Aki ya mama mimi kama mwanaume unifalie nguo za ajabu kama hizi ile makofi utakula mbele za watu hutaamini hiyo sherehe inakuwa ni ya siku nyingine mamaye
@@sporagabriel1797 hata kama ni msanii ndo uvae ujinga hivi acha ujinga bas wanafundisha mtoto nini na unaunga mkono vitu kama hizi ama huna wazazi wewe
Mmependezaaa jamani ,dafay kama dafay.mama mwenye madollas zake .❤❤❤❤
Mulikua mnataka avaae dela au nyoko nyinyi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮i ❤ fayvan wangu my
This is soo beautifully 🎉🎉 beautifully couple .let love lead 🎉🎉
Dada fey nguo tyuu umenibowa haijakupendez a
Umezalilisha mwili wako bestie ❤❤❤❤
Nakukubali sana kaka angu ray nyimbo zako nazikubali
Nawapenda sana muoane jamani munapendeza❤❤❤🎉🎉
Ata kama simpedagi fayma Leo hii nimependraa❤❤😂
Uchaw huo ss upend mwanamke mwenzio why😂😂
Daaah kupendwa raha❤❤❤
The joy of a wife❤
It's just a little bit of the bubbly and the kids 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤ Nawapeja jamani mnapendezeeaa et
HAPPY Birthday🎉🎉
Fay kama fay❤❤❤❤auntie madoo tunakupenda
Aki ya mama mimi kama mwanaume unifalie nguo za ajabu kama hizi ile makofi utakula mbele za watu hutaamini hiyo sherehe inakuwa ni ya siku nyingine mamaye
Acha makasiriko ndugu hawa ni wasanii piah usihukumu Mungu pekee ndie anaehukumu
@@sporagabriel1797 hata kama ni msanii ndo uvae ujinga hivi acha ujinga bas wanafundisha mtoto nini na unaunga mkono vitu kama hizi ama huna wazazi wewe
@@sporagabriel1797hee kwaio kumbe usanii ni uhuni kweli
Atamimi mwanamke mwenye hakili siwezi nikavaa nguo namuna izo
Sister naomb namb yko ya sim, please
Nakubali na Ray Fay
Faima mzuriiii❤
Kweli mwanamke mautundu❤❤ vanny boy huchomoi
Et weeeee zunguka me nataka hela😂😂😂😂😂😂Ila ray
Wow apo sawa
Sasa huyo mama kwa mavazi hayo anamfundisha nini huyo mtoto wake maskini😢
Mfundishe wako
Lea wa kwako acha wivu na umaskini
True kabisa hii ni generation ya kesho
Kwan yeye simtoto to au
Mumenifanya nifurai sana🇲🇿🥰🥰🥰
Hahahahahaha mtu shughuli yake af anakuwa mc
Wow ❤
Kwel kupenda kazi
Hahaha unapenda hela sana 🤣🤣
Yaan katafuta nguo zoooote ndo kaona hiyo inamfaa jmn n,tumrudie mungu tuache kumdhihaki
Yani😊
Imagine😏😏😏🚮ovyoo
Cha ajabu ukute ni mpya ameenda kununua kwaajili ya birthday ya mpenz wake
@@SHOSETemu😂😂😂😂😂
Umaarufu bila kujitambua ni ujinga, yeye ameona umaarufu wake ndo unamfaa kwa hizo nguo,, sasa hapo ana tofauti gani na dada Poa
Nguoo sasa mungu tunusur jamn
Akunusuruna ajali au
Yaan katatuta nguo zoooote ndo kaona hiy inafananaa😅
Happy birthday 🎉🎉🎉❤
Safi sana
Wageni waalikwa wamesimama wanaona aibu tu kwa vituko wanavyoviona
😂😆😆😆😆😆😆😆😆
Ilipendeza sana
I love u rayvanny
Nimefatilia Mwanamke ndio kapenda kuliko Mwanaume
Inatakiwa iwe hivyo
Kwa nini@@TumainiLameck
Mm na diamond tumekosa hii lakini tunakuja kesho tupo kwenye airport
Sas Paula yalimshinda haya maskini🤣❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
yy alitaka apewe yy tu hajui mapenzi kujipendekeza
Niache kujidhalilisha kwani haambiwi ana nn ni nguo nyenye alikua niavae hio jiheshimu na pia uwe na hofu hata ya mungu
Party ovyoo y kishambaa
Mmomonyoko wa maadili na mtt mnamfundisha nn sasa hapo???
❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jayden jamaaaaani umenimaliza❤❤❤
1:10
Lyni hana hata mtoto kifua kama mlipuko wa volcano wanaumr shikamooni maana huko sio kutumia mme mchakaza
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahaha
😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅
Jambo la kheri kikubwa ni kumuomba Mungu kwa bidii
👨👨👦👦💃🕺👍
Babe nitakupa dolla unizawadi nayo siku yangu ya kuzaliwa kisha unirudishie baadae
VANNY ❤😂😂😂😂
Woy
Mwanamke kapenda kuliko mwanaume
🎉
Duuh faima ipo cku utakuja kumkumbuka Mungu Kwa hizo nguo zako dada angu
Yan pole fayvani
Sasa Fay kavaa nini si kichupi hichi jaman tumuogope mungu daa Dunia hii kila mtu nalake
Usijifanye mtakatifu
@@Shatfa-ec8td kwenda zako weye utakatif wakwioo sakukaa uchi nayo imekua dili kwani ukijistir huenekani nawatu mjin hebu usinichefue naramba ndimu
Hawa nadhan hta hawajui kma kuna kufa wapo wapo tu
Shida tupu😂😂😂😂
we unaesma usjifnye mtkatifu inaonsha ni mmja wpo w mmbo hyo ndgu yngu kavaa chup kwli kma sio kuwazalilsh wanwke wnzie nni
💛🧡🌼🌸
Nguo jamani daah
Mmh yn inavyoonesha huyu hampend alivyonanhlia kaishaa mdharau mmh cjapenda sema fay nae ananiudhi nguo zae
Hapa rayvani ana mke ma pepe mengi
Kumbukeni mapenz
Karembo Sana fayma
Yan huyo Ravyan kampa favyan
Sasa huyo fay kavaa nn
Wamependezana tu sana
❤❤❤❤
Hiyo nguwo siyo nzur mbele ya mtt hata kama niusta ustaa uwe na mipaka kwenye mavaz
Sio zake 😂😂😂
Da neema katunza elf 8500
Sasa we kafupi kama mimi ndo uvae pampasi kweli 😂😂sijapenda naona unatumia nguvu kubwa kumlinda huyo jamaa
Lyne kakonda hivi kaporomokea wapi
Mimi sijawaelewa Hawa wageni waalikwa bado 😂😂 hawakai wanashangaa tuu
Mmmhh😂 sijuw nacheka nn
Mbona kama ray alilewa mapema😂😂😂😂
Hahahahaha dollar
Huyu dada kwasasa anajizalalisha tu kwenye mavazi
Huyu dada cmpendi kwasababu yamavazi yake jamani ana boa
Mmh
😁😁nasheka sijuwi nini
Dini gn inarusu kuvaa hivi mwanamke jaman
Na huyo wa kusimama naye hata hawezi Cheka ety security😅😅😅😅😅
Security hachekagi🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 waah ana kazi kweli
@@clarenyongesa-3036 🤣🤣🤣ana Kaz na nusu kwanza apo fay na ray wote wanaonekana wamelewa
😂😂😂😂
😂😂😅😅
Kiriku faym
Nand
Aibu naona mie cyo kwa uvaaj huo
Hii nyumba kweny huba kwa JB na wanasema nikwa nandy uyu fayma Hana kwake Kwan au ???
Jmn watu mnachunguza🤣
Mh we nae muongo mwanzo kasema mwenyew wamekodisha
@@sarahedwin9841 🤣🤣🤣me bongo sihami
Huyu fahima ataacha lini kuvaa nguo za uchi Tena mtt wk anamuona na mapenz hazarani mbele ya mtt wk engelikua mtt wakike mtihni
Ataacha siku ya kiama😹😹
Mbona fayma mapepe hv hata ndoa bado duuu
Kumbe fayma mfupi kama mimi😅
Kuna kupenda na kuna kuganda mtu😅
Nmecheka kama mazuri
😅😅😅
Hii ya fayma niyakuganda mtu😅😅😅😅yeye ndo anafuraha lakin rey hata akili haiko hapo😅😅😅
Kabisa
😂😂
Kumbe hata ndoa haiko loooo
Subiri ya kwako 😂😂
ote wana penda acheni wivu....😂
Ndo kapenda mwenyewe kuvaa huwez kumpangia mavaz yake
Tumwogope MUNGU hizi nguo zetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ovooi
Chui global away
Mfupi km uchi mbwa weee na mavaz ya ovyo km upo kimboka
Mabodyguard wanavumilia vng
❤❤❤❤😂😂
Fayma vazi gani Hilo ,umeniboa kwa vazi Hilo mnamfundisha nini mtoto looo
Owaneni acheni uzinzii
Shangazii kaua
Masifaaaaa
Mavani ya chumbn hayo jmn
Ray jamanj eti unakua Mc na shuhuli ni yako
😂😂😆😆😆😅😅😅😅😅😆😅😅😅