If you would like to watch English video press ➡️ Chapati | Parathas recipe | Soft layered Kenyan chapati | How to make flaky layered parathas . th-cam.com/video/WKD00uAbepk/w-d-xo.html
I am happy I have found your channel I was once married to a Kenyan man and we share two children I hadn’t made my kids chapati in a while because we have divorced and I needed a refresher thank you for posting such nice easy to follow videos I have made my kids chapati and stew for dinner this evening 🙏
Eee bwana wee. I have tried kila recipe ya chapati on TH-cam, fail after fail after fail I found hii recipe. BONGELA RECIPE!!!! Crispy kwa nje laini katikati, yanachambuka hatari. 100% my favourite chapati recipe on the Internet. Hongera mama ❤
If you would like to watch English video press ➡️ Chapati | Parathas recipe | Soft layered Kenyan chapati | How to make flaky layered parathas . th-cam.com/video/WKD00uAbepk/w-d-xo.html
Naomba namba yko dada
safii sana anti
Uganda
Rukia Laltia english
Rukia Laltia simple and clear and they look yummy
Waoooo nlijarib kutengeneza ni nzuriiii mno so sweaty mwaa🌹thanks mwya
I am happy I have found your channel I was once married to a Kenyan man and we share two children I hadn’t made my kids chapati in a while because we have divorced and I needed a refresher thank you for posting such nice easy to follow videos I have made my kids chapati and stew for dinner this evening 🙏
Awww thank you soo much, hope the kids enjoyed the chapati
@@RukiaLaltia thank you very much.. your chapati is so delicious!!!
Maa Shaa Allah na Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan kwa Pishi Muruwa.
Thanks love ❤️ chapati imekua nzuri
Mashallah nimejarib alhamdulilah zimetoka tam san
Asante sana dada rukia nimependa sambusa na chapati nataman kujifunza
Somo wangu asanti sana kwa funzo nzuri
That swahili is dope👌🏻
Eee bwana wee. I have tried kila recipe ya chapati on TH-cam, fail after fail after fail I found hii recipe. BONGELA RECIPE!!!! Crispy kwa nje laini katikati, yanachambuka hatari. 100% my favourite chapati recipe on the Internet. Hongera mama ❤
Jamaniiii thts a very big compliment ,asante sanaaa 🥰
Waoh Aki Leo nimepika chapati nzuri na tamu sana kupitia hii video asante sana dada endelea ivo ivo
Yan nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako ahxante dada
Rukia that's lovely. I really love your way of explaining. I shall surely test the method
7
Jinsi ulivyoelezea nimekuelewa na nimeshkuru Sana kwa upishi wako mwema. Barikiwa sana
Hongera mapishi Bora,Chapo tamu
Good chapati Nzuri Sana hiyo, hongera🎉
Ase Leo nmepka kama Ivo ktu kmetoka kmechambuka atar👌👌👌 nataman apa ningewaonesha uko vzur mum🥳🥳🥳
Safi sana. Nimependa mapishi yako ya chapati
Nice, I will give it a try because I love chapati, patience ndio sina 😂 thanks for the recipe
Mungu akubariki mafunzo yako ni mema
If you were not married I would propose now. From Port Sudan original kiswahili. You are the best
Somo zuri Sana! Asante
Mambo kweli vinavutia mdogo wangu hongera sana
MashaAllah great sharing beautiful deleshies yummy testy recipe amazing watching video good velog
Your new friend brother permanent stay in touch
Asante saaaana, nimejifunza kitu leo
Mungu akubariki kwa elimu yako ahsante.
Was a nice teaching Aki nmejua kuprepare Sasa eeeh thanks maadam
Mashallwa ant rukiya nakupenda sana na najifunza sana kutoka kwako mamy
Kwa kazi njema hongera.kwani baada ya kufuata recipe yenye chapati zangu zi bora.shukran.
Nimependa huo upishi safi sana da rukia👌
Awww thank you soo much daa Esther
Safi sana Mrembo asante kwa maelekezo mazuri
woow nice umeelekeza vzuri sana seems so simple
Asante nimejifunza na kujua kupika chapati ❤
Asante dada unafundishwa vizuri nimeweza
Thanks for sharing for sure I love your chapati and the way of explaining.
