Samahan naomba kuuliza hv mapigo ya moyo kuwa kasi, kukosa hamu ya kula, kutoka jasho saana, mwili kuchoka, na mdomo kuwa wa uchungu hii inatokana na nn!?
doctor mim sipendi chai situmiii alcohol situmiii Madawa yoyote 😢 na sijawahi lkn nahis ni miaka mi5 sasa nasumbuliwa na hili tattoo moyo kwenda kasi isivyo kawaida jmniiii 😢 shida ni nn napata hofu 😢
Mimi hiyo ndo shida yangu kubwa mapigo yanafika mpaka 100 yananipa kizunguzungu na yananifanya nikose ballance yakutembea ninayo huu mwaka wakumi tena sina raha hata kidogo
Ni vzr kuangalia ni wakati gani moyo wako unakwenda mbio Angalia mazingira, chakula unachokula na vitu vinavyochangia Kama ni msongo wa mawazo, au sababu yoyote ile , ukiifahamu , unaweza kuanza kuirwkebisha
Mimi ninatatizo Hilo Kwa miez kumi yanakwenda mapigo haraka sana Hadi 112 na pia nikiamka haraka yanazid hata nikipokea kitu hata kidogo tu najisikia vibaya zaid
Mimi nikitulia siyasikii Ila kwa mfano nimekaa ALafu nikanyanyuka kwa haraka yanaenda mbili baada ya mda yanatulia au myu akiniamsha kwa mkurupuo pia inatokea Sasa sijajua tatizo ni nn au ni kawaida 😢
Kama una wasiwasi sana na ushauri katika video yetu haujasaidia. Onana na daktri Ila kwa kawaida, watu wenye umri mkubwa na watu wenye uzito mkubwa, hushauriwa kuamka kwa hatua taratibu ili kuzuia hali hii. Amka, Kaa kitandani kabla ya kusimama. Hatua kwa hatua. Ili kuwa na uhakika mwone daktari
Hyo ni msongo wa mawazo ilinikuta hyo khali nilifanya mbaka kipimo cha eco lakin hakuna shida,nilijaribu dawa nying hazikusaidia,pambana na msongo wa mawazo
Shkrani dektari kwamananisumbuliwa Sana namapigoyamoyo
Asante doctors
Asantee
Naomba msaada ndugu yangu anashida iyo jaman
SHUKRAN SANA
Wenye shida ya moyo tujuane ili tuwe tunatiana moyo maana tunaishi maisha ya hofu saana.
Twende hospital tu
Doctor naomba number yko mimi nko na shida ya kupumua plz
Thanks
ASANTE Sn Dr.Jmn hilitatizo nilalo Tena nahis na kizunguzungu
Vp
pole sana
Mashaallah mashaallah
Samahan naomba kuuliza hv mapigo ya moyo kuwa kasi, kukosa hamu ya kula, kutoka jasho saana, mwili kuchoka, na mdomo kuwa wa uchungu hii inatokana na nn!?
doctor mim sipendi chai situmiii alcohol situmiii Madawa yoyote 😢 na sijawahi lkn nahis ni miaka mi5 sasa nasumbuliwa na hili tattoo moyo kwenda kasi isivyo kawaida jmniiii 😢 shida ni nn napata hofu 😢
Mimi hiyo ndo shida yangu kubwa mapigo yanafika mpaka 100 yananipa kizunguzungu na yananifanya nikose ballance yakutembea ninayo huu mwaka wakumi tena sina raha hata kidogo
Sasa
Habr
Jamn ata mm vp mwezagu ulisha pata suluhisho
M nilienda hospital wakanambia sio ugonjwa lkn ndio hvo moyo unaenda Kasi sjui nfanyaje
Ni vzr kuangalia ni wakati gani moyo wako unakwenda mbio
Angalia mazingira, chakula unachokula na vitu vinavyochangia
Kama ni msongo wa mawazo, au sababu yoyote ile , ukiifahamu , unaweza kuanza kuirwkebisha
Moyo wangu unapiga mbioo kila mara PR146-150😢HB 96/64 natumia (Propranolol tabs 😢
Kama mm PR 150 😢inafika
Jamani hili tatizo analog mtoto wangu wa miaka Nane na nusu ndo kawaida mapogo yake ya moyo yanaenda Kasi sana ya ajabu
Doctor naomb msaada Mimi mapigo ya moyo yanaenda mbio joto Kali macho yanaona kiza nguvu zinaniisha pls Nini shida nashindwa kupumua kizunguzungu
Mimi pia nazimia, sijui nifanyeje
Jamn nam pia napatwa na tatizo Hilo shida inakuwa nn
Mimi Huwa nikinywa chai tuu bc moyo unaenda mbiyo na hta hpa ninenavyo moyo unapiga mpka unaninyima raha😢😢
Dokta naomba namba zako nashida
Mm nko ivo toka mdogo Yana pinga sana
Mimi nikikalibia piliord mapigo ya mwoyo yanaenda mbio sana
Nataka kufaham tatizo la moyo kupanuka
Mm nikishtuka hata usiku moyo unapiga Sanaa haswaa nikinywa pombe mpaka mkono wakushoto unauma
Acha pombe
