Salam Aleykum brother bin Seif.Nataka kukupa shukurani za dhati ndugu kwa hizi collection za tarab ilivyokua tarab sio sasa.Kaka ako Sleman Jahdhamy mzanzibari nipo Oman.Im 52 yo and grand dad alhamdulilah.Mungu akubarik bro tujuwane na natamani nyimbo za kizamani kama marehemu Bakari Abedi na wengine ilipokuwa tarab tarab.Sehivi hiyo modern tarab si Tarab nnojua mie ni migoma ya kizaire wanaita midern tarap.Hate it.Bless u Bin Seif.
Wajib nkujuze mie pia *nnavyo-ichukia* hio iitwayo *modern taarab!* Mradi tu nao pia *WAMO!* Kuimbwako hawako, kuchezwako watafutwa! Si taarab kichwa wala maguu! Mijigoma-mwitu tu na kalima chafu!
@@blackwhite3628 nimecheka sana kwa hizi sentensi zako mbili za mwisho. Ama kweli umechukia haswa, ndugu yangu." Mijigoma mwituNa kalima chafu." Nimecheka sana.
Hicho kigongo inaonekana kilitoka nikiwa hata sijazaliwa! Yaani ndo nakisikia leo❤❤❤👍👍. Mungu mrehem Mzee Sami Haji Dau. My uncle
Allah ghfir lahu wa rhamhu wa skanhu fil Jannat!
Hizi zinapatikana zenj tu mambo ya mwambao hayo
Mdogo sana wakati wa nyimbo hizi,safi sana
Nazitafuta sana hizi song za zamani bin Seif hongera sana kwa kuweza kuhifadhi hizi nyimbo shukran 🔊
Kazi nzuri kaka bin seif,tunapata kukumbuka vitu vitamu vya kale.
Salam Aleykum brother bin Seif.Nataka kukupa shukurani za dhati ndugu kwa hizi collection za tarab ilivyokua tarab sio sasa.Kaka ako Sleman Jahdhamy mzanzibari nipo Oman.Im 52 yo and grand dad alhamdulilah.Mungu akubarik bro tujuwane na natamani nyimbo za kizamani kama marehemu Bakari Abedi na wengine ilipokuwa tarab tarab.Sehivi hiyo modern tarab si Tarab nnojua mie ni migoma ya kizaire wanaita midern tarap.Hate it.Bless u Bin Seif.
Wajib nkujuze mie pia *nnavyo-ichukia* hio iitwayo *modern taarab!*
Mradi tu nao pia *WAMO!* Kuimbwako hawako, kuchezwako watafutwa!
Si taarab kichwa wala maguu! Mijigoma-mwitu tu na kalima chafu!
Black&White wapi zama hizo walikuwepo watu wa kutunga maneno ya busara na ya hiqma yenye utulivu mungu awasemeh awalaze mahala peponi
@@blackwhite3628 nimecheka sana kwa hizi sentensi zako mbili za mwisho. Ama kweli umechukia haswa, ndugu yangu." Mijigoma mwituNa kalima chafu." Nimecheka sana.
Wahooo hongera sana bin seif hii ndio ile Zanzibar ya ukweli ambayo ninayoitamani
Kweli kabisaaa
Shukran kaka kwa zilipendwa ASILIA.......ila hilo jina Mama yetu hapo juu ni MWAPOMBE au MWAPEMBE..... naomba kurekebishwa tafadhali.
Mwapombe
mimi pia natoa shukurani zangu za dhati n kukupa pongezi ndugu yetu bin seif kwa collection hizi za taarab...
abukulthum nimeipenda sana
safi sana bin seif Allah yubaarik
Ladha ya taarab ndio kana hii....si Maneno, sio mpangilio wa vyombo, rhythm pia...MashAllah. Muziki kwa kutuliza roho... Alhamdulillah
Naam Naam 2020 DEC still nasikiliza
Nzuri sana
bin Seif...
dahhh sina neno hapa
Huyu ni mwapombe hiyari wala hajakosea
Beautiful Island of Africa
Chakale zahabu
Shukran ,ila sioni wanaona nizama kuniokoa hutaki
lnshallah
sleman jahfhamy nitafute +255778025465
sleman jahdhamy nitafute+255778025465