Mungu awabariki Sana watoto wazuri Jamani kuna nyimbo za watoto wa Jimbo kuu La dar sijaziona katika mtandao kabisa kuna wimbo mmoja unaitwa Mtoto ni malezi na nyingine nyine
Hakika nyimbo hizi zana hisia na uhalisia binafsi hua hazinichoshi kila ninapopata wasaa nautumia kusikiliza na kuangalia nyimbo za watoto hawa nauona Umungu hapa
watoto hongeleni sana nampongeza pia mwalimu wenu kwa kazi nzuri hongera mwali
Hongereni saana watoto wazuri
Hongereni madogo...hongera kwako mwalimu kwa kukuza vipaji...
Hongeli kwa kuimba vizuli
Mungu awabariki sanaa watoto pamoja na walimu ,nyimbo nzurii sanaa😍😍😍😍
Mungu awabariki sana watoto wazuri myaendeleze mnayoyaahidi.
Mwenyezi MUNGU awabariki hawa watoto
Hongera kwa watoto na mlezi aliyewaandaaa
Zinanikumbusha wakat wangu wa utoto mtakatifu
Nyimbo nzuri sana
napenda nyimbo za watoto hongera mungu awabariki
bwana awabariki sana watoto wetu na wadumu ktk karama hii ya uimbaji
Penda sana watoto wa mungu mungu awaongezee kipaji hicho mlichopewa
Yani nimependa sana kwanza kinanda akijameza sauti Yani kinanda kikoko vizuri watoto sauti nzuri nimependa mbaka basi
mtunzi kristu yu nawe siku zote milele Amina
Mbarikiwe watoto wa Mungu
Mmetisha sana
Mungu awabariki Sana watoto wazuri
Jamani kuna nyimbo za watoto wa Jimbo kuu La dar sijaziona katika mtandao kabisa kuna wimbo mmoja unaitwa Mtoto ni malezi na nyingine nyine
Mbarikwe sana wadogo zetu kwa kutuinjilisha na nyimbo nzuri
kiukwe hizi nyimbo nazipenda sana, hongereni sana watoto
Nice
ee bwana uliwalinde watoto wetu na wadumu ktka Pendo lako
Mbarikiwe Sana Wadongo Zangu
Nice song
mungu awepamoja nanyi
pongezi sana watoto wazuri
mungu awatie nguvu
❤❤
Mwenyezi mungu awabariki
Nikijikumbuka nimo humu naishiwa nguvu😂💔
Gingers Sana. Jumbo name IMO. Hahahaaaa
Mungu awabariki wa toto wazuri
Tqe
Wee
Hongereni sana watoto mungu awabariki.
Watoto wetu MUNGU AWABARIKI SANA♡♡♡♡
watoto wako vizuli mwenyezi mungu. awaone
wapo vizuli waendelee hivohivi
Hakika nyimbo hizi zana hisia na uhalisia binafsi hua hazinichoshi kila ninapopata wasaa nautumia kusikiliza na kuangalia nyimbo za watoto hawa nauona Umungu hapa
Mwenyezi mungu awabariki