Thank you for showing the 3 different methods. Be blessed my sister this is premium knowledge. Your steps are also very clear. I will try it n ubarikiwe.
Ukishakanda unga uache 3hrs mpaka 6hrs ukiwa umeufunika. Unaweza kukanda usiku ukafunika alafu ukazipika asubuhi. Na pia kanda na maji ya moto au vugu vugu. Your chappati's will never be hard darling
Maa shaa Allah😋basi mpaka naingia jikoni mwenzio kwa kuntamanisha😂..afu mimi sasa huwa natumia method ya 2..lakini sasa nataka nijaribu hiyo ya kwanza sijawahi kuifanya.Asante Ika.
Wangapi wanasema asante kwa huyu dada🙋
Namba one ndio nzuri
wengi 2 pongez kwake mana ametusaidia
Yaan kaacha mumewang kanipa elf 10 yaponhez hongera kwako dd
Hakika na mm nimejua
Mimi hapa,
Najifunza leo 2024 asante sana 🙏🏽🙏🏽nimeelewa
Thank you for showing the 3 different methods. Be blessed my sister this is premium knowledge. Your steps are also very clear. I will try it n ubarikiwe.
Namba mbili nishawai kutumia pia mama alikuwa anatumiwa Asante sana kipenz MUNGU Akubaliki
Thanks Soo much for your teaching.its very awesome 👍👍👍
Nimejaribu ya tatu chapoo utokea vixuri sana . asanti kwa method ya kwanxa nitahijaribu
I've tried this method and it works great...thanks
It’s work nlikua sijui kupika chapati now I can kupitia this video
Thanks so much nimepika chpati nzuri sanaaa wagen wangu walifurah sanaa mpka kubeba
Safi sana. Asante wewe sio mchoyo.🎉❤
Njia zote nzuri Asante maana kupitia mitandao napika chapati nzuri sanaa
Apa SoMo limeeleweka tunamshukuru 🎉❤❤❤ nimeipenda
Njia ya kwanza,nishawahi kujaribu na ndio rahisi kwangu.
Asante,dada
Njia ya Kwanza na yapili ndio naielewa chapati zake hutokelezea Sana dada umetisha kinoma
Thanks sana ika malle kwa maelezo yako..nimefurahia njia ya kwanza zimetoka vizuri hadi nimefurahia..much love😚
Poa sana
you can be a nyc teacher......thank you
Thank you 😊
Iyo ya mwanzo kwangu ndio geni but izo mbili nafanya shukran da
Ahsante sana dear, nimepika za kwangu ila hazijawa laini......naamini nikiendelea kupika zitakuwa tu laini siku moja
Ukishakanda unga uache 3hrs mpaka 6hrs ukiwa umeufunika. Unaweza kukanda usiku ukafunika alafu ukazipika asubuhi. Na pia kanda na maji ya moto au vugu vugu. Your chappati's will never be hard darling
I love how theyve come out. ..... ❤
MASHA ALLAH ❤❤ Tatu ndo yngu 😊
Good ika asante kwa kutufundisha.
MaashaaAllah verynice
Zote nishatumia hizo njia
i like it very mach i want to be like you sis waaoooo good you are the best
Mashallah umejitahidi kiasi chako hongera sana
Wah sijawai on chapati zuri kama hzo Na zina madoadoa kama ya leopard hongera sana dadangu Ika malle.
Asante Dada kwa mafunzo ya maandalizi ya chapati.
Mashaalah jmn nimeipenda njia ya kwanza na ya pili ❤
Hongera upo vizuri njia ya kwanza cntajari bu
Mapishi yako rahisi kuelewa👏👏👏👏
nimeipenda ile yakukata kata asante umenifundisha naleo najifunza
Karibu dear
yani ni mependa njia ya pili👍👍👍👍👍👍❤️🥰😍
Leo nimetumia iyo njia ya mama ako is so simple and quick
Wooow Karibu
Thanks for your lovely video. Love you saaana Ika
Wow!asante daa nimejifunza
Safi kabisa unaelezea vizuri pia matokeo poa.
Nimeipenda jaman, nami ntajalibu❤️❤️❤️
Natumia njia ya pili na tatu, ya kwanza sijejaribu. Asante kwa kushare
Oh my goodness!
