Brother Nassir - Wangu Wa Halali (Official Wedding Song) With Lyrics

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.8K

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  6 ปีที่แล้ว +983

    itunes.apple.com/album/id/1551454972
    itunes.apple.com/album/id1551454972?ls=1&app=itunes
    .
    Spotify - Brother Nassir • Wangu Wa Halali open.spotify.com/track/1GjuiD92ReBhdy0bOFWIHO
    .
    Boomplay - www.boomplaymusic.com/share/music/61135097?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
    .
    Dont Forget To Subscribe To Like And To Comment, Thanks For The Massive Support
    .
    .
    My Short Wedding Video
    .
    th-cam.com/video/xpjDP5MjO10/w-d-xo.html
    .
    .
    Lyrics Video Edited By @Yasyas254
    Let's Share The Link Now 😎 Enjoy
    Connect With BN on instagram
    instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x

    • @faizaabdikadir5948
      @faizaabdikadir5948 6 ปีที่แล้ว +10

      We are waiting for it

    • @asmaabdishakur9674
      @asmaabdishakur9674 6 ปีที่แล้ว +5

      Eagerly waiting for it walahi ....barakaallah Akhii fillah

    • @aishamohammed2097
      @aishamohammed2097 6 ปีที่แล้ว +1

      Brother Nassir tunasubiri hiyo video kwa hamu...

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 6 ปีที่แล้ว +10

      Jamani mm nnaisubiri inshaa Allah kwa hamu kubwa maisha marefu brother wew na mke wako Allah ailinde ndoa yenu bi Fatma awe mwema kwako adi kwa jamaa zako aamin

    • @hornnews1779
      @hornnews1779 6 ปีที่แล้ว +4

      MaashaAllah

  • @sheikhaali7572
    @sheikhaali7572 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi niko 🇹🇿 🇹🇿 lakini ninakufatilia huko 🇰🇪 🇰🇪

  • @aslamchannelonline3541
    @aslamchannelonline3541 6 ปีที่แล้ว +3

    i love this part
    "acha, acha kulia wewe ndo wangu wa halali"

  • @zakihassanabdi8679
    @zakihassanabdi8679 6 ปีที่แล้ว +186

    Leo siku Njema
    Ni siku ya harusi yangu
    Mungu akubariki greetings from Germany nice wedding!!!!🎤🎧💯🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @KulthumBawazir
    @KulthumBawazir 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda sana asante kwaku tuletea hinyimbo ahsante sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @yusseflamjarrad5294
    @yusseflamjarrad5294 6 ปีที่แล้ว +29

    I'm from Comoros, i have understend . leo siku njema
    #WanguWahalali

  • @jumahadidja9395
    @jumahadidja9395 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah unasauti nzuri inapendeza usome qoran

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 6 ปีที่แล้ว +13

    Yani mpaka nmetamani harusi baada ya kuitazama hii nyimbo.😘😘😘

  • @hussnabakary3507
    @hussnabakary3507 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hukua ivo jaman

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 6 ปีที่แล้ว +23

    jitahid uiondoe hiyo Shubuha itazua fitina na kuuonekana unaimba Music,Allah Atusamehe sote Kazi nzur na Idea nzur pia Hongera kwa kuifuata sunna ya nabiyya

  • @NabilFarid-vl9qh
    @NabilFarid-vl9qh 6 ปีที่แล้ว

    asalamu aleikum brother nassir usiwasikilize hivi vigidada na vigikaka mimi Na kupa pongezi mashallah Alla ibarik

  • @latifaahmed4563
    @latifaahmed4563 9 หลายเดือนก่อน +23

    To us single please gather here 😂regardless we shall listen to this song 😂❤from 256 🇺🇬

    • @husnab101
      @husnab101 9 หลายเดือนก่อน +2

      254 🇰🇪

    • @najmaali8137
      @najmaali8137 8 หลายเดือนก่อน

      Hahaahh 😂😂😂😂😂❤❤❤

    • @zamzamahmedmohamed8330
      @zamzamahmedmohamed8330 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @najmaali8137
      @najmaali8137 4 หลายเดือนก่อน

