Mbunge Waitara aangua Kilio mbele ya Camera "CCM Haiwezi kujitoa kwenye hii lawama" ahofia CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amejikuta akiangua kilio kwa uchungu wakati akizungumzia mgogoro uliodumu kwa muda mrefu baina ya wananchi wa jimbo lake na hifadhi ya Serengeti.
    Waitara ameyasema hayo wakati akizunguma za Waandishi wa Habari jijini Dodoma leo Jumanne Machi 28, 2023 huku Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee amesema kuwa wao wanasimmia maelekezo ya Serikali ya kuweka vigingi vya mpoaka wa eneo la hifadhi ya Serengeti na wananchi zoezi ambalo tayari limeanza.

ความคิดเห็น • 234