Ni mrembo ila ni muimu afiche mawili wake,Kwanza ni mke wa MTU abadili mavaz pia kama nimtu wakanisa afikirie kuji kheshim anaibisha kanisa asichukue usanii aka pelekq kwa kanisa
@@nahlahassan-fd6leunajua hii kauli hatupaswi kutumia ss waislamu na Profile yko insonesha kua ww ni muislam so kwann upalilie maovu Sister kwan huoni kma apo yupo nusu uchi? Sio kila ki2 ni makacrko 2 vyengone nikuambzana ili mtu awe sw kma ushauri tu kma kataki si basi ss afanye makacriko kwa lipi haswa?
Wew acha ukuma lavalava amepewa time san tyuu na diamond kwa kufany ivyo ndo ufany wasanii wake kuwa juu na trending pia lavalava ni msanii mkubwa sasa unatak time gan apewe waandish wa habali ni wachonganish mno mnaboa
Hata kama mmefunga comments kule kwa kumpokea mpenzi wa hamisa,ngoja nisemee hapa hapa mwambien huyo mtangazaji wenu wa kike aongee tu kiswahili hizi lugha za wenzetu ziacheni kwanza maana mnaaibika duuuh. Kaingia cha kiume kabisa hadi naona aibu mimi
Nandy ni muongo eti alikuwa anasafiri na mtoto sasa mbona anasema anamzawadia housegirl iPhone sababu hana muda na mtoto kabisa sababu ya kusafiri adi tarehe za klinik anazijua dada tu, na range la kukodi acheni kufeki maisha
Karembo sana❤we love you mama k
Nandy weeee mrembo sanaaa,love you❤❤❤❤❤
Ongela dd mungu amipe ndowa yenye furah n'a watoto
So much
She is so wise
Nandy cute baby girl ❤❤❤❤❤❤❤
Nandy w mzuri xana hongera
Nandy your so cute ❤ 💕 😘 🔥 🔥 🔥 💯
waoooooh vizuri sana
❤so much
Nandy kama nandy,we mrembo sana ❤❤❤❤
Mwambieni pia ajistiri mnasifia maasi tu ana uzuri gani mbona wakawaida tu km watu wengine
@@mohammadoman8963😂😂😂😂mbona nakasiriko😂😂
@@nahlahassan-fd6le sio makasiriko ukweli ndio huo mtu kashaolewa ya nini kukaa uchi nyonyo nje haoni aibu
Ni mrembo ila ni muimu afiche mawili wake,Kwanza ni mke wa MTU abadili mavaz pia kama nimtu wakanisa afikirie kuji kheshim anaibisha kanisa asichukue usanii aka pelekq kwa kanisa
@@nahlahassan-fd6leunajua hii kauli hatupaswi kutumia ss waislamu na Profile yko insonesha kua ww ni muislam so kwann upalilie maovu Sister kwan huoni kma apo yupo nusu uchi? Sio kila ki2 ni makacrko 2 vyengone nikuambzana ili mtu awe sw kma ushauri tu kma kataki si basi ss afanye makacriko kwa lipi haswa?
Katoto ni karembo❤❤
Your so beautiful Nandy
Kama anyonyeshi🥰
Nakupenda bureeee❤
Hawa wasanii wakike wanakera,na mavazi yao 😢😢
Nikweli kama wagonjwa
Kwaiyo wew unatakaje vaa wew
I love you nandy ❤
New chuii🎉🎉
Nandy ni mrembo 👌❤fahima punguza mikorogo waelekea kua albino
😂😂😂😂😂😂
😂😂 jamani
Love dada nandy
Love Nandy ❤️ 💘 ❤
Nandi ww umekua mama sasa hembu punguza kuvaa mavazi mabaya hayo maziwa nichakula cha mtoto hayatakiwi kuonekana bwana
Unadhani Kila mtu ananyonyesha dia wengine wanazaa tu kunyonyesha wamemuachia mzungu
Ndio jaman iv mnajiskiaje daaaaaaaaa?
Nikwel wenqin hawanyonyesh
Nandy umependeza
Nampenda sana huyu dada
Khaki ya Nani mtu usoni mzuri pesa enayo sidilia hajavaa at fashion mbona umechukiza kifuani
pole mwaya ndo fashion😂
Wivu tu
@@MaryamaAlly 😂😂😂😂😂😆😆😆
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥
Mwamba uko vzur kweny mahojioni nakubali mzee
🔥🔥🔥
Wewe ni mrebo Sana nandi African princess
Princess Nandy yani kama hajazaa vile chuchu zimesimama kabisa
Kavaa sidilia ya plasta
@@SekelaJakson-ls7ddmbali na sidiria ya plasta dadaa kuna na dawa za kuinua maziwa alafu wengine ni maumbile yao.