      ​😂❤@@zamzamahmedmohamed8330

  • @abeidsaleem2939
    @abeidsaleem2939 6 ปีที่แล้ว +7

    Honestly bro, uko na talent .... Endelea Kwa trend hii utafika mbali

  • @zanzibarroyalchannel8699
    @zanzibarroyalchannel8699 6 ปีที่แล้ว

    Dah njimbo Mzuri sana bro Nasir sema limekosekana neno wasafi tu

  • @hawaosman4316
    @hawaosman4316 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah sauti nzuri bro kweli Allah kakujalia keep it up

  • @issaramadhan
    @issaramadhan 6 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa Mashairi mazuri mashallah!! Ila hako ka melody kameharibu ahui cjakuzoea hivyo

  • @khamisabdi4401
    @khamisabdi4401 6 ปีที่แล้ว +154

    Ila Jamani huu ni mtihani brother Nassir sasa ameanza kuimba nyimbo maana sijaona tofauti Kati ya hii nyimbo na zile alizoimba Ali kiba ,,,Jamani munasheed wetu tujitahidini dunia isituzayn Tukaja tukaitia jamii katika ujinga.., inshaALLAH ALLAH atuongoze,,,, Amid.

    • @hasnaa8868
      @hasnaa8868 6 ปีที่แล้ว +6

      Yaani umejuaje huyuu jmn kaomba ka Mziki... Coz hii hinyimbo ni Mziki toshaa duh subuhana llah

    • @kassimngao2282
      @kassimngao2282 6 ปีที่แล้ว +8

      Hii ni nyimbo haswa brother,,,haina tofauti na ya diamond....tumuogope Allah jameni.

    • @yassirsalim3427
      @yassirsalim3427 6 ปีที่แล้ว +7

      Brazaaa hapoo unaanza kuyumbaaa...skusapot kbsaa kakaangu
      Furaah isizid mipaka kakaangu..hio c nyimbo km zakina diamond sasa..??samahaaan braza usijishushe kakaangu tulikufollow kwajil ya nasheed zako sio mizik..angalia upande wa2 kaka
      Kwakwel unajishusha kaka

    • @meythuual-sharyff5172
      @meythuual-sharyff5172 6 ปีที่แล้ว +5

      yeah hii ni nymb jmn lyk nyngnee brothr ucvuke mipakaa rudi ktk nasheed ucje ukaja kua kma kina lavalava

    • @wakiilcaashaq8270
      @wakiilcaashaq8270 6 ปีที่แล้ว +4

      very true

  • @JenivaMoses-w3h
    @JenivaMoses-w3h 24 วันที่ผ่านมา

    Umetisha sana mdogo wangu mungu akupe wepesi usongembele❤❤

  • @mohammedseyf6531
    @mohammedseyf6531 6 ปีที่แล้ว +7

    Yaan ww unajua mpaka basi allah akufanikishe mambo yako inshallah

  • @JanuaryEleven11
    @JanuaryEleven11 6 ปีที่แล้ว

    doh doh doh... shekh unayumba wapi...

  • @helmyabdallah7171
    @helmyabdallah7171 6 ปีที่แล้ว +4

    brother nassir basiii bhnaaa mtuu we faniii unayoo wallah doooh waniipaa raaaha Sana kazii nzurii

  • @wimanamwajabu
    @wimanamwajabu 3 ปีที่แล้ว +1

    Indeed this is how our husband should be.
    Naa Ku tamba kwa Mke aliye mpenda kwa dhati👌💗🔥💓😍

  • @neyder__empire477
    @neyder__empire477 6 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah Waimba Njema Tena Kwa Wema Lkn Brother Umekosea Sana Kuitia Bite hii ilifaha kuwa Nsheed Yenye Mvuto na Muonekano wa Ajabu kwao Wanandoa Na Miongon Mwao Ni Ww