Thank you soo much
Wow my friend! Came to show love back! Thank you for sharing this, big like and full watch. Keep in touch🙏🏽
Mashaallah shukran kwa mapishi mazuri
Thankyou Rukia love your recepe.
Ahsante kwa somo zuri dada!
Mashaallah mashaallah natamani nivunje kipo cha simu wallah kwa hizi chapati
I love your beautiful work 😍 ❤ 💖
Waaw mAshaa Allh Siya kawaida
Nimepika Jana I followed all ur steps hatariii chapati zilikuwa laini Sana hadi my 2½son alikula na akaenjoy n hubby alizisifia saaaana.Asante sana
Kweli??
Samahani Kama hauna samli unaweza kutumia mafuta ya kupikia? Kwa kukandia unga?
Mashallah... Asante kwa mafunzo
Mashaalah beautiful
Du nimezpenda chapati zako jaman my dear❤❤
I love have you are explaining. Nice video
Amazing lesson. Ahsante Rukia!
Asante sana dada baadae nitareta mrejesho
MashaAllah tabarakaAllah nilifanya zilitokea vizuri Sana, shukran sana
Ahsante kwa somo zuri hongera
Such such beautiful Swahili. Ebu nipike
Asnt kwa kutugaia idea
Nice nimeipenda hiyo
Very yammy good work.
Hiiii sawa nzur sana
Mashallah barikiwa 🙏
Thanks Rukia. Very clear instructions.
Awesome Rukia
Your receip is good i try today my chapati is nice'.
Thanks
Rukia umeweza dadangu ☺☺
Nitafanya kama wew❤❤
Good my chapatis turned up very well
Hivi ndivyo mamagu alinifunza kupika chapati. It was fulfilling to watch. New sub! Napenda kiswahili chako pia!
Ahsante sana nimejifunza kitu
Ahsant sana 💗😴🌹 nimejifunza apa napika
Thank you I have learn alot
Mashallah everything u cook is nice na very easy ku follow mwenyezi mungu akuhifadh
Maryam Sultan jinsi ya kupika
Kwanini unaweka unga baada ya kuweka mafuta? Ina saidia nini?
Masha'allah nimejarib njia hii rahisi na zikatoka uzuri hasaa nilikuwa natumia njia gumu hatar😂
Ahsante nimejifuza jinsi ya kupika chapati
Shukrani. Ninajaribu leo
I love your cooking 😋😋😋 and the way you make it seem easy
Thank you
Mashallah 👌
Wow napenda
Asant na wewe 🙏🙏🙏
Mashallah ziko powa Sana norijaribu kuzipika ni nzur kwaker
Nimeyapenda haya mapishi
Asante na wew nimepat some kubwa san
Napenda kujua jinsi ya kupika keki naomba mtiririko wa vifaa na kiasi gani kitumike
Nimefurahia. Asante
I can Listen to you forever. Swahili sanifu
Awww thank you soo much 🥰🥰❤️
I like it👍 Keep it up please ❤️
Hongera SANA
Ubarkiwe sana my dear
Woooh ahsant
Ahsante sana
Chapati iko vizuri nitajaribu na mimi.
Wow!I must try
Salàm alekum mashallaah
Duh kwel n tamu balaa
Lekker 👌
Asante sana Dada be bleesed
Umenisaidia wwe dada bhas tu mungu akuweke
Simple recipe, stunning results.My chapatis turned absolutely layered and yum🤗
Kiss kiss kiss kiss kiss kiss you kiss me kiss kiss kiss kiss kiss kiss kiss kiss kiss
Najifunza mapishi kutoka kwako shukran dada😘😘😘
asante sana dear
Mashaallah it's well done thanks for your cooking
Phones for the best for you guys and
Nice
Asante kwa darasa
Ahsantee
U Mwl MZURI sana
Asanteh rukia will try that part ya kukunja na kutumia samli mfuko wa kilo mbili waeza toa chapati ngapi hivi za kuuza
Mm sijuwi mambo na biashara samahani