This worked for me so so well!👌 Nilitumia method ya kwanza. Thankyou so much Ika Malle kwa video. Barikiwa sana sana
👌
Mashallah so good i will made it🥰🥰
Nime elewa nitajifunza asante sana
Shukrani nimeona ziko vizuri kwa kweli hongera kwa kutufundisha
Asante
very very nice process of making chapati
Chapati zimenyambuka balaa uko vzr
Ubarikiwe kipenzi
Masha Allah njia ya kwanza nimeipenda sana....👌👌👌🥰
Maa shaa Allah😋basi mpaka naingia jikoni mwenzio kwa kuntamanisha😂..afu mimi sasa huwa natumia method ya 2..lakini sasa nataka nijaribu hiyo ya kwanza sijawahi kuifanya.Asante Ika.
Karibu Dear
Nziri
Good teacher. Have enjoyed your lecture.
Uko vizuri hujaolewa
Asante sana umenisaidia,
Nimefanya zote asante zimetoka vizuri
Zote nimeshuhudi mama mkubwa wangu akifanya vizuli sana dada wee
Chapati ni nzuri kabla hujaila
Great. Ya Tati ndiyo ya kitambo sana
Mafunzo mazur nimeyapend❤❤
Asante Sana ukovizuri
Thanks very much,I'll give it a try, you we're making it look easy coz you really dedicated you're time to show everything in a proper way
Thank you too
@@ikamalle chapati zangu zinakuwa ngumu wapi nakosea🥲
Thanks for sharing again .now I will try method 3, now
Nzuri mashallah, ila jitahidi usizifanye Nene sana
Wow amazing
Samahani alikandia mafuta ya Moto? Na kwenye kupaka ktk njia zote tatu amepaka mafuta ya Moto?
Asante Kwa mafunzo mazuri
Njia ya tatu ndyo pendwa kwangu ❤
Napenda ya 2 sana ❤🙏
Asante,njia ya kwanza tu ndio sijawahi kuitumia,nitaijaribu
Asante kwakuto kuwa mchoyo
Iyo njia ya 3 naipendelea sana iko poa nakumboka miaka ya 2007 ndipo nilijifunza kwa Mara ya kwanza
Mashaallah ❤️
Njia ya tatu nishatumia ni nzuri sana
It's a good morning to wake up with such video i love it
Zote tatu nimejaribu, ziko👌
thanks ,,
Njia ya pili ndio sawa
I love your videos of the pancake
Nitajaribu ya tatu ...ya kwanza nmeifanua sana
Sawa Karibu
😋😋 jmn samli ni bluband au
Nlijaribu hiyo method ya tatu lakini haikutokea layers jamani shida inaeza kuwa wapi🤕💔lakini napenda video zako sana 💕💕😍
Asante chapati nzuri sana
Yote iko sawa mashallah
uko.vizuri .hiyo ya3
Asante dada❤❤
asante dada nimependa hatua zote.
Ya kwanza na ya pili huwa natumia ilebya tatu nitajifumza asante
Ahsante
nimepanda njiaya.yakwanza
Real uko vizuri dyadya
Asante kipenzi izo njia zote najua ila chapi zangu aziwi laini kama zako sijui nitumie njia gani nisaidie please
Watching from Brest france i love chapattiiiiiiiiiii for real..the 2nd one is super easy for me
Daaaadaadadaf
오늘도감사함니다
Thank you my dear
First method my favourite
Thank you so much; I'm familiar with the second method.
2024 here! imeweza sana
I like that my dr
MashaAllah najaribu ya kwanza
Superbo
napendelea ya 2
Nimepika no 1 asubuhi hii ni tamu ni laini mashaa Allah ila mara nying natumia no 2 na nimetumia mafuta tu
Waoooooh! 👌
Thanks sana Malle, have gain something endelea na huo moyo
Huwa natumia njia ya kwanza t the best
Thank dada kwa chapt bor
Leo nimepika jamn nimeweza asnte kwa mafunzo jamn
I love the first one. Others I know them
Mambo lka?Hizo chapati zapendeza wueeh!!!😋😋
😋😋
Zote nazitumia sana shukran