  • @aymanmuhammad822
    @aymanmuhammad822 4 ปีที่แล้ว +1

    Msiba mkubwa ni kuwa nyimbo sikuhizi zinaingizwa katika dini kwa jina la Anasheed.
    Allahul musta3n.! Allah atupe thabaat

  • @shiwabarnaba2215
    @shiwabarnaba2215 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah nataman nikusikie ukisoma qur_an

  • @nusuratkitila4395
    @nusuratkitila4395 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah broo kikubwa mapenz ya dhat na utahamilivu

  • @ummysalim3085
    @ummysalim3085 4 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo yako Masha Allah😘😘

  • @aishamrembo6769
    @aishamrembo6769 6 ปีที่แล้ว

    Nyimbo tamu hadi nimetamani ndoa😢😢ila huo mziki kaka ama wataka kushindana na mboso😩

  • @cuteisheroman764
    @cuteisheroman764 6 ปีที่แล้ว +9

    Wow nilisubiri nilipoona imeniingia sms nikaacha kila kitu asante sn brother😍

  • @muhammedaliy9416
    @muhammedaliy9416 5 ปีที่แล้ว

    Huko unakoelekea hakika siko brother nassir unakosea njia
    Inapasa kwetu tukumbushane ili tuweze kufaulu mbele ya allaah

  • @sophiemohamed4991
    @sophiemohamed4991 6 ปีที่แล้ว +6

    Alf mabruk brother nassir nakutakia maisha mema na huraha mungu akuepushe na hasad

  • @Umoja-rh7bn
    @Umoja-rh7bn 6 ปีที่แล้ว

    Wow!! Kwel jamn bro nassir ametisha aisee n mm unitungie ck y harus yang ww n mond kwel ten ur de besttttt!!👄👄👍👍👌👌👊👊💔💔 aisee mpak moy umetok kipand duuu keep it up

  • @ikam2066
    @ikam2066 6 ปีที่แล้ว +6

    Woow mashallah this is a very nice nasheed brother Nassir..hongereni kwa kufunga ndoa, Allah awajaalie kheri na barka kwa wingi🙏🙏🙏🙏

  • @salmakitenge7341
    @salmakitenge7341 6 ปีที่แล้ว +1

    bro nassir kweli siyo kabisa hilo bit LA mziki na hl ya kuwa wajua haramu, binafsi sijapendezwa kabisaaa

  • @AliOmar-gk2ug
    @AliOmar-gk2ug 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akufahamishe In Sha Allah futa hii kitu wewe ni kijana bora katika jamii usipotoshe vijana mche Allah!

  • @hishamabrar3045
    @hishamabrar3045 6 ปีที่แล้ว +2

    In sha Allah nitaingia na hii song kwa harusi yangu

  • @ngosweuzembe4292
    @ngosweuzembe4292 6 ปีที่แล้ว +20

    hii nyimbo kama mutaoifutili vzur mziki na hata mdindo amechukua nyimbo moja ya diamond inayoitwa baila ... mche Allah brother nassir.. mwazo ulianza vzuri

    • @adachaadam3707
      @adachaadam3707 5 ปีที่แล้ว

      Brother nasri wallah umepotea sana

    • @enjiidasnan2851
      @enjiidasnan2851 4 ปีที่แล้ว

      We baila umeijuaje kama huskilizi miziki kwa hiyo unaforce asiimbe mziki wakat miziki nyi wenyewe mnaiskiliza kutwa nzima.sawa unapomkosoa mtu nawe tathmini nafsi yako sio umkosoe akat wewe mwenyewe unapenda miziki huu ni kama unafiki.nawe mche Allah ndg yangu

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 6 ปีที่แล้ว

    Jamaaa unafeli sana kwa mpango huu ukija kupaform nashiid unguja twakupopoa mawe watia dosari sana wye

  • @arafatsalum1148
    @arafatsalum1148 6 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah Its amazing bro km unamkubl huyu bro gonga like yko 👇❤️

