Great amazing show congrattulation embrace success total for you galley of Young blessing for you ahugloving simpathy incredble cutebeautiful toomuch mydear
Kwa kuwa ni kwaya za watoto haimaanishi wapayuke. Hongereni sana waalimu mliowafundisha hawa watoto. Hii ni kwaya ya kwanza ya watoto ambayo ninarudia marakwa mara kusikiliza. Sauti zimepangiliwa na sauti zote zinasikika vizuri sana. Vyombo vimepiga kwa utulivu mkubwa. Hongereni sana !!! Hongereni sana!!!!!! Sijui ni kwanini hamkufungua hilo kanisa la kihistoria tulione huko ndani
Mungu azidi kuwabariki muendelee kuvitumia vipaji vyenu kumtangaza na kulitangaza neno lake kwa kua vyote vyapita isipokua neno lake kamwe halitapita Hongereeni watoto wazur bila kuwasahau walezi na walimu wenu Mungu awabariki.
Hongera sana
Nice song,,,God bless the kids end their teachers 🙏🙏🙏
Hongereni Sana watoto wa Mungu asante
I DON'T SPEAK THE LANGUAGE, I JUST ENJOY THE GOODNESS OF THE LORD TOWARDS THESE PRECIOUS CHILDREN. I KNOW THAT BWANA = LORD!
Be blessed da as you listen.....it's all about how one get happy when he or she reads the word of God (Psalms)
Maneno haya yanipa yanipa furaha na faraja. Asante Mungu mwenyezi kwa kipaji cha uzima
Amina❤️❤️❤️
Apa tulipofika n kwa neema ya mungu
This is my favorite songs wow be blessed childrens of God
Hongereni sana kwa kuwaamdaa watoto vzr albam yenu ni nzur sana naomba ule wimbo wa hekima mliuimba vzr zaid. Be blessed
Mungu awabariki awazidishie kipaji cha uimbaji
Kaniki Mamba 🔥
My best song Mbarikiwe watoto wa Mungu
Mungu awaogoze na vipaji vyenu watoto wazurii
hongereni sana watoto,kwaya hii mara nyingi inanilaza unono,sauti nzuri sana,step nzuri,nidhamu ya kutosha,hakika Mungu awatimizie haja ya mioyo yenu❤
Reminds me of when I was a PMC ....the song is so amazing can't stop listening
asante sana kwa wimbo mutamu sana ni mimi wanu rafiki materdei musema
Naupenda huu wimbo barikiweni sana
Hongereni ❤❤❤❤naupenda huu wimbo
So nice mtumishi
Mungu awabariki watoto wazuri
hongeren sana waalim wa hii kwaya kiukwel mko vzrmnooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Maneno hayo kiukweli mbarikiwe sana kwa utume wenu. Sifuni jina la bwana, maneno ya zaburi
verry good ila mda sana asee
Hongereni sana
Nyc song ,it encourages one to read the bible.....it reminds me when I was a PMC...I enjoyed dancing
Wonderful❤❤
Hongera mwalimu na hawa watoto, kazi nzuri sana mungu atubariki
Mungu awabariki watoto hawa
Hongera sana Kaniki...kazi safi
Angels voice. I'm happy to see children praising the Lord.
Enjoy is your song chairman
The song is amazing, am blessed
Hongereni kwa ujumbe mzuri
Maneno hayo♥️♥️♥️♥️
I love this song sang by the young ones words of wisdom
Wow kibosho oyeeeee
The best 🎵
Vipaji havianzii uzeeni, hongereni sana wadogo zangu myaishi maneno ya zaburi. Amina
Mungu ambarki watoto Hawa Na Mwalimu wao
Hongeren sana watoto katka uinjilshaj Mungu aendelee kuwatumia
safi kabisa watoto
Mwalimu Kaniki... Kazi nzuri hio.
Am blessed by the nice words of praising God
Hongera kwa mtunzi na watoto walioimba
Muko vizur wimbo umejaa ujumbe mzur
Amina mungu awe nanyi
I like this song may God bless all
Nawapenda sana watt wa Mungu kueni na kutetea Imani yenu mbarikiwe sana!!!!!!
