUSIWA KUSIMAMA MADHABAHUNI
MWL ALIKO MWALULILI : WAKATI ULIOPITA NI MWIZI WA FURAHA YA WENGI
มุมมอง 2062 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI : WAKATI ULIOPITA NI MWIZI WA FURAHA YA WENGI
MWL ALIKO MWALULILI: HUWEZI KUKUBALIKA NA KILA MTU
มุมมอง 1512 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI: HUWEZI KUKUBALIKA NA KILA MTU
MWL ALIKO MWALULILI: HAKUNA MTU AMBAYE HAONI SIMU YAKO, TENGENEZA THAMANI YAKO
มุมมอง 2412 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI: HAKUNA MTU AMBAYE HAONI SIMU YAKO, TENGENEZA THAMANI YAKO
MWL ALIKO MWALULILI : ANZA NA VITU VIDOGO VIDOGO
มุมมอง 1384 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI : ANZA NA VITU VIDOGO VIDOGO
MWL ALIKO MWALULILI: JINSI YA KUUTOROKA UMASIKI
มุมมอง 3504 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI: JINSI YA KUUTOROKA UMASIKI
MWL ALIKO MWALULILI : NJIA RAHISI KUISHINDA MIZIMU INAYOKUTESA
มุมมอง 1124 หลายเดือนก่อน
MWL ALIKO MWALULILI : NJIA RAHISI KUISHINDA MIZIMU INAYOKUTESA

ความคิดเห็น

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli limebaki kwetu huu ufumuo ni mtam

  • @amisasadock6857
    @amisasadock6857 9 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @mariamsanga135
    @mariamsanga135 9 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi

  • @foibejacob2774
    @foibejacob2774 10 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu nimelisikia Nemo lako. Naomba Miujiza iamke ndani yangu kuanzia leo kwa Jina la Yesu. Amen.

  • @KISHAJULIUS-n8j
    @KISHAJULIUS-n8j 11 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana .. Mtumishi..

  • @Asinat-h4j
    @Asinat-h4j 13 วันที่ผ่านมา

    Very true, niliota nimeokota pesa sarafu nyingi 2years ago umaskini ndio umezidi.

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587 13 วันที่ผ่านมา

      pole sana Mungu anaenda kukuvusha umejua sababu ya umasikini wako, tunaweza wasiliana kupitia whatsapp 0764741466

  • @upendomwaifwani3374
    @upendomwaifwani3374 14 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @dianandayidhimiye
    @dianandayidhimiye 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimeota nafanya harusi ila baba harusi sikumuona wala simujuw afu apo apo nika fika naingia musiku zangu

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587 13 วันที่ผ่านมา

      Je kwa sasa umeolewa? ingawa pia hii ndoto inaweza kuja hata ukiwa ndani ya ndoa whtasapp me +2550764741466

  • @DAUDIMACHIMU
    @DAUDIMACHIMU 15 วันที่ผ่านมา

    mtumishi mimi niliota naokota SARAFU AMBAYO INA PEMBENNE KAMA NOTE ,NI SARAFU ILA INA UMBO LA NOTE ,miaka mingi sana nikiwa dalasa la tatu

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587 13 วันที่ผ่านมา

      ooooh hizo ni ishara, tunaweza ongea zaidi kupiti a whatsapp 0764741466

  • @nassonimfumbilwa6461
    @nassonimfumbilwa6461 16 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu mwendelezo ?

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587 13 วันที่ผ่านมา

      endelea kubakia hapa mtumishi tutaweka muendelezo

  • @secymbwilo8918
    @secymbwilo8918 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana kwa kutoa somo hili mtumishi wa Mungu

  • @jalianekemia1634
    @jalianekemia1634 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni awabariki sana

  • @eliudminga6085
    @eliudminga6085 25 วันที่ผ่านมา

    Napata kitu

  • @EsterDangadanga-do3bc
    @EsterDangadanga-do3bc 26 วันที่ผ่านมา

    Aminaaaaa

  • @MeryMussa-z3e
    @MeryMussa-z3e 27 วันที่ผ่านมา

    Hakika tumeuona utukufu wa Mungu

  • @upendomwaifwani3374
    @upendomwaifwani3374 28 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @ipyanamwaisekwa8209
    @ipyanamwaisekwa8209 28 วันที่ผ่านมา

    Amen! Hii ni kweli Mwl. Kutoa fungu la kumi bila ufahamu ni bure!