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 4 ปีที่แล้ว +2

    sobhanallah mja rejea kwa mola wako mlezi hii dunia ni mapito tu na aya tuyatendayo ayato tofaa tena pale roho itakapo fika kwenye koromeo akhy rejea kabla nafsi haijakugika kwenye mitulinga ya koromeo lako hakika maut nimachungu

  • @husnakhamis2096
    @husnakhamis2096 6 ปีที่แล้ว +9

    hongera kwa kufunga ndoa Allah aibarik inshaallah ndoa yenu

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah kaka unaweza kazi kabisa nakukubali fundi 🤝🙏 Amin

  • @zubeidudeenjannah7515
    @zubeidudeenjannah7515 6 ปีที่แล้ว +33

    umeweza bro Nassir👌👌💖💖....Allah bless you .......fatuma kashinda lul na❤❤❤❤ Marjan..ameweza👌👌💟💟💟💞💞💞💞,...be blesed young couples

  • @GoodBoy-co5vo
    @GoodBoy-co5vo 6 ปีที่แล้ว

    Brother hii ni mziki, na mziki ni Haraam. Tumcheni Allaah.

  • @kabaisamtotowamama5226
    @kabaisamtotowamama5226 6 ปีที่แล้ว +4

    Subuhanallah unapotea ndugu yangu fahamu kuwa Allah anachukiya ivo unavo fanya mziki haram ndugu yangu

  • @zulufkhan1949
    @zulufkhan1949 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah nyimbo nzuri mahaba matam tam

  • @kwnkwn6205
    @kwnkwn6205 5 ปีที่แล้ว +12

    am your greatest fan . am not a swahili native buh u have encouraged me so much to learn kiswahili i can even sing some of your nasheeds especially i love you mama.
    keep them coming and we will keep on sharing

  • @khadijaali1656
    @khadijaali1656 ปีที่แล้ว

    Mtihan kwa kwel Allah atupe mwisho mwema ,alikuwa na akitoa nasheed nzr zenye mafunzo pia ,ila kwa hizi nyimbo tena Allah amsamehe maana ni binaadam hakuna mkamilifu

  • @adamizak5065
    @adamizak5065 6 ปีที่แล้ว +24

    Halafu...huu producer afungwe Maisha..ama afukuzwe nchi..manake amei..muder.....long life akhy Nasiir...

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 6 ปีที่แล้ว +2

    Sherehekea mwanangu harusi yako why not mashallah

  • @shekhakajole1422
    @shekhakajole1422 6 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah in sha Allah mungu awape utulivu na vzazi vyema vyenye kheri in sha Allah.

  • @mohdazzan5485
    @mohdazzan5485 6 ปีที่แล้ว

    Aalaykum
    Yaaani brother nasser umejitowa dhamani mwenyeoo ndo bs tenaa unaimba nyimbo usije twambia nasheed fahamtunnaaaaa imechukiza kwakwelii

  • @Almisbahy9551
    @Almisbahy9551 6 ปีที่แล้ว +11

    Hawa Wanao coment Kwa kusema Mashallaah Ima Sio Waislam Au Waislam Wasiojielew, Hvi Upuuz Kama Huu Unaez Sema Mashallaah Kwel... Astaghfiru Llaah

  • @mariamtambwe8665
    @mariamtambwe8665 6 ปีที่แล้ว

    My crash merry another woman😭😭😭😭 duh acha tu niwatakiye maisha marefu na Allah ayiwekeye ndoa yenu barka na awape vizazi vilo kuwa bora masha Allah

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah alfu mabruk mungu awacmami katika ndowa yenu amen umefanya la msingi brother nassir nasubiri video insha'Allah tulobaki tupate waume wema

    • @smilecola3468
      @smilecola3468 6 ปีที่แล้ว +1

      Tabarka Allah Big up 👑😊🥳👍🇬🇧🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇰🇪🎤📸

  • @mulatyavictorissa9290
    @mulatyavictorissa9290 5 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wa harusi huu, sijui kwa nini mnamuhukumu ndugu yetu. Nimeupenda brother nassir

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +6

    Nice sanaaaaaa

  • @victoringosi7303
    @victoringosi7303 5 ปีที่แล้ว

    Brother Nassir hongera kaka kwa ngoma safi yenye maono...

