BURE ASIKUPUMBAZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว +1

    That reminds me back home, Zanzibar...😩😩

  • @feiz3180
    @feiz3180 7 ปีที่แล้ว +4

    Hapa ndio tujijuwe kuwa ni watu wenye mila na desturi zao. Huwezi kutu nyang'anya uzanzibari wetu. Hakuna sehemu nyengine ambayo tuna jilinganisha katika afrika mashariki. Nyimbo zetu tafauti na hata sauti zetu tafauti kabisa sio sauti za mingurumo. Tuacheni Tupumuweeee,

    • @rahimaally9838
      @rahimaally9838 7 ปีที่แล้ว

      Bure asikupumbaze na hali hana mmoja tulia tukuueleze ukimywa wake si hoja

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 ปีที่แล้ว +5

    Hizi nyimbo hats sijazaliwa ila navuta picha tu Zanzibar nakupenda

  • @martamujika4125
    @martamujika4125 5 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi kuwa na uchungu wa nchi kama simwana wa nchi I love Zanzibar yangu

  • @yussufbaga4726
    @yussufbaga4726 7 ปีที่แล้ว +4

    ilove ZANZIBAR na wazanzibar

  • @abdaladawa7372
    @abdaladawa7372 2 ปีที่แล้ว +1

    Washairi na wasanii wetu wa Sasa wajifunze mamboazuri Kama haya. Nyimbo Ina miaka zaidi ya 40 lakini Bado utamu ni ule ule.

  • @AbuMsuya
    @AbuMsuya ปีที่แล้ว

    Daaa
    Kwakweli ladha inayopatikana ktk nyinbo za taarabu asilia zanzibar 🎉🎉waweza uisikilize ujihisi upo ulimwengu mwingine
    Ilandiohivyo

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 ปีที่แล้ว +2

    Classic Zinjibar taarab,love it

  • @rahimaally9838
    @rahimaally9838 7 ปีที่แล้ว +2

    Bure asikupumbaze na hali hana mmoja tulia tukuueleze ukimywa wake sihoja

  • @khalfankhalfan6071
    @khalfankhalfan6071 9 ปีที่แล้ว +2

    Very nice

  • @yussufmussa3809
    @yussufmussa3809 5 ปีที่แล้ว +2

    uzanzibar unatufanya kuchukiwa na uislam

  • @SalimSalim-bb4gj
    @SalimSalim-bb4gj 7 ปีที่แล้ว +1

    yimbo hii yanikumbusha zamani sana nilipokua na miaka 8 walahy zanzibar ilikua yapendeza sana sana. lkn mungu ainusuru zanzibar.

  • @badeehuliya8962
    @badeehuliya8962 2 ปีที่แล้ว

    zanzibar ilipokuwa zanzibar

  • @hamadiddi2869
    @hamadiddi2869 8 ปีที่แล้ว +1

    enzi zimepita sasa! Zanzibar yetu ya zamani uko wapi?

    • @saheelameir4313
      @saheelameir4313 4 ปีที่แล้ว

      Hamad Iddi duh nakwambia mtihan tu now Allah anajua anapotupeleka

  • @rahimabdull3677
    @rahimabdull3677 5 ปีที่แล้ว +2

    Wapi zanzibar iko wapi tena na ishakua msongamano tuu zogo mtindo mmoja. Baraka ya wamasai.

    • @saheelameir4313
      @saheelameir4313 4 ปีที่แล้ว

      rahim abdull watupu

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 ปีที่แล้ว

      Wallah yakhe mashaka matupu

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 ปีที่แล้ว

      Saiv imekuwa kila mabalaa Mtihani kweli na yote haya ni uongozi wa dhulma ulokuwepo saiv kila aina ya machafu Zbar .zmn kulikuwa hkn haya ila kesho mnayakuyajibu kwa mlivoifanya Zbar na wananchi wake

  • @ramadhanimshahara986
    @ramadhanimshahara986 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 6 ปีที่แล้ว

    Mziki umetulia