Haya Tuone Likes Ngapi Hii Itapata!... Nandy Ni Msanii Bora wa Kike 2019!!! Anazidi Kufanya Vizuri Sana! Pia! Checki Cover Zangu Na Subscribe for More Asanteni! ❤️
I'll be VERY surprised LilOmmy usipowasilisha tuzo especially la AFRIMMA nyumbani. I'm Kenyan na tumekuwa tukikupigia kura. *#YouAreTheWINNER* 🙌 As for Ms Nandi, zidi kupaa dadetu!🦅🦅
Nakupenda sana nandy❤❤❤mungu akusaidie kwny kwny kazi na maisha yako🙏🙏🙏sichokagi kuangalia video or interviews zako zote so endelea kukazaa 🌹🌹🌹big up African princess ✔✔ujakosea kujiita iv kwakwel
Nand wimbo mkunaji unakutambulisha kama Malaya sana alafu kibaya sana unawaharibu wacha Mungu staili ulizocheza na wilipoo na maneno mliotamka ni vitu2 tofauti nikama unalivuruga kanisa
Hii interview cjui jumalokole kaiona maana anajifanya anajua sana maisha yk haya leo unamuhakikishia huna mchumba na wala Pete huna wambea watajibeba huko IG
Kula mama kula ataviazi vyote umalize kwakukaangia chips unajituma sana kufanya kazi umenikosha sana kurudiana nanenga mzae mke namume mjaze dunia Mashallah😍
Niko hapa baada ya ndoa ya Nandy na Billnas nawakubali sana Mungu awalinde
Haya Tuone Likes Ngapi Hii Itapata!... Nandy Ni Msanii Bora wa Kike 2019!!! Anazidi Kufanya Vizuri Sana! Pia! Checki Cover Zangu Na Subscribe for More Asanteni! ❤️
Namba ya Nandy please nimpe Big up maana...! Namkubali sana...!!
Ybulnj. Lindi bojkg
Walio guswa km mimi na story ya Nandy kuhusu Mzee alie mwoshea Gari gonga Like hapa pls.
Nestory Kuringe Mimi hapa
Lkn elfu 30 kwako nandy ndogo bhn
@@veronicadaniel1122 pamoja vero✌
@@naomimmary3885 ni kweli kidogo lkn kwa yele mzee nikikubwa aiseeh..@naomi✌
Nestory Kuringe .
Kama na wew unapenda interview za nandy 7bu anaongea ukweli gonga like hapa
nakupenda San una sura ya kitoto siamin kam umezaliwa 1992 nilidhan 1998 wow! endelea kula sana Dada! na voice yako mashaallah!
kama umependa sauti ya Wema kam mim gonga like hapa
Kutoka Uganda naomba likes zenu
Ahaa
Unaomb likes kixa you're from UGANDA Acha uboya wee
Mmmmh jamani matus ten
I'll be VERY surprised LilOmmy usipowasilisha tuzo especially la AFRIMMA nyumbani.
I'm Kenyan na tumekuwa tukikupigia kura.
