KWAYA YA UTOTO MTAKATIFU JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA. NI SHANGWE. WIMBO MAALUMU KWA ASKOFU MSAIDIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana watoto na wimbo nzuri. Mbarikiwe sana. Mungu ni kila kitu katika maisha yetu. Mavazi yenu yanavutia pia❤❤❤

  • @HellenAnatory
    @HellenAnatory 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana watoto wazuri. Nimefurahi sana natamani kuja kujifunza kwenu walezi wenzangu hongera sana

  • @davidkobero6977
    @davidkobero6977 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana vijana wetu...na waaalimu kwa kuwaandaaa kwa wimbo huu mzuriiii sana WENYE ujumbe mzuri

  • @christinajohn5055
    @christinajohn5055 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi nyingi kwenu watoto taifa la kesho. Bidii kama mwanzo ❤❤

  • @MariaPeter-d2f
    @MariaPeter-d2f 6 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana watoto wapo vizuri sana

  • @AngelMshami
    @AngelMshami 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki katika utume wenu

  • @sparnoffjetkey1749
    @sparnoffjetkey1749 6 หลายเดือนก่อน +1

    Glory to God👋👋🙏

  • @devotaijumba8332
    @devotaijumba8332 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana watoto kweli wimbo mmeutendea haki.mmependeza sana

  • @TriphoniaDugange
    @TriphoniaDugange 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ hongereni sana watoto mungu awatunze.

  • @MariaAnwarite
    @MariaAnwarite 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana watoto

  • @lydiaalex5137
    @lydiaalex5137 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni full shangwe Jimbo kuu la Dodoma barikiwa Sana watoto

  • @SmilingClothes-sh6gb
    @SmilingClothes-sh6gb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mbalikiwee sanaa

  • @tumusiimeomukama3151
    @tumusiimeomukama3151 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉

  • @consesalyimo7261
    @consesalyimo7261 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli hawachoki wapo vizuri.

  • @Dk.Shombo
    @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Msinichoke jamani nimerudi tena kuangalia 🎉🎉🎉🎉😂

  • @consesalyimo7261
    @consesalyimo7261 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuwaombee ili waendeleze huo utume wao vizuri

  • @devotaijumba8332
    @devotaijumba8332 6 หลายเดือนก่อน

    Dada Frora Mwalimu mmependa.ongeni kuwafundisha watoto

  • @Dk.Shombo
    @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatareeee❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @shirimaiboti5207
    @shirimaiboti5207 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @YohanneSangawe
    @YohanneSangawe 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn wapatezawad

  • @josephatevarist1822
    @josephatevarist1822 6 หลายเดือนก่อน +2

    Iko vizuri....
    Madgo hawachoki hao...
    Wana moto ni hatariiii

    • @Dk.Shombo
      @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaaaa😢😢😢😢 hataree

    • @YohanneSangawe
      @YohanneSangawe 6 หลายเดือนก่อน +1

      Jmn watoto mmependeza sn hongen sn watoto lkn pia pongez nyingi kwa walimu wenu

  • @donathahaule4842
    @donathahaule4842 6 หลายเดือนก่อน

    Nimewapenda sana Kwa kuimba vizuri

  • @csato9415
    @csato9415 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana watoto wazuri kwa kuimba na kucheza vizuri.
    Mungu awatunze ili baadaye mje kuona video hii mkiwa katika utume mbalimbali ( utawa, ndoa, )

    • @Dk.Shombo
      @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +1

      Well said

  • @stellaprince8850
    @stellaprince8850 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana

  • @Dk.Shombo
    @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimerudi tena kuangalia

  • @Dk.Shombo
    @Dk.Shombo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naangalia zaidi ya mara 3 sasa

  • @MariaAnwarite
    @MariaAnwarite 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana watoto