  • @zaizayfasal7160
    @zaizayfasal7160 6 ปีที่แล้ว +30

    Subhanallah akhiy umeona ukiimba nasheed zisizo na mziki zitakuwa mbaya ukaona bora umuasi muumba kwaajili ya kuwafurahisha viumbe ukaeka mdundo yaaani km nyimbo vile
    Kiukweli tulikuwa tukizipenda nasheed zako lkn saivi umebadilika muongope Allah dunia in Mapito tu kakaangu usitake kuwafurahisha wanadaam huku ukamuudhi mola wako fikiria Mara 2 kwanza kabla hujatenda

    • @iddyramadhanimatuidi7054
      @iddyramadhanimatuidi7054 6 ปีที่แล้ว

      Subhanaallah from nasheed to music inalilallahi wainaillahi lajiun

    • @adachaadam3707
      @adachaadam3707 5 ปีที่แล้ว

      Wallah ckusapoti kwahili

    • @aymalay2191
      @aymalay2191 5 ปีที่แล้ว

      Nasheed music what's the different...lol

    • @aymalay2191
      @aymalay2191 5 ปีที่แล้ว

      @@adachaadam3707 usimsapport wapo kibao watamsupport. Mbona diamond amesapportiwa....ebu muache kubring day I down. Maisha Magumu bipaji mnavikalia tafauti ya nasheed nanyimbo kwani kitu gain.......mashekh wanaskiliza nyimbo za kiarabu zile halali Au vipi....??

  • @muhammedaliy9416
    @muhammedaliy9416 5 ปีที่แล้ว

    Hujui lini utaondoka hapa duniani utaelekea kwa alie kuumba nae ndie alie tukataza tusifanye hivo
    Je tutamjibu nn allah kesho qiama
    Nasaha yangu rudi na utubie kwa allaah acahana na ibilisi kwani atakupeleka pabaya
    Rudi kwa mola wako utubie kabla mauti hayatufika tukiwa katika hali kama hii
    اللهم لا تمتنا الا وانت راض عنا
    آمن

  • @monicadinga9501
    @monicadinga9501 5 ปีที่แล้ว +33

    I'm Congolese, I listened to this song in October 2019 with an Comorian friend and since I fell in love, but I didn't know the title. One day, I tried but in vain to sing it again, not knowing the lyrics, it was difficult for her to know which song I was talking about, and that night she remembered it. the coincidence that kills me is that this video was posted on my birthday

  • @huzaimaabdallah9195
    @huzaimaabdallah9195 2 ปีที่แล้ว

    nakumbuka siku ya harusi yangu mashallah

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallh mabrook brother Nassir ALLAH AWAPE MASIKILIZANO. .love the kaswida soooooo swtt

  • @ahmedahmedmazrui3039
    @ahmedahmedmazrui3039 6 ปีที่แล้ว +1

    Samahani bro mm naweza kusema tuangalie mwisho wetu allah amekupa kipaji mashaallah ila nibora uendelee kuwa munshid hizi ni starehe za dunia tu usiimbe music na huyo ni shaitwaan ndo anaekuvuta katka haya mambo ya muziki kisha kumbuka kauli ya allah inayosema:(إنمآ أموالكم وأولادكم فتنة) allah atakuongoa بإذنه.

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 ปีที่แล้ว +7

    ALLAH aybarki ndowa yenu mapenzi daima yadumu

  • @rahmanjoki9938
    @rahmanjoki9938 6 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikyum brother nassir. kwanza masha Allah tabarAllah uko na sauti mzuri. lakini hii imetoka kwenye class ya nasheed na kuingia kwenye class ya bongo flava...imebaki kidogo tu uanze kufanya collabo na diamond. and before u know it,ur singing music. kumbuka shetwan ni mwenye subra saana. huanguki tu mara moja ila unaanza polepole. try and follow the footsteps of munsheed AHMED BUKHATIR. his nasheeds still remain nasheeds despite the fame he has gotten worldwide.