*#YouAreTheWINNER* 🙌
As for Ms Nandi, zidi kupaa dadetu!🦅🦅
I like Nandy big love from Europe💖❤
Ok, man we are tgthr
Ok, man we are tgthr
African prince 🇶🇦
Rudianeni bhana achen tofauti zenu
Alimpenda sana Ruge na ndo aliyemfanyia mambo mengi sana ila hawezi kumtaja coz yuko kwenye mahusiano mengine na kaka hayupo tena. Love u Nandi
Mh Nand moyo wake upo Nenga , uko Alikw anajilazimisha tu
King of interviews lilommy nakukubali sana mtu wangu kutoka pande za Australia huko
Nandy; " cha kwanza nnenga ni mafioso..mafioso hawezi kuwa mario " 👏👏👏😂😂😂
nakupenda nakipenda nakupenda sana nandy 💕😘😘😘😘
God bless you with all your family official Nandera
Nandy I love you so much mungu akutangulie katika kaz zako
nakubali xn mzee king of interview Lil ommy half amazing
Lil ommy badilisha jina la Half Amazing ujiite full Amazing cause unajua mzee GENIUS WA INTERVIEW
Nakupenda sana nandy❤❤❤mungu akusaidie kwny kwny kazi na maisha yako🙏🙏🙏sichokagi kuangalia video or interviews zako zote so endelea kukazaa 🌹🌹🌹big up African princess ✔✔ujakosea kujiita iv kwakwel
Asha official tz
Napend sna muwe pamoja
wanao mkubali nandy gonga likes apa
M namkubari San yan NA ten nampena San hakuna mwingine mzer kama Mandy katika dunia hii
I love the to be whit Somebody u love for your Heart ❤️ princess nandy 🇹🇿
Nakupenda sana Nandy we we ni mwanamke jasiri Mungu azidi kukupigania
Much love for you nandybill from Belgium 😍😍😍😍😍😍
Kura zote kwako from 254
@@joanmamu7833 😍😍😍nimemiss home kwanza ugali😓😓+254
Nandy hujawahi niangusha,your life style,your smile,i love you generally
Nandy ❤️ niwetu hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nandy first lady East Africa. Nandy hana majivuno. gonga like zang.....
Nakupnda xana dear
Naomba Nandy aje kufanya collabo na Alikiba one day
Natumai mmempigia kura ommy kushinda mtangazaji bora AFRIMMA jinsi mnavyoitisha likes
Your song ninongeshe is playning here in canada in the club everywhere ,
Luv u African Princess #Nandy ❤️#billnandy😘
Pretty Patty in
Sauti ya madam nimeirudilia kama Mara 5 uko juu wema sepetuuu😍😍😍
siyo wema uyuuu
Uyo n wema bhana
Fatuma Khamissi nakupnda sana nandy pia unafnya vzur sana kweny music dear mungu azid kkuzdishia uwezo
I love the voice over of wema
Nand wimbo mkunaji unakutambulisha kama Malaya sana alafu kibaya sana unawaharibu wacha Mungu staili ulizocheza na wilipoo na maneno mliotamka ni vitu2 tofauti nikama unalivuruga kanisa
Nandy bhana mnaendana na nenga xo i wish your couple returne again. All de best
Ah kumbe mwanzo inavoanz ni kasauti ka my favooo💋💋 sepetu setuka aaaaawwww ni katraaaamuuuuu😍😍😍😍
Napendaga sana hiyo introduction from Mm Sepenga rhe sweatheart
Nandy
Mimi apa🤣🤣🤣
LilOmmy kila siku nakupigia kura"insha allah utakuwa mshindi afu tutagawana tunzo🤗🤗
Unajua Kuna watangazaji the way wanavyofanya interview na wasanii unataman iendelee big up Lily ommy kizaz baba🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Hi leylah
You gud
Nakukubali sana
we here your music even in canada .
Napenda sana apo kwa wema sepetu tabwee😂😂htr sasa after baba n belinas alfu humpend 😀😀
Hongra sana kwa kz nzuri uitendao
I swear am here just to replay wema sepetu’s voice . I couldn’t care less what these two have to say 😂😂😂facts
U made my day Nandy 😀👌👌👌
Am so proud of you sis I like u sooo mch😍🇰🇪🇰🇪
Dah nakupenda sana nandy u mkweli mpaka raha alafu una wema Sana nakupenda buree ♥
Nakupenda mdada nandy ww so good sana
Nandi anapenda sana kucheka Cheka Duuh Billy nasi noma
Dadaa yupo vzuriii💥💥
LilOm unajua Sana kutangaza una mikato ya babylon Sana. I like it
Hii interview cjui jumalokole kaiona maana anajifanya anajua sana maisha yk haya leo unamuhakikishia huna mchumba na wala Pete huna wambea watajibeba huko IG
Juma lokole ushoga unamsumbua Sana akikosa bwana huwaga umbea ndio unazidi ngombe yule
I'm from drc and i luv tambwe,i need t seing harmonize
Nandy nakupendaa saaana the way nampendaa nadia
Kipindi kilikuwa kitam sana jmn hongera zenu wote hapoo
Leo make up artist wako amechemsha uso na mwili ni tofauti.....big up Lil ommy from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
Kwani ujui kama kuna virembesho😃😃😃
@@nyamburawacoast305 lkn hii anaonekana rangi 2 diffrent
Kweli
steve wanga rangi mbili tofauti kwkwel meck up too much
steve wanga 😁😁
Ile uhalisia nandy anamkubali sana billnass hadi wa leo😂😂😂🤙
Nakupenda xnaaah bby nandy❤️❤️❤️
Nandy umenichekesha kweli nakupenda bure
I LIKE UR MUSIC
Napenda anavyocheka😁😁😁
Nilivyosikia saut nilidhan wema. S. Kama naww umesikia saut ya W. S. Gonga like
Nandy nakupenda mnoo mtani wangu💖💖💖💖💖🔥🔥
Nandi ulikula hela za hada yangu shule Leo umekuwa star unatoka na bill nass inaniuma Sana
Much love from Bahrain. Oaneni
Number moja imenitouch saana, Hata Mimi nandy niko hivo hivoo..
