Magufuli alikufa kwa sababu Kikwete hakupenda Uongozi wa ukweli na yeye atakufa tu Msoga muuaji na genge lake. Magufuli alikuwa anaweka watu wa kuongoza wachapa kazi siyo km huyo bibi Tozo anavyo tuburuza Watanzania anaweka washenzi wezi vibaka waliokuwa wamefukuzwa na Magufuli
Utaratibu WA kumsimamisha mtumishi haupo hivo...mwanasiasa hata mandatory power ya kumsimamisha mtumishi.. na ni udhakilishaji ambao ni kosa kisheria kufanya huo upuuzi
Ulitaka ufwate utaratibu wa nini wakati umeharibu kazi kwa uzembe wako!! Labda kwa tamaa zako binafsi sasa unataka awabembeleze!! Ndo maana akasema wasimame kazi uchunguzi ufanyike wakikutwa hawana hatia watarudi kwenye shughuli zao!!
@@martinezthomas030 wewe ndio mjinga na hujuii... Pengine hujui sheriaa za utumishi na mipaka ya wanasiasa nenda ofisi ya utumishi kajifunze. Shida za watu msio jua sheria za utumishi omba ufundishwe ndugu yangu.usikae kusema mjinga...kumsimamisha mtumishi hadharani hiyo haipo kwenye ofisi zetu za utumishi na ni kosa la udhalilishaji..nukuu speech ya mama. Ummy avokuaa tamisemi utajuaa nachosema hususan juu ya Madiwani...pia unapaswa kujuaa mipaka na kazi ya Kila kiongozi ndio utaelewa hili
@@hindisaidi5097 weww ndio hujanielewa sijaandika kufukunzwa hapo.. nimesema Hana mandat ya kumsimamisha hadharani hivyo ni kosa kisheria. Kuna taratibu zake usitumie mihemko kujibu
Hongera sana mwanrri kwa kazi bora unayoichapa big up, , , , moto wa kuotea mbali..💥💥
Naomba es
Nilikuwa nampenda mwanri
Eti amekunywa dilisha😀
Hongera sana unanibaliki muno kamaumeokokavile
Hio safi ujinga na uzembe hta Kama unacheo
Mzee una tumia nguvu nyingi sana kuongea daha pole sana mzee wetu 2022
Awamu ya sita wakuu wa mikoa wakula bata tu, hakuna kazi wanayofanya,zaidi ya kucheza pull table,
Mzee huyu namkubali mpaka naumwa
🤣🤣🤣I loooove this guy,kweli simba huzaa simba magu hoyeeeeee
Mtu alikunywa drisha 😂
Huyu Mzee ni Moto wa Tipa
Nyieee😂😂😂😂mtakomaaa mbonaa
Magufuli alikufa kwa sababu Kikwete hakupenda Uongozi wa ukweli na yeye atakufa tu Msoga muuaji na genge lake. Magufuli alikuwa anaweka watu wa kuongoza wachapa kazi siyo km huyo bibi Tozo anavyo tuburuza Watanzania anaweka washenzi wezi vibaka waliokuwa wamefukuzwa na Magufuli
Stress hizo zinakupelekesha
UNA USHAHIDI???
Huyu apewe form ya urais 2025. Hata akisimama peke yake anachukua
Mtu kazima! Suo mchezo
Mzee mwanri😂😂👍
Usiniangarie Kwa huruma sio mchezi majembe ya magu haikuwa kitoto kazkz
Duu kweli mwanile angekuwa raisi sijui tungekuwaje viboko vingeahusu wasio penda kazi
Huyu mwar namuita BLACK MAMBA
Naomba es
Amekunywa dilisha 🤣🤣🤣🤣injinia anatia huruma
Huyu ndie RC MWANRI eti
Soma hiyo
Dah kweli mzee
Eti amekunywa dirisha haha
Hivi kuna mtu anaitwa bibi tozo🤣🤣🤣🤣
@Mtanzania Halisi ndio walewale mn unamvaa Kila anaeuliza swali hovyoo👌👌👌👌
Eti Amekunywa hili 😂 😂
Amekuywa dirisha... 😂😂😂😂
Usiniangalie kwa jicho la Huruma
Songombingo na kitimutimu make, Mzee anachachafya vumbi kabisa huyu, daaah!!
Fyekelea mbalii
NANI AMEKUNYWA DILISHA🤪😀
Amekunywa diliaha 🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha
Sweka ndani
Sukumaa ndani hao
RIP Magufuli
Daniel mgogo
Fyekelea mbalii hao
Kioja😁😁
Nomasan
Utakuja kuua Babuu
Alafu yule mama hana utaalam wowote
Amekunywa hili
Nishidaa
Safi kabisa walizoea
Mzee unawazalilisha wenzio
Hawa ndio viongozi 2naowataka Tz
Wanajizalilisha wenyewe
Safi uzembe umezidi Tanzania wakomeshe wote wajue nafasi zao
Hahahaha kazimia hahahahhaaaa
Atakuja kuuuwa huyu mzee😀😀
Utaratibu WA kumsimamisha mtumishi haupo hivo...mwanasiasa hata mandatory power ya kumsimamisha mtumishi.. na ni udhakilishaji ambao ni kosa kisheria kufanya huo upuuzi
Ulitaka ufwate utaratibu wa nini wakati umeharibu kazi kwa uzembe wako!!
Labda kwa tamaa zako binafsi sasa unataka awabembeleze!!
Ndo maana akasema wasimame kazi uchunguzi ufanyike wakikutwa hawana hatia watarudi kwenye shughuli zao!!
Wee nae mjinga kweli hujui kitu
@@martinezthomas030 wewe ndio mjinga na hujuii... Pengine hujui sheriaa za utumishi na mipaka ya wanasiasa nenda ofisi ya utumishi kajifunze. Shida za watu msio jua sheria za utumishi omba ufundishwe ndugu yangu.usikae kusema mjinga...kumsimamisha mtumishi hadharani hiyo haipo kwenye ofisi zetu za utumishi na ni kosa la udhalilishaji..nukuu speech ya mama. Ummy avokuaa tamisemi utajuaa nachosema hususan juu ya Madiwani...pia unapaswa kujuaa mipaka na kazi ya Kila kiongozi ndio utaelewa hili
Jifunze kuelewa maudhui kwanza...hapa hajafukuzwa mtu kazi , wanachunguzwa tu.bado waajiriwa lakini kasoro ziliopo "dhaahiri" ni kubwa!
@@hindisaidi5097 weww ndio hujanielewa sijaandika kufukunzwa hapo.. nimesema Hana mandat ya kumsimamisha hadharani hivyo ni kosa kisheria. Kuna taratibu zake usitumie mihemko kujibu
🤣🤣🤣🤣🤣