  • @رضوانراشيد
    @رضوانراشيد 6 ปีที่แล้ว +3

    Subuana Allah ap akhy umepotez humma kabisaaaaa

    • @fauziambarak3661
      @fauziambarak3661 6 ปีที่แล้ว

      رضوان راشيد kwann sisi binadamu hatufauti yetu sote c kamili na sote twakosea tuache kuangalia makosa ya mwngne wakati hatujakamilika

  • @ahmadoomahmoud602
    @ahmadoomahmoud602 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera brother Nassir kwa kukamilisha nusu ya dini ila kwa huu wimbo hapna kabisa katika dini yetu ,😥 this is too much, huu ni wimbo kabisa😭.

  • @ummtuma8137
    @ummtuma8137 6 ปีที่แล้ว +24

    Mashallah bro. Nasir mwenyenzi mungu akujaalie ndoa ya kheri na barka

  • @albertopereira1056
    @albertopereira1056 6 ปีที่แล้ว

    Bro nassir unawezaa WCB tunakutka tutamtowa mboso #jambazi hpa

  • @osmanaliabdi1633
    @osmanaliabdi1633 6 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah what a voice bro endelea hivyo M.a Mungu awabariki Ameen.Love You from Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @ummali7942
    @ummali7942 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah alf Mabrouk Allah Awajazie kila la kheri kwa ndoa yenu Awape vizazi vya kheri💑 Na Nyinyi.... Nyc Song👌

  • @himdatdumila3996
    @himdatdumila3996 6 ปีที่แล้ว +4

    Leo Sikh njema nisiku ya arus yangu nashukru karima

  • @nurudiniadamunurudiniadamu8134
    @nurudiniadamunurudiniadamu8134 3 ปีที่แล้ว +2

    Yarrab nakushukur kwa kumpata anaenifaa

  • @mahmudasalum9557
    @mahmudasalum9557 6 ปีที่แล้ว +132

    Huku tunapoenda sasa sjui wp.waislam tunataka kuhalalisha music.brother nassir umeanza vzur sana lakn huku unapokwenda.yaan apo kakangu ni kuekwa kwenye mashindano na mbosso tu.

    • @mombasafish
      @mombasafish 6 ปีที่แล้ว +6

      Tunataka collabo na mbosso..
      Itakuwa noma sana..motooo

    • @suleimanalbusaidy1363
      @suleimanalbusaidy1363 6 ปีที่แล้ว +1

      Mahmuda Salum kabisa tena

    • @neisha2732
      @neisha2732 6 ปีที่แล้ว +3

      Umeonaeee I used to be his fun bt after venye Kwa haruc kulienda mkeo kuachwa wazi vile SubhanaAllah

    • @husseinsalim288
      @husseinsalim288 6 ปีที่แล้ว +1

      +Mombasa Fish Market is it just asong or niharusi ake really?

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 6 ปีที่แล้ว

      Kweli habibiy allah kharam mimi sikutegemea kama ningesikia nyimboo he

  • @hasco4755
    @hasco4755 5 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah sweet ,,,,,,inshaAllah nitampata

  • @naddelioness6872
    @naddelioness6872 6 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa ALLAH Maa shaa ALLAH 😍😍 ALLAH awajaalie mapenzi na subra mabruk bro Nassir 👏👏❤❤

  • @munasaid2100
    @munasaid2100 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalah brooo endelea hvo hvo usiskize waswahilii wanawivuu

  • @sarahbaby9261
    @sarahbaby9261 6 ปีที่แล้ว +103

    Soma qur'an brother Nassir..sheitan asikughuri ukawa kama kina mbosso huko uwendapo ni njia tofauti na ulivyo kakaangu

