DAWA YA KUKU WASIFE OVYO HII HAPA! USIFANYE KOSA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @mariamwakasaba4122
    @mariamwakasaba4122 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @user-bl6rq9gt9c
    @user-bl6rq9gt9c หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana somo zuri

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 23 วันที่ผ่านมา +1

    NAMBA YA SM

  • @iddiMiraji-c1t
    @iddiMiraji-c1t หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri sana

  • @AnnaMkenga-iu9db
    @AnnaMkenga-iu9db 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki sana

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 8 วันที่ผ่านมา

    Unatumiaje dawa hizo

  • @FlorenceNachipyangu
    @FlorenceNachipyangu 22 วันที่ผ่านมา +2

    Nimekupata

  • @Maulidimuna-sk4oz
    @Maulidimuna-sk4oz 26 วันที่ผ่านมา +2

    wew unanumua vifaranga wapi

  • @VenanceMwaisanga
    @VenanceMwaisanga 20 วันที่ผ่านมา

    Hiyo dawa unaitumia kwa mda gani?kuku wakiwa mia,namanisha ukitumia unaweza kuihifadhi ikatumika kwa mwaka mzima au inakueje

  • @angolwisyengailo8180
    @angolwisyengailo8180 19 วันที่ผ่านมา

    Dawa au vitamin hinata bei

  • @benethmwenga8355
    @benethmwenga8355 หลายเดือนก่อน

    Vifaranga wanavimba macho na kufa

    • @ThomKavishegospeltv.555
      @ThomKavishegospeltv.555  29 วันที่ผ่านมา

      @@benethmwenga8355Ooh! pole! Je! macho yamevimba pamoja na vidonda usoni, au ni macho pekee kuvimba pamoja na ukoko mweupe kujaa ndani ya macho?

    • @iddijuma6152
      @iddijuma6152 15 วันที่ผ่านมา

      macho peke yake na ukoko mweupe​@@ThomKavishegospeltv.555

  • @Maulidimuna-sk4oz
    @Maulidimuna-sk4oz 26 วันที่ผ่านมา

    hiyo dawa ya tanzania au ya wapi

    • @ThomKavishegospeltv.555
      @ThomKavishegospeltv.555  26 วันที่ผ่านมา

      @@Maulidimuna-sk4oz AGRACOX na TYLODOX EXTRA zote ni kutoka HOLLAND

  • @allyrashidi-q2y
    @allyrashidi-q2y หลายเดือนก่อน +1

    Hizo dawa unatia kwenye maji au

    • @ThomKavishegospeltv.555
      @ThomKavishegospeltv.555  หลายเดือนก่อน

      @@allyrashidi-q2y Ndiyo ni kwenye maji na MAELEKEZO yapo hapohapo.

  • @justinaruzige3296
    @justinaruzige3296 หลายเดือนก่อน

    Kuku wangu anaharisha damu nimpe tiba gani??

    • @ThomKavishegospeltv.555
      @ThomKavishegospeltv.555  หลายเดือนก่อน

      @@justinaruzige3296 wape Esb3 haraka! utapata matokeo chanya. Ukikosa hiyo tafuta AGRACOX halafu baada ya kumaliza dozi wape vitamins siku tano mfululizo wata imarika kabisa.

    • @DoreenDenis-r3z
      @DoreenDenis-r3z หลายเดือนก่อน

      ​@@ThomKavishegospeltv.555kukuwangu wanashusua mabawa niwapenini

  • @MJARIWAMJARIWA
    @MJARIWAMJARIWA หลายเดือนก่อน

    Namba yako ya simu

  • @Maulidimuna-sk4oz
    @Maulidimuna-sk4oz 26 วันที่ผ่านมา

    unawapa kwa hizo dawa wakiwa na wiki ngapi?

    • @ThomKavishegospeltv.555
      @ThomKavishegospeltv.555  26 วันที่ผ่านมา

      @@Maulidimuna-sk4oz usijali nitaelekeza kesho katika video kwa kuwa ni wengi wanaopenda kujua.