Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) waagwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) leo machi 13, 2024 ameongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo Jijini Dar es Salaam.

ความคิดเห็น • 1

  • @tithophilemon8769
    @tithophilemon8769 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashujaa wa kitaifa wanastahili kuenziwa hasahasa kwa michango mikubwa katika ujenzi wa taifa.