Valeriana Simon
Valeriana Simon
  • 261
  • 892 926
KRISTO ATAWALE || Alembaje || Mt. DON BOSCO ..KALOBE MBEYA
Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Mt. Don Bosco ya Kalobe Mbeya. Walikuwa na ziara kuinjilisha katika parokia ya Moyo Mtakatifu, Irambo Mbeya, Dominika ya Kristo Mfalme 2023.
Hawa ndio wana wa #karibuwifi watu wa mastepu.
มุมมอง: 137

วีดีโอ

Rozari ya Kufungua Roho 50,000 Kutoka Toharani kwenda Mbinguni || Sala ya Mt. Getrude Mkuu
มุมมอง 46616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hii ni sala ya pekee sana sana aliyotupatia Bwana Yesu Kristo kwa ajili ya kuendelea kuonesha upendo kwa wapendwa wetu waliotutangulia mbele ya haki. Unasali kwa wastani wa nusu dakika, halafu roho 1,000 wanatolewa toharani na kwenda kwenye furaha ya milele mbinguni. hii ni kazi nzuri ya faida sana. tuitumie sala hii. Ni sala fupi, na rahisi kuishika kichwani. "Mt. Padre Pio anasema "Tuipukutis...
USHUHUDA KUHUSU TOHARANI || Sehemu ya 2
มุมมอง 238วันที่ผ่านมา
Tukimbilie maombezi ya watakatifu kwa ajili ya kuwaombea marehemu wa Toharani. Sehemu ya kwanza iko hewani angalia link kwenye sehemu ya maoni hapo.
USHUHUDA KUHUSU TOHARANI (1)
มุมมอง 43114 วันที่ผ่านมา
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa amani. amina Shuhuda hizi zitusaidie kuongeza imani yetujuu ya uhitaji sala zetu kwa wapendwa wetu. ni namna ya kufanya matendo ya huruma kwao
Maua Yanavyomsifu Bikira Maria || Sehemu ya 2
มุมมอง 31721 วันที่ผ่านมา
Kipindi hiki ni mwendelezo wa sehemu ya kwanza. Tafadhali tazama sehemu hiyo ya Kwanza utapata utangulizi mzuri sana. Pia itakusaidia kuelewa vizuri zaidi kwa nini tumetumia majina haya ya kigeni. Maua huamsha tafakari juu ya ukuu wa Mungu. Viumbe vinakusaidia kumkaribia Muumba. @KANISAKATOLIKITANZANIATEC @thegalaxypro6219 @BernardMukasa @kmkmakuburi @lucidtv95 @vrcthika4649 @HOLYTRINITYSTUDIOS...
Maua Yanavyomsifu Bikira Maria
มุมมอง 601หลายเดือนก่อน
Maua ni zaidi sana ya vile unavyoyaona machoni. Kama labda wewe ni mmoja ya wale ambao ukiona maua ulikuwa unajiskia namna fulani nzuri ambayo huwezi ukamwelezea mtu mwingine, basi ujue hukukosea kitu.... maana maua huongea zaidi ya maneno tuyajuayo. MAUA NA WATAKATIFU Swala la maua linajidhihirisha zaidi na tunasikia sana katika Maisha ya watakatifu mbalimbali. mfano Mt. Yosefu, Mt. Fransisko ...
ALELUYA (Nakuabudu Yesu) G. KAYETA-VALERIANA & FRIENDS
มุมมอง 3.2Kหลายเดือนก่อน
Karibu Kutazama Wimbo huu mzuri wa kumshangilia Yesu wa Ekarist , Tukimwabudu katika maumbo ya Mkate na Divai Mtunzi: Gregory Kayeta Audio: The Galaxy Pro Organist: Peter Perfect Video: Director Mdete Tm #catholicsongs #kwayakatoliki #gospelmusic #africangospelmusic #virginmary #rosary @KANISAKATOLIKITANZANIATEC @thegalaxypro6219 @BernardMukasa @kmkmakuburi @lucidtv95 @vrcthika4649 ‎@HOLYTRINIT...
Njia 12 za kukusaidia Kuanza na kuimarika katika kusali Rozari Takatifu
มุมมอง 783หลายเดือนก่อน
Njia 12 za kukusaidia Kuanza na kuimarika katika kusali Rozari Takatifu
Jinsi ya Kushika Matendo ya Rozari takatifu ya Fatima || Valeriana Simon
มุมมอง 586หลายเดือนก่อน
Jinsi ya Kushika Matendo ya Rozari takatifu ya Fatima || Valeriana Simon
MAOMBI KWA MAKUNDI TISA YA MALAIKA
มุมมอง 745หลายเดือนก่อน
MAOMBI KWA MAKUNDI TISA YA MALAIKA
LITANIA YA MT. MIKAELI || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
LITANIA YA MT. MIKAELI || Valeriana Mayagaya
ROZARI YA MT. MIKAELI malaika mkuu || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 1.9K2 หลายเดือนก่อน
ROZARI YA MT. MIKAELI malaika mkuu || Valeriana Mayagaya
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 12K2 หลายเดือนก่อน
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 6373 หลายเดือนก่อน
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
มุมมอง 2.1K3 หลายเดือนก่อน
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 3.4K4 หลายเดือนก่อน
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 2.1K4 หลายเดือนก่อน
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 6K4 หลายเดือนก่อน
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
มุมมอง 9545 หลายเดือนก่อน
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
มุมมอง 1.8K5 หลายเดือนก่อน
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
มุมมอง 3125 หลายเดือนก่อน
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 1.7K5 หลายเดือนก่อน
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
NUKUU ZA EKARISTI TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 6095 หลายเดือนก่อน
NUKUU ZA EKARISTI TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
LITANIA YA UTATU MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 8005 หลายเดือนก่อน
LITANIA YA UTATU MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Sala kwa Heshima ya Utatu Mtakatifu1
มุมมอง 3936 หลายเดือนก่อน
Sala kwa Heshima ya Utatu Mtakatifu1
NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
WAIPELEKA ROHO || JOHN MGANDU || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
WAIPELEKA ROHO || JOHN MGANDU || Valeriana Mayagaya
UKAJA UPEPO || G.F. Kayetta || Valeriana Mayagaya
มุมมอง 7556 หลายเดือนก่อน
UKAJA UPEPO || G.F. Kayetta || Valeriana Mayagaya