I love you Nandy so much
Wale tunaopenda like tunacoment wap??
Perfect one ...
we can do music here in Canada.
Chaa kama unamkubalu nandy na kazi zake gonga like
nakupenda sana Nandy
❤❤😍😘😘Nandy
Lil omy nice international interview
Love u Nandi
kama na wewe macho yako yapo kwenye naniliu ya nandy kama Mimi like zangu hapa
R.i.p boss ruge ..nothng more
Ha ha haaa
Nampenda Nandy 😘
Nampenda Nandy kanajua sana kuimba.
You do good LilOmmy Big Up.
Bill nasi nakubali
safi sana binti nmependa hapo kwenye kanisa sio adui wasanii wengi wakitoka wanajifanya waislam ulimbukeni tuu
nakupenda bure Nandy nakukubali sana
Duh Maskini hapo kwenye mimba Bilnas umemtia mwenzio aibu mengine ficha baba 😂😂😂🤣🤣🤣
Ndo maan Nandy siku izi ni mtu wa furaha ....ongera sana
Nandi muongo an anababaika sn
Anadanga hd watangazaj wk na washabik zk muongo sn huyu dada
Mh
Mmm
Mashaallah
Napenda sauti ya amiy girl
Kula mama kula ataviazi vyote umalize kwakukaangia chips unajituma sana kufanya kazi umenikosha sana kurudiana nanenga mzae mke namume mjaze dunia Mashallah😍
Naipenda hiyo introduction ya sepetu ni amazing
Umependeza
Uko vzr sana Nandy nakupenda sana jaman
Nakupenda nandy dada
Wamekujaza poda hpo wamechemsha lkn nakukubali sana mdogo wangu unapambana hongera sana
Lakini sio mbaya sana kapendeza
Naipenda hiyo sauti ya W.S ikisema "Tambwee"
I love you gal....
Nandi mungu akuweke maana unakula kama mchwa 😔😔😔😔😔😔
😁
nasra bakari Jmn😂😂😂😂🤣🤣
Bb
😂😂😂😂
😂😂😂
Nakubali sana ila maker up imezidi mze mama ahaha
Haha kama mim mama walikuwa wananitania no nakula Lakin sinenepi
Hila Sasa hivi nandy kanenepa
Ya upo kama mim nataka moyo ukubali
Ya nandy anampenda bilinas
Wew si mpale ndio mana mbahili
Nandy lop uuu
woyooooo brain ziroooo
no 1 nandy unapenda sana kudekaa😘
True love never die
Big love Nancy😍😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nancy 😎
Nice madam
Nandy🔥🔥🔥🔥
#Tambweeee, nakubali sanaaa
Big Up #Nandi
🔥🔥🔥
Nakupenda nandy kuliko
Kuriko uhai wako
mtangazaji maarufu tz ,namskiza sana laiti wengne wangekua kama ww waache kiki ,,much love 254 👏👏👏👍💯congrats
Shueza Mungiria
Nakupenda bure