Masha Allah huo mkate mtamu Sana Sisi Zanzibar Tunaita mkate WA kutosa kwasababu haukandwi nahisi na nyinyi Huko mnaita mkate WA kidole kwasababu ya kuchanganywa kamkono na kuupiga kama mkate WA ufuta mamaake zamani iyo ya kupigiwa ilikuwa haipo mingi kuna Ile ya zamani special Kwa mkate WA mayai
Masha'Allah Mkate mzuri sana
Asante dada 😍❤️
Masha Allah huo mkate mtamu Sana Sisi Zanzibar Tunaita mkate WA kutosa kwasababu haukandwi nahisi na nyinyi Huko mnaita mkate WA kidole kwasababu ya kuchanganywa kamkono na kuupiga kama mkate WA ufuta mamaake zamani iyo ya kupigiwa ilikuwa haipo mingi kuna Ile ya zamani special Kwa mkate WA mayai
Asante habibty kwa maelezo 😍❤Nimejifunza kwa kweli ☺️
😊😊😊
Mashallah hiyomikate marhum babuyangu akikupenda mungu amrehemu hukosliko
Amin🙏❤
Simple recipe Hadi raha
Yummy yummy 😋😋
Thank you darling ❤
Wooww mashaallah simple and nice, i like it
Thank you Aisha 😍
Nitajaribu....utengenezaji unaonekana ni very simple!
Yes jaribu utapenda 👌🙌
Mashallah ❤️ asante sana 😘
Karibu sana ❤️
Uko sawa
Asante❤
Very simple ...keep it up farwar👌👏👏
Thanks dear 🌹❤
Mkate mzuri masha Allah umepika kwa moto ngapi Faranheit ° ukisema Celsius wengine hatufahamu ..
Around 400°F
@@farwatskitchen13 siye wakutumia makaa tunafanyaje?
Aslm alkm je kama hauna tui la nazi waeza tumia maziwa
Naweza kutumia maziwa badala ya nazi?
Ma Sha Allah,mkate mzuri nimependa.
Unaweza kuupiga kwa mkono kama mkate wa ufuta?
Shukran habibty
Ndiyo unaweza
Thanks
MashaAllah simple and sweet 🧁
Thank you 😊
Mbona sion vipo ktk description box habibty
Nishaweka siz
Mbona kila nikipika hautoki hivi
😋😋😋😋😋😋
🙌🔥🔥
Kwenye sufuria wakati unaoka unapaka mafuta au siagi
Yoyote inafaa.
Mkate mgumu kuliko hata maisha yangu
Roho mbay dada loh😂
Loh!😂😂😂😂
🥰🥰🥰
☺️😍😍
Nilishawah kuupika mara moja(mda sana)..lkn nilipotaka kubake ulirudi cjui nilikosea wapi. Naomba nisaidie
Labda baada ya kuumuka ulitikisika kwahiyo kule kuumuka kukarudi chin
Nimefuata vipimo lkn naona unga wangu sio mzito kma wako
Nasubir kuoka😋
Recipe yake ni same na ya mkate wa ufuta
Ndiyo, zinakaribiana