ความคิดเห็น

  • @kwayamtgregorymkuubariadi-1940
    @kwayamtgregorymkuubariadi-1940 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤waoooo

  • @SabinaOhindi
    @SabinaOhindi วันที่ผ่านมา

    Mt yuda thadei naomba. Uniombee kwa yesu nyumba yangu ya twangoma niweze kupata mnununzi

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred วันที่ผ่านมา

    Amina Amina.

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred วันที่ผ่านมา

    Kwa wozia wako,nakushukuru.

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred วันที่ผ่านมา

    Amen Amen.

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred วันที่ผ่านมา

    Kwa hili nakushukuru sana kwa mafundisho yako.Asanteni sana

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred วันที่ผ่านมา

    Utuombee mt Cecilia ili kukuza kipaji cha uimbaji.

  • @FranciscaRomanus
    @FranciscaRomanus 3 วันที่ผ่านมา

    Moyo safi wa Maria, Moyo mwema wa Maria, Moyo wa Maria tuombe. wimbo unabariki sana. Asante.

  • @AngelaRobert-s2h
    @AngelaRobert-s2h 5 วันที่ผ่านมา

    Nimetulia nasikiliza

  • @onesmomushi1257
    @onesmomushi1257 5 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana kwa maelezo ya kusali rozari ya shukrani, nitaipataje mtumishi?

  • @IRENEMbete-u1w
    @IRENEMbete-u1w 5 วันที่ผ่านมา

    Utuombee

  • @cresensiankembo8658
    @cresensiankembo8658 7 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa mafundisho.

  • @peternjau5318
    @peternjau5318 7 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu akujalie neema ututafsirie Rozari ya Damu Azizi kutoka Kiingereza

  • @peternjau5318
    @peternjau5318 7 วันที่ผ่านมา

    Asante Valeriana!

  • @SophiaAchungo
    @SophiaAchungo 8 วันที่ผ่านมา

    Malaika Mkuu Mikaeli, Mkuu Wa Kanisa la Mungu, utuombee wakenya, tuepushwe na majanga yanayotukumba wakati huu.

    • @Valerie365
      @Valerie365 8 วันที่ผ่านมา

      @@SophiaAchungo AMINA!

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred 8 วันที่ผ่านมา

    YESU mwema,naomba unioshe dhambi zangu,unikubali jinzi nilvyo,mwisho nikae na kufurahi nawe uko ulipo.

    • @Valerie365
      @Valerie365 8 วันที่ผ่านมา

      @@MamwanchaWilfred AMINA

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred 8 วันที่ผ่านมา

    Mafundisho mazuri.

  • @emanuelmichael4630
    @emanuelmichael4630 9 วันที่ผ่านมา

    Jamani naombeni msali hii novena ni kweli na inajibu kwa kweli huyu mama teresa yupo mbinguni

    • @Valerie365
      @Valerie365 9 วันที่ผ่านมา

      @@emanuelmichael4630 inajibu sana!