@@SekelaJakson-ls7ddkumbe zipo za plastic 😅😅😅
Sasa kwann asifiche tu hata kama chuchu saa sita c ajistir
@@estherkimario7940anavta vta nguo azbe😂😂
Nandy wewe ni mzuri na ili uzuri wako uwe unique usivae vinguo vinavyoonesha sehemu yoyote ya maziwa yako
😂 mama ushauri sijui kakusikia🎤
@@bellabakera😂😂
😂😂😂
Kwa kwel jmn😂😂
Anajarbu kuzba zba anavta vta😂😂 ila km mzur n mzuri❤❤
Mmh jamn nimeipend couple ya rayvanny na fahymah
❤❤❤❤❤
❤
Jamaaa anajikaza asiangalie ila anaibia hiviii yan lazima jicho lifeke kwenye malengo.
Kwamba ups ilikuwa hiii☝️..😂😂😂😂😂😂
Mmmmm! Wewe nandy hao wamezaa tu sio mume na mke kidini Bado sio Wana ndoa,
Kisheria wapo under presumption of marriage
Sijapenda iyo nguo nandy
Nkweli😢
Nandy beautiful 🥰
Nyonyo za billnas zilee
Za bill as tena😅😅😅
😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti
@@magrethmalobola5470 cheka uongeze sikubza kuishi❤️
@@josephinechisiwa4357 ndio iyo si mali yake
😂😂😂😂 jmn
Hebu jitunzie heshima vaaa nguo za maana we ni mke wa mtu
Wew acha ukuma lavalava amepewa time san tyuu na diamond kwa kufany ivyo ndo ufany wasanii wake kuwa juu na trending pia lavalava ni msanii mkubwa sasa unatak time gan apewe waandish wa habali ni wachonganish mno mnaboa
Ukuma wewe una umbolo peleka machukizo yako huko
@@joycemfuru4752 mamayo
Hiyo nguo ya Nandy avae akiwa na billnass mume wake sio mtaani mambo ya fashion hayo
Michuchu njee😮
Nio ushakuwa mama bas jiheshim hayo mavazi
Tulizaliwa uchi
Hata kama mmefunga comments kule kwa kumpokea mpenzi wa hamisa,ngoja nisemee hapa hapa mwambien huyo mtangazaji wenu wa kike aongee tu kiswahili hizi lugha za wenzetu ziacheni kwanza maana mnaaibika duuuh. Kaingia cha kiume kabisa hadi naona aibu mimi
Nandy nandy unampoteza mwenzako hapo amna ndoa itakuwa kama yajack
Mpare mwenzangu ninyayue na Mimi
Nyinyi WA bongo acheni kukaa uchi jiheshimuni
Unamheshimu Munqu kwa nini kuvaa nquo za kuacha maziwa nje na hayo ni ya mumeo si ya kila m2.rekebisha hilo wewe ni mrembo😊
Tulizaliwa uchi
Huyu nandy niwa kanisa kwli kuachilia chuchu inje 😂
Yan cjawah muelewaga me
@@estherkimario7940 wha hafai kuingia ,kanisa na hii Hali aibu
Church ni rohoni
mrembo sana ila hilo wig 🤣🤣
Sio wingi tu hata iyo nguo
Nandy ni muongo eti alikuwa anasafiri na mtoto sasa mbona anasema anamzawadia housegirl iPhone sababu hana muda na mtoto kabisa sababu ya kusafiri adi tarehe za klinik anazijua dada tu, na range la kukodi acheni kufeki maisha
Kazi kufatilia wa watu😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Nandi uwe unafunka maziw ya mtoto huna utakachopoteza uzur wako utabak palepale
Nandy kapendeza
Usiache maziwa yako wazi, hata kama ni usanii hakuna ethics hapo, nini maana ya msanii kuwa kioo cha jamii Ndany? Ficha chakuka cha watoto wako bhana
Nandy👌🏻
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹💋💋💋💋
Mkaa uchi anaitwa mrembo..
😂😂😂😂
Nandy kafua chako km bausa
🤣🤣🤣
mrembo
Mbona maziwa wazi ao na maziwa yote maonesho ,simuachi belnenga na mimi lazima nikaimiye imenivutia kabisa
😂😂😂😂😂
Fashen ndg saivi kutembes uchu imekua jambo lakawaida
@@Kalssambabo-gv6uh asiye jiyelewa aliye jiyelewa awezekani, !
🙏🤍🤍🤍🤍💓💛🍾🥂🐓
Reaply to me l am like your child
🎉🎉🎉❤ have a good daughter
Have like couple of rayvanny and fayham
Pendeza
Princess Nandy yani kama hajazaa vile chuchu zimesimama kabisa
Yani
Tape hizo😅
Zipo Gund za kubana maziwa
@@julieeliah9121kumbeee 😊😂😂😂
❤❤❤❤
Reaply to me l am like your child
❤❤
❤❤❤
♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