Na mimi nikinywa chai au mda nimelala uwa inanitokea mala kwa mala
Jmn Mie Nikilala mchna moyo unaenda mbio usiku pia then unatulia inanipa shida
Mtoto wangu ana miez 6 moyo mapigo yake yanaenda mbio sana
Dokt mm nilikuwa nakula sana chips sasaiv najiskiya vibay
Nateseka sana na hii hali jaman nikipima presha hamna nateseka mm
Habr
Ahsante sana doctor
Mapigo ya moyo yafaa kua ngap juu mwanangu ameambiwa ako 140
Samahan ndokta mm kuna munda huwang nasikiy ki chome kwenye roho ss sijuw ni tatiz ngan tafadhal naku omba unambiy ni tatiz ngan hilo
Hilo tatizo ninalo mm pia lkn pia nina shida ya moyo dkt
Kwaiy hii inakua dalili ya nn
Mim naona unapasuka harafu vinatuliya
Mimi mapigo ya moyo ya enda mbio na kosa puzi pia
Swadakta doktar wetu
Mie nikitembea ndio yanaenda mbio nikitembea then nachoka yanafika mpk 104 ila nikipumzika yanashuka mpk 80 sijui shida ni nini
Samahani kaka naomba namba namba yako
Mimi ninatatizo Hilo Kwa miez kumi yanakwenda mapigo haraka sana Hadi 112 na pia nikiamka haraka yanazid hata nikipokea kitu hata kidogo tu najisikia vibaya zaid
Dr umetaja tatizo lakini hujaelezea tatizo sio sawa kitabibu. Hujataja mapigo ya moyo yakifika ngapi ndio tatizo na yakiwa ngapi ni hatari sana
Namaliz kupim kwaju iko 117 katika 91 kwa cini 95 plz nijib moyo unapig vibay au plz
Anxiety mm
Mim unaenda mbio sike 3 mfululizo
Mimi nahiai gesi kwa moyo
pia mm mapigo ya moyo yanaenda kasi kwa San halafu kifua linauma na mgongo
mm niko na hili tatizo tena mara nyingi naamka usingizini moyo unaenda kwa kasi sanaa
Ww kama mm naogopa hata kulala
Namadonda yatumbo kama unayo huchangia moyo kwenda mbio
Mimi nna vidonda vya tumbo mmmh moyo unaenda mbio muda wote
Na mimi ivo ivo ila nikinywa maji ya moto inaacha
Ata mimi pia jaman ulifanikiwa kujua tatizo nini@@rehemaomary2190
Mimi nikinywa maji kwa wingi tena ya baridi ndo huwa napata changamoto hii hata sasa nahisi unadunda.
Hat me moyo unaenda mbio
Asant sn dokta
Mashaallah
doctari msada wako .minasumbuliwa na moyo kwenda kasi .iki fika usiku sa .7. hadi 8.ikifika asubuhi mwili ume choka
Mimi nipate tatizo lolote tuu au hata kupishana na mtuu kwa jambo hata dogo moyo huenda mbio sana hadi siwezi kutulia wala kuongea sijui nini shida
Wewe una maumivu ya ndani
Namm mtu akinikwaza moyo mbio Hadi tuelewane ndio nakua sawa
Pole 😂 imebidi nicheke na mm nihivyo pia ganzi mkononi
Nisaidie dawa jamani
Mimi nikitulia siyasikii Ila kwa mfano nimekaa ALafu nikanyanyuka kwa haraka yanaenda mbili baada ya mda yanatulia au myu akiniamsha kwa mkurupuo pia inatokea Sasa sijajua tatizo ni nn au ni kawaida 😢
Kama una wasiwasi sana na ushauri katika video yetu haujasaidia. Onana na daktri
Ila kwa kawaida, watu wenye umri mkubwa na watu wenye uzito mkubwa, hushauriwa kuamka kwa hatua taratibu ili kuzuia hali hii. Amka, Kaa kitandani kabla ya kusimama. Hatua kwa hatua.
Ili kuwa na uhakika mwone daktari
Nimeelewa ushauri wenu Asante
Na pia nna maradh ya waswas
Jaman na mm nimeenda spital nimeambiwa sna ttzo wkt moyo unaenda mbio bila sabab mpaka nashindwa kupumu mwisho natetemeka
pia mm jamn
Pia mm
Hyo ni msongo wa mawazo ilinikuta hyo khali nilifanya mbaka kipimo cha eco lakin hakuna shida,nilijaribu dawa nying hazikusaidia,pambana na msongo wa mawazo
Depretion iyo pambaneni nayo ata mimi ilinipata namshukuru Mungu niko sawa sasaivi
@@lulucharles9225 dah ulitumia dawa au
mm niko na hili tatizo tena mara nyingi naamka usingizini moyo unaenda kwa kasi sanaa
Hata Mimi hii Hali Niko nayo tna usiku saa zingine ata mchna nikisema nilale inanijia hivo naamka
He jamani na mm kama ivo inanijia mda wa kulala tu
Na mm jaman😭
Jaman me moyo unaenda mbio mbaka na his kichefuchefu
Hata mm hii hali imenianza juz tu hap ishindwe kabisa