Jesus said let the children come to me.
Great amazing show congrattulation embrace success total for you galley of Young blessing for you ahugloving simpathy incredble cutebeautiful toomuch mydear
Beautiful Song
Very nice.
Mbarikiwe sana watt wazuri muendelee hivyo kueneza injili kupitia nyimbo💕💕💕💖
pia mm nmebarakiwa na huu wimbo ,hongera kwenu
Congratulations
I feel blessed with this song, it reminds me of singing Zaburi. Am in love with this choir. God be with you and your trainers
I feel very blessed too.
nice voices. this is commendable. congratulations to the trainer and also to the kids. i can't stop listening to this song
Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.
Vizur kuwalea watoto wakimjua mungu barikiwa xana
Wooooow👍👍👍👍👍💖
Good song
Yes
Nice song
Kwa kuwa ni kwaya za watoto haimaanishi wapayuke. Hongereni sana waalimu mliowafundisha hawa watoto. Hii ni kwaya ya kwanza ya watoto ambayo ninarudia marakwa mara kusikiliza. Sauti zimepangiliwa na sauti zote zinasikika vizuri sana. Vyombo vimepiga kwa utulivu mkubwa. Hongereni sana !!! Hongereni sana!!!!!! Sijui ni kwanini hamkufungua hilo kanisa la kihistoria tulione huko ndani
Bernard John Mayer to get
Nyimbo nzuri sana
Mucha felicidades
Asante, Karibu misa ya watot Mango Parish uone utukufu wa Mungu,
Ongereni sana asnte mwalimu tunakukumbuka sana kcmc
Nice little voices
Mungu awatie nguvu ya ajabu Katika Maisha ya ukristo
Vijana mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
Mbarikiw sana
So nice
Nimeipenda sana hiyo kwaya ya watoto zidisheni kipaji chenu
Kazi nzuli san balikiwa watoto wa mungu
Good song
Mungu awabariki kwa wimbo muzuri
Nimeipenda sana kwaya hii ya watoto mungu awabariki kwa ujumbe mzr
nawaombea sana walimu mlowafundisha watoto kwaya nzur sana mungu awabariki sana
Asanten sana waimbaj nmebarkiwa sana
Asanteni kwa wimbo mzuri sana. MBARIKIWE
Amina
mungu awabariki kwaya ya huruma
Mungu azidi kuwabariki muendelee kuvitumia vipaji vyenu kumtangaza na kulitangaza neno lake kwa kua vyote vyapita isipokua neno lake kamwe halitapita Hongereeni watoto wazur bila kuwasahau walezi na walimu wenu Mungu awabariki.
Nice keep it up
amina sifa na utukufu kwa Mungu wetu
I didnt understand what they are saying but i love this song....
Luke Toka kwa kweli mungu awabariki kwa wimbo mzuri
The song is real to our life.Maneno ya zaburi.mungu awabariki.Please just listen to words.
mungu azidi kukuza kipaji chenu watoto wazuri
Nc sana
Hongereni vijana
Amen mungu awabariki watoto 💕🔊
Ujumbe mzur
nawapenda mmenibariki Sanaaaaa kazaneni kumwimbia Mungu faida zake huanzia duniani mpaka mbinguni
Nmebarikiwa sana na hawa watoto!
Pongesi kwa watoto wa kibosho Wang u
Jubilehi yaparokiha yakiboxho
hadi raha 🙏
Maneno ya zaburi, hakika ni wimbo mzuri sana. MUNGU awajalie daima
mwaimba viziri sana
Waoooooo watoto wazurriiiii
Mungu awatunze watoto wazuri
Mungu awabariki sana
watoto hongera na mungu awabariki.
mmbarikiwe sana watoto wenzangu
Wimbo huu umenibariki sna hongereni sna watoto wa Mungu
Tunatukuzw na neno la mungu
Duh me enyewee naimba ila niny watoto kiboko
A👏👏
Hongereni sana wapendwa nimebarikiwa sana
Muchas Felicidades
Good job
Salute sana kwa mwalmu na mlez wa kwaya hii ya watoto
Mmeimba vnzuri cna,ingawa ni kwa mara ya kwanza,mungu azidi kuwabariki