  • @hildashilote8089
    @hildashilote8089 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba kibal we mtakatifu yuda naomba uniombee nipate msaaada wa kipesa nigoke katika chngamoto hiii nilonayoo naomba kibal I nimalizw ujenz nihamie kwangu

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 10 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏🏻 ❤️

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 10 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏🏻 ❤️

  • @kulwasandali2279
    @kulwasandali2279 11 วันที่ผ่านมา

    wafu hawajui lolote muhubiri 9:5 hakuna kitu kama icho hizi ni mambo ya kutunga Lete pont kutok bible yesu Alimtokea huyo mtu wapi na wameandika wapi mna Hadith za kufunga saan bhana

  • @cresensiankembo8658
    @cresensiankembo8658 11 วันที่ผ่านมา

    Amina sana.

  • @Valerie365
    @Valerie365 11 วันที่ผ่านมา

    SALA MBALIMBALI KWA AJILI YA MAREHEMU WA TOHARANI th-cam.com/video/7yyzgDlRahA/w-d-xo.htmlsi=JqpAkzqchsm7chGK

    • @adampius5140
      @adampius5140 11 วันที่ผ่านมา

      umeeleza vizuri sana kila mtu aaeleza ya kwake sasa unaweza kuthibitisha katika maandiko yanayozungumza kuhusu toharani?

    • @adampius5140
      @adampius5140 11 วันที่ผ่านมา

      na je toharani watu wanateseka? na imeandikwa wapi mtumishi wa Mungu

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 14 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen 🙏

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 14 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 14 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏 🙌

  • @FlorahKatoyo
    @FlorahKatoyo 15 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana wimbo mzuri..old is gold..watu hawajui tuuu

  • @Sonia-xk4dl
    @Sonia-xk4dl 17 วันที่ผ่านมา

    Huruma ya Mungu nakutumainia , Nisaidie kutoka kwa madeni na ubariki Pesa zangu ili ziwe zinatosha mahitaji yangu. Nakuomba wajalie wenye shida kuniliko. Niondolee shida ya pesa kabisa nakuomba Baba Yangu na nakuamini.Amen.❤❤❤🎉

  • @MamwanchaWilfred
    @MamwanchaWilfred 17 วันที่ผ่านมา

    Na wote wapate uzima wa milele.

  • @HappynessJohn-q3c
    @HappynessJohn-q3c 17 วันที่ผ่านมา

    Amina dada

  • @nancymuhuchani7954
    @nancymuhuchani7954 17 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @K2onlineTV
    @K2onlineTV 17 วันที่ผ่านมา

    Endaga wani.

  • @Valerie365
    @Valerie365 18 วันที่ผ่านมา

    SALA MBALIMBALI ZA KUWAOMBEA MAREHEMU WA TOHARANI th-cam.com/video/7yyzgDlRahA/w-d-xo.htmlsi=USmlNyeG3qV92N8g

  • @beatusbenedicto-b8p
    @beatusbenedicto-b8p 19 วันที่ผ่านมา

    Amina sanaa

  • @PamelaMwanyambo
    @PamelaMwanyambo 20 วันที่ผ่านมา

    Mama wa mungu tupmbee

  • @grecevitariss6363
    @grecevitariss6363 22 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @cresensiankembo8658
    @cresensiankembo8658 22 วันที่ผ่านมา

    Amina.

  • @cresensiankembo8658
    @cresensiankembo8658 22 วันที่ผ่านมา

    Amina🙏.

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 23 วันที่ผ่านมา

    Ameeen Ameeen

  • @deogratiusnchimbi-lf2cn
    @deogratiusnchimbi-lf2cn 24 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah!!!!!

  • @Sonia-xk4dl
    @Sonia-xk4dl 24 วันที่ผ่านมา

    Asante Baba yetu

  • @Valerie365
    @Valerie365 24 วันที่ผ่านมา

    Sehemu ya pili, tazama hapa th-cam.com/video/8EBJQMUpXuI/w-d-xo.htmlsi=SuXJDw0G_8Gkdpi- Karibu sana

  • @Valerie365
    @Valerie365 24 วันที่ผ่านมา

    Tazama hapa Seehemu ya pili: th-cam.com/video/baUQnai0UFg/w-d-xo.htmlsi=CsJWKVa-0QhoLTpk

  • @Tumaini-mj4fs
    @Tumaini-mj4fs 25 วันที่ผ่านมา

    Huruma ya Mungu ipo nasi daimaaa

  • @MourineAroto
    @MourineAroto 25 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @AnethIshengoma-l1h
    @AnethIshengoma-l1h 26 วันที่ผ่านมา

    Utoombeee

  • @clementlobanga8228
    @clementlobanga8228 27 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo nzuri sana ya mama maria