    • @ummyfaiz2127
      @ummyfaiz2127 6 ปีที่แล้ว +3

      Mashallwa

    • @yasirsaid1858
      @yasirsaid1858 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yani

    • @gharibahemed9928
      @gharibahemed9928 5 ปีที่แล้ว +3

      Mmmmh maneno mazuri kwa mungu ni sawa ata huyo mboso maneno yake mazuri vile uchafu wanawake kucheza uchi

    • @nawalsalim4811
      @nawalsalim4811 4 ปีที่แล้ว

      K

    • @mshebe100
      @mshebe100 4 ปีที่แล้ว

      kabisa yani

  • @rashidalbayyoun9986
    @rashidalbayyoun9986 6 ปีที่แล้ว

    brother nassir ningelikushauri uwende wasafi club ukashirikiane nao kwasabab naona dini imekushinda ww ni shubuhati tupu tubuuuuu acha mziki unachanganya haki na batili ukiulizwa unasema nimemuimbia mke Wang kwn kakwambia nan km ukimuimbia mkeo kwa miziki hupat dhambi hebu mche Allah ww

  • @aishamohammed2097
    @aishamohammed2097 6 ปีที่แล้ว +34

    Maa shaa Allah! alfu mabrouk brother Nassir kwa kutimiza nusu ya dini yetu. In shaa Allah ndoa njema....twasubiri video ya hii song kwa hamu brother.

    • @kingsmusiccover685
      @kingsmusiccover685 6 ปีที่แล้ว +1

      Tiari ndoa

    • @samyaalimashallah2331
      @samyaalimashallah2331 5 ปีที่แล้ว

      InshaAllah iwe ajab hio video

    • @shakamohamed5544
      @shakamohamed5544 5 ปีที่แล้ว

      Diini au dunia yote inaanza Na D Distruction Death Defiant
      Chaguo nii lako
      Jiulize walo tangulia waimbaji wako wapi Sasa najua mtanichukia hata wengine wenu mtanitukana
      Ila nawauliza kwa jumla nimekosea wapi hapa
      Kabla huja rusha matusi najikumbusha na nyinyi sote
      Na huyu Shabab wetu mwenye mungu ampe hidaya na arudi kwenye D ya Diini

  • @azizaamran2446
    @azizaamran2446 6 ปีที่แล้ว

    Wallah qaswida zako nlzpenda , but duuh hii imenitibuaa brother Nassir uelekeako cko wapotea kabsa

  • @salmabandiko6020
    @salmabandiko6020 6 ปีที่แล้ว +43

    Dah! Allah atuongoze tusiyumbe jamani, Broo umeanza muziki sasa. from Nashid to music!!!!

    • @naskababanaska4777
      @naskababanaska4777 5 ปีที่แล้ว

      Inalillah

    • @fauziakassim323
      @fauziakassim323 5 ปีที่แล้ว +1

      Jamani amuimbia mkewe MBNA hivyo tena

    • @sideboy4909
      @sideboy4909 5 ปีที่แล้ว

      Kwani mwanzo aliimba nn si ndohayohayoo hakuna anaeweza kutoa nashd maana wanatumia vinanda

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 5 ปีที่แล้ว

      Mcba mzito

    • @aishamohammed1254
      @aishamohammed1254 5 ปีที่แล้ว

      hildababy Abdullah ,hao wanaoxema aimbi naxhid ,,,ndio wakwanza kuangalia zakina mbosso

  • @RahmaShabani-x5o
    @RahmaShabani-x5o ปีที่แล้ว

    Doh MashaallaH mungu akupe kila lenye manufaa uzidi kutu qaswida yenye ladha nzuri inavutia inakata amani sana kwawapendanao thank u❤❤