  • @upendomwaifwani3374
    @upendomwaifwani3374 28 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Mwalimu

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 29 วันที่ผ่านมา

    Amen, barikiwa

  • @IbrahimMwaipaja
    @IbrahimMwaipaja หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @IbrahimMwaipaja
    @IbrahimMwaipaja หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana 😊

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi, umekuwa mtu wa thamani Sana kwenye maisha yangu tangu nikufahamu sijawahi jutia MB zangu.

  • @sekelaisrael7675
    @sekelaisrael7675 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa Somo zurii Mtumishi Mungu akubariki kwa kazi nzurii.

  • @edinamlavi7135
    @edinamlavi7135 หลายเดือนก่อน

    Moja kati ya somo linanipa nguvu sana.

  • @edinamlavi7135
    @edinamlavi7135 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Sir kwa semina hii. Nimepanda hii ya njee.

  • @sekelaisrael7675
    @sekelaisrael7675 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa neema hii

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 หลายเดือนก่อน

    Nakua KAHABA DELILA KWA MUME WANGU yan nakuelewa sanaaa Mchungaji.......

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 หลายเดือนก่อน

    Nijifunze kuishibisha tamaa ya mume wangu...uwii mm napendeza nanukia hadi leo mume wangu anafurahi ....sivai dera mie kwa mume wangu na shanga navaa babu we hahahahahahaa sasa nikamvalie nani kama sio mume wangu.....

    • @mwlalikomwalulili7587
      @mwlalikomwalulili7587 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli Mungu azidi kukupa mbinu za kuilinda ndoa zaidi

  • @upendomwaifwani3374
    @upendomwaifwani3374 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @upendomwaifwani3374
    @upendomwaifwani3374 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu

  • @samwelmsemwa-w5y
    @samwelmsemwa-w5y หลายเดือนก่อน

    Be blessed

  • @godfreyboniface7003
    @godfreyboniface7003 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba

  • @officialshelomwangole256
    @officialshelomwangole256 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏

  • @PriscarDaniel-eq2jp
    @PriscarDaniel-eq2jp 2 หลายเดือนก่อน

    Ansante kwa kuja tunduma richa ya kusali sana sikuwai ona uponyaji wa namna hii kila siku mwili zilikuwa homa lakin kupitia wewe nimepona MUNGU akulinde

  • @PriscarDaniel-eq2jp
    @PriscarDaniel-eq2jp 2 หลายเดือนก่อน

    Toka nimeanza kusali tripu hii nimeelewa neno ansante kwa kuja tunduma

  • @CharityNdongole
    @CharityNdongole 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @CharityNdongole
    @CharityNdongole 2 หลายเดือนก่อน

    balikiwa tyu mwalim sijawah ombewa maisha yangu yoote ila sku umeniombea nilifunguliwa mengi sana

  • @YasintaCharles-zg5bi
    @YasintaCharles-zg5bi 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeen.

  • @dolophineakinyi
    @dolophineakinyi 2 หลายเดือนก่อน

    Mi niliota nipo ndani ya shela ila nlikataa sikufungishwa

  • @FloraHatia
    @FloraHatia 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @mwl.ombimahenge6782
    @mwl.ombimahenge6782 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana mtumishi kwa mafundisho haya ya kweli

  • @JudithAdonis
    @JudithAdonis 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Huwa napenda kujifunza kutoka kwako !!

  • @devothafrederick4352
    @devothafrederick4352 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi sijaolewa , nimeota najiandaa kufunga ndoa tayari nimelembwa najiandaa kuingia ukumbini, nisaidieni jmn sijui ni nn

  • @MfikaMkumbwa
    @MfikaMkumbwa 3 หลายเดือนก่อน

    Amina pastor

  • @IsraelKihombo
    @IsraelKihombo 3 หลายเดือนก่อน

    Duniani Kuna mambo

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 4 หลายเดือนก่อน

    I catch you well servant of God

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @THEODORAMAEMBE
    @THEODORAMAEMBE 4 หลายเดือนก่อน

    Zaburi 4:4,zaburi 36:4,zaburi 63:6,zaburi 149:5,hosea 7:14,wimbo ulio bora 3:1