  • @deed1134
    @deed1134 6 ปีที่แล้ว +13

    Mabruk sana❣️natamani namimi siku moja inshaallah😭😭😭

  • @abdallarejeiby7903
    @abdallarejeiby7903 5 ปีที่แล้ว

    Hapo hapo brother Nasir umemshinda mboso kabisa

  • @aimaahsalim505
    @aimaahsalim505 6 ปีที่แล้ว +137

    I swear my hubby gotta sing for me on my wedding day or else.......this was so amazing fantastic name it....nmeipenda paka bac...once again alf mabruk bro nassir na sweety thuma😍😍❤❤

    • @hornnews1779
      @hornnews1779 6 ปีที่แล้ว +1

      I say bwana maashaAllah

    • @starhmilyally1173
      @starhmilyally1173 6 ปีที่แล้ว +1

      He made us look our own status twice n thrice. MashaAllaahh!!!

    • @aimaahsalim505
      @aimaahsalim505 6 ปีที่แล้ว +3

      Mashairi yameenda shule yakagraduate na first class

    • @bushraothman671
      @bushraothman671 6 ปีที่แล้ว

      Aimaa endelea kuota

    • @nassirahmed5703
      @nassirahmed5703 6 ปีที่แล้ว +2

      Nitakuimbia mm

  • @maryamali1992
    @maryamali1992 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka sauti nzuri yakupeleka kwenye Quraan sasa wewe unaiwekea zamana-kwenye miziki-miziki nikilevya Sawa napombe.

  • @tosilientertainment63
    @tosilientertainment63 6 ปีที่แล้ว +23

    Nyimbo nzuri sanaaaa nataman ata Kuoa leo

  • @razansalim532
    @razansalim532 6 ปีที่แล้ว

    Yaillah ya jalali waonyesheee njia wapenzi hawa wawili wapatetulia wazidishie mahaba na mapenzi ya dhati milele wawe pamoja hadi mauti,nawatakua kila la kheri kwenye yenu ndoa inshaAllah 🙏🙏

  • @rajlovechild8134
    @rajlovechild8134 6 ปีที่แล้ว +4

    Big up sana Bro. Hii Ngoma imenigusa sana, na Hapo harusini nlikua Ulinimaliza Wallahi! Uko juu bro, maashallah

  • @shaibahkmwangoto8089
    @shaibahkmwangoto8089 5 ปีที่แล้ว

    Ndugu mkeo ndokakushauri uimbe ili umridhishe. Jamani tuombeni mwisho mwema. Ukweli jamii inakulaumu sana. Mana hawakutegemeya kwakweli. Haya sisi twakuombeya gheri na mungu akujaaliye mwisho mwema.

  • @tosilientertainment63
    @tosilientertainment63 6 ปีที่แล้ว +16

    Umeuwaaa

  • @claymazula627
    @claymazula627 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo yako inanikumbusha mbali sana ❤😢

  • @fatmahbakhar9686
    @fatmahbakhar9686 6 ปีที่แล้ว +3

    Yes God did it! Tnx my love.God Grant you jannah brother Nasseer

  • @sudishabani8997
    @sudishabani8997 6 ปีที่แล้ว +1

    Bongo fleva hii nzur sanaa kama Kassim Mganga,
    Waislam tunaenda na wakat..
    Allah atuswameheee tu

  • @maryamawessaidhabib510
    @maryamawessaidhabib510 6 ปีที่แล้ว +10

    Alfa mabrouk bro nasir hope In Shaa Allah may u live happy marriage ,,,, Amiin

  • @mohamedseyfu3435
    @mohamedseyfu3435 5 ปีที่แล้ว

    Yeah broth nassri mola akupe muongoo mzuri nakukubari sanaaaa ila tutembeleee nasisi huku Tz

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 6 ปีที่แล้ว +14

    Umeamua kuimba mziki kabisa ittaqi llah

  • @abdul-rahmanabdalla342
    @abdul-rahmanabdalla342 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera brother Nassir kw kufunga ndowa. Allah aidumishe ndow yenu milele.اللهم آمين Iwe ndowa ya masikilizano na utulive ndani yake. Allah aibariki ndow yako brother Nassir اللهم آمين